Professional Documents
Culture Documents
Tapatalk-Download91803468Njama Za Vatican Kwa Dunia
Tapatalk-Download91803468Njama Za Vatican Kwa Dunia
Tapatalk-Download91803468Njama Za Vatican Kwa Dunia
Kimetafsiriwa
1 na
Barry Mapolu
Tunahangaika
Kwasababu
Hatu Ujui
Ukweli.
Tutapata
Tabu Sana
2
SEHEMU YA KWANZA:
Tuiangushe Marekani, kisha tuiangushe Dunia.
Marekani ya leo inakutana na adui ambaye ni hatari, adui ambaye hana
mfano wake. Huyu sio adui anaekuja kijeshi tu lakini hili ni kundi ambalo
liko vizuri kwenye upelelezi na uwezo wa hali ya juu katika kushambulia
bila mlengwa kutambua, na haya yote yanafanyika katika ardhi ya
Marekani yenyewe. Ingawa lengo ni dunia nzima, ila sharti, Marekani
kwanza. Watu hawa wana uonekano wa kawaida kitu ambacho ni
vigumu kung’amua mambo wanayo yaendesha nyuma ya pazia. Ama
kwa hakika, hivi sasa, adui huyu anafanya kazi kwa siri kubwa
kuziangamiza sera ambazo zimeifanya Marekani nchi mashuhuri
ulimwenguni. Adui huyu amejichomeka mpaka ngazi za juu katika idara
zote za serikali ya Marekani na hii inafanya adui huyu kumiriki hatari
kubwa.
Hebu tuangalie historia fupi ili tuelewe njia ambazo adui huyu
amezitumia tokea mwanzo na vile ambavyo hizo mbinu zinafanya kazi
sasa. Mwisho wa siku ulaya ilikuwa imetulia. Mashindano ya kila nchi ya
ulaya yaliyokuwa yamedumu kwa takribani miaka ishirini, ya kutaka
kuwa juu ya nchi zingine kwa wakati huo yalikuwa yamekwisha. Mauaji
ya kutisha yaliyokuwa yametokea kwa kipindi chote hicho yaliwafanya
watulie. Hivyo basi, mataifa ya ulaya yalitengeneza baraza na baraza hili
lilifanya mkutano katika jiji la Vienna, nchini Austria mwaka 1814, na
baraza hili lilikuja kujulikana kama kongamano la Vienna (Congress of
Vienna), na kongamano hili liliendelea na mikakati yake mpaka mwaka
1815. Lakini kongamano hili la Vienna lilikuwa na njama nyeusi dhidi ya
nchi zilizokuwa zinajiwala, na kiongozi wa kongamano hilo akaamua
kutengenezwe kitu kinachoitwa ‘muungano mtakatifu’ (Holy alliance).
Lakini muungano huu ulikuwa ni mwamvuli wa uongo waliotumia
kuwahadaa watu.
Kongamano hilo lilikubaliana kwamba wataibariki kwa nguvu zote
sehemu ya sita ya makubaliano ya vienna yaliyosema kwamba: kuwepo
3
na ahadi ya dhati kutoka kwa washirika wote kwamba pasiwe na mkakati
wowote au hila ya kuziangusha serikali zinazojiwala popote
zinapopatikana duniani na kurudisha utawala wa kifalme au marikia
kwenye maeneo au nchi ambazo watawala wake waliondolewa. Lakini
mataifa yaliyohusika sana na kuweka sahihi kwenye mkataba huo
yalikuwa ni Urusi, Ujerumani, Austria na Papa Pius VII, mfalme wa nchi
zilizokuwa chini ya papa. (Rejea kitabu cha “ukweli uliozimishwa kuhusu
kifo cha rais wa marekani Abraham Lincoln (The Suppressed Truth About
the Assassination of Abraham Lincoln) kilicho chapishwa na Arya Varta
ukurasa wa 1924.
9
Kama kuna kundi la watu wanaostahili kulaaniwa milele duniani na
kuzimu ni kundi la jamii ya watu wa Shirika la yesu.
12
Hotuba ya Rais Monroe ilikuwa ni majibu dhidi ya Shirika la yesu na
mikakati waliyokuwa wameipanga kwenye kongamano la Vienna na
Verona. Marekani ilichukulia kama ni kitendo cha vita iwapo taifa lolote
la ulaya lilikusudia kutanua wigo wa ukoloni katika upande wa magharibi
wa dunia. Lakini Shirika la yesu wameweza kuivamia Marekani na
kuzama kila mahali ili kukamilisha mipango waliyoiweka siku nyingi dhidi
ya Taifa la Marekani kwa usiri mkubwa bila kujulikana kwa kutumia
kivuri cha kanisa katoliki.
Jefferson aliona hili kama ni janga kubwa kwenye taifa ambalo ndio
kwanza lilikuwa na historia changa kwasababu ya nia ovu ambayo Shirika
la yesu walikuwa wamepewa amri ya kuitekeleza katika kuiharibu
Marekani. Msimamo huu wa Monroe ukawa kikwazo kwa ulaya kwenye
mikakati yake ya kuitawala Marekani. Hata hivyo Monroe hakujua
kwamba Shirika la yesu, mwanzoni mwa mapambano yao walikuwa
hawatumii siraha kukamilisha malengo yao. Walikuwa watu wa kunyata
na waliokuwa wanaendesha mambo yao kwa siri kubwa. Walikuwa ni
watu wa kujishusha sana. Walikuwa wakipandikiza ma ajenti wao katika
nafasi mbalimbali kuanzia kwenye utajiri, watu wenye nguvu serikalini
na kisha watu hao watatumia ushawishi wao kutimiza malengo yao….
Kwamba watu hao walete uasi na waharibu kanuni nyingi za
kiprotestanti au kilokole zilizojazwa kwenye katiba ya Marekani.
14
SEHEMU YA PILI: RAIS ANDREW JACKSON
Andrew Jackson alichaguliwa kwenye nafasi ya urais mwaka 1828.
Ushujaa wake na ujuzi wa kijeshi katika kuwashinda waingereza kwenye
vita ya mwaka 1812 unafahamika sana. Katika vita yeye mwenyewe
alikuwa mstari wa mbele na zana za vita, lakini sasa alikuwa
anakumbana na adui tofauti kabisa. Adui huyu alikuwa akidai na yeye ni
mmarekani kama yeye Andrew Jackson, na alikuwa kwenye ngazi za juu
za uongozi kama yeye mwenyewe. Shirika la yesu walikusudia kuiharibu
Marekani kama vile walivyokuwa wamepanga nia yao ovu katika
mabaraza yao ya Vienna, Verona na Chieri, na haya yalikuwa
yakitekelezwa kwa mapana na marefu yake katika kipindi cha uraisi wa
Andrew Jackson. Shirika la yesu walikuwa miongoni mwa wamarekani na
walionekana kama wamarekani. Kwa hakika walikuwa ni raia wa
Marekani isipokuwa utii wao ulikuwa kwa papa wa Roma (zamani
ilikujulikana kama Rumi). Malengo yao yalikuwa ni yale ya kipapa. Watu
hawa walikuwa ni wasaliti na hatari kubwa kwa ustawi wa muungano wa
majimbo ya Marekani (USA). Taifa linaweza kustahimili kama litakuwa na
wajinga wajinga na wale wenye tamaa. Lakini taifa haliwezi kusimama
kama litakuwa na wasaliti, na usaliti ukawa unatokea ndani.
15
pasipokujulikana anadhoofisha nguzo za zinazoushikiria mji; anauathiri
mfumo wa siasa kiasi kwamba wanasiasa wanakuwa hawampingi tena”.
17
walikuwa wakimshangaa Colhoun kama makamu wa raisi kwa
kusimamia swala hili kwa kiwango cha chini.
