Professional Documents
Culture Documents
Semina Ya Watendakazi - Sda
Semina Ya Watendakazi - Sda
Semina Ya Watendakazi - Sda
UTANGULIZI.
KIONGOZI WA KIROHO.
Kiongozi wa kiroho ni tofauti na kiongozi asiye wa kiroho kwa kuwa kiongozi wa kiroho ni
mtumishi anayewatumikia anaowaongoza wakati huyu kiongozi mwingine hutumikiwa na wale
anaowaongoza. Yesu ni mfano kamili wa kiongozi wa kiroho.
(Marko 10:45) Kwa maana Mwana wa Adamu naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa
nafsi yake iwe fidia ya wengi.
(Yohana 13:4-5) aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga
kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa
kile kitambaa alichojifunga
(Marko 10:43) Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu anayetaka kuwa mkubwa kwenu, atakuwa
mtumishi wenu. Na kwahiyo sifa kuu ya kiongozi wa kiroho ni kuwa mnyenyekevu na kuwa na
huruma.
(Luka 7:12-13) Na alipolikaribia lango la mji, hapo palikuwa na maiti anachukuliwa nje, ni mwana
pekee wa mamaye ambaye ni mjane, na watu wa mjini wengi walikuwa pamoja naye. Bwana
alipomwona alimwonea huruma, akamwambia, Usilie.
Mzee wa kanisa ili atimize vyema wajibu wake ni lazima pia aijue taasisi anayoitwa kuiongoza.
Kanisa ni mali ya Mungu aliyoinunua kwa damu ya mwanae Yesu Kristo na kuiweka chini ya
usimamizi wa Roho Mtakatifu ili itumike hapa duniani kama chombo cha wokovu kwa wanadamu
wote. (Matendo ya Mitume 20:28) Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho
Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu,
alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
Kanisa ndicho kitu cha thamani sana hapa duniani kwani kilinunuliwa kwa damu ya thamani ya
Yesu. (Matendo ya Mitume 20:28) Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho
Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake
Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. (Waefeso 5:25) Enyi waume, wapendeni wake
zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake. Ingawa shetani kwa karne
nyingi amejaribu kuliharibu kanisa hili, Yesu ameendelea kutimiza ahadi yake ya kulilinda na
nguvu za kuzimu.(Mathayo 16:18) Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu
nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mwamba unaotajwa hapa si
Petro bali ni Yesu mwenyewe. (1 Wakorintho 10:4) Wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho;
kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo. Yeye
ndiye aliyekuwa katika kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema naye katika mlima wa
Sinai, tena pamoja na baba zetu; ndiye aliyepokea maneno ya uzima atupe sisi. (Matendo ya
Mitume 7:38). Kristo ndiye kichwa cha kanisa. (Waefeso 5:23) Kwa maana mume ni kichwa cha
mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Mzee wa kanisa
asiruhusu watu kugeuza kanisa kuwa mahali pa kupimania ubavu, ubabe na kutambiana juu ya nani
aliye bora kuliko mwingine. Wala asiruhusu kanisa kugawika kwa misingi ya watu wenye
ushawishi au ukabila kwa kuwa si Paulo wala Kefa aliyelinunua hili kanisa. (1 Wakorintho 1:12,
13) Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi
ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo. Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo
alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Yesu alikuja duniani kuondoa ukuta uliokuwa umetugawa sisi tuliokuwa wamataifa na Wayahudi.
(Waefeso 3:6) Ya kwamba Mataifa ni warithi pamoja nasi wa urithi mmoja, na wa mwili mmoja,
na washiriki pamoja nasi wa ahadi yake iliyo katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili. Ukuta huo
aliubomoa kwa kutoa kafara ya upatanisho iliyotuwezesha sisi tuliokuwa wamataifa pamoja na
wale waliokuwa warithi wa ahadi za kimwili zilizotolewa kwa Abrahamu kuhesabiwa haki ya
kuwa warithi wa Agano Jipya. Yesu anawathamini wale walioko nje ya zizi hili kama
anavyotuthamini sisi. Yeye huwaita wale walio kwenye zizi lile ni kondoo wake. (Yohana 10:16)
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu
wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja (Wagalatia 3:27-28). Hili
hututangazia kuwa sisi tulio kanisani hatupaswi kujigawa makundi makundi ya kubaguana. Kuta
hizo Yesu alikwisha kuzivunja. (Wagalatia 3:27 – 29) Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo
mmemvaa Kristo. Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume
wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. Moja ya wajibu mkubwa
wa kanisa leo ni kuifanya hekima hii ijulikane kwa ulimwengu wote.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
changamoto zao.
