Professional Documents
Culture Documents
Darasa La 8
Darasa La 8
Darasa La 8
ke 0713779527
KISWAHILI
DARASA LA NANE
INSHA
INSHA ZA METHALI
Wema hauozi
Wawili si mmoja
MSAMIATI NA MAPAMBO
Saidiana kama
Maiti na jeneza
Kiko na digali
Sahani na kawa
Kinu na mchi
Dovuo mdomoni/mashavuni
Hali ya umaskini/unyonge/ugonjwa
Si lolote si chochote
Masikini hohehahe
Si wa koleo si wa mani
Hawana be wala te
Anachungulia kaburi
Miundo ya maumbo
Kupokea methali
Waambao waliamba_______
Chambilecho wahenga
Tamati
INSHA YA MJADALA
mada
utangulizi
mwili
tamati-kutoa kauli na ushauri
TEKNOLOJIA
Ni maarifa ya kisayansi
Mawasiliano
Utafiti wa kisayansi
Usafiri
Kilimo na ufugaji
Michezo na mashindano
Elimu
Biashara
Mawasiliano
Hutupasha habari
Hutuepusha na maafa
Kuelimisha na kutumbuiza
Utafiti
Elimu
Matumizi ya mitandao
Kanda za video
Elimu ni bahari
Elimu haitekeki
Usalama
Kilimo na ufugaji
Usafiri
Huokoa wakati
Madhara ya teknolojia
Tamati
INSHA YA MASIMULIZI
MICHEZO
Kandanda
Mpira wa vikapu
Voliboli
Naga
Magongo
Riadha
Sarakasi/viroja
www.arena.co.ke 0713779527
Riadha
Kutupa tufe/kijisahani
Msamiati
Tufe
Mzingo
Nusu mzingo
Vijiti
Safu za kukimbilia
Wapasua hewa
Wachezaji wa ngome-walinzi/defense
Wachezaji wa kiungo
Kadi ya manjano/nyekundu
Mshindi/mshinde
www.arena.co.ke 0713779527
Mcuano/kinyang’anyiro/kindumbwendumbwe
Mapambo na maumbo
Uwanja/uga/uchanjaa ulijaa/ulifurika
Na kutweta
Methali
Kutangulia si kufika
Mada
MECHI YA KUSISIMUA
MECHI YA KUKUMBUKWA
KUMBUKUMBU
Kumbukumbu ni maoni ya wote;hivyo basi katibu hafai kutoa hisia zake mwenyewe
Mada/kichwa
Mahudhurio
Ajenda za mikutano
Thibitisho
Mada/kichwa
Mfano
Mahudhurio
Huonyesha walioalikwa
Karani au naibu/katibu
Katibu mwandamizi/mratibu
Ajenda
Mapambo
Thibitisho
Umbo la kumbukumbu
Mada:herufi kubwa
Waliohudhuria
www.arena.co.ke 0713779527
_____________
______________
_____________
Waliotuma udhuru
_____________
____________
_____________
Wasiotuma udhuru
_____________
_____________
Waalikwa
____________
____________
Ajenda
___________
___________
____________
THIBITISHA
Mwenyekiti ____________(sahihi)
Tarehe ______________
Katibu ______________(sahihi)
Tarehe ________________
INSHA YA MAZUNGUMZO
Hatua
Mada/kichwa
Mfano
Alama za uakifishaji
Parandesi au mabano ()
FAIDA ZA ELIMU
Kichango kuchangizana
Hurahisisha mawasiliano
Kuhifadhi siri
Elimu humwezesha mja kusoma uumbe kutoka katika barua au arafa akiwa pekee
Elimu ni irithi
Methali
Elimu ni bahari
Viunganishi na mapambo
Nahau
Tamati
Ninapofikia tamati
INSHA YA MASIMULIZI
MIKASA
Mikasa hii inaweza kuwa ya moto, milipuko ya bomu, zilizala, mafuriko, ajali barabarani,
mlipuko wa volkano na maporomoko ya ardhi
Wakati wa mkasa
www.arena.co.ke 0713779527
Mahali pa tukio
Shughuli za uokozi
Msamiati na mapambo
Mochari-makafani, ufuoni,
Manusura na majeruhi
Huduma ya dharura
Vukuto la moto
Mabehewa(mabogi) yalitapakaa
Taharuki na hekaheka
Methali
Juhudi si pato
La haula la kwata !
