Professional Documents
Culture Documents
Fomu Ya Maombi
Fomu Ya Maombi
Fomu Ya Maombi
Fomu ya Maombi
Maelezo Binafsi
Jina la Ukoo: _____________________ Jina la Kwanza: _______________________________
Anwani: ________________________________________________________________________
Sifa
Sifa zilizopatikana
Somo Daraja Tarehe ya Kutunukiwa
Historia ya Ajira
Tafadhali eleza historia kamili kwa mtindo wa kalenda ya matukio tangu umalize masomo ya shule
ya sekondari, vikiwemo vipindi vya elimu/mafunzo ya baada ya elimu ya sekonndari na kazi za
vipindi vifupi na za kujitolea kwa nyakati ambazo ni nje ya ajira au elimu/mafunzo na sababu za
kuacha kazi.
I= Mwezi A= Mwaka
Tangu Mpaka
(I/A) (I/A)
Maelezo ya ajira ya sasa
Anwani:
_______________________________________________________________________________
_____________________________________________ S.L.P:____________________
Marefa
Tafadhali toa maelezo kuhusu marefa wawili; mmoja lazima awe mwajiri wa sasa au wa mwisho
kama si mwajiriwa kwa sasa. Tafadhali zingatia kuwa marefa hawakubaliwa kutoka kwa ndugu na
jamaa au wanaoandika kwa sababu za urafiki tu.
___________________________________ _________________________________________
Tamko
Ninathibitisha kuwa maelezo yaliyomo katika fomu hii ni sahihi na kamilifu kwa kadiri nijuavyo.
Mimi si miongoni mwa 99, walioondolewa haki ya kufanya kazi pamoja na watoto, au mwathirika
wa vikwazo vilivyowekwa na chombo cha udhibiti.
Ninayajua majukumu yangu katika kuwalinda watoto na ninajua kuwa ninapaswa kumjulisha
mwalimu mkuu kuhusu chochote kinachoweza kuathiri kufaa kwangu.
Ninakupeni ruhusa ya kuwasiliana na yeyote katika waajiri wangu wa zamani, polisi na DBS ili
kupata maelezo kuhusu kufaa kwangu katika kuwatunza watoto.
Ninathibitisha kuwa kwa kadiri nijuavyo, maelezo yote niliyotoa ni sahihi. Ninafahamu kuwa kutoa
maelezo ya uongo kwa makusudi au yasiyokamilika kunaweza kunisimamisha kazi na ninaweza
kustahili kuondolewa haraka huku kukiwa na uwezekano wa kufikishwa polisi.
Pia ninafahamu kuwa, habari zilizomo katika fomu hii zinaweza kuhifadhiwa katika kompyuta kwa
malengo ya kiutumishi kulingana na Sheria ya Kulinda Habari.
Saini: _________________________ Tarehe: __________________________