Dawa Za Jadii

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 27

DUWA YA KUMSOMEA MGOJWA KABLA YA KUMTIBU

Kwa watabibu wenzangu surahizi ninzuli kwa kumsomea mgonjwa kabla


yakumfanyia twiba
Pia msomee duwa hiii ni mustajaba saana kwa ulinzi wa kila jambo
KAFAKA RABUKA KAMIYAKIFIKA WAKIFATI KIFIKANUHHA
KAKA MIN KANA MANI KALIKA TAKURI KARI KAKARU RKARI
FIIKABADI TAHKII MUSHAKSHAKATI KARUKARUKI KALIKA KAFA
MABII KAFAKA LKAFA KUR BATAHH YAAKAUKABA KANA MANI
TAHKII KAUKABA LFARAKI
hata iweje utashinda vita juu ya maadui zako

MAFUTA YAKUJIPAKA

Bismillah rahman rahm ndugu zangu kwa sadaka ya ramadhan kila alijaaliwa
atafute
Mafuta ya zaituni
Mafuta ya mkunazi
Mafuta ya ndimu
Mafuta ya karafuu
Mafuta ya kituu saumu
Mafuta ya halmit
Mafuta ya ubani
Kisha ayachanganye kwa pamoja na baada ya hapo …………………………………
SIKU SAA NA KAZI ZAKE
1. JUMA TATU.
1. SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
2. SAA MBILI NI SAA YA WATU AU ADUI AU KUVUNJA NDOA YA MTU.
3. SAA TATU NI SAA YA MAPENZI.
4. SAA NNE NI SAA YA VITA NA ADUI.
5. SAA TANIO NI SAA YA VITA NA UADUI.
6. SAA SITA NI SAA YA KUTOA MAJINI.
7. SAA SABA NI SAA YA KUFUNGA HIRIZI.
8. SAA NANE NI SAA YA KUFUNGA NDOA .
9. SAA TISA NI SAA YA KUFANYA KAZI YOYOTE UTAFANIKIWA.
10. SAA KUMI NI SAA YA KUUZA NA KUNUNUA.
11. SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA WATU AU WANANDOA.
12. SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA AU KWENDA
KUOMBA KAZI SEHEMU.
2.JUMA NNE.
1.SAA MOJA NISAA YA KUTENGANISHA AU NI SAA YA KUROGEA AU KUTUMA
MAJINI.
2.SAA MBILI NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA AU KWENDA KUOMBA
KAZI.
3. SAA TATU NI SAA YA MAHABA.
4.SAA NNE NI SAA YA KUTENGANISHA NA NI SAA YA UCHAWI.
5.SAA TANO NI SAA YA MAPENZI AU KUOGA DAWA ZA MAPENZI AU
KUFANYA DAWA YOYOTE YA MAPENZI.
6.SAA SITA NI SAA YA VITA AU KUMPIGA ADUI
7.SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
8.SAA NANE NI SAA YA KUTENGANISHA PIA NI SAA YA UCHAWI.
9.SAA TISA NI SAA YA KWA WAKUBWA .
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA.
11. SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA NA KUROGA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA YA
MAPENZI.
3.JUMA TANO
1.SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
2.SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
3.SAA TATU NI SAA YA KUANZA JAMBO LOLOTE UTAFANIKIWA.
4.SAA NNE NI SAA YA MAZINDIKO.
5. SAA TANO NI SAA YA KUKUABILIANA NA VIONGOZI AU MAFARAKNO YA
NDOA.
6. SAA SITA NI SAA YA KUHARIBIKA KWA NDOA AU MAFARAKANO YA NDOA.
7.SAA SABA NI SAA YA KUPENDA WANAWAKE.
8.SAA NANE NI SAA YA KUKOSA KILA KITU CHOCHOTE KILE
UTAKACHOKIFANYA UTAKOSA.
9.SAA TISA NI SAA YA KUANDAA VITA AU KUKUSANYA SILAHA.
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI .
11. SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUNYWA DAWA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUTIMIZIWA HAJA.
4.ALHAMISI.
1.SAA MOJA NI SAA YA KUANDIKA MAKOMBE YA MAHABA.
2.SAA MBILI NI SAA YA WASIWASI.
3.SAA TATU NI SAA YA KUANZA SAFARI UTAFANIKIWA.
4.SAA NNE NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
5.SAA TANO NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA.
6.SAA SITA NI SAA YA MAPENZI .
7.SAA SABA NI SAA YA KUFUKUZA AU KUMWANGAMIZA JINI.
8.SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.
9.SAA TISA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
10.SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA .
11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
5.IJUMAA.
1. SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI .
2.SAA MBILI NI SAA YA KUBAINI AU KUFICHUA UCHAWI.
3.SAA TATU NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA AU KUOGA DAWA.
4.SAA NNE NI SAAYA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
5.SAA TANO NI SAA YA KUWAONA VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.
6.SAA SITA NI SAA YA KUFUNGA NDOA.
7.SAA SABA NI SAA YA KUWAONA VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.
8.SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.
9.SAA TISA NI SAA YA KUANZA SAFARI.
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI.
11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUOMBA JAMBO LOLOTE NA
UTAFANIKIWA LIWE LA KHERI AU L SHARI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
6.JUMAMOSI.
1.SAA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
2.SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
3.SAA TATU NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
4.SAA NNE NI SAA YA KAZI ZOTE NZURI UKIFANYA UTAFANIKIWA.
5.SAA TANO NI SAA YA KUFUNGA NDOA .
6.SAA SITA NI SAA YA MAPENZI .
7.SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
8.SAA NANE NI SAA YA KUFUKUZA MAJINI.
9.SAA TISA NI SAA YA KUWAPELEKA WATOTO KWA WALIMU.
10.SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA .
11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUFICHUA UCHAWI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
7.JUMA PILI
1. SAA MOJA NI SAA YA KULIPA MADENI.
2.SAA MBILI NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.
3.SAA TATU NI SAA YA KUFUATILIA UTAKALO NA UTAFANIKIWA.
4.SAA NNE NI SAA YA KUFANYA MAMBO YOTE MAZURI.
