Irene Costa

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

IRENE COSTA SHIRIMA

S.L.P 235

MOSHI-KILIMANJARO

28/08/2023

MENEJA MKUU,

TARURA KILIMANJARO

S L.P 3022

MOSHI

Ndugu,

YAH: MAOMBI YA KUJITOLEA KATIKA NAFASI YA AFISA UTUMISHI MSAIDIZI.

Tafadhali, husika na kichwa tajwa hapo juu. Ninayo heshima kuomba nafasi ya kujitolea katika nafasi
ya Afisa Utumishi Msaidizi katika ofisi yako ya ngazi yoyote.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na nne (24) muhitimu wa stashahada ya Usimamizi wa
Rasilimali Watu (HRM) katika chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) huko jijini Dar es Salaam.

Pamoja na barua hii nimeambatanisha nakala za vyeti vyangu vya taaluma,CV na cheti cha kuzaliwa.

Nashukuru kwa kuwa ombi langu hili litapokelewa na kufanyiwa kazi.

Wako mtiifu katika kujenga taifa.

IRENE COSTA SHIRIMA

I.C.Shirima

0659-281596

You might also like