Professional Documents
Culture Documents
Mkataba Wa Kupangisha Nyumba Bunju
Mkataba Wa Kupangisha Nyumba Bunju
MASHARTI YA MKATABA
Mpangaji ata husika na malipo yote ankala za Umeme na maji katika nyumba husika kwa kila
mwezi.
Nyumba na mazingira yake lazima yawe katika hali ya usafi wakati wote na nyumba itatumika kwa
makazi tu, na si kwa aina yoyote ya biashara na mpangaji hana mamlaka ya kupangisha nyumba
husika kwa mtu mwengine iwapo atashindwa kuishi au kuamua kuhama.
Mwenye nyumba atatoa notisi ya miezi mitatu kwa mpanagaji iwapo ataona kunamanufaa kufanya
hivyo ili kuufuta mkataba huu.
Mwenyenyumba atakapo amua kuvunja mkataba kwa sababu zake binafsi itabidi kurudisha kodi
kwa mpanagaji.
Iwapo mpanagaji atavunja mkataba huu kwa kuamua kuhama kabla ya kuisha kwa mkataba wake
pesa hazitorudshwa kwa mpanagaji kwani itakua yeye ndiye kavunja mkataba huu.
Mwisho wa makataba huu mpanagaji atakabidhi nyumba kwa mwenye nyumba ,mwenye nyumba
ataikagua,na kama itathibitika kuwa na uharibifu wowote mpangaji atatakiwa kulipa fidia ya
uhuribifu huo kabla hajahama.
MASHAHIDI
Jina la mpanagji