Linear Sort

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

S/N Observations Responsible Show Status/Comme

Stopper nts
1 Baadhi ya taarifa za kata za dodoma mjini Malando
hazipo mfano . Kata ya Mnadani Mtaa
Mbwanga
2 Masharti ya kujiunga kabla hajawa silisha Saidi
ombi hayapo
3 Mfumo unaruhusu kuambatisha Said na Frank
kiambatisho kimoja tuu na ombi likaenda
mbele hivyo nashauri kwa taasisi za
serikali kiambatisho sio lazima ila kwa
taasisi binafsi certification of
registration iwe lazima na vingine viwe
hiari
3 Kwa Taasisi za kidini zinazosajili viongozi Manyanda
wa kidini na wake zao taratibu zipoje
maana hawana WCF? Said na Frank
4 Pia usajili wa shule je? Ambao hawana Said na Frank
WCF?
4 Anapochagua Registration Authority kama Said na Frank
others impe fursa ya kuingiza jina la hivyo
taasisi iliyo msajili
5 Mfumo unaruhusu mfanyakazi bila namba Frank
ya NIDA
6 Mfumo hauruhusu ku-preview na edit ya Said na Frank
taarifa ulizooingiza nyuma baada ya
kusogea hatua ya mbele
7 Kwenye profile management module ya Nusukoti
profile hayaonekani
8 Change request kwenye portal ibadilike na Nusukoti
kuwa change of employer particulars saidi
9 Change request ya employer hawezi Nusukoti
kufanya attachment ya document Kama
change request inahusu kubadilisha jina la
mwajiri
10 Change request ilishindwa kufika kwenye Nusukoti
AMMIS kwa sababu ya attachment
haikuwa attached
11 Add new member kwa employer baada ya Said na Frank
kuweka taarifa mfumo unaleta error
ukibonyeza submit → sio kweli
12 Validation ya index <employer/pf number> Frank
13 Sample file ya kuingiza wanachama wapya Said
wa mwajiri haionekani saidi
14 Member cessation ilikuwa inaleta error na Said na Frank
hakuna option ya kuweka kiambata baada
ya kuchagua sababu mfno ya kufukuzwa
kazi aweke barua ya kufukuzwa kazi
15 Uki generate invoice summary haionekani Said na Frank
inayo onesha invoice ya mwezi husika,
pending invoice na penalty
16 Unapogenerate invoice ukibonyeza neno Said na Frank
confirm kulikuwa na error inatokea
17 Supplementary ukiselect option inaleta Saidi na Frank
error
hakuna option ya kuchagua aina ya
beneficiary mfno principal , spouse said na
frank
18 Kwenye supplementary renew haifanikazi Said na Frank
19 Change request na mshahara uwezeshwe Nusukoti
ku-change
20 Option ya kuomba kulipia (replenishment) Said na Frank
baada ya fedha alizoweka mwajiri kuisha
kabla ya muda wa mkataba kuisha haipo
21 Report hakuna report inayoonekana mfano Wote No
list ya invoice alizo generate kwa mwajiki
husika na status yake,certificate of
registration ,orodha ya malipo ambayo
mwajiri amefanya,recept za malipo ya
michango,utilization ya supplementary
deposit
22 Ikiwa OTP ime expire hawawezi tengeneza Hamad
nyingine
23 Reset password haifanyikazi Hamad
24 Sample file kwenye employer ikiwa Said
anaatach Kama bulk haionekani

You might also like