Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

Maternal Care Unlocking Potential

Foundation in RMNCAH

McF - 043
23 Agosti 2023

Katibu Tawala wa Mkoa


S.L.P. 5429
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Dar es Salaam
Tanzania

YAH: MAONYESHO YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

Kwa heshima, tungependa kutambulisha taasisi isiyo ya kiserikali ya Maternal Care Foundation (McF)
yenye usajili namba 00NGO/R/3226. Taasisi hii inajihusisha na uelimishaji wa afya na imejikita kwenye
kuimarisha afya ya wanawake na watoto kupitia kuchangia kwenye kupunguza vifo na ulemavu
vinavyozuilika kwa wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.

Tunatarajia kuwa na hafla jumuishi ya taasisi zinazotoa huduma za afya ya mama na mtoto. Hafla hii ya
maonyesho haya itafanyika tarehe 2 mwezi wa 9, katika viwanja vya maegesho ya gari ya Mlimani City.
Hafla hii imebeba kauli mbiu "Naimarisha Afya ya Mama na Mtoto". Mbali na uelimishaji kwa jamii,
maonyesho haya yatatoa huduma ya upimaji bure na zoezi la uchangiaji damu.

Ndugu Mheshimiwa, tungependa kuwasilisha taarifa hizi kwa ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa mwenye
dhamana ya maswala yote ya afya mkoani.

Tunapatikana kupitia +255 788 272 743 kwa maelezo na maswali yoyote.

Asante.

McF

Nakala: Mganga Mkuu wa Mkoa


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Dar es Salaam

+255 759 379 848 Dar es Salaam, info@mcf.or.tz


Tanzania
www.mcf.or.tz @maternalcarefoundation

You might also like