Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

NDUGU STEVEN LANGENI (MARANATHA)

YAH. KUKUOMBA KUWA MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE YA

UKARABATI NA UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA KITUO CHA
AFYA TUKUYU TAREHE 08/06/2023.
Ndugu nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo,
Tafadhali husika na ombi la kichwa cha barua kama kinavyojieleza hapo juu.
KKKT-dayosisi ya Konde inayo heshima kubwa kukuomba kuwa Mgeni Rasmi
katika Harambee ya kuchangia ukarabati pamoja na uboreshaji wa huduma za
afya katika kituo chake cha Afya cha Tukuyu itakayofanyika tarehe 08.07.2023,
Mahali ni KKKT Usharika Mkuu Tukuyu,Muda kuanzia saa 04:00 asubuhi.
Hivyo kwa heshima ya kipekee sana ukiwa kama Mgeni Rasmi unaombwa
kutuongozea harambee hiyo ya uchangiaji wa fedha yenye maksio ya Shilingi za
Kitanzania Milioni Hamsini tu (Tsh. 50,000,000/=) ili kufanikisha adhma hiyo ya
ukarabati na uboreshaji wa huduma za Afya.

Natanguliza shukurani za dhati kwako na ni matumaini ya kwamba utakubali ombi

hili.
Wako katika ujenzi wa Taifa na Neema ya Bwana iwe nawe.

…………………………….
BENJAMIN MBEMBELA
KATIBU MKUU
KKKT-DAYOSISI YA KONDE
10/06/2023

Kumb na.

NDUGU YONA SONELO MWANSUKA

YAH. KUKUOMBA KUWA MGENI MAALUMU KATIKA HARAMBEE YA
UKARABATI NA UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA KITUO CHA
AFYA TUKUYU TAREHE 08/06/2023.
Ndugu nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo,
Tafadhali husika na ombi la kichwa cha barua kama kinavyojieleza hapo juu.
KKKT-dayosisi ya Konde inayo heshima kubwa kukuomba kuwa Mgeni Maalumu
katika Harambee ya kuchangia ukarabati pamoja na uboreshaji wa huduma za
afya katika kituo chake cha Afya cha Tukuyu itakayofanyika tarehe 08.07.2023,
Mahali ni KKKT Usharika Mkuu Tukuyu,Muda kuanzia saa 04:00 asubuhi.
Hivyo kwa heshima ya kipekee sana ukiwa kama Mgeni Maalumu unaombwa
kushiriki harambee hiyo ya uchangiaji wa fedha yenye maksio ya Shilingi za
Kitanzania Milioni Hamsini tu (Tsh. 50,000,000/=) ili kufanikisha adhma hiyo ya
ukarabati na uboreshaji wa huduma za Afya.

Natanguliza shukurani za dhati kwako na ni matumaini ya kwamba utakubali ombi

hili.
Wako katika ujenzi wa Taifa na Neema ya Bwana iwe nawe.

…………………………….
BENJAMIN MBEMBELA
KATIBU MKUU
KKKT-DAYOSISI YA KONDE

You might also like