Yarabi maskini!
Ole wangu!
Masaalale!
Lo!
Uasidizi
Walitupiga jeki
Niliwatilia upendo
Niliwapa mkono
Maiti na jeneza
Kinu na mchi
www.arena.co.ke 0713779527
Tamati
LUGHA
SURA YA KWANZA
Sarufi:vihisishi
Furaha
Mshangao
Mshtuko
Hasira
Uchungu
Maumivu
Uchovu
Huruma
Dharau
Wito
Laana
Kusikiliza na kuongea:tasfida
Tamko linalomaanisha tabia njema, uadilifu, adabu na namna ya kujichukua kwa heshima
Mifano ya tasfida ni
maamkizi
Sabalkheri ____alkheri
Shikamoo __ marahaba
Cheichei ___hewaa
Maneno ya adabu
Saidia
Mjamzito
Jifungua
Nemsi
Mheshimiwa
Binti
Bwamkubwa
Kuandika: insha
Tathmini-mseto wa maudhui
Mikasa
Mafuriko
Ajali
Moto
Msamiati: mawasiliano
Misitu
Milima
www.arena.co.ke 0713779527
Wanyamapori
Madini
Kuvutia watalii
Kinamasi
Chemichemi
Jangwa
SURA YA PILI
Ufahamu:tuende na wakati
Kuwaongoza kusoma taarifa kwa ufasaha kutambua na kueleza fani mbalimbali za lugha na
manenomagumu
Sarufi:viunganishi
Kasoro-lakini, bali
Kuandika:kukanusha
Ni kukataa
Kufunza ukanusho wa ;
Wakati tegemezi
Timilifu
Ki-ya masharti
Kunditenzi
Nafsi
o-rejeshi na –amba
mama - baba
ajuza – shaibu
shangazi – ami/amu
mbarika – beberu
mkemwenza – mwanyumba
wifi – mwamu
mtwana – kijakazi
SURA YA TATU
ufahamu:mbuyu
mifano ya takriri
salama salimini
bure bilashi
raha na buraha
kufa kupona
liwalo liwe
haambiliki hasemezeki
fanya juu chini
si wa uji si wa maji
daima dawamu
buheri wa afya
hakubali hakatai
hawashi hazimi
mifano
yakini – yamkini
shuku – chuku
fahali – fahari
www.arena.co.ke 0713779527
daawa – dawa
zabuni – sabuni
bali – mbali
kizazi- kisasi
fuka – vuka
futa – vuta
kuandika insha:furaha
sherehe
harusi
mahafali
matokeo ya mtihani
msamiati:nomino makundi
korija ya miaka/mablanketi
safu ya milima
msitu wa miti
shehena ya mizigo
biwi la simanzi
funda la maji
tonge la ugali
kikosi cha polisi
kikoa cha waimbaji
kilinge wachawi
kipeto – barua
robota – ngozi
wingu la nzige
kichala-matunda
www.arena.co.ke 0713779527
SURA YA NNE
ufahamu:roho mkononi
amba ni kitenzi kisaidizi kinachorejelea mtendwa au mtendaji kwa kutambulisha ama kueleza
zaidi ya jambo fukani
mfano
Kujenga mwili
Kuimarisha misuri
Kudhibiti afya
Kuburudisha roho , macho na akili
Gungwi
Bao
Gola
Kibe/kibemasa
Jungwe
Bembea
Kibunzi
Miereka
Msabaka
Kandanda
Sabaranji
Kwata
Natiki
Riadha sarakasi
Kuandika: insha
Tarehe
Mtajo
Hitimisho
Msamiati: visawe
Mifano
Mvulana, barobaro
www.arena.co.ke 0713779527
Ghadhabu, hasira
Daawa, kesi
Nikaha, harusi
Nderemo , shangwe
SURA YA TANO
Ufahamu: mikasa
Usemi taarifa ni ripoti au maelezo yakitolewa na mtu mwengine kutoka kwa msemaji halisi
leosiku hiyo
Janasiku iliyopita/tangulia
Keshosiku ijayo
Mbali kidogo-ako
o-rejeshi awalihutokea kabla ya mzizi wa kitenzi –o- rejeshi tamati hutokea mwishoni mwa
sentensi
Tunda mimea
Fenesi mfenesi
BalungI mbalungi
Chungwa mchungwa
Ukwanju mkwaju
Tofaa mtofaa
Mgomba ndizi