17 Kuwa na mpango wa kuwatembelea wagonjwa, Hili lifanyike kwa wagonjwa walioko hospitalini,
kuwafariji waliokata tamaa, wazee, nyumbani, wazee, waliopata ajali,wenye ulemavu,
waliofanyiwa upasuaji nk.. nk…
18 Kuitisha na kusimamia mikutano ya mashauri Kila robo panapaswa pawe na halimashauri ya
ya kanisa, kwa mawasiliano na mchungaji wa kanisa, kwa mwaka ni mara nne. Ni haki ya
mtaa. washiriki kujua kinachofanyika hasa taarifa ya
uinjilisti, mhazini, karani, mashemasi, na miradi ya
kanisa.
19 Ni miongoni mwa wahubiri. Kulilisha kanisa neno la Mungu.
20 Kubeba wajibu muhimu wa utawala na Mzee ni mtawala wa kanisa, omba sana hekima ya
uongozi. kuongoza, na kuunganisha kila idara kwa ajili ya
kulijenga kanisa la Mungu
21 Kuona program zote za kanisa zinajikita katika Mzee ni muhimizaji wa utume wa kanisa ambao
utume wa kanisa. umejegwa katika injili ya milele ya ufunuo 12:6
idara zote zilenge hapo
22 Kuwa kielelezo katika mambo yote ya kanisa, Mahudhurio ya ibada za jumatano, kufungua na
ibada, uwakili, nk.. kufunga sabato, kuwahi darasa la waalimu, sabato
mchana, maombi ya uamsho na matengenezo, nk.
23 Kusimamia umoja kanisani. Kuliongoza kanisa Kuondoa dhana yoyote
inayovunja umoja wa kanisa
24 Kupanga mipango ya mwaka mzima na program zake akiwa na maofisa wenzake, na kuziwakilisha
kwenye kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka (yaani december mwanzoni)
zikiwa kwenye maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna gani, na
gharama, pamoja na tathmini.
25 Ni moja ya maofisa wa kanisa.
26 Kugundua na kugawa majukumu kulingana na taranta za washiriki wako.
27 Atafanya kazi kwa karibu sana na mhazini wakanisa na kuhakikisha kuwa fedha zote za kwenda juu
zinatumwa kwa muda na kwa usahihi, pia matumizi ya bajeti ya kanisa na fedha zingine za kanisa
mahalia zinatumika vizuri kulingana na sera ya kanisa.
28 Atafanya kazi na kwa ukaribu sana na karani wa kanisa kuhakikisha kuwa taarifa zote za robo
zimetumwa ngazi za juu kwa usahihi na kwa wakati huku minutes za vikao zimeandikwa vizuri na
kusainiwa na mwenyekiti.
29 Kukuza na kuhimiza utoaji wa zaka na sadaka kwa mafundisho na kwa vitendo.
30 Kushirikiana na maafisa wa conference na wakuu wa idara kwa kuhimiza utekelezaji wa mipango
na program zote za kanisa hasa uinjilisti na uamsho na matengenezo.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
33 Kuhakikisha kwamba kanisa lina Bahasha za kutosha kwa utoaji mzuri na zinatumika ipasavyo.
34 Kuweka malengo thabiti kwa ajili ya kuongeza idadi ya washiriki wanaorudisha zaka ya uaminifu na kutoa
sadaka ya hiari.
35 Kuelimishawashiriki wafuate kalenda ya waadventista wasabato ya siku ya sadaka maalumu.
36 Kuongoza utembeleaji wa washriki wapya na washiriki wengine wote kwa ujumla
37 Kutembelea washiriki na kuwashukuru/kuwatia moyo kwa utoaji wao.
38 Kutunza siri za utoaji wa washiriki, mmojammoja.
39 Kushirikiana na mchungaji, wazee wa kanisa na baraza la kanisa katika kupanga mwitikio wa kila mshiriki
kwa kila mwaka.
40 Kuhimiza na kukumbusha magoli ya zaka, sadaka na michango mbalimbali.
41 Kujua idadi ya wana wa shiriki wote kanisani tangu walio wadogo hadi wazee, mahali wanapoishi, na namba
zao za simu.
42 Kupanga mipango ya mwaka mzima na program zake akiwa na wasaidizi wake, pamoja na wajumbe
wake na kuziwakilisha kwenye kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka (yaani
december mwanzoni) zikiwa kwenye maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna
gani, na gharama, pamoja na tathmini.
43 Kuwaandikia, kuwatembelea na kuwatia moyo washiriki waliorudi nyuma kiuwakili.
44 Kutunza orodha ya majina ya washiriki wote kanisani katika makundi haya, na kuwasaidia kulingana
na mahitaji yao: wanarudisha zaka tu, wanaotoa sadaka tu, wasio rudisha zaka na sadaka, na wanaorudisha zaka
na sadaka. Nk…
45 Kuandaa taarifa ya idara kila mwezi katika kitabu cha taarifa kilichopo kanisani na kuitu ma conference
kupitia mzee wa kanisa-mchungaji- mpaka Coferensi. (Andaa nakala 2 moja ubaki nayo kwenye faili lako la
idara kwa ajili ya kumbukumbu)
46 Amjue mzee wa kanisa anayeshauri idara yake, na amualike kuwa mshauri kwenye kila kikao cha idara cha
mwezi, asifanye kikao bila uwepo wa mzee wa kanisa wa idara yake.