5. SAA TANO NI SAA YA NUKSI AU KUFARAKANISHA.
6.SAA SITA NI SAA YA KUFANYA BIASHARA.
7.SAA SABA NI SAA YA VITA.
8.SAA NANE NI SAA YA KINGA.
9.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI NA KUOGA DAWA
10 SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI.
11.SAA KUMI NAMOJA NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUFANYA DAWA ZA MITI NA
UTAFANIKIWA
AINA YA MAJINI NA NAMNA YA KUWADHIBITI
Jinn ni jina waliyopewa majini wasiokuwa na sifa
yoyote. Kuna habari nyingi zinazotafautiana
kuhusu vyeo vya majini kutokana na nguvu zao.
Lakini watu wote wanaamini kwamba daraja zao
zinaendana kutokana na nguvu zao na umri wao.
Ili kufahamu zaidi hii ni orodha ya baadhi ya
Majini na uwezo wao.
AINA YA MAJINI
Kuna aina tatu za majini:
(1) majini ambao huruka angani
(2) Majini ambao maumbo yao ni kama majoka
na mbwa.
(3) majini ambao huishi sehemu moja na kuhama
hama.
MAKUNDI YA MAJINI
Kuna makundi mengi ya majini:-
(a) Majini ambao huishi na binadamu huitwa
‘Amir.
(b)Majini ambao hushambulia watoto wa kiume
huitwa Ruh (arwaah).
(c) Majini ambao wenye nia mbaya na wenye
kiburi huitwa shaytwan.
(d) Majini wenye nguvu kuliko mashetani
wanaitwa Marid.
(e) Majini wenye nguvu kuliko marid wanaitwa
Ifrit.”
JINNI JANN
1. Jann ni majini wadogo, wenye hadhi ya chini
na wasiokuwa na nguvu.
2. Umbo lao ni kama binadamu na huonekana
warefu ila macho yao huwa yanawaka waka na
kutoa mwanga wa ajabu.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete yenyewe ni ya jiwe la turqoise na katikati ya
pete hiyo ndiyo kuna nguvu za kumdhibiti jini
huyu.
Pete yenye imezungukwa na mawe manne
madogo ambayo kazi zake ni:-
(1) Jiwe la kwanza ni la kukuletea utajiri, heshima
na utukufu.
(2) jiwe la pili linakupa mvuto wa kimapenzi na
uzuri
(3) Jiwe la tatu linakuletea bahati na kukuondolea
matatizo.
(4) jiwe la nne linakupa uwezo wa kumrubuni mtu
yeyote unaye ongea nae.
JINNI DJINN
Djinn majini hawa wana urefu mara mbili zaidi ya
mwanadamu ingawa sehemu yake ya chini huwa
kama moshi na upepo
majini hawa ni wengi lakini baadhi yao hawana
nguvu, kazi yao ni kutisha watu kwa raha zao
wenyewe.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jini huyu ni ya shaba yenye
kito cha sapphire ya njano, kazi yake kubwa ni
kukuwezesha kushinda michezo kama vile kamari,
bahati nasibu na kukushauri sehemu ya kuwekeza
kibiashara.
JINNI SHAITAN
Shaitan (Jini huyu anafanana na binadamu mrefu
mwenye ngozi ya jiwe lilo suguliwa na macho
yanayong’aa ya Agate.
Wanajua aina saba au nane ya uchawi. Mara tu
Jini anapofikia hadhi ya Shaitan hukabidhiwa
binadamu.
Wao huwacha utundu wao na hutumia muda wao
mwingi kumshawishi mwanadamu kufanya
maovu. Ili kuweka mambo sawa malaika pia
hukabidhiwa mwanadamu huyo huyo.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete hii ni kifungo cha jini huyu Shaitan ambaye
ana waamuru majini wasaidizi wake 3213 wake
kwa waume ambao hutimiza matakwa ya
mkubwa wao. Jini huyu Mfalme Shaitan hukupa
furaha, mali, ushindi, ulinzi, raha ya ngono,
mapenzi ushindi wa kamari nk.
JINNI AFRIT
Afrit Minal jini ni Majini wanaojulikana kwa nguvu
zao na ujanja. Jini huyu mwenye umbo la kiume
ana ngozi nyororo macho yanayo fuka moshi na
pembe ndogo nyeusi. Hutokwa na moshi wa
mviringo kutoka mwilini mwake.
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete ya kumdhibiti jinni huyu ni ya shaba na kito
cha rangi ya blue, Pete hiyo itakusaidia katika
Michezo ya bahati nasibu, kukuletea bahati,
utajiri, mafanikio katika kazi na biashara zako
pamoja na katika masuala ya mapenzi.
JINNI MARIDA
Jini Huyu ana sura ya kufanana na Jitu kubwa
lenye nguvu, ngozi yake ya mwili ina rangi ya
bluu na kijani.
Majini haya ya Marida ni yenye nguvu na uwezo
mkubwa sana na huwa wanatumiwa kwalinda na
kuwasaidia Wafalme, Matajiri wakubwa, marais
na Viongozi wakubwa serekalini. Majini hawa
huishi kati ya miaka 2000 na 2500)
PETE YA KUMDHIBITI JINNI HUYU
Pete hii ya shaba na kito cha quartz itakusaidia
kudhibiti watu, kuheshimiwa, watu kukuogopa,
kuwa na mvuto katika jamii, kujua mambo yako
ya mbele, kinga na kukusaidia katika mambo
mengi ya kiutawala.
MAJINI WABAYA
JINNI AAMIR
Jini huyu Aamir huishi ndani ya nyumba za watu.
Jini huyu Aamir anapokuwa kwenye nyumba huwa
anaonekana katika umbo la Nyoka Mweusi.
JINNI ROOH (SPIRITS)
Majini hawa ni wale ambao huwa wanashirikiana
na watoto mara nyingi.
Kama ukimsikia mtoto akisema kuwa ameona
kitu au anacheza au kucheka peke yake basi ujue
kuwa ametokewa na hawa Majini wa jamii ya
ROOH.
JINNI GHOUL – SI’LAH (JINN MAGICIANS)
Majini haya yanayoitwa Ghoul huwa wanaishi
katika Majangwa au katika visiwa ambavyo
havikaliwi na watu.
Majini hawa huwatokea watu katika maumbo
mbalimbali mfano umbo la Paka au kama
utamuona Paka mwenye ulimi uliokatika kama
uma
JINNI AL-NASNAS – SHIQQ
Jini huyu ni mwenye umbo la kipekee kwani huwa
anatokea kama Binadamu ambae amegawanyika
katika sehemu mbili.
Watu ambao hukutana na Jini huyu huwa
hawaishi kwani Jini huyu huwashambulia mpaka
kupoteza maisha.
JINNI QAREEN
Jini huyu ndie huongozana na binadamu toka
tumboni mwa mama yake mpaka mtu
anapozaliwa na anakua nae katika maisha yake
yote ya hapa duniani mpaka atakapofariki dunia.

