Business Plan

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 14

Muhtasari wa Mpango wa Biashara

1. JINA LA MRADI WA BIASHARA:


TATIZO NA SULUHISHO
_______________________________________________

________________________________________________
________________________________________________
_____________________________________________

_________________________________

__________________________

_________________

_______________________________________________

_______________________________________________
MASOKO/WATEJA/BEI/MATANGAZO/BIDHAA

_______________________________________________
Gharama

_________________________________________________
_________________________________________________
___________________________________________

_________________________________

__________________________

_________________

_______________________________________________

_______________________________________________
MPANGO WA FEDHA

GHARAMA

(kwa wazalishaji na watoa huduma)

Kubainisha gharama za Biashara

Na. Mahitaji Gharama za Gharama Vitendea Kazi


Moja kwa zisizo za
Moja Moja kwa
Moja

1 Birika 10000

2 Jiko 15000

3 Majani ya chai

4 Sukari

5 Makaa

6 usafiri

7 vikombe

8 kiti 60000

9 mkaa

10

11

12

13
14

Kukokotoa Gharama za Uchakavu

Kifaa Bei ya Muda wa Kutumika Jumla ya


Kununulia kwake mpaka Uchakavu kwa
÷ kuchakaa = Mwaka

Birika 10,000 Mwaka 1 10,000

Jiko 15,000 Mwaka 1 15,000

Viti vitatu 60,000 Miaka 3 20,000

Jumla ya Uchakavu kwa Mwaka 45,000

Uchakavu kwa Mwezi = 45,000 ÷ 12 3,750

Gharama za Moja kwa Moja

Gharama za Moja kwa Moja (vikombe 80 vya chai anavyopika kwa siku)

Malighafi Gharama

Sukari 2,000
Majani ya Chai 200
Maziwa 2,000
Jumla 4,200

Gharama Zisizo za Moja kwa Moja

Gharama Zisizo za Moja kwa Moja (kwa siku)

Malighafi Gharama

Usafiri 500
Mkaa 500
Uchakavu (3750÷20)-Mama Fatuma 190
anafanyakazi siku 20 katika Mwezi
Jumla 1,190
Jumla ya Gharama kwa Siku (vikombe 80 vya chai)

 Jumla ya Gharama = 4,200 (za moja kwa moja) + 1,190 (zisizo za moja kwa moja)
= 5,390

Ghrama ya Kikombe 1 cha Chai (Anatengeneza vikombe 80 kwa siku)

 Gharama ya bidhaa 1 (kikombe 1) = Jumla ya Ghara (5,390)/ Idadi ya vikombe


(80) = 70. Hivyo basi gharama ya kikombe 1 cha chai katika biashara ya Mama
Fatuma ni Shilingi 70/=

Gharama

(kwa wauzaji wa Reja Reja na jumla)


ASILIMIA YA GHARAMA ZISIZO ZA MOJA KWA MOJA DHIDI YA GHARAMA ZA
MOJA KWA MOJA (%)

JUMLA YA GHARAMA ZISIZO ZA MOJA KWA MOJA X 100


%
=

JUMLA YA GHARAMA YA BIDHAA KWA MWEZI

1 2 3 4 5

Bidhaa Gharama Gharama ziisizo Jumla ya Gharama za


za moja ya moja kwa gharama kila bidhaa
na kiasi cha
kwa moja moja kwa kila
vipimo/idadi Colum Colum 4 /
za kila bidhaa
2+colum 3 colum
Bidhaa
Colum 2 X 1(idadi ya
asilimia ya vipimo i.e
gharama zisizo za kilo,fungu
moja kwa moja n.k )

Jumla
Bei

Fomu ya Bei

Vigezo Bidhaa 1: Kikombe cha Chai Bidhaa ya 2:

Gharama 70 TZS

Wateja wako tayari


100 - 200 TZS
kulipa kiasi gani?