47 Kupanga mikutano ya kiroho ya washiriki kanisani pamoja na, semina, warsha, camps, Retreats, Rally
zinazojikita katika UWAKILI wa kiadventista
48 Kubuni na kusimamia washiriki kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na Matengenezo
49 Ni mmoja wa wahubiri kanisani
50 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inkuwa na kuleta faida kwenye idara.
51 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za uwakili kanisani.
52 Azifahamu changamoto kubwa zinazowakabili washiriki: yaani: ukosefu wa ajira, Umaskini, Maradhi, Elimu
duni, Kutojithamini. Na kuja na ushauri wa kiuwakili kwa makundi hayo.
53 Kutia changamoto kila mshiriki mwadventista kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega katika
kupeleka mbele utume wa kanisa.
55 Aandae semina na washa kwa washiriki wote kanisani, hasa mada zifuatazo: Mungu ndiye muumbaji,
mmiliki, Ujasiriamali, kutumia muda, Mali tulizonazo, Bajeti katika mapato yetu, Taranta tulizonazo,
Stadi za Maisha,
56 Kujua idadi kamili ya makundi yafuatayo ya washriki kanisani, wenye ajira, wasio na ajira, vijana, wazee,
wajane, wagane, wakongwe, wahitaji, wanafunzi,
57 Kuhakikisha kuwa wajumbe wa kamati ya uwakili wanakutana kwa mwezi angalau mara mbili kwa ajili ya
mikutano yao ya mwezi kwa kutathmini, uwakili wa kanisa mahalia, nk…
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
33 Kupanga mikutano ya kiroho ya washiriki kanisani pamoja na, semina, warsha, camps, Retreats, Rally
zinazojikita katika UWAKILI wa kiadventista
34 Kupokea masomo toka ngazi za juu, na kuyafundisha kanisani.ikiwa ni pamoja na mwezi mkuu wa uwakili
35 Kutayarisha Bajeti ya idara yake na kuipeleka kwa kamati ya mipango mapema december.
36 Kusaidia kutoa elimu ya utoaji kwa washiriki wasiojua uwakili kanisani.
37 Kuwa mwaminifu na mtunza siri za vikao na kanisa.
38 Ni mmoja wa wahubiri kanisani.
39 Kuhamasisha washiriki kusoma Biblia kwa mpango, kutoa kwa mpango, pamoja na usomaji wa vitabu vya
roho ya unabii.
40 Kubuni na kusimamia washiriki kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na Matengenezo
41 Kutoa semina kwa washiriki jinsi ya kutumia muda kwa kufaya uinjilisti na kumtumikia Mungu
42 Kutayarisha agenda za kiuwakili na kuzileta katika Baraza la kanisa.
43 Kuona kwamba katibu amefunga taarifa na kuituma ngazi za juu kila mwezi.
44 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inkuwa na kuleta faida kwenye idara.
45 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za uwakili kanisani.
46 Azifahamu changamoto kubwa zinazowakabili washiriki: yaani : ukosefu wa ajira, Umaskini, Maradhi,
Elimu duni,Kutojitathamini. Na kuja na ushauri wa kiuwakili kwa makundi hayo.
47 Kuyajua malengo ya idara ya uwakili kanisani.
48 Alijue tamko la utume la idara ya uwakili.
49 Kutia changamoto kila mshiriki mwadventista kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega katika
kupeleka mbele utume wa kanisa.
50 Apendekeze (kati ya washiriki kanisani) KAMATI YA UWAKILI pamoja na viongozi wasaidizi wa idara
kwenye baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka ili kumrahisishia utendaji kazi.
51 Aandae semina na washa kwa washiriki wote kanisani, hasa mada zifuatazo: Mungu ndiye muumbaji,
mmiliki, Ujasiriamali, kutumia muda, Mali tulizonazo, Bajeti katika mapato yetu, Taranta tulizonazo,
Stadi za Maisha,
52 Kuhimiza washiriki wa kanisani kushiriki kwa hali na mali katika effort za kanisa, mtaa, na conference
hasa kwa michango na wao wenyewe kuwa wanatimu.
