Professional Documents
Culture Documents
Chapisho Final
Chapisho Final
YALIYOMO
HAKI YA MWANAMKE KUMILIKI ARDHI
Maelezo kuhusu
shirika la ALPHA
A L P H A - V I S I B L E : T O L E L A 1 2 3 - 0 2 - 2 0 2 1
VISIBLE COM-
MUNITY DE-
VELOPMENT
Shughuli za
Maendeleo ya
Changamoto, mkakati wa utatuzi, visamkasa, mafanikio, umiliki wa ardhi na hatua zinazofuata za mradi wa
Jamii ziliz-
otekelezwa na
kuelimisha wanawake kuhusu haki ya kumiliki mali, ardhi na kushiriki katika shughuli za maendeleo na uongozi
Shirika la ALPHA
Haki ya mwanake
kumiliki Ardhi Katika jamii ya wakazi wa Wilaya
Wilaya ya Kilolo
ya Kilolo, upo utamaduni uli- yostaarabika ambayo iko katika
ozoeleka wa kumkosesha mwa- nchi yenye uchumi wa kati yenye
Visamkasa,
mafanikio, namke haki ya kumiliki mali, ku- malengo endelevu katika kuleta
changamoto,
miliki ardhi na kumkosesha mwa- mabadiliko chanya katika jamii na
mkakati wa
namke asishiriki katika shughuli kufuta umasikini. Mradi wa
utatuzi
za maendeleo ikiwa ni pamoja na kuelimisha wanawake kujua haki
Maoni na mapen-
haki yao ya kushika nyadhifa za zao za kumiliki mali na ardhi
ekezo
uongozi. Mitazamo hii ni mitaza- umeibua changamoto mbalimbali
Hatua zinazofu- mo yenye madhara kwa mtu katika Wilaya ya Kilolo, Kata ya
ata
binafsi, kaya na jamii kwa ujumla. Mtitu na Vijiji vyake vitano am-
Mizizi ya changamoto hii imejikita bavyo ni Kilolo, Luhindo, Lulanzi,
kwenye mila na desturi kandamizi Mtitu na Luganga. Changamoto
KWA Wanawake wakishiriki ma-
katika jamii nyingi nchini Tanzania hizo ni pamoja na wanawake
UFUPI funzo wengi kutojuwa haki yao ya ku-
pamoja na Wilaya ya Kilolo am-
bazo zimepitwa na wakati. Kwa miliki mali na ardhi, mwamko
Mila na desturi 1
sheria mpya ya ardhi namba 4 & 5 na wanandugu katika ukoo fulani mdogo wa jamii katika kuibua na
kandamizi
ya mwaka 1999 mwanamke ambao wamekuwa waki- kusaidia mwanamke kupata haki
anahaki sawa na mwanamume wakosesha watoto wa kike au yake ya kurithi mali na ardhi, na
Jamii kutotam- 2 wanawake haki yao ya kurithi au wapi wanawake na wasichana
katika kukalia, kuendeleza, ku-
bua sheria ya ya kumiliki ardhi. Huu ni unyan- waende ili kudai haki yao ya ku-
miliki ardhi na mali pamoja na
ardhi yasaji mkubwa kwa jamii ili- miliki ardhi au kurithi pale inapo-
kushika nafasi za uongozi. Tofauti
Jukwaa la wana- na ilivyo sasa kumekuwepo na kosekana.
2
wake lawa wimbi kubwa la baadhi ya
kichocheo wanaume wakishirikiana pamoja
kikubwa kureje-
Umuhimu wa 3
mafunzo ya haki ALPHA ni shirika lisilokuwa la hali ya maisha ya watu wake MALENGO Mahsusi:
ya ardhi Kiserikali lililoanzishwa kama imeimarika. Kuwezesha jamii kiuchumi
taasisi ya Kijamii na hatimae MAONO: Kuboresha jamii kwa
Uhitaji wa Jamii 5 maeneo ya mjini na Vijijini
kusajiliwa rasmi kama NGO kuwezesha na kutoa msaada wa
kuelimishwa tarehe 17 SEPTEMBA 2019 na Kuwezesha jamii kuondoa
zaidi kuhusu
kitaalam katika sekta ya Afya,
kupewa namba ya usajili Elimu, Jinsia, Mazingira , Maji na umasikini.