TOFAUTI YA JINI MAHABA NA JINI WA KICHWAWI UKIOTA UNFANYA


MAPRNZI

KUNA NDOTO ZA KUINGILIWA NA WACHAWI KIMWILI

JINI MAHABA NA

NDOTO ZA KAWAIDA

JE UTOFAUTI WAKE NI UPI UTOFAUTI WA HIZI NDOTO NI MDOGO SANA


LAKINI YATAKIA UJUZI KU UTAMBUA KWANZA MTU AMBAE ALIE KUA NA
JINI MAHABA HASWA JINI JINI SIO AWA WA KUTUMIA HAO SIO JINI MAHABA
JAPO WANA SIFA ZA KIJINI MAHABA KUTOKANA NA WALIVYO TUMWA
DALILI ZA JINI MAHABA WA MAHABA KWANZA UMUWEKA MTU KATIKA
MAZINGIRA SAFI MTU UYO ATAKUA ANAPENDA USAFI KULIKO MAELEZO PI
MTU MWENYE JINI MAHABA UYO ATAKUA NI MTU MWENYE KUKOSA HISIA
KWA BINADAM MWENZAKE NA ALALAPO UOTA ANAFANYA MAPENZI PAKA
KUFIKIA MWISHO AU KARIBIA NA KILELE CHA MAHABA ILA ASHITUKAPO
USINGIZINI UJICHUNGUZA UJIKUTA UPO SAFI KABISA WALA HUNA ATA
UCHAFU WA MANII UJUE NI JINI MAHABA NA JINI UYO KAMA UKAWEZA
FATA MASHART YAKE BASI UTSKUA WAONANA NAE LIVE KWA KILA KITU
NA KUKUPA MSAADA WA SHIDA YAKO

NDOTO NYINGINE ZA KICHAWI NI ZILE AMBAZO MTU ANAOTA


ANAFANYA MAPENZI NA NDUGU JAMAA ZAKE AU WATU MBALI MBALI NA
AKAJIKUTA ASUBUI AMECHAFUKA KWA KUJIKUTA NA MANII SEHEM ZA SIRI
UJUE NI NDOTO ZA KICHAWI AU VIJINI VILIVYO TUMWA KWAKO MARA
NYINGI MTU WA NAMNA HIYO UPATWA NA NUKSI MIKOSI MARADHI YA
UZAZI NA UGUM WA MAISHA KWANI UNAPO JIKUTA NA MANII NI NUKSI
KUBWA KWAKO

KAMA HAUNA KAWAIDA YA KUOTA KISHA SIKU IKATOKEA HASWA MIDA


YA ALFAJIR AU KAMA UMEKAA MUDA MREFU BILA KUJAMIANA UKAOTA
HIVYO JUA NI YAKAWAIDA NDUGU

KUJUA UWIANO KATI YA JINI SHARIFU ROHANI NA SULTANI

LEO TUANGALIE UWIANO KATI YA JINI SHARIFU ROHANI NA SULTANI


MARA NYINGI WATU WENYE JINI AITWAE SULTANI HUWA AKOSI MAJINI
KAMA ROHANI AU SHARI MAJINI HAWA NI WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI
YA UKOO WAKE NA KATI YA MAJINI HAWA WAO UFANYA KAZI ZA VISOMO
HASWA KITABU KWA MTU ALIO KUA NAO NA MAJINI HAWA UMITA JINI
AITWAYE SUBIANI KWA KUWEKA ULINZI JUU YA UTAWALA WAO NA
SUBIANI UWAPA VIJANA WAKE KAZI ZA ULINZI KATIKA RASI IZO MAKATA
BEDUI KISIMBA JABARI N,K YEYE AKIWA KAMA NI MKUU WAO JAPO NAE
UWA NA MKUU TENA HODARI KATIKA ULINZI NA KUANGAMIZA ILA JINI
HUYU UWA MBALI NA MWANA ADAM KWA SABABU MTU ALIE NA JINI HUYU
UWA NA MIKOSI NA MISUKO SUKO KATIKA MAISHA YAKE LAKINI KATIKA
KUFANYIWA UWADUI KWA MTU WAKE NI NGUM SANA JINI HUYU UITWA
AFIRIT TURUDI KWA SULTANI SULTANI NI JINI MWENYE MAMLAKA YA
UONGOZI WA MILKI ZA KIJINI AU NI JINI MZEE NA JINI HUYU APANDAPO
KWA MTU SI MUONGEAJI NA NI KAMA NI BABU UJA KWA KUJIVUTA HASWA
ILA JINI HUYU NI JINI MWENYE NGUVU YA KUSAMBARATISHA MAJINI
WENGINE KUTOKANA NA NGUVU ALIZO NAZO JINI HUYU UISHI KWENYE
MIAMBA MIKUBWA HASWA ANGANI AU BAHARINI UWA NA NGUVU YA
KIMBUNGA AJAPO KWA HASIRA NA WATU WENYE JINI HUYU UMUOTA MTU
MZEE MWENYE NDEVU NYEUPE ALIE KWENYE KITI EIDHA CHINI YA MTI NA
KWENYE NYUMBA AKIWA ANASOMA KITABU AU AKIKWAMBIA UTAFUTE
KITABU AU KUKUPA FIMBO YA DHAHABU