Mpunga mchele
Nafsi
Ndi+ wewe__________ndiwe
Ndi+si______________ndisi
Ndi+ nyinyi__________ndinyi
Ndi + wao__________ndio
o- rejeshi
ndi + ye_________ndiye
ndi + o__________ndio
Kusikiliza na kuongea:mafumbo
pia huburudisha
kuandika:sentensi za kinyume
Mufti uk 220
Msamiati: vitawe
SURA YA SITA
Mufti uk 224-226
Nafsi
Si + mimi___________simi
Si + wewe__________siwe
Si + yeye____________siye
Si + sisi ____________sisie
Si + wao_____________sio
o- Rejeshi
www.arena.co.ke 0713779527
Kuchambua jedwali
Mufti uk 228
Kusikiliza na kuongea:taarifa
Kuandika: misemo
Mifano
Kutolea mifano
Jopo – waandishi
Bumba- nyuki, majani, chai
Genge – wezi, wafanyakazi
Halmashauri – shule
Biwi – taka, simanzi
Asumini-maua
Tano-chokaa
Mshumbi-wali
SURA YA SABA
Ufahamu: mhanga
Mufti uk 234-235
Nafsi
Ngeli Na + o- rejeshi
A – WA na+ye—naye________nao
KI –VIna + cho—nacho_____navyo
LI –YA na + lo—nalo______nayo
U – Ina + o—nao__________nayo
U – ZI na + o—nao_________nazo
U–U na + o—nao________nao
U – YA na+o—nao________nayo
YA – YA na +yo—nayo______nayo
I – ZI na + yo—nayo________nazo
KU na+ko—nako_________nako
Nahau ni fungu la maneno ambayo yakipangwa huleta maana isiyoonekana wazi mpaka
ifafanuliwe
Mifano
Mkono mrefu
Pata jiko
Kuna kichwa
Chanda na pete
Chezea shere
Tia kiwi
Kumpa mkono
Jimbi la kwanza
Mkono wa tahania
Kuwa mafuu
Ponda wa fisi
Tathmini uk 238-239
Msamiati: akisami
Ni sehemu ya kitu
Mifano
1/2 - nusu
1/3 –thuluthi
¼ -robo
1/5 –humusi
www.arena.co.ke 0713779527
1/6 – sudusi
1/7 – subui
1/8 – thumni
1/9 – tusui
1/10 – ushuri
SURA YA NANE
Mufti uk 243-245
Sarufi:A-unganifu
Jedwali
Ngeli A-unganifu
A – WA wa - wa
KI – VI cha - vya
LI – YA la - ya
U–I wa - ya
U – ZI wa- za
I–I ya - ya
U–U wa - wa
U – YA wa - ya
YA – YA ya - ya
www.arena.co.ke 0713779527
I – ZI ya - zi
KU kwa - kwa
Maana ya juu
Maana ya ndani
Matumizi
Mufti uk 246-248
Kuandika: shairi
Mambo ya kuzingatia
Aina za mashairi
Tathmina
Tathnia
Tathlitha
Tarbia
Takhmisa
Tasdisa
Utenzi
Ngonjera
Nyingine
Vina
Mizani
Mleo
www.arena.co.ke 0713779527
Kibwagizo/kipokeo/kiitikio
Malenga
Manju
Ukwapi
Utao
Mwandamizi
Mshororo
Ubeti
Mloto
Msamiati: teknolojia
Mifano
Tarakilishi
Rununu
Mtandao
Tovuti
runinga
Arafa
Kipepesi
Baruameme
Kambarua
Winchi
Kiyoyozi
Pangaboi
Mawimbi
Tathmini uk 250
SURA YA TISA
Mufti uk 253-254
Sarufi: vielezi
Aina za vielezi
Wakati
Namna
Jinsi
Mahali
Idadi
Vuhusishi
Tanakali
Takriri
Tashbihi
Hutumika kwa
Lini- wakati
Wapi – mahali
Vipi – jinsi au namna
Kiasi gani- idadi
Mifano
Mufti uk 259
www.arena.co.ke 0713779527
Mifano
Baba + yake_____babake
Mifano
Mufti uk 260
SURA YA KUMI
Mufti uk 264
Maamkizi majibu
Masalkheri alkheri
Sabalkheri aheri
Hujambo sijambo
www.arena.co.ke 0713779527
Makiwa tunayo
Maagano majibu
Alamski binuru
Buriani dawa
Mufti uk 267
Kuandika: vitawe
Mifano
Kitalu
Hema
Vua
Shuka
Kata
Kitara
Kipusa
Pasi
Kanga