haki ya Ardhi OONGO/R/0620. Makao makuu
waongezeka
Shughuli za uzalishaji mali. Kutoa elimu ya UKIMWI
na Ofisi za shirika yako mtaa wa
Titi, Ngangilonga mkabala na LENGO KUU: Kuhakikisha jamii Kutoa elimu ya Jinsia
ghala la Taifa– Iringa mjini. Malen- imeelimishwa vya kutosha katika
masuala ya kijamii, kiuchumi na Elimu ya uhifadhi na utunzaji
go ya shirika la ALPHA ni pamoja
kisiasa. wa mazingira.
na: DIRA: Kuwa na jamii ambayo
kipato chake kimeongezeka na
UK URA SA2
Dorice P
Visa Mikasa mpaka sasa ili kueneza elimu
zaidi kwa wahitaji. Migogoro ya
yao katika kijiji cha Luganga na
kupata hati.
Mbaluka Majukawaa ya
akiwa wanawake ya- na mali kwa kuwafuata kwenye jina la Bi. Dorice P. Mbaluka
kwenye meweza kuibua saluni, kwenye sehemu za ambae anaishi kitongoji cha Kihe-
nyumba visa na mikasa ya masoko, kwenye vilabu vya sa, kijiji cha Luhindo Kata ya
yake yenye wanawake wengi pombe na wakati mwingine Mtitu umbali wa kilomita 48
waliokuwa ha- kwa kuwatembelea baadhi ya kutokea Iringa mjijni alisaidiwa na
mgogoro
watambui haki wahanga majumbani mwao. mradi kupata stahiki zake za ku-
zao kuhusu Mfano mzuri ni wa kisa cha miliki nyumba, mali na ardhi vil-
umiliki wa ardhi, mama mjane anaejulikana kwa ivyokuwa vimechukuliwa na
ndugu wa marehemu mume wake
baada ya kuondokewa na
mumewe wa ndoa.
ALP HA-VISIBLE: TOLE LA 1 UK URA SA 3
t u n a s e m a
asiyejua kucheza
Mafunzo kuhusu uelewa wa wana- wapi wapate msaada wa kisheria kuishughulikia kwa muda mfupi do wa ngoma”
wake kujua haki zao za kumiliki mali mara tu wanapokosa stahiki zao. umeimarishwa na hivyo migogoro
na, ardhi na ushiriki katika shughuli Mafunzo yamewafungua macho hiyo imeendelea kutatuliwa bila
za maendeleo na uongozi yameku- wananchi kupata uelewa kuhusu gharama kwa mlalamikaji. Kesi
wa na umuhimu mkubwa kwa maswala ya haki za kumiliki ardhi. nyingi zilizoripotiwa ni zile zi-
wanawake na jamii ya Kata ya Mtitu. Mafunzo yamewezesha kuwepo kwa nazoonekana kwa macho, ambapo
Kwanza yamewafanya wanajamii mawasiliano mazuri baina ya ushahidi ni jamii inayowazunguka.
watambue haki za mwanamke na viongozi wa Vijiji, viongozi wa Kata, Aina nyingine ya kesi zinahusu mau-
mtoto wa kike za kumiliki mali au ofisi ya ardhi Wilaya, ofisi ya mwa- ziano ya ardhi ambapo vibali, cheti
kurithi ardhi ziko sawa na zile za nasheria Wilaya pamoja na mabara- cha ndoa, hati n.k vinahitajika
mwanaume. Walengwa wa mradi za ya ardhi ngazi za Vijiji na Kata kuthibitisha umiliki. Mafunzo ya-
wametambua vyanzo mbalimbali wote kwa pamoja kuhakikisha mewajengea wajumbe wa mabaraza
vya migogoro ya ardhi na jinsi ya wanawake wanapata stahiki zao za ya ardhi kujiamini katika kutoa sulu-
kuishughulikia katika ngazi ya Vijiji kumiliki mali, ardhi na kushiriki hu na kuondoa ile dhana kuwa
kupitia mabaraza ya ardhi. Wanufai- katika shughuli za maendeleo na mabaraza ya ardhi yaliyokuwapo
ka wametumia mafunzo kujuwa uongozi. Kupitia mafunzo, mfumo awali yalikuwa hewa na yasiyotoa
wa kupokea migogoro ya ardhi na haki.
