Application Latter

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

DEUS DEMOSCO MTEGA,

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY,

S.L.P 774,

IRINGA.

23/10/2023.

OFISI YA KATIBU

CONSOLATA HOSPITALI IKONDA

S.L.P. 700

NJOMBE

Ndugu

YAH: OMBI LA NAFASI YA KAZI KWA KUJITOLEA MAABARA

Tafadhari rejea kichwa cha barua tajwa hapo juu, mimi ni Deus Demosco Mtega
nimehitimu masomo yangu ya astashahada ya maabara katika chuo cha Ruaha Catholic
University (RUCU) mwaka 2023, ninapenda kuomba kazi kwa kujitolea katika fani ya
maabara kwani ninauwezo wa utendaji kazi katika fani hiyo na nimepata uzoefu kupitia
Hospitali hii ya consolata pamoja na hospitali ya St. Francis Ifakara kipindi cha field practice.
Nimeambatanisha vivuri vya vyeti na matokeo yangu.

Nimatumaini yangu ombi langu litafikiliwa na kukubaliwa.

Wako katika Kristo

D.Mtega

Deus Demosco Mtega

Contacts: 0769107098, deusmtega571@gmail.com

You might also like