JINNI MAIMUNA

KILA JINI WA KIKE WATU APANDAPO KWA MTU WATU UMUITA MAIMUNA
NA HALI ILIO KWA SASA KWA WALE WENYE MAJINI MTU AKIJUA ANAJINI
AITWAE SHARIFU SUBIANI JABARI MAKATA SIJUI ROHANI WENGI UJIONA
KAMA WANA MAJINI WAKUBWA WENGI WA MAJINI UTUMIA MAJINA HAYA
KWA KIGEZO CHA KUJIFANYA WEMA NA WATUKUFU KWA WATU HALI YA
KUA NI WAOVU WA UONGO JARIBU KUMUULIZA JINI WAKO JINA LAKE
HALISI ANAITWA NANI MFANO KAMA NI SHARIFU ATAKWAMBIA AITWA
JUMA KAMA NI ROHANI ATAKWAMBIA AITWA ASUMANI KAMA NI
MAIMUNA ATAKWAMBIA AITWA AITWA PILI NA WAKIKWAMBIA NDIO
MAJINA YAO HAYO WAULIZE JE NINI TAFSIRI YA MAJINA YAO NA KAZI ZAO
JIBU WATALO KUPA NIJULISHE KWA KUPITIA NAMBA YANGU 0717375080
ILA ZAIDI WATAKWAMBIA TUTA KWAMBIA SIKU NYINGINE APO KWAKO
UJUE UNAFANYIWA ZULMA

JINI MWARABU MWENYE RANGI YA WEUSI RUBAMBA

MARA NYINGI MAJINI WENYE ASILI YA KIARABU UWA KATIKA ASILI YA


WEUPE ILA LEO NI TOFAUTI NA JINI SHARIFU JINI HUYU NI JINI MWENYE
UPOLE NA UTULIVU KWA MANA ADAM VAZI LAKE KUBWA NI JOHO JEUSI NA
KIREMBA CHEUPE NI JINI MWENYE MUONEKANO AWAPO KATIKA UMBILE
LA KIBINA ADAM UWA NA NGOZI NYEUSI KAMA MU AFRIKA NA UMBO LAKE
UPENDA KUJIGEUZA NJIWA KUKU AU BATA MARA NYINGI MWENYE JINI
HUYU UOTA ANAPAA AU ANA OGELEA KATIKA NDOTO

JINI HATARI KULIKO JINI YOYOTE HUYU NI SUBIANI

SUBIANI MARA NYINGI UPENDA KUA KATIKA MAVAZI MEUSI ILA KATIKA
UMBILE LA UANADAM UA NA NURU YA MOTO WA BLUE HIVYO UPELEKEA
KUA HATARI KATIKA MWILI WA MWANA ADAM HIVYO KAMA ATAKUA NA
HALI HII BLNDANI YA MWILI WA MWANA ADAM HIVYO UPELEKEA
MGONJWA KUKAUKA DAM NA MAJI KILA MUDA AU KILA SIKU
AONGEZEWAPO MAJI YEYE UKAUSHA NA KUPELEKEA MTU KUFA
YAWEZEKANA ASIWE AMENYONYA DAM ILA KUTOKANA KUA KATIKA
UMBILE LAKE HIVYO USABABISHA MTU KUFA NA PIA VIFO VINAVYO TOKEA
GHAFLA MTU KAFA BILA KUTOKWA NA DAM AU CHOCHOTE NDANI YA
MWILI WAKE MAJINI HAWA UCHANGIA HIZI NDIZO SIFA KUU ZA JINI HUYU
TUZIDI FATILIA ZAIDI ILI TUPATE KUWATAMBUA MAJINI NA TABIA ZAO

Leo tuangalie kuhusu jini cheketu

Leo tuangalie kuhusu jini cheketu jini wawanga jini huyu anatupa tabu saana
jini huyu niwakichawi ambae hutumiwa nawanga kwania yakukupa mambo
yako yawemagumu nakwaajili wakukutoa usiku iliwakuwangishe

Utajuwaje unajini wawanga jini cheketu?

Dalili zajini cheketu nihizi hapa

(1)Ukiona kila uamkapo mwili unauma bila sababu

(2)kila ukaapo unahisi unafatwa nakimvuli cha mtu

(3)Kila ufikapo usiku huwa unalla kupita kiasi

(4)Mwili kuchoka saana bila kufanya kazi yoyote

(5)kifuwa kubana

(6 )mbavu kuuma
Hizo nibaadhi ya dalili kuwa najini wawanga zipo nyingi saana

Pia tuzungumzie chale zawanga


Ukiwa umepigwa chalezawanga 》》

(1)Mambo yako huwa magumu

(2)Nakwawale wenye macho huona unachale naalie kuchanja humjui

(2)kila ufikapo mda a saa7/8huwamka

(3)Hapo juwa kama wanga wamekupiga chale ambazo huwa nimuuli kokote
unapo kwenda utajulikana mwanga

Njia yakufuta chale kwawale watabibu


Nihizi hapa
( 1 ) Chukua kijiti chawahenga
(2)Chukua fagio lilo tupwa

(2)Chukua sembe umeme

(3)Chukua sembe mangube

( 4)usila wamti ulokufa wenyewe

(5)usila wamti ulopigwa naladi

(6)sembe Makata

Mfute kwanzia pajilauso


Hato tolewa na wanga na kama unatunguli yamachawi mpe aoge naapake
usiku siku7

Kujikinga najini cheketu

Kama u najuwa kusoma soma sana qur_an nyakati zausiku

Kama hujui cha kusoma soma sula hizi

Soma surat i(1)khiras 7

(2)Surat nnasi7

(3)surat faraki 7

(4)ayat kur siyu 7 ilauwanze nasurat fatiha

KWA WALE WENYE MIZIM YA NYOKA AU ANATAKA KUJUA KAMA


ANAZIM WA NYOKA NA KUPATA MALI YA MZIM HUO IWE PETE YA MKIA
WAKE AU JIWE LA ALMASI

CHUKUA KARATASI JEUPE TUPU CHORA KWA PENI NYEUSI ZIWE MBILI MTI
NA NYOKA PEMBENI YAKE KISHA PASUA KIMTI CHENYE UREFU WA
KARATASI KATI KATI KISHA IPACHIKE ISIMAMISHE UKUTANI NA YAPILI
ILAZE CHINI JUU YAKE WEKA UNGA IWE KICHUGUU CHOMEKA UDI NA YA
PILI WEKA YAI WASHA UDI KISHA PIGA MLUZI MARA TATU LALA ATAKUJA
NYOKA NA KULA LILE YAI JAPO NI KWA NDOTO KISHA ATAKUPA MAELEZO
AMBAYO ATA KUAMBIA NJIA YA KUKUPA MALI ALIO NAYO

