Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

Siku

ya Mungu ya pili kisha pentekoste


Mwili na Damu Takatifu ya Kristu
Zaburi 147; 12-13, 14-15, 19-20
Samuel G. KIMPINDE L.
Cape Town, SA. 2023

   = 100
A                    
      

Fine

 
S

                   
Ee ta i fa la Mu ngu, (la Mu ngu) u mtu ku ze Bwa na wa ko.

T    
       
B   


D.C. al Fine
Larghetto

                  
11 D A Bm Em A G Em A

1. Umtukuze Bwana, ee Yerusalemu,


Umsifu Mungu wako, ee sioni.
kwani amekaza makomeo ya malango yako,
amewabariki waana wako ndani yako.

2. Ameweka amani katika mipaka yako,


anakushibisha kwa unono wa ngano.
Anapeleka neno lake duniani,
neno lake linapiga mbio sana.

3. Amempasha Yakobo neno lake,


Israeli amri na kanuni zake.
Hakuna taifa lingine alilotendea hivyo;
wala hakuwafumbulia kanuni zake.

You might also like