Mfiko
Tokeo Lengo Halisi % ya mafanikio Hatua
Elimu kupinga mila na desturi mbaya 868 659 75 % kubwa ya walengwa imefikiwa
Ongezeko la wajumbe wanawake baraza la Kata 2 3 150 Idadi ya viongozi wanawake imeongezeka
UK URA SA 4
Changamoto zilizojitokeza
Mradi umepata mafanikio ma- tamaduni kandamizi; Matumizi ya hati miliki
kubwa kutokana na jamii Baadhi ya wanajamii kuto- katika kujinufaisha
kuupokea vizuri. Hata hivyo kiuchumi bado ni changa-
kuwa na uelewa wa
zipo changamoto ambazo zi- moto kwa watu wengi;
maswala ya haki za ku-
nahitaji utatuzi kwa kushiriki-
miliki ardhi; Kutokujuwa sheria ya
sha wadau mabalimbali ndani
na nje ya Wilaya ya Kilolo. Mfumo dume bado upo ardhi namba 4 na 5 ya
Baadhi ya changamoto zilizo- kwenye jamii elimu zaidi mwaka 19 9 9 kuna-
bainika ni pamoja na: inahitajika; sababisha migogoro mingi
kutokea kwenye jamii;
Elimu itolewe kwa vijana Mtazamo hasi kutoka kwa
Matarajio makubwa kuto-
walioko mashuleni na wananchi kwa viongozi wa
vyuoni ili kuondoa mila na mabaraza ya usuluhishi; ka kwa wananchi wenye
desturi kandamizi; migogoro ya ardhi kuhitaji
Kikao cha baraza la Wananchi wanamwamko wawezeshaji na
ardhi cha Kata ya Mwanamke anahaki ya mdogo juu ya kujitokeza wasimamizi kutoka ADG
Mtitu kumiliki mali na ardhi na kuwasilisha malalamiko kuwa wasuluhishi wa mi-
mumewe akiwa hai, anap- yao kwenye vyombo gogoro yao papo kwa
ofariki hali inabadilika rasmi vya usuluhishi; papo.
ananyang’anywa sababu ya
kwa wazee wa
Mapendekezo
kimila kuondoa
mila na desturi
Hitimisho
Shirika la ALPHA VISIBLE COM- kwa kuongoza maandalizi ya
kufanikisha kufikiwa kwa malengo
MUNITY DEVELOPMENT linapen- kufanya mahojiano na
ya utekelezaji wa mradi huu. Ni
da kutoa shukurani za dhati kwa wadau wa mradi na hatimae
matarajio yetu kuwa ushirikiano
wadau wote wa mradi, wanakijiji wa kuwasilisha taarifa hizo
huu utakuwa endelevu wakati wote
Vijiji 5 katika Kata ya Mtitu, Wilaya katika chapisho hili la mwezi
wa mradi na hata baada ya muda wa
ya Kilolo, viongozi wa Vijiji na Kata, wa 2/ 2021. Kupitia chap-
mradi kuisha kwa lengo la kumsaidia
mabaraza ya ardhi ya Vijiji na Kata isho hili wadau wa mradi
mwanamke mnyonge kupata elimu
ya Mtitu, viongozi wa Halmashauri watapata fursa ya kupata
ya uelewa juu ya haki zake za ku-
ya Wilaya ya Kilolo, washitiri wa taarifa zitakazoboresha
miliki mali, ardhi, na kushiriki katika
maendeleo wakiwemo HAKI upatikanaji wa haki za wana-
shughuli za maendelo na Uongozi.
ARDHI na wafadhili wetu wa mradi wake na wasichana katika
Kipekee ALPHA inatoa pongezi
Foundation for Civil Society katika Wilaya Kilolo.
kwa Mwezeshaji Yusufu Tumaini
ALPHA DANCING GROUP – (ADG) ni asasi isiyo ya
kiserikali iliyoanzishwa mwaka 1992 na kusajiliwa rasmi
MRADI WA KUELIMISHA WANAWAKE tarehe 2 JANUARY 2000 na kupewa cheti cha usajili namba
KUJUA HAKI ZAO ZA KUMILIKI ARDHI 107205- kama COMMUNITY BASED ORGANIZATION
(CBO) Manispaa ya Iringa, Na baada ya marekebisho ya
KWA MAWASILIANO sheria za asasi za kiraia ya Julai 2019, asasi chini ya sheria
Anuani ya Asasi
namba 24 ya 2002 pamoja na marekebisho yake, asasi ilisaji-
S.L.P 1002, Iringa.
Kata ya Gangironga, Mtaa wa Titi, Block 2. liwa rasmi tarehe 17 SEPTEMBA 2019 kama Non-
+255 754 051 797 / +255 755 222 751 Government Organization kwa jina la ALPHA VISIBLE