JINSI YA KUJIKINGA NA JINI MAHABA AU KUMHANISI KABISA

NJIA HII NI MUJARABU KWA WALE WENYE MAJINI MAHABA NI TOFAUTI NA


MAJINI WA KUTUMIWA KWANI WENGI WAO WENYE MAJINI MAHABA KWA
SASA NI WAKUTUMWA HIVYO TUNAWEZA KUSEMA NI MAJINI WABAYA WA
KUJA KUVURUGA MAMBO YAKO BASI DAWA HII NI KWA WALE MAJINI
WALIO KUJA BILA KUTWA NA WAKAWA NA KUINGILIA WAKATI WA USIKU
AU UKIMIWA MACHO

DAWA
CHUKUA MAFUTA YA ZAITUNI UCHANGANYE NA HALTITI NA KARAFUU
MAITI KIPIMO CHUKUA OLIVE OIL ML 100 CHUKUA HALTITI KIJIKO KIMOJA
CHA CHAKULIA CHAKULA NA UCHUKUE KARAFUU MAITI SLESS MBILI
ZIVUNGUE KISHA CHANGANYA PAMOJA MUDA WA KULALA KUA UNAJIPAKA
KAMA NI MWANAMKE WEKA KWA BIBI KAMA NI MWANAUME WEKA
KWENYE MSUMARI AKIKISHA WOTE UWE NA MAFUTA DUM PAKA TAPO
KWISHA KISHA LETA MAJIBU

DAWA YA KUFUKUZA JINI MAIT,MAHEMBE,JINI MAHABA,NK


DAWAHIZI HUTUMIKA KUFUKUZA
MAJINI AINA ZOTE HASA MAJINI MAITI
NA MAHEMBE NA JINI MAHABA
MAANA HAWA NDIO MAJINI
WANAOTIKISA ULIMWENGU NA
WANACHANGIA KURUDISHA
MAENDELEO YA WATU NA KUVUNJA
NDOA ZA WATU.
tafuta dawa zifuatazo zitakusaidia kufukuza majinni hawa naam8
Majani ya mbaazi.
Majani ya mkaratusi.
Majani ya tumbaku.
Majani ya mkuyu.
Majani ya mzambalau.
Majani ya matula tula jinalingine mtunguja.
Samaki aina ya shilonge.
Majani ya makaburini ya konazote yaani {majani ya mbono}
Unga wa vitunguu swaum.
. Mti ulio angushwa na upepo
mizizi iliyo tazama juu.
. Mvuje.
. Hal titi.
. Miat saaila.
. Karafuu maiti.
matumizi ;
sagadawahizi pamoja na uweke katika
chupasafi au katika kopo la plastiki
kunywa kwenye uji 1 mara 3 kwa siku
mpaka siku7 au kama tatizolako ni la
mda mrefu tumia kwa siku 14 au zaidi.
Pia kujifukiza ni asubuhi na jioni.
Na kuoga ni asubuhi na jioni pia
unapotaka kulala unapaka utosini.
Hakika kama ni jinni anae kusumbua
atatoka harakasana hivyo baada ya kutoka weka kinga ya mwili ili usije
kupatwa tena na matatizo ya mashetwani
JINSI YA KUMUANGAMIZA JINI YOYOTE MKOROFI

CHUKUA MISHUMAA MITATU MWEKUNDU MWEUSI NA NJANO KISHA


IVUNJE VUNJE IVUNJE VUNJE UTOE KAMBA ZAKE UZISOKOTE PAMOJA
KISHA UCHUKUE MAFUTA AINA YOYOTE ILA YAWE AINA TATU YAWE
YANAUWEZO YA KUMZURU JINI ILA MISKI NYEUPE ISIKOSE KATI YA
MAFUTA HAYO NA UCHANGANYE NA DAWA IITWAYO MUANGAMIZI KIDOGO
UUNDE MSHUMAA MMOJA KWA KUPIA HIVI NIVITAJAVYO KISHA UWE
UNAMFUNIKA MTU KWA SHUKU UKU UKIMUWEKEA MSHUMAA

JE UTAJUAJE JINSI YA KUZITUMIA DAWA ULIZO OTESHWA NA MAJINI


WAKO WATU WENGI AMBAO UONESHWA DAWA BILA NJIA YA MATUMIZI
YAKE IYO ATA WAGANGA WENGI HUWA KATIKA MFUMO HUO ILA BAADHI
YA WASIO KUA WAGANGA NDIO UPATA TABU NA KUJIULIZA HII SIO
SUM ,MBONA AWAKUNAMBIA JINSI YA KUITUMIA MBONA AWAKUNAMBIA
JINSI YA KUITENGENEZA ILA KINACHO TAKIWA KUNAPO KUCHA NENDA
PORINI KAITAFUTE KAMA UNAIJUA BASI UTAICHUMA NA KURUDI NAYO
NYUMBANI KAMA HUIJUI ILA ULIONESHWA NA UKAIONA KISHA PANAPO
KUCHA WAWEZA KWENDA PORINI UKAIONA AU USIIONE SIKU YOYOTE
WAWEZA IYONA SASA UTAPO IPATE NINI UFANYE ICHUKUE NA UIWEKE
CHINI YA MTO WAKATI WA KULALA USIKU WATAKUJA NA KUKUELEKEZA
JINSI YA KUTUMIA NA MATENGENEZO YAKO KAMA KWELI NI MAJINI
YANAYO TAKA KUKUSAIDIA KATIKA SHIDA ZAKO