Daniel Webster alisema: Itakuwa vigumu kwa dunia kuamini kwamba
Marekani kuna mgogoro wa karolina ya kusini na mjombo yote na
kwamba kila jitihada zimefeli kukoa jambo hili, ila ifahamike kwamba
Dunia haita ikubali sababu tutakayo itoa zaidi ya kujua wewe una ajenda
ya siri ambayo hata mambo ya kodi yakirekebishwa bado mgogoro huu
utaendelea kuwepo. Daniel Webster alijua kwamba jambo hili lilikuwa
limezama zaidi ya vilindi vya kodi. Na hata mambo ya kodi yangekuwa
yamemalizika bado mgogoro ungedumu. Colhoun lilikuwa ni pandikizi la
Jesuit lililotumika kuigawa Marekani katika pande mbili. Daniel alikiuwa
sawa kwa kile alichokuwa akikiona. Swala la kodi likaisha lakini wimbi la
kuigawa marekani likawa bado lipo. Damu ya vita ya wenyewe kwa
wenyewe (Civil War) inarudi na kumkuta mwanzilishi John C. Colhoun.
18
mikutano ya Vienna, Verona na Chieri, hivyo basi wanajamii wa Shirika la
yesu walikuwa na kila sababu ya kupambana nae.
20
History of Banking and Currency in the United States, Chelsea House, pp.
26, 27).
Maoni haya ya Rais Jackson hayakuwa mageni kuyasikia. Wengi wao
walijua nguvu iliyokuwa imejificha nyuma ya walikokuwa wakiendesha
benki hiyo. Mayer Rothschild alisema; mimi natoa na kudhibiti pesa ya
taifa na sijari sana nani anaandika sheria. Kwa upande wao wana ukoo
wa rothschild waliongozwa na sera ya ‘aliye na dhahabu ndiye huweka
sheria!’. Wana ukoo wa rothschild walikuwa wameiteka dunia vizuri
zaidi, kwa mbinu ya kunyata pasipo kujulikana zaidi na watadumu kwa
muda mrefu kuliko akina kaisari waliopita au akina hitler watakao fuata.
Hebu tuiangalie benki hii inayoitwa benki kuu ya Marekani (central Bank)
ili tujue ni namna gani ilivyo ya hatari. Watu wengi hudhani benk kuu ya
Marekani inamilikiwa na serikali ya Marekani kitu ambacho ni tofauti.
Hapa kuna ufafanuzi ambao unaelezea moja ya vile benki hii inavyo
fanya kazi. Benki kuu ya Marekani (The central bank, the Federal Reserve
Bank), ni benki inayomilikiwa na mabilionea flani ambao wana nguvu
katika dunia hii. Benki kuu ya Marekani ina mahusiano tu na matajiri
hawa. Kabla ya hapo kulikuwa na benki katika taifa ambazo zilikuwa
zikishindana, hivyo wateja wote, ambao ni wanachi walikuwa na wigo
wa kuchagua waende benki gani. Lakini kwa sasa mambo hayako hivyo
tena. Wote tunajua kwamba serikali ya Marekani hukopa pesa ya
matumizi hivyo deni la taifa limekuwa kubwa sana. Lakini kwanini
imekuwa hivi?. Hebu tazama mfano huu. Chukulia serikali ya Marekani
inataka kukopa trilioni saba. Serikali inaweka dhamana kwa ajili ya
mkopo huu, kama ambavyo kampuni ya maji inayotaka kuweka bomba
jipya la maji au bwawa. Serikali hii hii ya Marekani inaweka dhamana ya
trilioni saba kwenye benki kuu. Serikali hii hii ya Marekani kwa kutumia
dhamana hiyo inaiagiza idara ya kuchapisha pesa kuchapa noti na sarafu
21
zenye thamani ya trilioni saba. Baada ya wiki mbili au tatu, baada ya
pesa kuwa zimechapishwa au kuchapwa (printed), idara ya uchapishaji
pesa inapeleka pesa hiyo kwenye benki kuu, na baada ya hapo benki kuu
inaandika cheki ya kama milioni hamsini kuilipa idara ya kuchapisha pesa
hiyo ya trilioni saba. Hapo sasa benki kuu ya marekani ndipo itakapo
chukua hizo trilioni saba na kuikopesha serikali ya Marekani, na watu wa
Marekani ndio watakao lipa riba ya trilioni saba inayokuwa kila mwaka.
Faida huenda kwa wamiliki wa benki kuu ya Marekani ambao
hawajaweka hata senti tano ili kustahili faida hiyo.
Mpango wa kuwa na benki iliyo yao kwa jina la benki kuu ulizuiwa kwa
muda na rais Andrew Jackson. Rais huyu huyu alizuia haki za kila jimbo
na kazuia mikakati ya biddle kuiendeleza benk hiyo. Kama mipango yote
itafeli basi huwa inakubarika kuua mtu anatakaye simama mbele ya
mipango ya Shirika la yesu. Raisi alikuwa anazichukia njama hizi
wanasayansi kwenye mambo ya fedha zilizokuwa zinatengenezwa ndani
na nje ya Marekani. Shirika la yesu wakawa na hasira. Haikushangaza,
kwamba mnamo Hanuari 30, 1835, jaribio la kutaka kumuua lilifanyika.
Kwa miujiza, bastola zote mbili za muuaji zilishindwa kutoa risasi na
hivyo hatima yake iliyotaka aendelee kuishi ikambeba. Hilo lilikuwa
jaribio la kwanza la kutaka kumuua rais wa marekani. Mtu aliyetaka
kumuua rais aliitwa Richard Lawrence ambaye inawezekana kweli
alilukwa na akili au alijifanya kana kwamba akili zili mluka ili kuepuka
adhabu. kwa mfumo uliokuwepo, taifa limevamiwa na watu wa papa,
lawrence hakupatikana na hatia mahakamani. Baadae ilikuja kujulikana
kwamba alikuwa akijitapa kwa rafiki zake kwamba alikuwa akisaidiwa na
watu wenye nguvu ulaya hivyo hata angepatikana na hatia
wangemsaidia.
23
SEHEMU YA TATU:
RAIS HARRISON, TAYLOR, NA RAIS BUCHANAN
William Henry Harrison alichaguliwa kwenye nafasi ya urais wa Marekani
mwaka 1841. Alikuwa na afya nzuri akiwa na miaka 67, miaka ambayo
alianzia urais. Wote walio mfahamu walijua hakutakuwa na tatizo kwa
rais huyo kumaliza kipindi chake cha miaka minne. Hata hivyo, ni baada
ya siku therathini na tano (35) tokea achukue kiapo cha kuongoza taifa
hilo alifariki mnamo april 4, 1841. Zaidi ya yote, ukitafuta habari za rais
huyo kwenye vitabu vya kumbukumbu vya encyclopedia utaambiwa
alifariki kwa niumonia (ugonjwa unaopelekea mapafu kujaa maji eitha
kwasababu ya baridi au athari za bakteria), kwenye baridi kali ya
washington D.C., lakini hiyo si kweli. Niumonia haikusababisha kifo
chake.
Wakati Harrison alipokuwa anachukua urais kulikuwa na hali nzito katika
nchi. Kulikuwa na matatizo ya malumbano kati ya majimbo ya kaskazini
na kusini kuhusiana na swala la biashara ya watumwa. Kulitakiwa
kufanyika marekebisho katika makubariano ya texas kwamba je biashara
ya watumwa iendelee au ikome. Kulikuwa na jaribio la kutaka kumuua
rais Jackson miaka sita iliyopita. Harrison akawa amechukua urais miaka
ishirini (20) kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe (civil War) nchini
Marekani. Wingu la Shirika la yesu lilikuwa limeifunika Marekani kwa
uzito.
