Subira Itakutuza - Tenziv Promo

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 5

MASHAIRI AINA YA TENZI

SUBIRA ITAKUTUZA

WILFRED.E.MWERO
• MCHORO KWENYE JARADA: Na Kesha Pandakilima (Panda Art Tz)
• SIMU: 0714306676 / BARUA PEPE: keshakilima@gmail.com
• NB: Huruhusiwi kunakili, kutafsiri au kuchapisha beti/shairi lolote la
kitabu hiki bila idhini kutoka kwa mtunzi.

ISBN 978-9976-5245-1-2
YALIYOMO

UTANGULIZI
1. PENZI HUENZI KARIBU
2. KIMWILI WATAFAANA
3. FUNGATE LITAWAJIA
4. AKIKUPENDA ITIKA SUBIRA ITAKUTUZA 1
5. URAFIKI KARIDHIA
6. DOA HUTALIJUTIA
7. UTAMJUA MZURI
8. HUTATENDWA KAMA BUCHA
9. FAHAMU UNAPOKWENDA
10. MOYONI MWAKO ATOKE
11. NDOANI HUYO HANG’AI SUBIRA ITAKUTUZA 2
12. MWACHE ASIYERIDHIA
13. UTALIWAZWA NDOANI
14. MALI SIYO AFADHALI
15. EPUKA KUADHIBIWA
16. NDOA HAFUNGI MGANDO
17. UCHUMBA HATAUPAMBA
18. UCHUMBA SI MASOMONI SUBIRA ITAKUTUZA 3
19. LIUNDENI PENZI GHALI
20.MCHUMBIE MUOANE
21.PASIPO MUNGU NI VITA
22.NJE NI MWIKO KUONJA
23.MIENENDO BADILISHA
24.PENZI LISIWE IGIZO SUBIRA ITAKUTUZA 4
25.SASA SOMO NI MSEMO
26.KAPERA UWE BAHATI
27.MWENZIO ANAJUTIA
28.SUBIRA ITAKUTUZA
UTANGULIZI

Wavulana wanapobalehe huanza kuvutiwa kimapenzi


wamwonapo msichana vivyo hivyo wasichana
wanapovunja ungo huanza kuvutiwa kimapenzi
wamwonapo mvulana. Wavulana na wasichana wengi
wanapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi hujikuta
wakipata matokeo hasi kama vile; msongo wa mawazo,
kushindwa kuzingatia masomo, kukubali kulaghaiwa ili
kushiriki tendo la ndoa, kupata mimba za utotoni,
kushiriki mapenzi ya jinsia moja, n.k.

SUBIRA ITAKUTUZA ni kitabu chenye mkusanyiko


wa mashairi ishirini na nane aina ya tenzi yanayoelezea
mambo ambayo vijana wanapaswa kuzingatia katika
mahusiano yao ya kimapenzi. Mashairi haya
yatawasaidia vijana kupata matokeo chanya yaliyomo
katika mapenzi baada ya kujifunza; athari za kufanya
tendo la ndoa kabla ya ndoa, jinsi ya kumtambua mwenzi
sahihi, athari za kumchagua mwenzi asiye sahihi, jinsi ya
kuishi kwenye uchumba na ndoani.

You might also like