Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

KISW 831

CHUKA UNIVERSITY

UNIVERSITY EXAMINATIONS

IGEMBE, CHUKA AND THARAKA CAMPUSES

EXAMINATION FOR THE AWARD OF DEGREE OF MASTER OF ARTS IN


KISWAHILI

KISW 831: MBINU ZA UTAFITI KATIKA KISWAHILI

STREAMS: MA KISWAHILI (PART TIME) TIME: 2 HOURS

DAY/DATE: TUESDAY 04/12/2018 11.30 A.M. – 1.30 P.M.

MAAGIZO:
 Jibu maswali yoyote matatu.

1. Utafiti ni sayansi. Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano katika taaluma ya Kiswahili.
(alama 20)
2. Pambanua umuhimu wa nadharia katika utafiti wa Kiswahili. (alama 20)

3. Jadili dhima ya mwauo wa maandishi katika pendekezo la utafiti. (alama 20)

4. Usampulishaji ni wa aina nyingi. Jadili kauli hii kwa kurejelea tafiti za Kiswahili.
(alama 20)
5. Tathmini changamoto zinazokabili utafiti wa Kiswahili katika karne ya Ishirini na Moja.
(alama 20)
6. Bainisha vipengele muhimu ambavyo hupatikana katika tashifu. (alama 20)
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Page 1 of 1

You might also like