Kama Elizabeti, Rais William Henry Harrison alipokuwa anaapa kuwa rais
wa Marekani, Shirika la yesu waliona anapingana nao wazi wazi. Bahati
mbaya siku therathi na tano tu katika kipindi chake cha kwanza cha
utawala akauawa kwa sumu akiwa ikulu. Generali Harrison hakufa kwa
26
kifo cha asili, wala sio kwamba afya yake ilikuwa na matatizo – isipokuwa
ilikuwa ni kitu cha kufisha haraka. Hii ndio sumu kubwa inayotumika
katika kuua kwenye dunia ya tabibu (medical). Zipo sumu za asidi mbali
mbali ambazo htumika kumuua mtu ndani ya dakika chache na hazimpi
mtakiwa muda wa kuepuka kifo. Hivyo basi, sumu iliyotumika kumuua
rais ilikuwa sio ya kutoa kifo cha ghafra, bali ya kuua taratibu. Aliishi
kama siku sita baada ya kupewa sumu. Rais William Henry Harrison
alikuwa rais wa kwanza kuuawa na Shirika la yesu, katika juhudi zao za
kutaka kuiweka Marekani na katiba yake chini ya papa. Hali hiyo
ingeendelea kwa rais yeyote ambaye angekuwa akipingana na Shirika la
yesu. Rais aliyefuata, Zachary Taylor, na yeye pia alikataa, hivyo akawa
kwenye orodha ya wanaotakiwa kuondolewa.
Jeshini, Taylor alifahamika kama mtu mkuu katika vita. Rafiki zake
walimuita ‘mtu aliye tayari wakati wote’. Aliingia ikulu ya Marekani
mwaka 1848, na baada ya miezi kumi na sita akawa amefariki.
30
SEHEMU YA NNE: RAIS ABRAHAM LINCOLN
Mwaka 1856, mtumwa mmoja kwa jina la Dred Scott alitakiwa kupata
uhuru wake katika jimbo huru la Kansas. Kesi hiyo ilikuwa ni muhimu
sana kwamba ilienda mpaka mahaka kuu. Hukumu ya kesi ya mtu asiye
maalufu Dred Sott, ilikuwa ikiamriwa na jaji muumini wa kanisa katoliki
mwenye siasa kali za kikatoliki jaji Taney, aliyekuwa jaji mkuu wa
marekani kwa kipindi hicho. Uamuzi wa Jaji Taney, ulikuwa ni katika
mtizamo anaoujua mwenyewe kwamba mtu mweusi alikuwa hana haki
yeyote ambayo ilitakiwa kuheshimika na mzungu (white man). Hii moja
kwa moja ilitafsiriwa kwamba mtu mweusi alikuwa wa daraja la pili
(inferior) kutoka kwa mzungu hivyo alikuwa hana haki.
31
kushindana na kanisa lote la katoliki duniani. Charles Chinikui alijua
kwamba kuna mwanasheria mmoja, Abe (Abraham) Lincoln, katika
illinois ambaye alikuwa ana msimamo dhabiti. Chinikui alimuomba
Lincoln kama mwanasheria asimame upande wake wa utetezi, jibu
likawa ni “ndiyo, nitafanya hivyo katika kulinda heshima yako kwenye
tarehe iliyopangwa ya kesi yako”.
35
Katikati ya mafanikio ambayo yalikuwa yanaendelea huku kengere za
nchi zikipiga kwa furaha, mabaya yalianguka na yalipelekea nchi
kuzidiwa katika hofu na vilio. Ijumaa ya Aprili 14, Rais Lincoln
alitembelea maonyesho ya gari za Ford jijini Washington. Akiwa amekaa
kwenye eneo la maonyesho, kuna mtu alitokea kwa nyuma akatoa
bastola kutoka mfukoni na kumpiga kwa risasi kichwani. Rais alipokuwa
akianguka, huku mke wake aliyekuwa amekaa pembeni yake akipiga
kelele kwa nguvu, muuaji akaruka kutoka jukwaani huku akisema ‘Sic
siemper tyrannus! (kiratini – ‘ndivyo tutakavyo fanya kwa kiongozi
yeyote mbaya’) na kupotelea nyuma ya jukwaa.
Hivyo Rais Lincoln akaendelea kusema; vile vile ni kweli Maede bado
amebaki na sisi, akiwa amesha pambana vitani. Lakini ilikuaje
wakashindwa katika vita hivyo ikiwa alikuwa na wasaidizi mahili kama
Howard, Reynolds, Buford, Wadsworth, Cutler, Slocum, Sickles, Hancock,
Barnes, na kadharika. Lakini kuna ushahidi kwamba ukatoliki wake
uliuzidi nguvu uzalendo (patriotism) baada ya vita. Mbona alimuacha Lee
na jeshi lake wakimbie wakati walishawekwa chini ya ulinzi na
ukichukulia jeshi la Lee liliua zaidi ya nusu ya wanajeshi walio mtii katika
hizo siku tatu za maangamizi makubwa (carnage).
Maede alipotoa amri ya kulifuata Jeshi la Lee, ghafla kuna mtu akaja
makao makuu ya Jeshi kumuona Maede, na baada ya maongezi ya kama
dakika kumi na huyo mtu, Jeshi la Lee halikufuatiliwa isipokuwa Maede
akatoa taarifa kwamba Jeshi lake halikufanikiwa kawakamata!
41
Rais akaendelea kusema,
Watu wa kawaida wanapoona makelele ya gari za kivita husema hao ni
mala Jeff Davis, mala Lee au Toombs na Semmes na kadharika na kweli
wao hudhani hawa ndio wanao ichafua Marekani na ni chanzo cha
matatizo tuliyonayo. Lakini hili ni kosa. Kwasababu wanaoendesha
mambo haya kwa siri wamejificha kwenye kuta za Vatikan, kwenye vyuo
na mashule ya wakatoliki, mala mtakatifu Clement au chuo cha
mtakatifu Augustine (st. Augustine) na ma sista na mapadri wote wanao
amini raisi wa dunia ni papa.
42
SEHEMU YA TANO: KUZAMA KWA MELI YA
TAITANIK (TITANIC)
Tunapokuwa tukiyakumbuka matukio yaliyo tingisha historia katika
miaka mia moja mpaka mia mbili iliyopita, kuna mengine yenyewe tu
yanaonekana yalikuwa sio ya kawaida kwakuwa yalitisha, yalishitusha na
yalileta huzuni. Miongoni mwa ambayo huja akilini, yaliyokuwa ya
kutisha zaidi ni kuangushwa kwa majengo ya kituo cha biashara cha
dunia (World Trade Center) katika jiji la New York na kuzama kwa meli
ya taitanik. Huwezi amini kwamba matukio haya makubwa yaliyotokea
ndani ya miaka miambili hii yalikuwa yamesukwa na Vatikan. Sasa
utaonyeshwa Shirika la yesu walipanga na kutekeleza kuzama kwa meli
na kwanini walifanya hivyo. Tokea miaka ya 1830, Marekani haikuwa na
benki kuu. Shirika la yesu walitaka sana kuwa na benki katika Marekani
ili kwamba wapate kisima cha kuchota pesa kwa ajili ya vita mbali mbali
walizokuwa wanazianzisha pamoja na mipango yao michafu na ya siri
waliyokuwa nayo duniani kote. Mwaka 1910, watu saba walionana
kwenye kisiwa cha Jekyll umbali mdogo kutoka pwani ya Georgia ili
kuanzisha benki kuu, ambayo waliipa jina la Benki kuu ya taifa (Federal
Reserve Bank). Majina ya watu hao ni Nelson Aldrich na Frank Vanderlip,
hawa wawili waliwakirisha ngome ya benki ya mamilionea wa
rockefeller, Henry Davison, Charles Norton na Benjamin Strong, hawa
waliiwakirisha benki ya J.P. Morgan; na Paul Warburg, myahudi
aliyewakirisha benki ya matajiri wa dunia hii walioko ulaya, utawala wa
benki ya mtoto wa Rutu - Ulaya (Rothschild banking dynasty of Europe).