Bei ya washindani 150 TZS

Bei yetu 100 TZS


Inarejesha gharama za
Sababu ya Kupanga Bei uzalishaji na kutengeneza
hii faida, pia ni nafuu kuliko bei ya
washindani ili kuvutia wateja
zaidi.

Fomu ya Utangazaji

Njia za Utangazaji Maelezo Gharama

Bango Bango litaandikwa: Duka la Mama Halima -Pata


mahitaji yako yote ya nyumbani kama vile mchele, 15,000/=
mafuta, chumvi, sukari, sabuni n.k.
Mtaji wa Uanzishaji wa Biashara ya Mama Fatuma

Fomu ya Mtaji

Shughuli Kiasi cha Fedha (TZS)

Mahali pa Biashara
100,000/=
Ukarabati wa Mahali pa Biashara

VIFAA /Zana za Biashara


Birika 10,000/=
15,000/=
Jiko
60,000/=
Viti Vitatu
5,000/=
Vikombe
10,000/=
Nyinginezo

Mtaji wa Uendeshaji

Malighafi (sukari, majani ya chai, mkaa n.k)


100,000/=

Ushuru (miezi 3)
90,000/=

Mishahara (miezi 3)
100,000/=
90,000/=
Pango (miezi 3)
50,000/=
Umeme na maji (miezi 3)
50,000/=
Ziada kwa ajili ya dharura
680,000/=
Jumla

Vyanzo vya Mtaji wa Kuanzia


Fomu ya Mtaji

Shughuli Kiasi cha Fedha (TZS)

680,000/=
Mtaji wa Kuanzia Unaohitajika

Vyanzo
180,000/=
Rasilimali binafsi
500,000/=
Ruzuku ya Uzalishaji
680,000/=
Jumla (Lazima iwe sawa na kiasi
kinachohitajika)
Dhamana (Kama itahitajika katika kupata mkopo)

Kumbukumbu ya Manunuzi na Matumizi ya Siku

Tarehe Maelezo Kiasi Bei (Tsh) Jumla

1/8/2019 Unga wa mahindi (mfuko wakilo Mifuko 10 18,000 180,000

25)

Mchele Kilo 200 2,000 400,000

Mafuta ya Alizeti (dumu la lita 5) Dumu 10 22,000 220,000

Mafuta ya kula (dumu la lita 5) Dumu 5 18,000 90,000

Sukari (mfuko wa kilo 25) Mifuko 1 32,000 32,000

Chakula 3,000 3,000

Usafiri 2,000 2,000

Nauli 2,000 2,000


Ushuru 3,000 3,000

Jumla 932,000

Kitabu cha Kumbukumbu ya Mauzo ya Siku


Tarehe Bidhaa/Huduma Idadi Bei (Tsh) Jumla

1/8/2019 Unga wa mahindi kilo 20 720 14,400


Sukari kilo 10 2,100 21,000
Mafuta ya alizeti lt. 5 dumu 1 22,000 22,000
Unga wa ngano kilo 10 2,000 20,000
Mikate 2 1000 2,000
Jumla 79,400

MPANGO WA MAUZO NA GHARAMA

Maelezo JAN FEB MARCH JUMLA

MAUZO 240000

GHARAMA MOJA KWA 96000


MOJA
GHARAMA ZA MOJA KWA 30000
MOJA ZA NGUVU KAZI
GHARAMA ZISIZO ZA 35700
MOJA KWA MOJA
78300
FAIDA HALISI
UMAFUTI / SWOC

UWEZO

1. Ujuzi
2. Uzoefu
3. Elimu
4. Mtaji

MAPUNGUFU

1. Pendekezo la kodi ya mlango wa duka ni kubwa

FURSA

1. Msaada wa serikali
2. Teknologia rahisi
3. udhamini

TISHIO

1. ushuru mkubwa
2. kuna eneo ambalo limepangwa kwa ajili ( wazo kama lako)

UONGOZI NA USIMAMIZI
MPANGO WA UTEKELEZAJI

You might also like