Emanuel Mulasha-Wps Office

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

EMANUEL MULASHAN KIJUGO

BUKOBA KAGERA

03 SEPTEMBER 2023.

KWA BABA MZAZI WA NEEMA URASA.

SETH PENDAELI URASA

MBWEERA HAI

KILIMANJARO

Tunawasalimu katika Jina la Yesu.

YAH. UTAMBULISHO WA KIJANA WANGU KELVIN KALUMUNA EMANUEL

KUMCHUMBIA BINTI YENU NEEMA URASA.

Husika na Somo twaja hapo juu,

MIMI ni mzazi wa Kijana KELVIN KALUMUNA EMANUEL, Naomba kumtambulisha Kwenu kijana wangu
kwenu, Amemwona Binti yenu NEEMA URASA, tunaomba kibali kwenu wazazi wa binti Kijana wetu
ameona vyema kuanzisha mahusiano ya kutaka kufunga nae ndoa awe mke wake wa ndoa,

Hivyo wazazi wenzetu sisi tunaomba kibali kijana wetu afunge ndoa na binti yenu na kwa njia hiyo
Familia yenu na Familia yetu tutakuwa tumeweka patano la UNDUGU kupitia vijana wetu,

Tunaomba ushirikiano wenu ili tujenge mahusiano ya UNDUGU wa Kristo kati yetu kupitia vijana hawa,

Tunaambatanisha na bahaaha ya kishika uchumba kiasi cha Tsh 100,000/=

MUNGU Awabariki sana,

NI mimi mzazi wa Kijana KELVIN.

EMANUEL KIJUGO

...............

You might also like