Tumesha ona kwamba familia ya Rothschilds walikuwa ni wakala wa
Shirika la yesu, wakitekeleza mambo yaliyokuwa yakipangwa na papa, na
hawa ndio wanashikilia ufunguo wa utajiri wa kanisa katoliki kwenye jiji
la Vatikan. Washindani wa kibishara wa benki ya Morgan, walikuwa
karibu na wamiriki wa benki ya rothschild. Miaka ya 1857, benki ya
Morgan, ambayo imejikita uingereza, ilianguka vibaya kiuchumi na
ikasaidiwa na benki kuu ya uingereza kwa msaada zaidi wa Rothschils.
Baada ya hapo benki ya morgan ikaanza kufanya kazi zaidi kama wakala
43
wa fedha wa Rothschild, ingawa benki ya morgan ikatanuka zaidi na
kuonekana kama ni benki ya Marekani…..
wamiriki wa rockefeller walipoingia sokoni kwa ajili ya biashara za
kibenki, hawakukaribishwa na wana benki wa morgan, na hivyo
ikapelekea waanze kuwekeana zengwe wao kwa wao katika ushindani.
Mwisho wa siku waliamua kupunguza mashindano kisha wakaungana.
Na walipoungana wakatengeneza benki ya kigaidi, waliyoipa jina la Benki
Kuu ya Marekani.
Siku Taitanik ilipokuwa inaondoka kutoka kusini mwa uingereza april 10,
1912, Francis Browne, aliyekuwa kiongozi wa kiroho wa kapten Edward
Smith alipanda meli hiyo. Francis Browne alikuwa ni kasisi mkuu na mtu
mwenye nguvu katika ulaya na alikuwa anaripoti moja kwa moja kwa
papa, Vatikan. Siku iliyofuata, Taitanik ilisimama kwenye bandari ya
46
queenstown, Ireland. Hapa abiria wengi waliokuwa wanatafuta uhamiaji
Marekani wakaingia kwa wingi, na ni hapo baba kasisi Browne akashuka
baada ya kumkumbusha kapten Edward ni nini papa alikitaka kutoka
kwake, akamalizia na kupiga picha ya pamoja na mamia ya abiria walio
ingia katika meli hiyo.
Meli iliundwa makusudi kwa ajiri ya maadui wa Shirika la yesu. Ikiwa siku
ya tatu meli iko majini, na pea moja tu ya kioo kwa ajili ya daraja,
Edward Smith akaongeza spidi ya meli mara dufu, spidi ya nots ishirini na
mbili, ni giza na ni usiku huku aki elekeza meli kwenye bonge la barafu
lililokuwa na ukubwa wa kilomita saba kwa mapana na kilomita saba
kwa malefu. Meli ilikuwa na mfumo wa kuonya iwapo spidi itakuwa
47
kubwa, hata hivyo maonyo nane ya meli kwamba spidi ilikuwa imzidi
kupita kiasi, yalipuuziwa na Edward Smith. Bahari na njia aliyokuwa
akipita alikuwa na uzoefu nayo kwa miaka ishirini na sita, na alijua
kwenye hilo eneo barafu kubwa ilikuwepo. Lakini angefanya nini? Ikiwa
kiapo ilikuwa ni kuizamisha Taitanik. Hata meli ilipogonga barafu, mmoja
wa wasaidizi wake alimkumbusha kushusha boti za dharula, Edward
Smith aligoma.
Mkea wa tajiri John Jacob Astor aliingia kwenye boti ya uokoaji,
akaokoka wakati mme wake ana angamia kwenye maji ya bahari ya
atlantik ya kaskazini. Kulikuwa hakuna boti za uokoaji za kutosha, na
hata zilizokuwepo hazikujaa isipokuwa zilikuwa na wanawake na watoto.
Kunapokuwa na majanga baharini, meli huwasha taa nyekundu za
kuwakawaka ili kuomba msaada kwa meli na ndege au helkopta zilizo
maeneo ya karibu, ila Edward Smith aliwasha taa nyeupe kuonyesha
meli yake haikuwa na shida yeyote.
Hili ni moja ya janga lililotokea kwenye karne ya ishirini, kuzama kwa
meli ya taitanik, kwa amri ya Vatikan. Meli ambayo ujenzi wake
haukuiweka kwenye zile zinazoweza kuzama kirahisi, au makazi ya
kifalme yanayo elea, kumbe ilibuniwa kuwa kaburi la matajiri, matajiri
waliokuwa wanapinga benki kuu kuanzishwa Marekani. April 1912,
wapinzani wote wakawa wameteketea, na December ya 1913, benki kuu
ya Marekani ikawa imeanzishwa na inafanya kazi nchini Marekani. Na
baada ya miezi nane punde benki kuu ilipo anzishwa, Shirika la yesu
wakawa na pesa ya kutosha iliyo wawezesha kuanzisha vita ya kwanza
ya dunia.
48
SEHEMU YA TANO: VITA YA KWANZA YA DUNIA
Aliye rithi kiti cha kifalme kwenye nchi za Austria na hungary Archduke
Francis Ferdinand na mke wake, walikuwa katika mji wa Sarajevo july 26,
1014. Wakiwa katika gari ya wazi, walikuwa wakipita katika mitaa yenye
mikusanyiko mikubwa ya watu, risasi zikamiminika kwao, na wote wawili
wakapoteza maisha. Watu wa Sarajevo walikuwa ni wasebia halisi. Na
dini yao katika kuamini ilikuwa ni orthodox (wakristo wanao amini kila
neno katika biblia bila kupunguza wala kuongeza). Tokea mwaka 1054,
kumekuwepo na vita ya mala kwa mala kati ya waumini wa kanisa
katoliki na wakristo wa orthodox. Miaka hamsini kabla ya kifo ha
ferdinand na mke wake, wakrotia, ambao wengi ni wakatoliki, walikuwa
wakionyesha chuki yao dhahiri dhidi ya watu wa serbia, hivyo basi watu
wa nchi ya crotia walikuwa wanakusudia kuwa angamiza wasebia wote.
Papa Pius wa kumi (Pius X), katika chuki yake dhidi ya wakristo wa
orthodox, alikuwa akimhimiza mfalme mtangulizi wa Ferdinand, Fransis
Joseph kuhakikisha anawamaliza wasebia. Baada ya tukio la sarajevo,
july 26, 1914, Baron ritter, muwakirishi wa ujerumani katika jimbo la
Bavarian, aliandika ujumbe huu kwenda kwenye serikali yake: “Papa
amekubali Austria iendelee kkuwakatilia mbali wasebia. Hajatoa
ufafanuzi kuhusu majeshi ya Urusi na Ufaransa iwapo Ujerumani
itapambana nao. Katibu wa papa Vatikan, hajui ni lini Austria itaamua
kupigana ikiwa sio kwa wakati huu…”
Hapo, rangi halisi za papa zikaonekana, papa ambaye ni muwakirishi wa
yesu duniani, mtume wa amani, baba mtakatifu ambaye watumwa wake
husema yeye huugua sana anapo ona wanadamu wanakuwa katika vita.
49
orthodox, na lengo la papa ni kuona wa orthodox wengi wana angamia
kadiri inavyo wezekana.