DAWA KU PUNGUA NGUVU JE UTA JUAJE

AWAJUE KAMA DAWA HII INA NGUVU AU ISHA PUNGUA KWA UFIPI KAMA
DAWA HAIJA CHUMWA KWA MASHART AU KUEKSPAYA KWA KUKAA MUDA
MREFU HIVYO USABABISHA DAWA KU PUNGUA NGUVU JE UTA JUAJE KAMA
DAWA UNAYO TAKA KUTUMIA INA NGUVU YA KUFANYA KAZI AU APANA
UNAPO NUNUA KAMA NI YA UNGA YA KUJI PAKA KUOGA AU KUJIFUSHA
KAMA NI YA MZIZI SHINA AU MAJANI UKA ONA IPO KATIKA HALI YA
MADONGE MADONGE KAMA MABUJA YA UGALI JUA HAIFAI NA KAMA NI YA
KUOGA UNAPO ITIA NDANI YA MAJI YATAKIWA DAWA HIYO ISAMBAE
NDANI YA MAJI NA UKI ONA IME JIKUSAJA JUA HAINA NGUVU UKI OGA
SAWA USIPO OGA SAWA JUA AIWEZI FANYA KAZI HIVYO

DAWA YA KUMUONA MCHAWI LIVE

kumuona mchawi live ..unacho takiwa uchukue pangaa ya mdizi na pangaa ya


mkuyu na pangaa ya mtopetope kisha utaponda ayo majani tofauti tofauti
kisha utayaanika ndani kisha utamchukua na kimulimuli mmulika
ucku .utachukua ungawake utachanganya na zile unga za pangaa apo ndipo
utachanjia kwa utalatibu wake ukifanya hivyo mchawi au wachawi utawaona
KILA wapitapo milele na ukitaka kwa malamoja 2 uwaone co milele bac
usichanjie ila nawa usoni na miguu..
KUMJUA ALIEKUFANJIA UCHAWI

Bismillah rahman rahimu,ndugu zangu msumbukao na ndoto mbaya kisha


hukumbuki kitu kwa wanaoota wanaingiliwa kimwili na kufanyiwa uchawi
tafuta vitu hv
Mchanga wa njia panda tatu tofauti
Kitambaa cheupe robo
Na kamba ya mkonge ya kuokota
Chukua mchanga kwa alama ya kujua upi wa kwanza upi wa mwisho kisha
kata kitambaa vipande vitatu kila kipande weka fungu la mchanga huo kisha
na hy kamba ikate mara tatu kila kipand Kila kpande funga mafundo matatu
kisha tafuta udi ama ubani zungushia kamba na vitambaa vyenye mchanga
ukitia nia yako alafu weka katikati uvungu wa kitanda kisha lala inshaallah
utamjua anaekufanyia uchawi na utakumbuka ndoto zako na ndoto mbaya
zitakwisha

KUMFUNGUA JINI ALIEKUWA HASEMI

UMEFUNGWA MAJINI AU UNAJINI ULILO TUMIWA HALIONGEI WATA


LIONGEE UJUE NANI KAMTUMA NA WAPI LILILO TOKA

DAWA

CHUKUA DAWA IITWAYO UFUNGUO KISHA CHUKUA KUFURI MPYA NA


UIWEKE NDANI YA SUFURIA LENYE MAJI KIASI ATAYO KUNYWA SIKU 7 YA 8
MUITE JINI NA UMFUNGUE MAJI UCHEMSHAYO UTAKUA WAWEKA DAWA
ASUBUI NA JION

DAWA YA UCHAWI NDANI YA TUMBO

JE UNASUMBULIWA NA UCHAWI NDANI YA TUMBO KUOTA UMELISHWA


VITU VISIVYO ELEWEKA AU UNAOTAGA NDOTO ZA KULA KULA HOVYO KILA
KUKICHA ULALAPO

DAWA
BASI CHUKUA MTI WA MUHARAKA NA UCHOME UWE MKAA NA UUSAGE
UPATE USEMBE KISHA UCHANGANYE NA ASALI UWE UNA KULA KIJIKO
KIMOJA KUTWA MARA MBILI ASUBUI NA JIONI NDANI YA SIKU 3 PAKA 7
DAWA kuuwa sumu ya kichawi inayo fanya miguu kuuma kuwaka moto
kupasua nk.

unatakiwa uchukue dawa inaitwa mangube na Unga wamzizi wa mzzma na


pangunati kisha utaigawa Mala mbili nyengine utachanjia miguu nyengine
utachanganya na mafuta ya taa unajichua

DAWA YA KUZUIA NDOTO MBAYA ZA KISHETAN NA KUWEWESEKA

.CHUKUA NDIMU NA PUNJE YA KITUNGUUSWAUM CHOMA KWA SINDANO


YA KUSHONEA VYOYE KWA PAMOJA KISHA FUNGA NA KITAMBAA CHEUSI
WEKA KARIBU NA MTO WA KULALIA UWE NAYO USIKU.ALLAH ATAONDOA
KADHIA HIYO INSHALLAH

DAWA YA WASI WASI

Kama mtu haishiwi na was was kila anachotaka kufanya anakuwa na wonga
wakat mwingine hata jambo lakusafir aweza akhirisha safar nk km unatatizo
hili tumia dawa hii chukuwa

MISKI YEUSI NA MAJI YA ZAMZAM HALISI NA UBANI MAKKAH HALISI SAGA


VIZUR UBANI KISHA CHANGANYA DAWA ZOTE PAMOJA,KISHA JIPAKE 1X3
MWA UWEZO WA ALLAH UTAPONA

KUUMWA NA KICHWA

ANAWEZA TUMIA NJIA HII ILA NI SHIRKI MANA MTUME AU DINI


HAIJAFUNDISHA TIBA YA NAMNA HII

CHUKUA KIFUU CHA NAZI WEKA YAI LAKO LA KUKU WA KIENYEJI NDIO
BORA HASWA KATIKA TIBA KISHA WEKA KICHWANI NA UFUNGE NA NGUO
YA AINA YOYOTE LISIJE PASUKA KAA NALO MUDA WA DAKIKA KUMI PAKA
ISHIRINI KICHWA KITAKWISHA KABISA ILA TIBA HII NI KWA WATU WANAO
UMWA KICHWA CHA MUDA KIREFU ASANTENI
WALIO NYOLEWA NA WACHAWI NYAKATI ZA USIKU NA NYWELE ZAO
AZIJAOTA