Mlango
Paa
Chuma
Panda
Paji
Moto
Randa
Ota
Kaa
www.arena.co.ke 0713779527
Msamiati: misemo
Ufahamu:unono
Mufti uk 272-273
Sarufi:viulizi
Mifano
Pi: kubainisha kati ya nyingi ili kupata kihusika au mhusika Fulani mahususi
www.arena.co.ke 0713779527
mufti uk 276
masharti
wakati endelezi
ngeli
kielezi namna
lugha udogo
kiwakilishi
aina za vivumishi
A -Unganifu
Sifa
Pekee
Viulizi
Idadi
Vimilikishi
Viashiria
Msamiati: madini
Mfano
Dhahabu
Feruzi
Almasi
Lulu
www.arena.co.ke 0713779527
Shaba
Ulanga
Yakuti
Johari
Fedha
Chuma
Risasi
Chokaa
Feleji
Matale
Asberto
Mufti uk 278
Mufti uk 283-284
Tendeka
Tendesha
Tendeshwa
Vuka vukika
Sahau sahaulika
Maliza malizika
www.arena.co.ke 0713779527
Bomoa bomoka
Kula kulika
Lala lalika
Lima limika
Pika pikika
Soma someka
Fagia fagilika
Oa oza ozwa
Mifano
Jua
Meza
Mbuzi
Kucha
Mto
Kaa
www.arena.co.ke 0713779527
Mori
Ganda
Randa
Mlango
Chura
Karo
Paa
Mufti uk 289-290
Kuandika: sentensi
Momonyoko- mmomonyoko
Arthi- ardhi
Mufti uk 290
wizara ya fedha
wizara ya afya
wizara ya ugatuzi
wizara ya ardhi
wizara ya nishati
www.arena.co.ke 0713779527
wizara ya kilimo
wizara ya utalii
wizara ya maji
wizara ya mazingira
mufti uk 291-292
maswala ya uongozi
michexo na burudani
haki za watoto
utunzaji wa mazingira
Mufti uk 295
Maneno katika hali ya ukubwa huwa ni kukipa kitu ukubwa usio wa kawaida na pia maneno
katika hali ya udogo ni kukidunisha kitu kuliko hali ya kawaida
Ngeli pia hubadilika katika hali ya ukubwa na kuwa LI- YA ,na katika hali ya udogo huwa KI
– VI
Mfano
ng’ombe – gombe
Mkono – kono
Ndama – dama
www.arena.co.ke 0713779527
Mfano
Mji – jiji
Kudodosha ki na kutia ji
Mfano
Kisu – jisu
Mfano
Jicho – jijicho
Mfano
uso – juso
Uta – juta
Msamiati: ukoo/mlango/akraba/ahali
Mfano
Mwanyumba Mamkwe
Wifi Kivyere
Mkemwenza Mjukuu
Mkoi Kitukuu
Binamu/bintiamu Kilembwekeza
Mwamu mnuna
Bavyaa
Mavyaa
Mpwa
Kilembwe
mlungizi
Mjomba/hau
Mkaza mjomba
Shangazi/amati/mbiomba
Bamkwe
www.arena.co.ke 0713779527
INSHA
MUHULA WA PILI
Zilizala
Mlipuko wa bomu
Ukame
Maporomoko ya ardhi
Moto
Ugaidi
www.arena.co.ke 0713779527
Yanayozingatiwa
Mahali pa mkasa
Kushiriki kwako
Uchunguzi na matokeo
Tanbihi : mahali pa tukio – hotelini , mwituni, ofisini, kituo cha mafuta, kiwandani, shuleni,
dukakuu, barabarani, ufuoni mwa bahari, chumba cha maabara
Mapambo
Kushtua
Kuogofya
Kutisha
Kwikwikwi
Mabiwi/mashungi ya moto
Muda si muda, muda kiduchu, kutia na kutoa, fumbo fumbua,bana banua, kuku kumeza
Huzuni
Machozi yaligoma
Methali
BARUA RASMI
Huandikwa ili
Anwani
www.arena.co.ke 0713779527
Kianzio
Sehemu hii huandikwa bwana (BW) au bibi (BI), Mkurugenzi mkuuu, mwalimu mkuu
Mtajo
Kumbukumbu – KUMB
Mintarafu – MINT
Kusudi – KUS
Kuhusu – KUH
Yahusu – YAH
Mwili
Elimu yake
Tanbihi
Tamati/mwisho
Humalizwa kwa
Wako mwaminifu
Sahihi
Jina
SHULE YA MSINGI
YA LIZAR,
S.L.P 93,
NAIVASHA,
NOVEMBA
18, 2015.