Urusi ikaingia katika mgogoro. Huu ulikuwa ni wakati wa papa kulipa
kisasi. Kwakuwa miaka kama mia moja kabla ya vita ya kwanza ya dunia
kuanza, Alekzanda wa kwanza (Alexander I) mtawala wa urusi,
aliwafukuza Shirika la yesu (jeshi takatifu la papa) wote urusi. Alekzanda
alitoa amri mwaka 1816 kwamba Shirika la yesu wote waondoke kwenye
majiji ya Petersburg na Moscow. Kwakua amri ya wakati huo
haikufanikiwa, akatoa amri nyingine mwaka 1820, na wakati huu
aliwataka wasionekane kabisa katika Urusi yote, au hakukutakiwa kuwa
na kanisa katoliki kwenye himaya ya Urusi. Miaka mitano baadae,
Alekzanda liuawa kwa sumu. Wanafamilia wote wa Alekzanda wakawa
kwenye mashambulizi ya Shirika la yesu.
53
SEHEMU YA SITA: VITA YA PILI YA DUNIA
Vita ya pili ya dunia ilikuwa ni vita kubwa na yenye uharibifu mkuu katika
vita zilizowahi kutokea duniani. Maelfu ya watu walipoteza maisha
katika vita hii. Watu wengi hawajui kwanini vita hii ilipiganwa na nini
kilikuwa chanzo. Si kweli kwamba vita hutokea tu. Vita hupangwa na
kutekelezwa viongozi wa serikali kwa maslahi yao wenyewe. Rais wa
Marekani, Franklin D. Roosevelt alisema, “katika siasa, hakuna
kinachotokea kwa bahati mbaya. Kama ikitokea jua hivyo ndivyo
ilivyopangwa”
Papa na mawakala wa shirika la yesu siku zote wamekuwa na huwa ndio
wanaoanzisha vita, na pale panapokuwa na vilio duniani kwa sababu ya
vita, Sherehe hufanyika Vatikan. Kwa karne nyingi, kila vita iliyotokea
ukaya ilikuwa na msukumo wa vatikan. Papa, kama ilivyokuwa kwa
dikteta wa mkatoliki Mussolini, Hitler na yeye anahusika kwa mauaji ya
wayahudi milioni sita. Kulikuwa na mkutano kipindi kifupi kilichopita
kwenye mji wa Assisi, Italia, ambapo papa john paulo wa pili (Pope John
Paul II) alinukuliwa akisema, “Machafuko yanatakiwa yakomeshwe! Vita
vinatakiwa vikomeshwe! Ugaidi unatakiwa ukomeshwe!” ni kweli kila
vita huanzishwa na wao na ndio maana ni wao tu ndio wenye jeuri ya
kutamka kauli hiyo. Ikiwa Marekani kwa sasa inaendesha vita dhidi ya
ugaidi duniani kote, kauli hiyo inaonyesha vita dhidi ya ugaidi
inaendeshwa na Vatikan na wala sio Marekani. Marekani inatumika tu.
Septemba 17, 2001, Rais George Bush alitangaza kwamba utawala wake
una andaa jeshi la wokovu (crusade) kupambana na ugaidi. Lakini katika
kauli yake, Rais Bush alitumia neno ‘Crusade’, neno ambalo lilitumika na
jeshi la shirika la yesu (jesuits) kati ya karne ya 11 na 12 kupigana dhidi
ya waislam waliokuwa wanakaa Jerusalem na hatimaye wakafanikiwa
kuukomboa mji huo. Je, hii ilikuwa ni Bushi kuieleza dunia kwamba vita
dhidi ya ugaidi ilikuwa ni kutekeleza maagizo ya papa?
Adolf Hitler alikuwa na hatia kwa mambo yote mabaya yaliyo
sababishwa na vita ya pili ya dunia. Je ni kweli Adolf ndiye aliyepanga
kuyafanya yote ambayo yalifanyika, au ndio kwanza alikuwa akitekeleza
amri ya wakubwa? Iwekwe akilini nani aliyekuwa akitoa maagizo kwa
54
hitler wa Ujerumani. Katika Ujerumani, alikuwepo Franz Von Papen,
aliye kuwa akimuwakilisha papa jijini Berlin, alishawishi sana kuwepo
muungano kati ya ujerumani na Roma, na wakati huo Franz na Vatikan
wakawa na lengo la kuiangisha serikali ya kikomunisti ya Jamhuri ya
Ujerumani (Weimar kwa wakati huo). Wajerumani wengi waliokuwa
wakatoliki hawakuwa na nguvu dhidi ya jeshi la wanazi, lakini
walifahamishwa baadae kwamba papa mwenyewe alikuwa bega kwa
bega na hitler. Hivyo basi wakatoliki ambao walikuwa wengi, kuanzia
waumini mpaka wawakirishi wa wananchi wakampigia kura kwa wingi
Adolf Hitler kwenye uchaguzi wa January 30, 1933. Vatikan walimsaidia
Hitler kuwa na nguvu na hatimaye akawa na mamraka makubwa katika
ujerumani yote. Na haya yote yalifanyika kwa kuwashauri wakatoliki
wote wawapigie kura wagombea wa upande wa wanazi. Hivyo Hitler na
wabunge wengi wa kinazi wakawa na nguvu na serikali ya kijamaa
(communist) ikaangushwa kisheria mwaka januari ya 1933. June ya
mwaka huo huo Hitler na Vatikan wakaweka makubariano yenye
masharti kwamba waumini wote wa kanisa katoliki watatii maagizo ya
utawala wa kinazi….. na haukupita muda mrefu, kiongozi wa pili baada
ya hitler, Franz von Papen, akaweka wazi moja ya masharti
yaliyokuwepo kati ya Vatikan na Hitler na kusema: “Ulimwengu wa tatu,
ni nguvu ya kwanza kwamba sio tu inamtambua papa ispokuwa itafanya
kile anacho agiza papa.”
55
Tukitoka Ujerumani ambako nchi ilikuwa chini ya papa kwa mkono wa
Hitler, hebu tuitazame hispania na kiongozi wake Francisco Franco.
Hispania ilipitia katika kipindi kigumu mpaka mwaka 1800 ulipokuwa
unaisha. Ilikuwa ikienda mbele na kurudi nyuma katika kujinasua kutoka
Vatikan kwa viongozi waliokuwa wanapachikwa na papa huku ikitaka
kujitawala bila papa kuwa na nguvu. Mwisho wake kwenye miaka ya
1930 miili mingi ya watoto walio fariki ilikuwa ikipatikana kwenye
makanisa ya kikatoliki nchini hispania. Madaktari waligundua kwamba
watoto wengi walikuwa wakiuawa kwa kuzibwa mdomo na pua. Utaona
kwamba masista na mapadri walikuwa wakizaa watoto, lakini watoto
waliokuwa wakizaliwa waliuawa mala baada ya kuzaliwa. Wakatoliki
wengi wa hispania walipokuja kuyaelewa maovu hayo, walikasirishwa na
baada ya hapo sheria nyingi za kikatoliki zilizuiliwa kufanya kazi Hispania.
Kwa kitendo hicho cha hispania, Vatikan ilihisi imetendewa kosa hivyo
kwenye miaka ya 1936, papa alimwaga pesa nyingi kwenye nchi za
kiislam ili ziivamie Hispania. Mambo yote ya uvamizi yalitengenezwa
vizuri huku yakisukwa na wakatoliki pamoja na shirika la yesu ndani ya
hispania na hatimaye kundi la kiislam la bahari takatifu (holy sea),
likafanya mashambulizi makuu kiasi kwamba nchi ya hispania iliharibiwa
vya kutosha. Magaidi walipomaliza kuishambulia hispania, hapo Vatikan
ikamuweka mkatoliki, dikteta Generali Franco kuwa kiongozi wa
Hispania, baada ya kuiangusha serikali ya kiprotestanti (wakristo wasio
wakatoliki). Serikali ya generali Franco ilitambuliwa rasmi na Vatikan
August 03, 1937, miezi ishirini kabla ya vita ya wenyewe kwa wenyewe
kumalizika.