53 Kujua idadi kamili ya makundi yafuatayo ya washriki kanisani, wenye ajira, wasio na ajira, vijana, wazee,
wajane, wagane, wakongwe, wahitaji, wanafunzi,
54 Kuhakikisha kuwa wajumbe wa kamati ya uwakili wanakutana kwa mwezi angalau mara mbili kwa ajili ya
mikutano yao ya mwezi kwa kutathmini, uwakili wa kanisa mahalia, nk…
55 Kubuni na kufundisha miradi mbalimbali kama: Ufumaji wa Vitambaa, Ufugaji wa Kuku,
Utengenezaji wa Bustani, Ushonaji wa nguo, biashara ndogondogo, ujasiriamali Nk…
56 Mkuu wa Uwakili asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: orodha ya watendakazi wa kanisa na namba
zao za simu, Majina ya wanakamati wa uwakili, Budgeti ya kanisa, budget ya idara, kopi ya jicho la kanisa,
fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita, nakala ya Taarifa za idara inayoenda Conference.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka (yaani december mwanzoni) zikiwa kwenye
maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna gani, na gharama, pamoja na
tathmini.
40 Ni mwenyekiti wa vikao vya wana wa kike wote kanisani wakikaa kama idara.
41 Kupokea agenda za kikao cha mawasiliano kila mwezi.
42 Kuandaa taarifa ya idara kila robo katika kitabu cha taarifa kilichopo kanisani na kuituma
conference kupitia mzee wa kanisa-mchungaji- Konferensi. (Andaa nakala 2 moja ubaki nayo kwenye faili
lako la idara kwa ajili ya kumbukumbu)
43 Amjue mzee wa kanisa anayeshauri idara yake, na amualike kuwa mshauri kwenye kila kikao cha idara cha
mwezi, asifanye kikao bila uwepo wa mzee wa kanisa wa idara yake.
44 Kutembelea na kuwatia moyo maskini, wajane, vikongwe na wenye mahitaji mbalimbali.
45 Kupanga mikutano ya kiroho ya kielimu kanisani pamoja na, camps, Retreats, Rally nk…
46 Kupokea masomo toka ngazi za juu, na kuyafundisha kanisani.
47 Ni mmoja wa wahubiri kanisani.
48 Kutayarisha Bajeti ya idara yake na kuipeleka kwa kamati ya mipango mapema december.
49 Kusaidia kutoa elimu ya watu wazima kwa washiriki wasiojua kusoma na kuandika kanisani.
50 Kuwa mwaminifu na mtunza siri za vikao na kanisa.
51 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la kanisa.
52 Kuona kwamba katibu amefunga taarifa na kuituma ngazi za juu kila robo.
53 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inkuwa na kuleta faida kwenye idara.
54 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za elimu kanisani.
55 Kuhamasisha washiriki kusoma Biblia kwa mpango pamoja na vitabu vya roho ya unabii
56 Kuyajua malengo ya idara ya elimu.
57 Kubuni na kusimamia kanisa kielimu kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na
58 Alijue tamko la utume la idara ya elimu kanisani.
59 Kutia changamoto kila mwadventista kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega katika
kupeleka mbele utume wa kanisa.
60 Apendekeze (kati ya washiriki kanisani) viongozi wasaidizi wa idara kwenye baraza la kanisa mwanzoni
mwa mwaka: pamoja na KAMATI YA ELIMU ya kanisa Mahalia.
61 Kujua idadi kamili ya makundi yafuatayo. w/ke wote kanisani, vijana, wajane, wakongwe, wasiojua kusoma
na kuandika, wahitaji, waliohai ktk idara,
62 Kubuni na kufundisha miradi mbalimbali kama: Ufumaji wa Vitambaa, Ufugaji wa Kuku
Utengenezaji wa Bustani, Ushonaji wa nguo, biashara ndogondogo. Nk…
63 Mkuu wa idara ya Elimu asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: 1)Majina ya waalimu wote
kanisani, 2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita ,4) nakala ya Taarifa za
idara inayoenda Konferensi,
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
33 Apendekeze (kati ya washiriki kanisani) viongozi wasaidizi wa idara kwenye baraza la kanisa mwanzoni
mwa mwaka: pamoja na KAMATI YA AFYA NA KIASI ya kanisa.
34 Mkuu wa idara ya Huduma za afya na kiasi asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake:
1),Budgeti ya idara, 2)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita ,3) nakala ya Taarifa za idara
inayoenda Konfwerensi,
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka (yaani december mwanzoni) zikiwa kwenye
maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna gani, na gharama, pamoja na tathmini.
38 Kama idara Kufanya efforti moja ya hadhara inayoendeshwa na wanaidara.
39 Kuratibu kwa mawasiliano na mashemasi au wana wa kike, kwa Kuwaandikia, kuwatembelea na kuwatia
moyo wanawake waliorudi nyuma.
40 Kuhakikisha kuwa kanisa lina sanduku la Posta kwa mawasiliano ya kanisa
41 Ni mwenyekiti wa vikao vya mawasiliano kanisani wakikaa kama idara.
42 Kupokea agenda za kikao cha mawasiliano kila mwezi.
43 Kuandaa taarifa ya idara kila robo katika kitabu cha taarifa kilichopo kanisani na kuituma conference
kupitia mzee wa kanisa-mchungaji- Koferensi. (Andaa nakala 2 moja ubaki nayo kwenye faili lako la idara
kwa ajili ya kumbukumbu)
44 Amjue mzee wa kanisa anayeshauri idara yake, na amualike kuwa mshauri kwenye kila kikao cha idara cha
mwezi, asifanye kikao bila uwepo wa mzee wa kanisa wa idara yake.
