Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

MUHUTASARI WA KIKAO CHA FAMILIA YA MAREHEMU VIOLET MBILIMA

GAMBA KWA AJILI YA UTAMBUZI WA MALI ZA MAHEREMU NA


WASIMAMIZI WA MIRATHI KILICHOFANYIKA TAREHE 13 – 7- 2023
NYUMBANI KWAKE MAKONGO JUU (ENEO LA C. C. M) DAR ES SALAAM

AGENDA ZA KIKAO:

1. KUFUNGUA KIKAO.
2. KUCHAGUA VIONGOZI WA KIKAO (MWENYEKITI NA KATIBU)
3. KUJADILI / KUANISHA MALI ZA MAREHEMU.
4. KUTEUA MSIMAMIZI WA MIRATHI.
5. KUTAMBUA WARITHI WA MAREHEMU.
6. KUFUNGA KIKAO
1. KUFUNGUA KIKAO.

Kikao kilifunguliwa saa 5:24 asubuhi tarehe 13-7-2023 na mwenyekiti wa muda ndugu Amon
gamba na kuwataka washiriki wawe watulivu na wasikivu kwa agenda zitakazojadiliwa.

2. KUCHAGUA VIONGOZI:

Wajumbe kwa pamoja wamechagua ndugu Amon Gamba kuwa mwenyekiti na ndugu magera
soga Mbilima kuwa katibu wa kikao.

3. KUJADILI/KUANISHA MALI ZA MAREHEMU.

Kuanisha mali alizoacha marehemu violet Mbilima Gamba marehemu ameacha

(a) Account katika benki ya NMB yenye account iitwayo violet Deonatus Mbilima A/c
22510028226 yenye kadi namba 516167001626
(b) Mirathi ya baba yake violet deonatus mbilima Gamba iliyokwishaingia million kumi na
hivyo mtoto wake Nathan steven Gamba na babu yake Ramadhan mwendwa kfatilia hisa
hizo kama zimeshaingia ili zilipwe
(c) Freeza iliyoko katika kanisa la wasabato mwenge
(d) Magodoro mawili yako kwa salome mapigano
(e) Nyumba kitalu Makon/MONG/245 iliyoko eneo la C.C.M kinondoni mkoa wa Dar es salaam
Nchini Tanzania
Itabaki kuwa mali ya mme wake aitwaye steven Gamba , Nathani Gamba ( mtoto wake) na
Nadine Hope Gamba (mtoto wake)

Pia kiliibuliwa swala la kuwa na hati juu ya hati ya hati ya awali iliyolotolewa na
Suzan Furaha Lugoe, Ester Lugoe kwa kumtaja hao hao Dr Nyoni. (Mwanasheria)
Vilevile mtoto wake Nathan steven Gamba (Mtoto wa marehemu) naye alitamka kuwa
marehemu violet Mbilima steven Gamba alimweleza .
Mwisho kikao; kiako baada ya kusikiliza maoni ya wajumbe wakaamua kuunda
kamati ndogo ili ifatilie kwa ufasaha zaidi kupata ukweli halisi na kuwataja wajumbe
watakaokuwa steven Gamba (mme wake), zakaria mbilima (Baba mdogo), shangazi (Rael
crispo) na jirani yake wanapoishi na miongoni mwa wajumbe wa kikao cha mirathi aitwaye
Elizabeth msaki .

Pindi watakapopata majibu halisi wataambatanisha na kikao cha muhtasari huu wa


wajumbe wote.

4. KUTEUA MSIMAMIZI WA MIRATHI:

Wajumbe wote kwa pamoja wamemteua ndugu steven Gamba (mme wake) atakaekusanya
na kutambua mali zote na kufatilia madeni yote ya marehemu violet Mbilima Gamba

5. KUWATAMBUA WARITHI WA MAREHEMU:


1. Nathan steven Gamba (mtoto wa marehemu ).
2. Nadine Hope Gamba (mtoto wa marehemu).
6. KUFUNGA KIKAO:

Mwenyekiti wa kikao ndugu Amon Gamba aliwashukru wajumbe wote waliohudhuria


kiako hiki na kuwaomba waendelee kutoa ushirikiano wa kutosha na moyo wa upendo pale
watakapohitajika

Na; ndipo mwenyekiti alimwomba mjumbe Tulliar .B. Lugoe kuomba kwa mwenyezi
mungu muumbaji ili atusaidie tupate kilichokusudiwa

Kikao kimefungwa saa 7:18 mchana na kusema ahsanteni kwa uvumilivu wenu na
mungu awabariki Amina

_____________________________________ ______________________________________

MAGERA SOGA MBILIMA

(KATIBU) (MWENYEKITI)

You might also like