Kwa picha ya haraka utaona kama ni fulsa kuu kwa wayahudi kurudi
katika nchi yao na kujitangazia tena taifa lao la Israel. Hata hivyo, nini
matokeo ya wayahudi kurudi katika Israel? Tokea watambuliwe kama
taifa mwaka 1948, wayahudi wamekuwa na vita visivyoisha kati yao na
waarabu. Wayahudi wengi wamepoteza maisha, kama ambavyo shirika
la yesu walivyokuwa wamekusudia, na ndivyo ambavyo imetokea. Lengo
la shirika la yesu, jeshi takatifu la papa, ilikuwa ni kuleta machafuko ya
kutisha katika nchi ya Israel, kiasi kwamba mpaka dunia iwe na kiu kuu
ya amani, na pale itakapotokea kwamba amani inatafutwa kwa kila hali,
basi mtu aliyejitambulisha, na anajulikana kama mtaalamu katika kuleta
amani, apigiwe magoti, na watu wamsihi aende israel, akalete amani. Na
huyo mtu angekuwa nani kama sio Papa? Lengo hapa ilikuwa ni
kumfanya papa na kanisa katoliki kuiongoza Israel, kama ilivyo duniani
kote. Hayo yamekuwa malengo, na ndoto za Vatikan, kwamba ikiwa
wayahudi wameweza kuwaambia watu wengi habari za injiri, basi ije
kutokea wayahudi hao hao, watengue kauli, wamtangaze papa kama
kiongozi wa ukweli.
58
mataifa itaamua hatima ya raisi mtafutwa. MIKAKATI YAO NI RAIS
(PAPA) MMOJA, NA IMANI (KANISA KATOLIKI) MOJA DUNIANI KOTE.
Sababu nyingine ya vita ya pili ya dunia ilikuwa ni kuhakikisha wajapani
wana adhibiwa. Miaka ya 1500, wajapani waliwakaribisha watu wote
kutoka kokote duniani waliokuwa wanataka kufanya nao biashara.
Wamisionari, kwa vinyago (mask) vya shirika la yesu (Jesuits),
walikaribishwa pia. Baada ya muda, wamisionari wa katoliki wakawa
hawawezi kuvumilia imani zote tofauti na ile ya kanisa katoliki. Mauaji ya
viongozi na waumini wa hizo imani zingine yaliendeshwa na shirika la
yesu, na japani ikawa na mito ya damu kwa miaka mingi.
Hatimae, mnamo mwaka 1639, wajapani wakapitisha uamuzi. Uamuzi
wao ulikuwa ni: kuanzia sasa na miaka ijayo, kwasababu jua ndiyo
laangaza duniani, na ndiyo hilo linaiangazia Japani, hivyo basi asitokee
mtu atakaye pingana na imani ya kulipinga jua kama dini yetu, hata
mabalozi wa nchi zote waliopo Japani, na zaidi, sisi wajapani, tulisimamie
hili hata kwa mateso au maumivu yanayoweza kupelekea kifo. Kwa
miaka karibu miambili, wamisionari wote wa kikatoliki walizuiliwa
kuingia Japan, nchi ambayo papa wa wakati huo aliwahi kujitapa
kwamba ilikuwa chini ya himaya yao. Kupitia mipango iliyosukwa na
vatikan kupitia vita ya pili ya dunia, nguvu kubwa ya kijeshi ilitumika
katika kisiwa cha Japani, na mabomu yaliyo angushwa kwenye miji ya
hiroshima na Nagasaki yaliipigisha magoti Japani milele. Vatikani
inaongoza kwa mipango ya miaka mingi. Mikakati (plans) yao yao ya
chini ni miaka mia tano, na ile ya juu ni miaka mia nane mpaka elfu
moja.
59
SEHEMU YA SABA: RAIS JOHN F. KENNEDY
Akiwa kwenye gari ya wazi, rais kennedy alipigwa risasi mchana kweupe
kwenye mitaa ya Dealy plaza, Ijumaa, november 22, 1963 saa sita na
nusu (12:30). Wananchi wengi walijitokeza barabarani kumshangilia.
Ilionekana wazi wanachi walikuwa na furaha pale rais alipokuwa akipita
kwenye barabara hiyo akielekea kwenye jiji la Dallas. Katika maelfu wote
waliokuwa wakitabasamu na kupunga mikono, wote tungesema Rais
alikubarika. Lakini katika hali hiyo hiyo, risasi zilisikika, na rais kennedy,
baada ya muda mfupi alifariki kwenye hospitali ya Memorial Parkland.
Kisa hiki kimewachanganya watu kwa takribani miaka zaidi ya arobaini
iliyopita, na ni moja ya maajabu ambayo hayajapatiwa ufumbuzi,
miongoni mwa maajabu makubwa ambayo yametokea katika miaka mia
moja iliyopita. Tume ya Warren iliyoundwa kuchunguza chanzo cha
mauaji hayo, ilihitimisha kwa kusema ni mtu mmoja ambaye hakuwa na
mahusiano na kundi lolote, ndiye aliye mpiga risasi rais. Mtu huyo ni, Lee
Harvey Osward. Tume ilisema Osward alimpiga risasi rais Kennedy akiwa
nyuma ya gari yake kutoka kwenye jengo mojawapo katika mitaa ya
Dallas. Lakini sasa kunakuwepo na ushahidi unaosisimua kwavile
haukubaliani na taarifa ya tume hiyo, na ushahidi huu unaituhumu tume
hiyo kwa kuficha vitu vingi na njama zilizopelekea kifo cha Rais. Siku
mbili baada ya kifo cha rais Kennedy, Jack Ruby alimuua Osward.
Kwanini? Je, ilikuwa ni kumfukia Osward na kile kilichopelekea amuue
Rais?
Kulikuwa na sababu kuu mbili ambazo zilipelekea kuuawa kwa Rais
kennedy. Sababu hizi zinamahusiano na vita ya Vietnam, na Benki kuu ya
Marekani. Rais kennedy alituma wasaidizi wake wawili kwenda Vietnam,
ambao ni McNamara na Taylor, ambao walikusanya habari za
kiintelijensia na kuamua kwamba marekani ilipaswa kujiondoa katika
vita ya Vietnam. Taarifa yao kwa rais ilipewa kichwa cha habari cha;
Taarifa ya McNamara-Taylor mpango wa Kusini mwa Vietnam. Kwa
taarifa hii kuwa mikononi mwake, rais kennedy alipata kile alichokuwa
amekikusudia. Taarifa iliendana na maamuzi ambayo alikuwa akilenga
kuyachukua. Alitakiwa achaguliwe kwa muhula wa pili ili amalize kazi
60
ambayo alikuta imesha wekwa kwenye mstari wake; alitakiwa aliondoe
jeshi la marekani kutoka Vietnam. November 22, 1963, serikali ya
marekani ilikuwa inaongozwa na genge lenye nguvu ambalo lilitaka sana
kuwe na vita ya miaka na vizazi vingi kuanzia Vietnam na China yote. Vile
ambavyo Rais Kennedy alivyokuwa akipanga kuondoa jeshi la marekani
kusini Mashariki mwa bara la asia, kundi hili likiawa linapanga kumuua.
Katika malengo yao, kwa kifo cha Kennedy, Marekani ingeendelea
kubaki Vietnam kwa miaka mingi iliyokuwa inafuata. Kindi hili walikuwa
ni akina nani? Nani alitaka marekani iendelee kuwepo kusini mwa
Vietnam na kwanini?