DAWA

CHUKUA MAFUTA YA NYONYO MSAKA UCHAWI NA KIINI CHA YAI LA MBUNI


KISHA CHANGANYA PAMOJA HAKIKISHA VIWE UNGA KISHA NYOA KICHWA
CHAKO VIZURI KISHA CHUKUA YAI LA KUKU WA KIENYEJI UWE UNATUMIA
KUJIPAKA NI KWA MARA MOJA TU INSHA ALLAH ZITAOTA

KUNYOLEWA NYWELE NA WACHA NA KUPATA MATALIZO YA AKILI

TIBA NA DAWA ACHUKUE NYWELE ZAKE MTU UYO ALIO ROGWA AWE
ANAJIFUSHA KWA SIKU 14 PAKA 21 UKU AKINYWA KOMBE LA FAHAM
NDANI YA SIKU IZO IZO

DAWA YA MTOTO ALIE CHELEWA KUTEMBEA

CHUKUA MAVI YA PANYA YASAGE NA YAWE UNGA KISHA MCHANJE MTOTO


CHALE MBILI MBILI KILA SEHEM YA VIUNGONISHIO VYA MIGUU MWISHO
KATIKA MAGOTI KWA UWEZO WA MUNGU ATATEMBEA

NJIA YA KUMUHAMISHA HASIDI NA WABAYA WAKO.


USIFANYE ISIPOKUA KWA HAKI

CHUKUA MTI UNAO ITWA UWEHU WEHU MGOMBANISHI MPEPERUSHI


MSAULISHI MNYAMANZISHI ZOTE ZIWE UNGA MWAGA KAZINI APITAPO
KWA MANUIZI NA NYINGINE UWE UNACHOMA NYUMBANI KWA MANUIZI
NDANI YA SIKU SABA KWA KUPITIA MOTO WA MKAA KAMA UTANUI ASIWE
MUONGEAJI SAWA KAMA NI KUHAMA ATA HAMA MWENYEWE

Utasa unaosababishwa na jini dalili zake.


1.kuhisi dhiki kifuani hasa baada ya alasiri na pengine huendelea hadi katikati
ya usiku
2.kutokuwepo kiakili na usahaulifu
3.wasiwasi na hamaniko usingizini
4.usingizini mwake huwa akiona ndoto za kutisha.
~kuna Utasa wa kimaumbile hivyo ndivyo alivyoumbwa na Allah awe tasa
~pili Utasa unaosababishwa na jini aliyestakiri katika kizazi cha mwanamke,
kwa namna ya kuharibu mayai, na hapo kuzaa kusiwezekane au atamwacha
mpaka mimba ikamilike lakini baada ya miezi kadhaa shetani huukanyanga
mshipa katika kizazi cha mwanamke damu ikateremka na ikasababisha
kuavya (kuharibu mimba).
Natujue kuwa Utasa si kwa wanawake pekee hata wanaume pia

DAWA YA KUZUIYA KUTOKA NJE YA NDOA

iwe mume ama mke yani anashindwa kutulia na ww kama mke au mume na
anakwenda kukutafutia malazi nje ya ndoa sasa utamfunga mumeo au mkeo
kwa

DAWA
mti unao itwa mgalagalapaka pamoja na mtopetope poli pamoja na duwa ya
kanji laalishi kuna maneno mule unayachukua. ukimtengenezea mume au mke
ato toka nnje mpaka ww ufe au muachane sasa dawa

JINSI YA KUMPATA MPENZI ASIE KUTAKA HATA KUKUONA BASI


UKIFANYA HIVI ATAKUA CHINI YAKO NA ATAKUKUBALIA CHOCHOTE
UTAKACHO HITAJI
ANDAA VITU VIFUATAVO
1.okota mchanga alio ukanyaga kwa mguu wake kama anaetakiwa ni
mwanamke basi uokotwemchanga alio ukanyagia kwa mguu wa kushoto
na ikiwa anaetakiwa ni mwanaume basi uokotwe mchanga alioukanyagia kwa
mguu wa kulia
2.chukua na mchanga wa mguu wako wewe muhusika wa mguu wakulia 
nenda kachimbe mzizi wa muhina siku ya jumatano samoja asubuhi huku
ukiwa unausemesha kwa nia au makusudio yako ya kuja kuuchukua ili
ukakufanyie kazi fulani wakti unauchimba unatakiwa uumwagie mchele
mtama na bisi kidogo tu 
ukishamaliza kuuseesha ung'owe ule mzizi ulio elekea magharibi au upande
anakoishi yule muhusika

