Download as txt, pdf, or txt
Download as txt, pdf, or txt
You are on page 1of 1

Blue-story2

05-01-2022

blue story
author:podo tz
story:
contact:(0757953754)
episode 02
Ni muda wa pumziko bakari akiwa na washkaji zake wanapiga story za hapa na pale
wakingojea muda wa pumziko uishe waingie darasani kwa ajili ya vipindi vingine vya
masomo ghafla alikuja mlimbwende mbele yake ,bakari bila kujizuia alitabasamu
"mambo vip mrembo" alijisemesha bakari kwa bashasha," safi tu mzima wew!!"alijibu
mlimbwende huyo huku akiinamisha kichwa chini kwa aibu huku akionyesha ishara ya
kuwa aliitaji mazungumzo ya faragha na bakari ,washkaji zake na bakari walimtania
bakari kwa kusema "nenda kachonge na mtoto mkali bhana we " huku wakicheka,basi
bakari alisogea pembeni na binti uyo."nambie malkia wangu"aliongea bakari huku
akimshika bega binti uyo mrembo aitwae nurrati,"unajua nimekumic kitambo sana baby
yaani na hamu na wew unajua"kwa sauti nyororo ya upole nurrati aliongea, bakari
aliangalia huku na kule kama kuna watu wanawatizama kwa wakati uo kisha akampiga
kiss(busu) " me too sweet ( mim pia baby)una jua nina vibe( mzuka ) la hatari na
wew" aliongea bakari na sauti yake nzito ya kukwaluza," fanya basi tukutane leo
baby kama utojali" alidokeza bakari huku akimtizama nurrati kama simba alieona
kitoweo kitamu,"nitaangalia ila si unajua mama mkorofi" alijibu nurrati uku
aking'ata ng'ata meno kwa aibu ,waliendelea na story zingine kwani ni muda walikua
hawajaonana kutokana na bakari kuwa mtoro wa shule, story zao zilikatishwa na
kengele kuashilia mda wa pumziko umeisha na waliitajika darasani kwa ajili ya
kuendelea na masomo hadi pale vipindi vitakapoisha ,hatimae ilitimu SAA 09:00 na
kengere kulia kuashilia muda wa vipindi ulikua umeisha basi kila mwanafunzi wa
shule iyo alikua bize kukusanya vitu vyake na muda mfupi baadae wanafunzi walianza
kupungua mmoja baada ya mwingine wakati huo bakari alimtafuta mpenzi wake nurrati
kwa ajili ya kuagana nae ." sasa mchumba usichelewe basi na wewe" aliongea bakari
huku kamshika mikono nurrati " sawa mpenzi acha mi niwahi nyumbani ntakuona mida "
alijibu nurrati uku akijichomoa mikononi mwa bakari na
kuondoka........................
.....,..................................................
..............Itaendelea...................

You might also like