Blue Story04

You might also like

Download as txt, pdf, or txt
Download as txt, pdf, or txt
You are on page 1of 1

Blue-story04

07-01-2022

blue-story
author: podo tz
story:
contact: 0757953754
Episode 04
Ni shamla shamla za hapa na pale ndani ya ukumbi huo watu wazito ndo walikua
wamejaa ni milio ya grass na mziki ndivo vilivokuwa vimechukua nafasi kwa mda huo,
bakari aligundua hilo baada tu ya kuanza kuzunguka ndani ya ukumbi kuhakikisha
usalama ."kaka mambo "ni sauti ya mrembo mmoja aliekua ndani ya ukumbi huo alikuwa
akimsalimia bakari, Bakari alishikwa na kigugumiz kutokana na sauti iyo kua nyororo
kiasi kwamba ilimchanganya kutokana na uzuri wake " sa...saafi uko poa wewe","
samahani Kaka tunaweza badilishana namba za simu" aliogea mlimbwende uyo kwa sauti
legevu yenye mvuto"haina noma mrembo usijali"alijibu bakari kwa bashasha akiona
sasa ameokota embe chini ya mdodo ,walibadilishana namba wakaendelea na story ,muda
mfupi baadae kila mmoja aliendelea na shughuli ilio mfanya awemo ndani ya ukumbi
huo,bakari alicheka na kujisifu kuwa yeye ni mwanaume mwenye mvuto kana kwamba
mwanamke yeyote atakae mwona lazima avutiwe nae,aliendelea na kazi yake hatimae
muda wa kazi uliisha na kulipwa ujila wake .asubuhi kunakucha bakari kachelewa
shule anatoka nje" wew bakari hujaenda shule mpaka saivi na unamtihani wa kumaliza
wiki mbili zijazo " aliongea mama bakari kwa hasira ," haaa......pa..na mama
bahati mbaya tu" alijibu bakari kama vile ana kigugumizi kumbe hata kikugugumiz
hana ni uoga tu" haya kavae nguo uende shule haraka"aliongea mama bakari " aah!!
mama mi siendi bhana ntaenda kesho kwanza nimeshachelewa" alijibu bakari huku
akielekea chumbani kwake kumkimbia mama ake,mama bakari alibaki ana laumu tu
hatimae muda ulienda.Ni ndani ya chumba cha mtihani ni karatasi na kalamu vilikua
vikipiga kelele lakini kwa bakari ilikua tofauti hakua na cha kujibu hivyo
alisubili muda uishe akusanye mtihani atoke zake nje , hii ni baada ya wiki mbili
zilizokuwa zimebaki kwa kidato cha nne kufanya mtihani wa kumaliza ,hatimae
mitihani iliisha na maisha mapya kwa kijana bakari yalianza..
................................................................ ........ .
.......................Itaendeleaaa..........................

You might also like