45 Kuwa mwaminifu na mtunza siri za vikao na kanisa.
46 Kupanga mikutano ya kiroho ya kimawasiliano kanisani pamoja na, semina, warsha nk…
47 Kupokea masomo toka ngazi za juu, na kuyafundisha kanisani.
48 Ni mwenyekiti wa Baraza la idara ya mawasiliano.
49 Kutayarisha Bajeti ya idara yake na kuipeleka kwa kamati ya mipango mapema december.
50 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la kanisa.
51 Kuona kwamba katibu amefunga taarifa na kuituma ngazi za juu kila robo.
52 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inkuwa na kuleta faida kwenye idara.
53 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za kimawasiliano kanisani.
54 Ni mmoja wa wahubiri kanisani
55 Kuyajua malengo ya idara ya mawasiliano.
56 Kubuni na kusimamia kanisa mahilia kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na Matengenezo
57 Alijue tamko la utume la idara ya mawasiliano.
58 Kutia changamoto kila mshiriki mwadventista kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega
katika kupeleka mbele utume wa kanisa.
59 Apendekeze (kati ya wanashiriki kanisani) viongozi wasaidizi wa idara kwenye baraza la kanisa
mwanzoni mwa mwaka: ikiwa ni pamoja na KAMATI YA MAWASILIANO
60 Aandae semina na washa kwa washiriki wote kanisani.
61 Mkuu wa idara ya Mawasiliano asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: 1)Majina ya washiriki
wote kanisani, 2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita 4) nakala ya Taarifa
za idara inayoenda Konferensi.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
33 Kuona kwamba kanisa linatoa kipaumbele katika kuwachagulia watoto waalimu bora na wala si bora
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
waalimu.
34 Azijue tofauti zilizopo kati ya idara ya watoto/ shule ya sabato watoto, /PFC/AC nk..
35 Kujihusisha na kuona kwamba watoto wanapewa maeneo mazuri na matulivu ya kujifunzia.
36 Aandae semina na washa kwa watoto wote kanisani, hasa mada zifuatazo: Usomaji wa Biblia, Maombi,
uimbaji, ushuhudiaji.
37 Kushirikiana na mkrugenzi wa elimu, kaya na familia, shule ya sabato, na PFC. AC, kuleta mafanikio
makubwa katika kitengo hiki cha watoto.
38 Kuhakikisha kuwa watoto wanakutana kwa juma angalau mara mbili kwa ajili ya mikutano yao ya wiki,
kama mafundisho mbalimbali, uimbaji, injili, semina nk…
39 Mkuu wa idara ya Huduma za Watoto asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake:
1)Majina ya watoto wote kanisani, 2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita
,4) nakala ya Taarifa za idara inayoenda Konferensi.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
39 Kuhakikisha kuwa kamati ya majengo wanakutana kwa mwezi angalau mara moja kwa ajili ya vikao na
tathimini ya majengo ya kanisa. nk…
40 Afahamu viwanja vya kanisa na mipaka yake na kuhakikisha kuwa kanisa lina nakala au vivuli vya nyaraka
sitahiri vya umiliki wa viwanja hivyo.
41 Awe na mikakati ya kutunza, kulinda na kuendeleza viwanja vya kanisa.
42 Ashirikiane na shemasi mkuu kuhakikisha kuwa viwanja vya kanisa vinalindwa na kutunzwa katika usafi stahili.
43 Awe na mkakati wa kukarabati na kudumisha ubora na usafi wa jengo la ibada ndani na nje.
44 Mkuu wa majengo asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: 1)Majina ya wajenzi wote kanisani,
2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita ,4) nakala ya Taarifa za idara
inayoenda Kofrensi,
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
MRATIBU WA USIKIVU
VIFAA: Biblia, Roho ya Unabii, Kanuni ya Kanisa, Muongozo wa idara, faili la idara, orodha ya
wainjilisti walei wote kanisani na namba zao za simu, kalenda ya mwaka ya idara, Bajeti ya idara
SN KAZI/ WAJIBU/ WA MRATIBU WA USIKIVU
Ni mhimu kwamba wengi walio na shauku ya usikivu wa injili kutokana na juhudi za utume wa kanisa,
wahudumiwe mara moja kwa ajili hiyo.
01 Ni mjumbe wa baraza la kanisa.
02 Ni mjumbe wa kamati ya huduma za uinjilisti wa washiriki
03 Kupanga mipango ya mwaka mzima na program zake akiwa na wasaidizi wake, pamoja na wanawake
na kuziwakilisha kwenye kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka (yaani december
mwanzoni) zikiwa kwenye maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna gani, na
gharama, pamoja na tathmini.
