Mungu Mmoja

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

amkanaye Mwana hana Baba pia.

Kumbuka
Maandiko hutuambia, Na uzima wa milele ndio Maandiko yanaonesha waziwazi uhusiano kati ya kwamba fundisho la utatu linafundisha Mungu ni 3
huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, Mungu na Kristo, nayo yanadhihirisha waziwazi katika 1 au 1 katika 3. Hivyo ni Mungu mmoja
na Yesu Kristo uliyemtuma.’’Yohana 17:3. nafsi na hali ya pekee ya Kila Mmoja Wao. Mungu katika nafsi tatu. ( 1 + 1 + 1 ) = Moja. Katika
Bwana Yesu anasema, Uzima wa milele ni kumjua ni Baba wa Kristo; Kristo ni Mwana wa fundisho hili kila nafsi ni Mungu na hakuna mkuu
Mungu na kumjua Yesu, aliyemtumahapa Yesu Mungu.Kristo amepewa nafasi iliyotukuka, au mdogo kwa mwingine, wapo sawa na wenye
anajisema kuwa katumwa, kama katumwa kuna Amefanywa kuwa sawa na Baba. ‘‘Mimi na Baba tu umri sawa, hivyo Baba ni Mungu, Mwana ni Mungu
aliyemtuma. Tutamjuaje Mungu? Hakuna mtu umoja. Yohana’’ 10:30. Mashauri yote ya Mungu na Roho Mtakatifu ni Mungu lakini si Miungu
aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mwana yamefunguliwa kwa Mwanawe Yesu, Umoja huu watatu bali mmoja. Baba ni Mungu; Mwana ni
mzaliwa pekee aliye katika KIFUA CHA BABA, unaoneshwa pia katika sura ya kumi na saba ya Mungu: Roho Mtakatifu ni Mungu.
huyu ndiye aliyemfunua.’’Yohana1:18kjv Yohana, katika sala ya Kristo kwa ajili ya wanafunzi Nafsi ya kwanza ameitwa Baba kwa sababu anazaa
Tunaweza kumjua Mungu kwa njia moja ya Yesu, Wake: Nafsi ya pili; Nafsı ya pili ameitwa Mwana kwa
Yesu aliyetumwa na Mungu ili amfunue Mungu, ‘‘Wala si hao tu ninaowaombea: lakini na wale sababu anazaliwa na Nafsi ya kwanza; Nafsi ya tatu
kupitia kwake tunaweza kumjua Mungu na kumjua watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote ameitwa Roho Mtakatifu kwa sababu anatoka kwa
na Yesu mwenyewe ni nani maana kuwajua hawa wawe na umoja: kama Wewe Baba, ulivyo ndani Baba na Mwana kama roho yao au mapendo yao.
wawili ndio uzima wa milele. Ikiwa, ‘’Hakuna mtu Yangu, Nami ndani Yako; hao nao wawe ndani Tunaposema Nafsi wa kwanza, Nafsi wa pili, Nafsi
aliyemwona Mungu wakati wo wote.’’1 Yohana Yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wa tatu, tusidhani kama mmoja alikuwa wa kwanza,
4:12. Pia, Si kwamba mtu amemwona Baba, ila Wewe Ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule mmoja apita wengine, Hakuna. Nafsi hawa watatu
yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja walikuwako pamoja tangu milele, wote ni sawa
aliyemwona Baba.’’Yohana 6:46. Mungu hajawahi kama Sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao. Nawe sawa, wote wenye enzi, wote wenye utakatifu
onwa na mwanadamu yeyote yule, ‘’..., Huwezi ndani Yangu, ili wawe wamekamilika katika wenye ukamilifu sawa kabisa. Tunaposema Baba ni
kuniona uso wangu, maana mwanadamu umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa Ndiwe Mungu, Mwana ni Mungu, Roho Mtakatifu ni Mungu
hataniona akaishi.’’Kutoka 33:20. Yesu pekee uliyenituma. ukawapenda wao kama tusidhani kama Baba ni Mungu mmoja na Mwana
ndiye anamjua Mungu, ndiye pekee anae/aliye- ulivyonipenda Mimi.’’ Yohana17 :20-23. Kauli ya Mungu mwingine, na Roho Mtakatifu Mungu
mwona Mungu, Yesu ndiye aliye/anae-mfunua na ajabu! Umoja uliopo kati ya Kristo na wanafunzi mwingine. Ingekuwa hivyo, wangekuwa miungu
kutujuza kuhusu Mungu ni nani, ‘‘Naye Wake hauharibu nafsi ya kila Mmoja. Wao ni watatu; lakini sivyo kabisa; tunataka kusema kama
anitazamaye mimi amtazama yeye Wamoja katika kusudi, akili. katika tabia, lakini si Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu sawa
aliyenipeleka.’’Yohana 12:45. Kwa sababu Yesu katika nafsi. Hivyo ndivyo Mungu na Kristo walivyo sawa, Mungu mmoja tu. Nafsi hawa watatu ni
ni ‘‘... mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa mmoja. Uhusiano kati ya Baba na Mwana, na nafsi Mungu mmoja tu kwa sababu wote watatu wanao