3.chkua na kitambaa cheupe kipya kilicho kua hakijatumika hata kidogo kiwe
saizi ya kufungia vile vitu vyako tu ulivo viandaa mwanzo
HATUA ZINAZOFUATA BAAD MAANDALIZI
chukua kile kitambaa ulicho kiandaa kwaajili ilo kitandike chini 
kisha chukua ule mchanga wa mguu wa yule muhusika utie katika kitambaa
hicho hatua ya tatu chukua na ule mchanga wa mguu wako uchanganye pia
ktk kitambaa 
na hatua ya nne chukua ule mzizi ulio uchimba wa muhina uchanganye
pamoja 
ila kumbuka kila unacho kitia pale ukitie kwa nia na kwa kukisemeza jinsi ya
kunuia nitaelezea mwisho 
baada ya hapo kifunge kile kitambaa chenye mchangano wa vile vitu ukifunge
kwa uzi wa hariri mweupe au mwekundu usiwe mweusi
HAYA YOTE YAFANIKE SIKU YA JUMA TANO KATI YA SAA 1 AU 8 MCHN
baada ya hapo subiri jumatano nyengine ni vizuri ikiwa ya mwanzo wa mwezi
saamoja asubuhi kamili ifukize kwa 
ubani mashtaka
ubani mweupe 
udi na uvumba
baada ya hapo nenda kaizike kati kati ya jiko ifukie atakua chini yako na
tatakupenda sana
manuizi yapale pindi napochanganya useme hivi 
unapochukua ile nyayo yake usemi hivi 
wewe sio mchanga bali ni fulani mzaliwa na fulani
unapo changanya ule muhina useme hivi 
wewe ndio muhimiza mpanzi ya fulani bint fula kwangu mimi fulani
na unapofunga kile kitambaa cheupe sema ivi 
wewe sio kitambaa bali ni naufunga moyo wa fulani bint fulani
yaani hilineno fulani kwako wewe unatakiwa kutaja jina
JINSI YA KUMPATA MPENZI ASIE KUTAKA HATA KUKUONA BASI
UKIFANYA HIVI ATAKUA CHINI YAKO
dawa ya mapenzi kwa mwanamke au mwanaume anaekusumbua chukua jani
la mti wa mkungu jani hili liwe la kwanza juu katika tawi la ncha ya mti huo.
jani hilo huchumwa siku ya ijumaa kabla ya watu kusali au usiku wa siku ya
jumanne
Piga hodi mara tatu katika mti huo hatua chache kabla haujafika ukiwa
unaurushia unga wa dona ukikosa dona urushie sembe, utasema hivi -hood
wakazi wa mti huu mimi nimekuja kwenu kuchukua dawa itakayonisaidia
katika shida yangu fulani (itaje) wala sikuja kwenu kuchukua sumu ya
kumdhuru mtu
zunguka mti huo mara moja kulia kwenda kushoto. Panda na uchume jani
shuka nalo bila kuliangusha chini ukiliangusha jani hili hautoweza kufanikiwa
jambo lako
likaushe juani kisha litwange na liwe unga laini. changanya unga huo na
chumvi ya mawe kisha utakua unachoma mchanganyiko huo katika kitezo hali
ya kua unajifukiza ukiwa mtupu (uchi)
Siku ya kwanza kuchoma iwe ni siku ya ijumaa baada ya watu kumaliza kusali
au usiku wa siku ya jumanne utaendelea kwa muda wa waku 14 mpaka 21.
utakua unatia nia ya kumwita kimapenzi unaemkusudia.
Hakika atakujilia huyo ulie mkusudia hali ya kua ni mwenye bahaba makubwa
kwako, mwambie jambo lako lolote atakubali na hato kupinga wewe kwa
lolote.

UKITAKA KUSHINDA KESI YOYOTE HATA KAMA UMEUA BASI HUTO


HUKUMIWA MPAKA MWISHO WA DUNIA
CHAKUFANYA :
siku ya jumaapili saa kumi na moja 11 jioni chukua mchele unaotosha
kiganjani kisha nenda mpaka ulipo mtiunao itwa mtunguja nadhani wengi
wetu tunaujua kwani umefanana na mtungule au nyanya ila chagua ule
mchanga ambao majani yake bado hayajaanza kuota miba 
ukisha fika hapo chini ya mtunguja elekea magharibi [linapo zama jua] kisha
uanze kunuia hivi {wewe ndio mtungua haja nimekuja kukuchukua
ukanitimizie haja yangu BIBARAKATI AGARES BIBARAKATI DALWUUSH
BIBARAKATIL TWAUGHUSH 
rudia mara saba x7 huku ukiuzungushia mchele kwa staili ya kunyunyiza 
baada ya hapo ukimaliza chuma ajani yake kumi na nne 14 
saba yafikiche maji yake unawe usoni 
na yale saba mengine yalio baki chukua nepi ile wanayofungiwa watoto
wadogo uyafunge yale majani saba yalio baki na wakati unayafumga
unatakiwa kutamka hivi 
{MIMI FULANI BINTI FULAN{utataja jina lako na jina la mama yako mzazi }
HAPA SIFUNGI DAWA BALI NAMFUNGA FULANI BINTI FULANI [utataja jina la
yule anae kushtaki pamoja na wote wanaoifuafilia kesi hata hakim pia kama
unamjua mtaje}ASIWE NA KAULI YOYOTE JUU YA KESI HII ASIWEZE
KUTAMKA WALA KUSIKILIZWA WALA KUSAIDIWA JUU YA HILI ILI
CHOCHOTE NTAKACHO KISEMA MIMI KIWE NDO NDICHO NA KISIPINGWE
KWA BARAKA ZA MASHARIFU NA MASULTWANI NA MALAIKA WOTE]rudia
mara saba pia 
ukisha maliza hayo na kuifunga ile nepi tia mkobani au mfukoni upande wa
kulia wende nayo siku ya kesi 
PIA DAWA HII UNA WEZA KUIFANYA SIKU YA JUMATANO NA ALHAMIS
naam8 asanteni sana pia karibun sana kwa nyote wenye matatizo 
wasiliana nasi kwa 
HIVI USHAKAA UKAHISI MWILI WAKO KAMA UNANGUVU FLANI ZA
NDANI KWA NDANI?KUJIHISI KAMA UNAUWEZO FLANI WA KUFANYA
JAMBO BT HAUJUI UTAANZAJE?SOMA HAPA CHINI KWA MAKINI THEN
UTAONA MABADILIKO MAKUBWA

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will
Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika
kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila
kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!. 

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi,


kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri,
wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia
nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!. 

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote


utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze
kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza
kutenda miujiza!. 
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za
"Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda
maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji,
wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze
kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile
jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from
within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have
the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody".
Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria,
Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu,
Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni,
Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua
milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to
act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!" 

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia


kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga,
"wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya
sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini
wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!. 

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo


nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua,
ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make
things happen!".
This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people.
These are also sometimes known as extrasensory perceptionor a sixth sense.
Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an
ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
 Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of

an object.[1]
 Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people,

places, and things.[2]


 Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
[3]

 Astral projection or mental projection - An out-of-body


experience in which an "astral body" becomes separate from the
physical body.[4]
 Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same
time.[5]
 Clairaudience - receiving messages in thought form from another
frequency or realm. It is considered a form of channeling.
 Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human
senses.[2]
 Death-warning - A vision of a living person prior to his or her
death.[6]
 Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.[7]
 Dowsing - Ability to locate objects.[8]
 Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.[9]
 Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious
devotion.[10]
 Mediumship or channeling – Communicating with spirits.[11]
 Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of
events before they happen.
 Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision
that heals immediately afterwards.[12]
 Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by
the power of thought.
 Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a
person or object.
 Pyrokinesis - Manipulation of fire.
 Remote viewing - Gathering of information at a distance.
 Retrocognition - Perception of past events.
 Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the
future.
 Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
 Transvection - Bodily levitation or flying.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila


Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers, 
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo
nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!. 

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili
maisha yako!.

You might also like