Iwe kisiasa au kijeshi, hakuna anaye elezea chanzo halisi cha vita ya
Vietnam. Hakuna ambaye anaelezea chanzo halisi kilichopelea vita kali
iwepo eneo hilo, chanzo ambacho ni dini, na katika hili ni kujua kanisa
katoliki lilikuwa na mchango gani, na upande wa pili kule Vietnam
kulikuwa na nini kimetokea. Kuhusika kwa kanisa katoliki sio sababu za
kusadikika. Ni ukweli wa kihistoria, kama ambavyo inajulikana kwamba
ni kweli taifa la marekani lipo. Tokea mwanzo, msukumo wa dini
ulipelekea mambo yaanze kutembea katika kusababisha machafuko
kwenye bara la asia mpaka kwenye mabara ya Marekani. Gharama ya
iliyolipwa ni kubwa: mabilioni ya dola; watu kukimbia makazi;
machafuko ya kisiasa; nguvu za kupindukia za kijeshi; aibu katika dunia
ya ustaarabu; maelfu ya watu wa asia na marekani waliopoteza maisha.
Mida ya saa mbili na nusu asubuhi, Jumamosi ya Novemba 23, 1963, gari
ya limosin iliyokuwa imembeba mkurugenzi wa CIA, John Makone (John
McCone) ili ingia kwenye viwanja vya ikuru ya Marekani….. kuna
shughuri nyingine ilimleta, kabla ya kuhusika na vitu vingine vilivyo
husiana na makabidhiano kati ya rais anaye ondoka na rais anaye ingia
madarakani; uwekaji sahihi katika waraka namba 278, waraka wa
usalama wa taifa, nyaraka ambayo ilikuwa ni ya siri, iliyo batirisha
uamuzi wa Rais Kennedy kuyaondoa majeshi ya marekani kutoka
Vietnam ya kusini. Matokeo ya waraka 278 ungeipa idara ya ujasusi ya
Marekani (Central Intelligency Agency – CIA) kuendelea na vita kwa
kuongeza jeshi zaidi Vietnam ya kusini…… na kwa sahihi ya John Makone
ya kutengua waraka wa siri namba 278, baadaye tarehe hiyo hiyo ya
November 23, 1963, mashariki ya mbali ingeifanya Cuba kuwa mwiba
kwa upande wa Marekani. Siku Rais Kennedy alipo uawa, uamuzi wa
kusimamisha vita nchini Vietnam ulitenguliwa na mpango wa Vatikan
ukaendelea. Sababu nyingine ya shirika la yesu na papa kutaka vita ya
62
Vietnam iendelee ilikuwa ni mabilioni ya dola waliyokuwa
wakiyatengeneza kutokana na biashara ya madawa ya kulevya. Kwa
miaka mia nne ambayo ilikuwa imepita kabla ya vita ya vietnam, shirika
la yesu walijihusisha vilivyo na biashara ya madawa ya kulevya, hivyo hii
ilikuwa ni nafasi ambayo rais kennedy asingeweza kuruhusiwa kusimama
mbele yao, hata kama maisha ya watu milioni nyingi yangeteketea!
Tokea shirika la yesu walivyo ingia Beijing mwaka 1960, jamii hii ya yesu
au shirika la yesu (Jesuits), walikamata ufunguo wa mashariki ya mbali
ikijumuisha na biashara ya madawa ya kulevya. Shirika la yesu
waliwadhibiti wanasiasa wa Washington, Marekani, na walitaka vita
iendelee Vietnam. Walikuwa wanataka kutengeneza ngome nyingine ya
kanisa katoliki katika asia ya kusini mashariki, na walitaka kuendelea na
biashara ya madawa ya kulevya, biashara waliyokuwa wameifanya kwa
miaka mia nne mashariki ya mbali.
65
SEHEMU YA NANE: MAUAJI YA HALAIKI YA WACO
(THE WACO MASSACRE)
Kundi moja la kidini lililojulikana kama tawi la wafuasi wa Daudi
(Davidians Branch), waliishi katika eneo la uzio waliloliita mlima karmeli
(Mt. Carmel) nje kidogo ya mji wa waco, Texas. April 19, 1993, wakala
wa serikali ya marekani walivamia eneo hilo na kuua wanawake na
watoto ambao hawakuwa katika hali ya kusaidiwa na vifaru vya kivita,
virusha mioto kwa ajiri ya kuunguza na kuteketeza pamoja na gas ya
sumu. Karibia watu wasio na hatia 100, walipoteza maisha baada ya
uvamizi huo wa serikali. Kitu kinacho fanya tukio hili kuwa la hatari na la
kipekee ni kwamba wafuasi wa Daudi hawakufanya chochote
kilichokuwa kinahatarisha uvunjifu wa amani kiasi cha kuuawa na
majeshi ya serikali. Watu hawa wa imani ya kikristo walikuwa na
mahusiano mema kabisa na jamii yote iliyokuwa inawazunguka.
Walikuwa na imani flani inayotofautiana na imani zingine za kikristo,
lakini hata hivyo, madhehebu mengi ya kikristo hutofautiana kimtazamo.
Tofauti hiyo isingekuwa sababu ya waumini hao kuharibiwa nyumba zao
na maisha yao, sana sana bila kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Marekebisho ya kwanza ya katiba ilikuwa ni mtu kusali kwa Mungu
kutokana na vile anavyo amini yeye, lakini serikali ilipuuza haki hii ya
msingi katika mauaji ya halaiki ya waco. Na baada ya mauaji hayo,
serikali na vyombo vya habari vyote viliongea uongo kuhusu watu wa
imani hiyo.
69
SEHEMU YA TISA: MILIPUKO KATIKA JIJI LA
OKLAHOMA
Milipuko iliangusha jengo la Alfred E Murrah, jengo lililokuwa la serikali
katika jiji la Oklahoma Aprili 19, 1995. Watu 168 walifariki ikijumuishwa
na watoto waliokuwa chekechea katika jengo hilo. Serikali imekuwa na
bado inasema jengo hilo liliangushwa na bomu lililokuwa ndani ya gari
ambayo iliegeshwa mbele ya jengo hilo. Tumeona katika sura zilizopita
kwamba ripoti za serikali kuhusiana na kilichotokea huwa ni vituko.
Benton K Partin, askari mstaafu na mtaalamu wa milipuko, alihusishwa
kwenye uchunguzi wa jengo la oklahoma, na katika ripoti yake alisema,
hakuna bomu kama bomu la aina yeyote lingeweza kuleta uharibifu wa
kiasi kile katika jengo hilo. Hii ina maana kwamba haijarishi hata kama
kweli gari iliyokuwa na bomu ilihusika, lakini milipuko ya kushusha jengo
(demolition) ilikuwa imepandwa katika jengo hilo. Wakati wa mahojiano
ya moja kwa moja na kituo kimojawapo cha luning (television), msaidizi
wa kitengo cha kupambana na majanga alisema, wataalamu wa
mabomu walikuwepo kwenye jengo hilo kuanzia asubuhi sana ya siku
hiyo hata kabla ofisi hazijafunguliwa. Swali ni walikuwa wanafanya nini?
Muda mfupi baada ya milipuko kwenye jengo, Meya na Gavana Frank
Keating, na vyombo vingine vya habari wote walikiri kwamba mabaki ya
milipuko yalikuwa yametolewa kutoka kwenye jengo hilo. Kitu
kinachothibitisha kwamba milipuko iliwekwa hata kabla ya gari yenye
bomu haija egeshwa katika jengo hilo. Watumishi wa taasisi zote za
serikali zilizokuwa na ofisi katika jengo hilo siku hiyo hawakuingia kazini.