04 Hutenda kazi moja kwa moja na mkuu wa huduma, wazee na mchungaji.
05 Hushirikiana na mwenyekiti wa kamati ya uinjilisti
06 Huendesha program ya huduma za jamii.
07 Kuorodhesha wote wale walioonyesha moyo wa kutaka kutembelewa na wainjiliisti wetu walei.
08 Kujua wote walioguswa na masomo ya biblia yasema, sauti ya unabii na kuwatia moyo.
09 Kuorodhesha wale wote waliovutiwa na neno wakati wa mikutano ya effort za hadhara.
10 Kuwafahamu wote wanaopenda kusoma magazeti, vijizuu, na vitabu vyetu.
11 Wajulikane wale wote waliowahi kuhudhuria semina zetu na mikutano ya afya na kiasi, kaya na familia na
kuvutwa nayo.
12 Kuwa na orodha ya wote wanaosikiliza radio, Tv, na mahubiri ya satelite vipindi vinavyotayarishwa na kanisa
letu.
13 Kupokea masomo toka ngazi za juu, na kuyafundisha kanisani.
14 Kuwakilisha taarifa za namna hii kwa baraza la kanisa ili ifanyiwe kazi.
15 Kutayarisha Bajeti ya idara yake na kuipeleka kwa kamati ya mipango mapema december.
16 Wakati wa mikutano ya hadhara ya injili, mratibu wa usikivu ashirikiane kwa karibu na timu ya mahubiri,
wainjilisti ili kusaidia wote wanaoonyesha tamaa ya kukata shauri na orodha yao iletwe kwa wanatimu na
kuombewa.
17 Kuwa mwaminifu na mtunza siri za vikao na kanisa.
18 Mratibu wa usikivu ni muuongoaji roho, hivyo ashirikiane kwa karibu sana na mkuu wa huduma,
VOP, VBS, Shule ya Sabato, Dorkasi, AMO. Na vitengo vyote saidizi vya injili.
19 Ni mmoja wa wahubiri kanisani.
20 Kuhamasisha wanawake kusoma Biblia kwa mpango, pamoja na vitabu vya roho ya unabii.
21 Kubuni na kusimamia washiriki kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na Matengenezo
22 Kufundisha akina mama jinsi ya kuishi vyema na waume zao.
23 Kutoa semina kwa washiriki jinsi ya kufaya effort na kumtumikia Mungu
24 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la kanisa.
25 Aandae semina na washa kwa washiriki wote kanisani,
26 Kuhimiza washiriki kanisani kushiriki kwa hali na mali katika effort za kanisa, mtaa, na conference hasa kwa
michango na wao wenyewe kuwa wanatimu.
27 Mratibu wa Usikivu asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: 1)Majina ya watu wote
wanaovutiwa na imani yetu, majina ya wainjilisti walei wote kanisani, 2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya
Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita ,4) nakala ya Taarifa za idara inayoenda Konferensi.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
18 Kupanga mipango ya mwaka mzima na program zake akiwa na wasaidizi wake, na kuziwakilisha kwenye
baraza la Shule ya Sabato mwanzoni mwa mwaka (yaani december mwanzoni) zikiwa kwenye maandishi.
Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini, namna gani, na gharama, pamoja na tathmini.
19 Kubuni na kusimamia wana Shule ya Sabato wote kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na
Matengenezo
20 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la shule ya sabato.
21 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za Shule ya Sabato kanisani.
22 Kuyajua malengo 4 ya idara ya Shule ya Sabato.
23 Alijue tamko la utume la idara ya Shule ya Sabato.
24 Kutia changamoto kila mshiriki wa Shule ya Sabato kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega
katika kupeleka mbele utume wa kanisa.
25 Aandae semina na washa kwa washiriki wa S.S wote kanisani, hasa mada zifuatazo: Namna ya
kufundisha lessoni, namna ya kuendesha program za SS,
26 Kujua idadi kamili ya makundi yafuatayo ya washiriki wote kanisani, watoto, vijana, watu wazima, walemavu,
wazee, wenye lessoni, wasio na lessoni, nk…
27 Kuhakikisha kuwa waalimu wote wa madarasa wanakutana kwa juma angalau mara moja kwa ajili ya
mikutano yao ya kujifunza lesoni na semina nk…
28 Kuhamasisha na kusimamia sabato maalumu za idara.kama kupanda daraja,sabato ya wageni n.k
29 Msaidizi Mkuu wa Shule ya Sabato washiriki asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake:
1)Majina ya waalimu wa ss wote kanisani na namba zao za simu,
2)Budgeti ya idara,
3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita ,
4) Kujaza nakala ya Taarifa za idara inayoenda Koferensi.
