Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO MKOA WA IRINGA

SERIKALI YA KIJIJI CHA LUGALO


S. L. P 2324,
IRINGA.
04/7/2023.

MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA KILOLO,
S. L. P 2324,
IRINGA.

YAH: OMBI LA KIBALI CHA KUFANYA UTAFITI KATIKA MAPANGO YA IPOMO NA KABURI
LA NYUNDO SANJARI NA KUENDELEZA:
Rejea kichwa cha barua tajwa hapo juu kilichoandikwa ombi la kibali cha kufanya utafiti
katika mapango ya Ipomo na kaburi la nyundo sanjari na kuliendeleza.
Lengo la kuandika barua hii ni kuomba ruhusa au kibali chako kwaajili ya kufanya utafiti.
Nina imani na uhakika Mkuu wangu kwamba, ikiwa utaniruhusu kufanya utafiti huu, matokeo
yake yataleta tija na fursa nyingi kiuchumi kwa Wananchi wa Kijiji cha Lugalo, Halmashauri yetu
ya Kilolo, Mkoa na Taifa kwa ujumla kupitia ukusanyaji wa mapato ya tozo, ada na viingilio
kutokana na shughuli za utalii, sanaa na utamaduni. Wanakijiji wa Lugalo, Halmashauri ya
Kilolo, Mkoa na Taifa watapata fursa ya kuwekeza na kufanya biashara katika maeneo haya ya
makumbusho ya kaburi la nyundo na maeneo yaliyo karibu na mapango ya Ipomo juu ya
Mlima Lugalo.
Nisingependa kukuchosha Mkuu. Nitashukuru sana ombi langu kusikilizwa na
kutekelezwa.

WAKO KATIKA ELIMU, UTAFITI, UTALII NA UTAMADUNI,


---------------------------------,
ONESMO DANIEL MKEPULE.

Mawasiliano: 0713839026 na 0621106058

You might also like