Moja ya vyumba vya jengo hilo ilitumika kama chule ya chekechea, lakini
siku ya tukio watoto wote wa watumishi na viongozi wa serilaki
hawakufika shule. Kama ilivyokuwa kwenye kesi nyingi za wakatoliki,
walioishika serikali ya Marekani, vile walivyo wanaangamiza watu wasio
wataka, ndivyo walivyo waangamiza watu wasio wataka kwenye jengo la
Oklahoma. Sababu ya Jengo la Oklahoma kuangushwa na shirika la yesu
ilikuwepo, lakini ni ipi hiyo? Siku zote, mkuu aliyeiteka nyara serikali ya
Marekani, Papa, alikusudia kuondoa kitu kinachoitwa uhuru wa
kidemokrasia. Akiwa na kusudi la kueneza ukatoliki kwa nguvu zote,
70
alijua atakuwa anaua wapinzani ambao ni waprotestanti, yaani waumini
wa imani ya kikristo wasio wakatoliki. Lakini ili malengo hayo yatimie
ilipaswa kuwa na sheria ambayo mtu akiona tukio lolote, hatatakiwa
kulitangaza wala kulieneza. Wakati huo huo, watu wanaoitwa magaidi
watakuwa ni waprotestanti, na hivyo kila watakapo kuwa wakiuawa,
basi ni lazima shahidi wa kuona akae kimya. Mfumo wanao tumia watu
wa shirika la yesu kuitawala dunia ni: kwanza, sababisha tukio la kutisha
lenye mauaji makuu, na watu watakapokuwa na hofu huku wakihitaji
sana namna ya kutatua tatizo (solution), basi hapo pendekeza ufumbuzi
wa tatizo, na ufumbuzi huo utakubarika haraka sana.
72
SEHEMU YA KUMI: NDEGE ZINABOMOA KITUO
CHA BIASHARA CHA DUNIA (WORLD TRADE
CENTER)
Hadithi ya majengo ya kituo cha biashara cha dunia siku ya septemba 11,
2001, haikuanzia siku ya tukio hilo. Mipango ilianza kusukwa punde
baada ya vita ya kwanza ya dunia. Baada ya vita, Miongoni mwa watu wa
shirika la yesu, Edward Mandell House and Woodrow Wilson
walitengeneza shirikisho la mataifa. Siku kiongozi mmoja wapo wa
wawakirishi wa wananchi au mbunge (senetor) Henry Cabot Lodge alipo
washauri wamarekani wasijiunge na shirikisho hilo, wanachama wa
shirika la yesu walikuwa na hasira za matokeo ya Marekani kutokujiunga.
Walijiuliza sana kwamba ni wapi walikosea mpaka akaibuka mtu
aliyeharibu mipango yao, kwamba kwanini hawakuliwazia hilo na
kuwafisha watu ambao wangezuia mipango yao kukamilika. Waliapa
kurudia tena, na safari iliyokuwa inafuata makosa yalikuwa hayatakiwi
kujiruidia. Hivyo basi, mwaka 1921, watu shirika la yesu wakatumia
ushawishi wao kwenye bunge la Marekani kuleta mswaada wa kuwa na
baraza la mahusiano ya kigeni (Council on Foreign Relations - CFR).
Baraza hili liliwavutia watu wenye nguvu, matajiri na watu wenye
ushawishi. Lengo ilikuwa kuwapata wanasiasa, watu wa vyombo vya
habari, wafanya biashara wakubwa. Lengo kuu la CFR ilikuwa ni kuvunja
mipaka ya nchi na kutengeneza mfumo wa serikali moja. Na katika
baraza la CFR, viongozi ni wale wale na sera ni zile zile haijarishi
mtabadirisha marais wangapi. Watu hawa wa shirika la yesu, ni hatari
sana kwa ustawi wa jamhuri ya watu wa Marekani. Watu wote walio
ziona nia zao ovu hawakuruhusiwa kuishi. Miongoni mwa watu ambao
wamekuwa wanachama wa CFR na vile vile wakiwa upande wa shirika la
yesu ni, Dwight D. Eisenhower, Richard Nixon, Adlai Stevenson, Hubert
Humphrey, na George McGovern. Wanachama wa sasa wa CFR, yupo
mwenyekiti wa benki kuu ya Marekani (Federal Reserve Bank chairman)
Alan Greenspan, Mbunge (congressman) Newt Gingrich na Richard
Gephardt, marais wote wawili, George Herbert Walker Bush na mtoto
wake, George Walker Bush, makamu wa rais Dick Cheney, aliyekuwa
73
katibu wa nchi, Colin Powell, Kiongozi wa mahakama kuu, Sandra Day
O’Connor, Joseph Lieberman, na John Chafee. (Chafee ndiye aliye
anzisha sheria ya watu kutokumiriki siraha baada ya mauaji ya Waco,
kumbuka?) na Bill Clinton.
Makampuni yaliyo chini ya shirika la yesu au CFR miongoni mwao ni
kampuni ya gari ya FORD, Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing,
kamuni ya soda za pepsi, kampuni ya Heinz, Lockheed-Martin, kampuni
ya filamu ya Time Warner, na Chevron. Vyombo vyao vya habari ni, NBC,
CBS, N.Y. Times, Washington Post, Newsweek, na Time. Kazi za mashirika
haya ni kutangaza sana shughuri zote za shirika la yesu pamoja na papa
kiongozi wao, papa. Kama papa atatembelea sehemu yeyote, basi
vyombo hivi vya habari vitamtangaza sana. John Swinton, mwanahabari
na meneja rasrimali watu katika gazeti la kila siku lililo anzishwa mwaka
1851, mtu anaye heshimika katika tathnia ya habari, alionge haya
mwaka 1953:
Hakuna kitu kama hicho, kwenye ulimwengu wa sasa katika historia,
kwamba hapa Marekani eti kutakuwa na uhuru wa vyombo vya habari.
Sisi wote tunajua hili. Hakuna miongoni mwa waandishi wa habari
atakaye andika ukweli, kwasababu akifanya hivyo, mnajua kabisa habari
hizo hazitaonekana katika maandishi. Mimi nalipwa kila wiki kwasababu
ya kutoandika ukweli katika magazeti ambayo ndiyo ajira yangu. Na nyie
wengine wote mnafanya kama mimi kwasababu siku gazeti likiandika
ukweli, mwandishi anayehusika atakuwa mitaani siku inayofuata
akitafuta kazi nyingine. Kazi ya mwanahabari ni kuharibu ukweli;
kudanganya; kuzzuia ukweli usi ifikie hadhira; kupooza ukali wa habari
husika; kunyenyekea kwa wakubwa; na kuuza nchi yake na watu wake
kwa ajiri ya mkate wa kila siku. Hayo mnayajua na mimi nayajua sasa
huu upuuzi (folly) gani wa kusherekea uhuru wa vyombo vya habari? Sisi
ni vitendea kazi na vifaa vya matajiri wanaojificha nyuma ya mapazia.
Swainton alielezea kwamba vyombo vya habari viko chini ua udhibiti wa
matajiri. Matajiri wengi Marekani eidha ni watu wa, au wako chini ya
udhibiti wa shirika la yesu. Na kupitia vyombo vya habari wao ndiyo
huamua habari gani imfikie mwananchi. Na jitihada yao kubwa ni
kuwafanya watu waamini kwamba papa ndiye mtu mkuu wa amani, na
zaidi ya hayo, wanafanya kila jitihada kumfanya papa awe kiongozi na
74
dikteta wa dunia, kama ilivyokuwa zama zile za miaka ya giza. Na
watakapo fanikiwa katika kuwafanya papa kuwa viongozi wa dunia,
mateso ya miaka ile ya giza yatarudi. Kwasasa tuna wanyoshea vidole
magaidi kuhusiana na vita vinavyo endelea sehemu nyingi duniani; kama
alkaida, Isis, na vikundi vingi vya kigaidi vinavyo anzishwa kila inapoitwa
leo. Lakini makundi haya ya magaidi yamekuwa na huwa yanaanzishwa
na watu wa shirika la yesu au fri-mason walio chini ya Vatikan. Na katika
matukio haya huwezi kudhani mhusika mkuu ni papa.
-------Mungu Akubariki-------
80