17 Ni mwenyekiti wa vikao vyote vya Shule ya Sabato Watoto vinavyokaa kila mwezi wakikaa kama kitengo
kutathimini shule ya sabato watoto.
18 Kuandaa taarifa ya kitengo cha ss watoto kila robo katika kitabu cha taarifa kilichopo kanisani na kuituma
conference kupitia mkuu wa ss, mzee wa kanisa-mchungaji. (Andaa nakala 2 moja ubaki nayo kwenye
faili lako la idara kwa ajili ya kumbukumbu)
19 Amjue mzee wa kanisa anayeshauri idara yake, na amualike kuwa mshauri kwenye kila kikao cha idara cha
mwezi, asifanye kikao bila uwepo wa mzee wa kanisa wa idara yake.
20 Kupokea masomo, semina toka ngazi za juu, kuhusu ss watoto na kufundisha kanisani.
21 Kutayarisha Bajeti ya kitengo cha ss watoto na kuipeleka kwa idara ya ss mapema december.
22 Kubuni na kusimamia wana Shule ya Sabato watoto wote kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na
Matengenezo
23 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la shule ya sabato.
24 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inakua na kuleta faida kwenye idara.
25 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za Shule ya Sabato kanisani.
26 Kuhakikisha kuwa waalimu wote wa madarasa ya watoto wanakutana kwa juma angalau mara moja kwa ajili
ya mikutano yao ya kujifunza lesoni na semina nk
27 Alijue tamko la utume la idara ya Shule ya Sabato.na Kuyajua malengo 4 ya idara ya Shule ya Sabato
28 Kutia changamoto kila mshiriki wa Shule ya Sabato Watoto kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega
kwa bega katika kupeleka mbele utume wa kanisa.
29 Aandae semina na washa kwa washiriki wa S.S wote kanisani, hasa mada zifuatazo: Namna ya
kufundisha lessoni watoto, namna ya kuendesha program za SS watoto,
30 Kujua idadi kamili ya makundi yafuatayo ya washiriki wa ss watoto wote kanisani, watoto, wenye lessoni,
wasio na lessoni, nk…
37 Kuhimiza vijana kanisani kushiriki kwa hali na mali katika effort za kanisa, mtaa, na conference hasa kwa
michango na wao wenyewe kuwa wanatimu.
38 Kuwatia moyo vijana walio Master Guide mafunzoni kufikia MasterGuide
39 Kuhakikisha kuwa vijana wanakutana kwa juma angalau mara moja kwa ajili ya mikutano yao ya wiki,
miradi, uimbaji, ujasiriamali, injili, semina nk…
40 Kubuni na kufundisha miradi mbalimbali kama: Ufumaji wa Vitambaa, Ufugaji wa Kuku,
Utengenezaji wa Bustani, Ushonaji wa nguo, biashara ndogondogo. Nk…
41 Kuwatia moyo vijana kujiunga na idara na kuipenda.
42 Kupanga mikutano ya nje ya kanisa na kuileta mapema ipitishwe na Baraza la kanisa hasa katika mpango
wa kutembeleana na makanisa mengine ndani na nje ya conference
43 Kupanga kambi angalau moja kwa mwaka.
44 Kuhakikisha vijana wakimaliza course wanavishwa pini mara moja.
45 Kuhakikisha kuwa vijana wanasoma Biblia kwa mwaka.
46 Kuwatia moyo vijana wafunge ndoa takatifu kanisani.
47 Kuwahimiza vijana wawe uniform za chama.
48 Kuwa na siku moja au mbili ya kuomba na kupanga kazi.
49 Kutathmini kazi yake akiwa na viongozi wake wa juu na wa chini.
50 Kuwa mfano bora, kwa kuunga mkono na kushiriki kikamilifu katika idara zingine na sehemu zote za kanisa
kwa ajili ya ufanisi wa kazi ya Mungu kwa ujumla.
51 Kuona kuwa vijana wakubwa wanawasaidia vijana wadogo katika masomo yao.
52 Kupanga goli la kubatiza vijana.
53 Kujua vijana wanaosoma somo la kesha la asubuhi.
54 Kujua idadi ya vijana wanaosoma vitabu vya roho ya unabii.
55 Kushirikiana na mkuu wa uwakili kutoa semina za uwakili kwa vijana.
56 Kujua idadi ya waliopata masomo ya kujitegemea.
57 Kujua idadi ya vijana wajasiriamali kanisani.
58 Kujua idadi ya vijana wenye ujuzi taaluma maalumu.
59 Kujua idadi ya vijana wanaorudisha zaka.
60 Kuunda vikundi vya kusaidia wenye VVU
61 Kuendesha mikutano ya mradi wa Eliya.
62 Kuendesha programu za miguso kwa jamii.
63 Kupanga na kuendesha shule ya Biblia wakati wa likizo.
64 Mkuu wa idara ya vijana/ AY, Mabalozi asikose Mafaili yafuatayo katika ofisi yake: 1)Majina
ya vijana wote kanisani, 2)Budgeti ya idara, 3)fomu ya Makabidhiano na mkuu wa idara aliyepita
,4) nakala ya Taarifa za idara inayoenda conferensi.