wa kwanza wa viumbe vyote.’’ Wakolosai 1:15. za wote wawili, unawekwa wazi katika andiko hili: Uungu mmoja tabia moja. Kweli mafundisho hayo
Kama nilivyotangulia kuonyesha kuna Mungu ‘‘Tazama, Mtu huyu Ndiye Jina Lake ni Chipukizi; ya Mungu mmoja katika nafsi tatu ni hakika
ambaye amemtuma Yesu na ambaye Yesu Naye atakua katika mahali Pake, Naye inayopita akili yetu. Twawezaje kujua kabisa kwa
amemsema hakuna aliyemwona, na huwezi atalijenga hekalu la Bwana... Naye atauchukua akili yetu ndogo ukamilifu wa Mungu usio na
ukamwona ukaishi, Yesu, ‘‘... ni MNG'AO WA huo utukufu; Ataketi akimiliki katika kiti Chake mpaka?
UTUKUFU WAKE NA CHAPA YA NAFSI YAKE, cha enzi; Na kutakuwa na kuhani katika kiti Fundisho hili huwa linahitimishwa namna hiyo,
akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, Chake cha enzi; Na shauri la amani litakuwa kati kwamba ni fumbo, maana huwa halieleweki, Baba
akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi ya hao wawili.Bwana ameapa, Wala hataghairi, anawezaje kuwa Baba wa Yesu huku wakiwa na
mkono wa kuume wa Ukuu huko Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa umri sawa? Uongo, fundisho hili linamfanya kuwa
juu;’’Waebrania 1:3. Yesu ni mg'ao wa utukufu wa Melkizedeki.’’ Zekaria 6:12,13. Zaburi 110:4. ni mwongo na mpinga Kristo, kwanini? Mungu
Mungu na ni chapa ya nafsi ya Mungu, kama alivyo Hapa kuna atakaye kuwa kwenye kiti cha enzi na anasema, "amemtoa Mwanawe mwenyewe"
Mungu ndivyo alivyo na Yesu, huwezi kuona tofauti kuna kuhani mbele ya kiti cha enzi hawa ni wawili lakini fundisho hili linamuonyesha ni Mungu
kabisa, tabia ya Yesu ndiyo tabia ya Mungu, asili ya tofauti, katika Zaburi kunakiapo kinasema, Ndiwe Baba/Mwenyezi mwenyewe alijifanya kuwa
Yesu ndiyo asili ya Mungu, na ndio maana Yesu kuhani hata milele Kuhani mfano wa Melkizedeki Mwana, maana Baba na Mwana ni mmoja kwa
anasema, ‘‘....,Mimi nimekuwapo pamoja nanyi ni Bwana Yesu, na tunajua kuhani ni mpatanishi au mujibu wa fundisho la utatu, kama ni mmoja sasa
siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mwombezi, anatuombea kwa aliyemuweka kuwa hatuna Mwana halisi. Fundisho hili linavuruga
mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, kuhani na mwombezi kwa ajili ya wanadamu. ‘‘... wengi hata wale uwanao kama wanalielewa na
Utuonyeshe Baba?’’ Yohana 14:9. Kwanini? Yesu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu kulitetea nikuambie hata wao hawalielewi,
ni Mfano wa Mungu, ni Chapa ya Mungu kabisa, vile na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo wamejifanya kulielewa lakini si kweli maana nao
alivyo Yesu ndivyo alivyo na Mungu, si katika umbo Yesu;....’’ ‘‘Na kama mtu akitenda dhambi tunaye huhitimisha kwa kusema ni ‘siri’ sasa iweje Yesu
ni katika kazi zake na mwenendo na tabia, maana Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye aseme amekuja kumfunua Mungu halafu aendelee
Mungu alidhihirishwa katika mwili, kuwa haki,’’ 1 Yohana 2:1. 1 Timotheo 2:5. kuwa siri? Tazama nafsi zote tatu hakuna nafsi
anatupenda, ni mwingi wa rehama. Yesu ni mfano moja iliyoanzisha nyingine ama iliyoanzishwa na
yupo aliye halisi, Yesu ni Chapa, yupo aliye halisi na Katika maandiko Mungu hana nafsi tatu, kama nyingine mfano; Baba hana Mwanzo na hajatokana
ndiye Mungu ambaye alimwita ni Baba yake ndiye inavyoaminiwa na jamii kubwa ya Wakristo, uwepo na Mwana ama Roho, na hali kadhalika Mwana, ni
aliye halisi. Yesu anasema,‘‘..,Baba yangu wa Baba, Mwana na Roho Mtakatifu si Utatu, Utatu Mungu kamili kwa nafsi yake na hakutokana na
anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.’’ Mtakatifu si kusema, Baba, Mwana na Roho Baba wala Roho, halikadhalika na Roho naye ni
Yohana 5:17. ‘‘.... Usinishike; kwa maana sijapaa Mtakatifu hapana, Utatu Mtakatifu ni nini? Utatu Mungu kamili na hajatokana na Baba wala Mwana.
kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu Mtakatifu ni kuamini kuwa, Mungu mmoja ni Baba, Mwana anatokea wapi? Na anakuaje Mwana huku
zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba Mwana na Roho Mtakatifu, nafsi tatu huungana na ana umri sawa na Baba yake?
yangu…, (ninapaa kwenda)kwa Mungu wangu…’’ kuwa Mungu mmoja, akiwa ni yule yule mmoja,
Yohana 20:17. akiwa kama Baba, akiwa kama Mwana na akiwa Lakini ukweli ni kuwa Mungu ni Baba halisi, na
Bwana Yesu anasema, huyu Mungu ni ‘Baba yangu kama Roho Mtakatifu ni yule yule Mungu mmoja. Yesu ni Mwanawe Mungu halisi, hizi ni nafsi mbili
na ni Mungu wangu,’ Kristo alitangaza, "Hakuna Au inawekwa hivi kwa njia rahisi 1+1+1=1. tofauti, nafsi ya Mwana haihusikani na
amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Kuamini hivi kunakufanya kuwa mpinga Kristo kumkamilisha Mungu, tayari Mungu ni Mungu wa
Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana dhahiri, kwanini? Unakuwa umempinga Baba na Yesu na ni Baba yake pia, Mungu alimshuhudia
apenda kumfunulia.’’ Luka 10:22. Yesu ndiye Mwana, ‘‘Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu Yesu, ‘‘Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia.
anamjua Mungu, na Kristo alikuja kuwafundisha yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala
wanadamu ili wamjue Mungu, katika mbingu juu, namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye sura yake hamkuiona.’’ Yohana 5:37. Ushuhuda
katika nchi, katika maji mapana ya bahari, tunaona humkana Baba na Mwana.’’ 1Yohana 2:22NEN. huo ulisema nini? ‘‘Alipokuwa katika kusema,
kazi ya mikono ya Mungu, vitu vyote vilivyoumbwa Unaposema, Mungu mmoja ni Baba +Mwana +Roho tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama,
vinashuhudia kuhusu uwezo wake na hekima Yake, Mtakatifu =Mungu, ni yule yule mmoja akija katika sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, HUYU
na upendo wake. Lakini si kutoka katika nyota au utambulisho tofauti tofauti, na hapo unakuwa huna NI MWANANGU, mpendwa wangu,
bahari au mtoto wa jicho tunaweza kujifunza juu ya Kristo halisi wala Mwana halisi, sasa Mungu yuko ninayependezwa naye; msikieni yeye.na tazama,
nafsi ya Mungu kama inavyodhihirishwa katika wapi na Kristo yuko wapi hapo? ‘‘Kila amkanaye sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni
Kristo. Mungu aliona kwamba ufunuo ulio wazi Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa
zaidi kuliko asili ulihitajika ili kuionesha nafsi Yake Baba pia.’’ 1 Yohana 2:23. Unafanyika kuwa naye.’’ Mathayo 17:5. Mathayo 3:17. Mungu
na tabia Yake, alimtuma Mwanawe ulimwenguni ili mpinga Kristo umekataa Yesu si Mwana halisi wa anamshuhidia Yesu na kumtangaza kwamba, Yesu
kufunua, kwa kadiri inavyoweza kuvumiliwa na Mungu, umemfanya Mwana wa Mungu kuwa cheo ni Mwanawe, kabla ya Yesu kuwa Mwana wa
macho ya wanadamu, asili na sifa za Mungu cha pili cha Mungu na kutangaza kuwa Yesu si Adamu alikuwepo, alikuwa ni Mwana wa Mungu,
asiyeonekana. Mwana wa Mungu, umemkana Mwana na katika hili Mungu alitaka ulimwengu ujue huyu si
mtu tu bali ni Mwana wa Mungu, hata Yesu visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati Yesu, simuoni Roho hapo, kumbuka Roho ni kiungo
aliwauliza wanafunzi ulimwengu unamjua kama zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji. Kabla muhimu mno ndani ya mtu, maana bila Roho mtu
nani? ‘‘Wakasema, Wengine hunena u Yohana milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima hawezi kuwa Mkristo, lakini katika hili uzima hauko
Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au nalizaliwa.’’ Mithali 8:24-25. Bwana wetu Yesu katika kumjua Roho Mtakatifu bali kumjua Mungu
mmojawapo wa manabii.’’ Ndivyo watu Kristo ni Mwana mzaliwa pekee wa Mungu, na Yesu.