MWALIMU MKUU,
S.L.P 2003,
KIKUYU.
mwlili
www.arena.co.ke 0713779527
hitimisho – wako
mwaminifu
sahihi
jina
Msamiati
BARUA YA KIRAFIKI/KIDUGU
Anwani ya mwandishi
Kianzio
Mfano
Utangulizi
Mfano
Methali
Ama kweli/yakini/waama
Mwili
Tamati
Sampuli
BIDII FAULU,
S.L.P 93,
NAIVASHA.
18-11-2015
Utangulizi_____________________________________
Mwili
Hatima
Ni mimi wako,
Jina
la mwandishi
Sherehe –harusi
Siku ya kuzaliwa
www.arena.co.ke 0713779527
Mahafali
Kwenda ughaibuni
Mada
Siku ya siku
Akidi ya kufana
Shamrashamra za ______
Msamiati na mapambo
Kiume – mtanashati
Walipigana pambaja
Methali
Mtu ni watu
Tashbihi
Mfano:
Huhitaji mtahiniwa kuunga mkono hoja moja na kasha kuipinga katika aya inayofuata au kuunga
mkono na baadaye kuzipinga hoja zake
Mada
Utangulizi
Mwili
Tamati
Licha ya
Aidha
Fauka ya
Zaidi ya
Pia
Isitoshe
Mbali na
Hali kadhalika
TEKNOLOJIA
Mitambo
Zana
Kilimo
Ufundi
Njia za mawasiliano
Umuhimu wa teknolojia
Utafiti wa kisayansi
Kurahisisha kazi
Elimu
Kilimo na ufugaji
Michezo na mashindano
Biashara
www.arena.co.ke 0713779527
Usafiri
Mawasiliano
Usalama
Mawasiliano
Hutupasha habari
Hutuepusha na maafa
Kuelimisha
Methali
Utafiti
Elimu
www.arena.co.ke 0713779527
Matumizi ya mtandao
Kanda za video
Methali
Elimu ni bahari
Usalama
Kilimo na ufugaji
Usafiri
Huokoa wakati
Madhara ya teknolojia
Huleta maradhi
Huleta maafa
Mmonyonyoko wa adabu/maadili
Vita
METHALI ZA KUTOHADAIKA
Alipovunja ungo/baleghe
Alipovuka kizingiti cha lango la shule, chuo kikuu ______ maisha yake yaliingia ufa
Kufilisika – hana be wala te , hana kazi wala bazi/hana hanani, fukara fukarike
Iva uso
Vunja uso
www.arena.co.ke 0713779527
Urembo/fedha/sura/jamali
Yakini_____
Taibu_____
Ama kweli_____
Chambilecho wahenga______
Wahenga na wahenguzi______________
Utekaji nyara
Mapambo
Nwele zake za nyufa., kiuno cha nyigu, meno ya mchele, pangika kama lulu
Kutosikia nasaha
www.arena.co.ke 0713779527
Tamaa
Visawe – uchu, ashiki, shauku, hamu, ari, nia, hanjamu, nyege, ukware, ghaidhi, raghba
Methali za tamaa
Maudhui
INSHA YA HOTUBA
Huanza kwa mlahaka/salamu kwa kutambua vyeo kuanzia wa juu mpaka wa chini , sababu ya
mkutano
Mwalimu
www.arena.co.ke 0713779527
Mfano wa utangulizi
Mapambo
ninazo bashasha/furaha/buraha
Rejelea hadhira mara kwa mara – nanyi, enyi wazazi, nasi wanafunzi
Tamati
DAWA ZA KULEVYA
www.arena.co.ke 0713779527
Mifano
Kokeini
Mandraksi
Bangi
Ganja
Miraa au mirungi
Tumbako
Kuvuruga akili
Hudhuru afya
Husababisha saratani
Methali
utovu wa nidhamu
hutabawali kadamnasi
methali
husababisha uraibu
huleta wizi
husababisha uzembe
kupata magonjwa