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa
09 Kuhakikisha kuwa kwaya inakutana mara moja au mara mbili kwa juma kwa ajili ya mazoezi ya uimbaji
na kuwa kabla ya kuanza mazoezi pawepo na ratiba ya kusoma neno la Mungu na maombi.
10 Kuhakikisha kuwa kwaya inapoalikwa nje ya kanisa, mtaa, Conference, Union, Division. Utaratibu
wa kanisa unafuatwa kwa maana ya kupitishwa na Vikao vya juu ikianzia na kikao cha Baraza la
Kanisa na mchungaji wa mtaa kama kanuni ya kanisa inavyoshauri.
11 Kuhakikisha kuwa waimbaji wote wanakuwa mfano kwa vitendo katika kazi za kanisa na uaminifu wa
kumtolea Mungu zaka na sadaka, uwakili kwa ujumla.
12 Kwamba kwaya ya kanisa inakuwepo na kutoa huduma kwenye mikutano ya ibada za kufungua na kufunga
sabato, vipindi vya sabato mchana, ibada ya sabato, shule ya sabato na maombi katikati ya juma yaani
jumatano.
03 Kupanga mipango ya kwaya kwa mwaka mzima na program zake akiwa na wasaidizi wake, pamoja na
waimbaji wote na kuziwakilisha kwenye kamati ya mipango au baraza la kanisa mwanzoni mwa mwaka
(yaani december mwanzoni) zikiwa kwenye maandishi. Mipango ionyeshe nani atafanya nini, wapi, lini,
namna gani, na gharama, pamoja na tathmini.
04 Kama kwaya Kufanya efforti moja ya hadhara inayoendeshwa na waimbaji wenyewe kama wahubiri,
wanatimu na waimbaji.
05 Kuwaandikia, kuwatembelea na kuwatia moyo waimbaji waliorudi nyuma, na kukata tamaa
kumwimbia Mungu.
06 Kuhakikisha kuwa mpango wote wa kurekodi na mauzo ya kaseti, cd, dvd yanawekwa wazi kwenye
Baraza la kanisa, na mchakato wote unapata baraka za baraza kabla ya kuanza. Na baada ya kumaliza
master zote za nyimbo zinatunzwa na kanisa kama kanuni zinavyoshauri.
07 Ni mwenyekiti wa vikao vya kwaya ya kanisa wakikaa kama waimbaji.
08 Kuona kwamba Miradi iliyoanzishwa inkuwa na kuleta faida kwenye kwaya.
09 Awe mbunifu na mtekelezaji wa programu za waimbaji kanisani.
10 Amjue mzee wa kanisa anayeshauri kwaya, na amualike kuwa mshauri kwenye kila kikao cha kwaya
cha mwezi, asifanye kikao bila uwepo wa mzee wa kanisa.
11 Ni mmoja wa wahubiri kanisani.
12 Kuhamasisha waimbaji kusoma Biblia kwa mpango, pamoja na vitabu vya roho ya unabii.
13 Kubuni na kusimamia waimbaji kufikia mpango wa kanisa wa Uamsho na Matengenezo
14 Kutia changamoto kila mwimbaji kuchangia vipawa vyake ili kufanya kazi bega kwa bega katika kupeleka
mbele utume wa kanisa.
15 Kutayarisha Bajeti ya kwaya ya kanisa na kuipeleka kwa kamati ya mipango mapema december.
16 Kutoa semina kwa waimbaji jinsi ya kufaya effort na kumtumikia Mungu
17 Kutayarisha agenda na kuzileta katika Baraza la kanisa.
18 Kuhimiza waimbaji wa kwaya ya kanisa kushiriki kwa hali na mali katika effort za kanisa, mtaa, na
conference hasa kwa michango na wao wenyewe kuwa wanatimu.
19 Waimbaji wanapaswa wafike mapema kanisani kabla ya vipindi havijaanza ili kutoa huduma ya uimbaji
kabla huduma hazijaanza na hivyo kuzuia waumini wasianze minong’ono na kutafuna bigjii zinazoondoa
usikivu na utulivu wa ibada.
32 Kuiongoza kwaya ya kanisa iwe Kwaya ya KIINJILISTI. Isiwe ya kuimba siku ya sabato tu kanisani,
mwenyekiti abuni mipango ya kuwafanya waimbaji wawe wakereketwa wa injili, wenye uwezo wa kuongoa
roho kwa nyimbo na kwa vitendo.
33 Kuiongoza kwaya ya kanisa kuhubiri nje ya mipaka kwa njia ya kurekodi nyimbo zao kwenye kaseti, cd,
dvd, nk…
Semina ya maandii kwa Majukumu ya Watendakazi wa kanisa