29th Oct 2023 Mass

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

YSC CHOIR

ENTRANCE:ENTR: 3. Mwana wa Baba-Mwenye


KUMEKUCHA kuondoa dhambi za dunia Kwani amenijalia mengi yasiyo
Kumekucha - ni siku kubwa ya Utuhurumie- Mwenye kuondoa idadi
ajabu leo hii dhambi za dunia pokea ombi letu
Kumekucha - ni siku ya furaha 1. Ninayo afya ya mwili na roho
na amani 4. Ee mwenye kuketi-Kuume kwa
Zawadi hii yatoka kwa Mungu
{ Watu wote - wanameremeta, Baba utuhurumie
tazama Kwa kuwa ndiwe-Kwa kuwa ndiwe Kwa nini nisinyanyuke
Wamevaa - mavazi mazuri oneni uliye pekee yako mtakatifu
Nyuso zao - tabasamu shangwe nikamshukuru Mungu
nderemo na vifijo } *2 5. Pekee yako Bwana-Peke yako 2. Mahangaiko ya njaa sipati . . .
mkuu Yesu kristu
1. Pokeeni bahati yenye upekee Pamoja na roho - Mtakatifu utukufu 3. Nikisafiri nafika salama . . .
Kufurahiya pendo lisilo dosari wa Mungu Baba Amina
La mwenyezi Mungu mwema na 4. Nafasi hii mimi nilo nayo . . .
mkari-mu PROCESSION: NENO LITA
SIMAMA
2. Heri gani ndugu tumejaliwa leo Neno litasimama, neno litasimama PRESENTATION: BABA
Kusimama pamoja tukiwa na hamu Ya ulimwengu yatapita, lakini TUNALETA VIPAJI
Kuyashuhudia makuu ya le-o neno litasimama }*2 1. Baba tunaleta vipaji
3. Tupaze sauti wote watusikie 1. Ujana wako utapita, uzee wako twakuomba sana pokea
Watakaoweza wajumuike nasi utapita
Ya ulimwengu yatapita, lakini Twaja kukushukuru kwa
Shangwe nderemo chereko na vifi-
jo neno litasimama yote ulotujalia wanao

KYRIE: VOI MASS 2. Uwongo wako utapita, ulevi Baba tunaleta twakuomba sana
Bwana, Bwana, Bwana Utuhurumie wako wako utapita . .
pokea
Kristu, Kristu, Kristu Utuhurumie
Bwana, Bwana, Bwana Utuhurumie 3. Kisomo chako kitapita, na
Baba tunasema, asante, asante
cheo chako kitapita . . .
GLORIA : VOI MASS Kutupa uzima, asante, asante
4. Ya ulimwengu yatapita, ya
Utukufu kwa Mungu juu Kwa kutukomboa, asante, asante
wanadamu yatapita . . .
mbinguni na amani,
(duniani) kwa watu wenye mapenzi Kutuweka huru, asante, asante
PSALM
mema*2
I love you, Lord, My strength 2. Mkate na divai twaleta
1. Tunakusifu - tunakuheshimu twakuomba sana pokea
ACCL:
Tunakuabudu Tunakutukuza
Alleluia Ndiyo kazi yetu wanao
tunakushukuru kwa ajili
ya utukufu wako mkuu
OFFERTORY: SIWEZI twakuomba sana pokea
KUBAKI
2. E Bwana mwema -Mfalme wa 3. Mazao ya mashamba twaleta
mbinguni Mungu Baba mwenyezi Siwezi kubaki kitini, lazima
Ee Yesu kristu-Mwana wa pekee Ee twakuomba sana pokea
Mungu mwana kondoo wa Mungu ninyanyuke, nikamtolee Mungu
YSC CHOIR
1. Ninatamani kushibishwa kwa
Hata ni kidogo twaleta mwili wako Bwana wangu, Na anasa za maadili, sisi
twakuomba sana pokea Ninatamani kuburudishwa kwa waimbaji tumeamua
damu yako Mungu wangu
4. Nazo fedha zetu twaleta 5. Waamini wote furahini,
2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo
twakuomba sana pokea makasisi shangilieni
maana sishibishwi, Utanituliza nafsi
Utupe baraka twaleta yangu Mungu wangu uliye hai Nanyi watawa jiungeni, kwa
twakuomba sana pokea 3.Karibu Bwana moyoni mwangu waimbaji hakuna matata
niishi kiekaristia ili nipate raha ya 6. Upendo wake ni wa ajabu,
kweli nikupendeze siku zote
SANCTUS: HOLY HOLY HOLY fadhili zake za milele

Holy Holy Holy*2 THANKSGIVING: NOTA Huruma yake ni amini,


The angels are singing hosanna in
1. Tumetafiti tukauliza, msamaha wake unashangaza
the highest
maandiko tukafunua
Hosanna in the highest*2 the
EXIT: IMANI MATUMAINI
angels are singing hosanna in the Kutambua watakatifu, MAPENDO
highest
wanafanya kazi gani Mbinguni
Imani matumaini mapendo hayo
Heaven and earth are full of your Usiku na mchana, jioni na matatu yakae ndani mwetu, yaliyo
glory..
bora katika hayo matatu (ndio
asubuhi
mapendo)*3
Blessed is he who comes in the
Lord’s name.. Kiangazi masika mpaka Mbinguni
1. Katika hayo matatu – (Kuna
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Imani)*3
AGNUS DEI: OH LAMB
2. Katika hayo matatu –
Oh lamb of God you take away the Watunzi tutampangia nota mpaka
(Matumaini)*3
sins of the world (have mercy) have
mbinguni 3. Katika hayo matatu – (Kuna
mercy on us
mapendo)*3
2. Enyi wasomi tuambieni,
Oh lamb of God you take away the
sins of the world (have mercy) have wanasayansi tujibuni
AMEN!!
mercy on us
Katika mambo ya mbinguni,
Oh lamb of God you take away the nini kinafanyika duniani
sins of the world (oh grant us) oh
Grant us your peace. 3. Tumetambua kule mbinguni,
hakuna kwenda ofisini
COMMUNION: KAMA AYALA Wala kumbi za burudani,
Kama ayala aioneavyo kiu mito ya
maji ndivyo ninavyokuonea kiu hata kilimo hakuna lakini
Mungu wangu x2 4. Kumbe furaha za dunia hii,
ni upumbafu ni wazimu

You might also like