walivyokuwa wakimtambua lakini Mungu anataka anakuwa Mwana wa Mungu, kwa sababu alizaliwa
tumjue Yeye na tumjue na Yesu kwa usahihi, na kutokana na Mungu. Yesu anakuwa Mungu kwa ‘‘Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu;
wanafunzi pia waliulizwa, ‘‘Akawaambia, sababu Yeye ni Mwana wa Mungu. Kwa mfano, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa
(wanafunzi) Nanyi mwaninena mimi kuwa ni 'hakuna anayeweza kudai kuwa Eva sii mwanadamu Mwana Mzaliwa pekee atokaye kwa Baba;
nani? Simoni Petro akajibu akasema, Wewe kwa sababu ametokana na adamu' Sote tunajua amejaa neema na kweli.’’
ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Simoni kuwa Eva ni Mwanadamu kamili sababu ametokana And the Word was made flesh, and dwelt among us,
wa Petro anasema, ‘‘Wewe ni Kristo (Mpatanishi, na Adam, vivyo kwa Yesu pia. Huwezi kusema, Ili (and we beheld his glory, the glory as of the only
mpakwa mafuta), Mwana wa Mungu Yesu eva awe Mwanadamu ni lazima aumbwe kama begotten of the Father,) full of grace and truth.
anasema, Yesu akajibu, akamwambia, Heri Adamu moja kwa moja kutoka mavumbini, na kudai Yohana 1:14.
(umebarikiwa) wewe Simoni Bar-yona; kwa awe na Umri sawa na Adam ni hapana. Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu
kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Hali kadhalika na Yesu Mwana wa Mungu, "hahitaji alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na
Baba yangu aliye mbinguni.’’ Mathayo 16:14-17. kuwa hana Mwanzo ndipo awe Mungu." Mwana mwanamke, amezaliwa chini ya sheria,je! Yeye
Yesu ni Kristo Mwana wa Mungu ndivyo Mungu anakuwa Mungu kwa sababu alizaliwa na ambaye Baba alimtakasa, akamtuma
atakavyo tumjue. kutokana na Baba (Uungu toka kwenye Uungu). ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru;
Baba na Mwana si mmoja katika maana kuwa Baba Usifiri kuwa kama Yesu amezaliwa na kutokana na kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa
ndiye Mwana na Mwana ndiye Baba hapana, Baba Mungu basi yeye sii Mungu, hapana, kama tu kudai Mungu?’’ Yohana 10:36. Wagalatia 4:4.
ni Baba wa Kristo, na Kristo ni Mwana wa huyo kuwa Eva sii Binadamu kwa sababu ametolewa
Baba ambaye ndiye ikisemwa Mungu mmoja ni nani toka katika Ubavu wa Adam. Yesu alikuwepo kabla
ni Baba tu, ‘‘Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, ya vitu vyote, naam kabla ya Muda wenyewe, tangu IJUE KWELI IKUWEKE
aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya azaliwe na Baba, hajawahi kuukosa muda wowote,
yote.Kwa maana ijapokuwa wako waitwao ama kwa lugha nyingine tangu azaliwe na kutokana
Wasiliana nami;
miungu, ama mbinguni ama duniani, kama vile na Mungu amekuwepo muda wote, milele zote na
walivyoko miungu mingi na mabwana wengi; hakuna wakati ambao hakuwepo. Yesu ndiye
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, ALIYE mwanzilisha wa muda na wakati, Yeye ndiye Ntahondi-Salvatory,Balozi-wa-Yesu.
BABA, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi aliyeanzisha muda, Ila kabla ya Muda palikuwa Simu;0786116127/0756358830.
tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu panahesabiwaje? hilo ni mbali na ufahamu wa Baruapepe;jj0344916@gmail.com.
Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, mwanadamu. Facebook; Ntahondi Salvatory.
na sisi kwa yeye huyo.’’ Waefeso 4:6. 1
Wakorintho 8:5-6. Kuna Mungu mmoja ambaye ni Zamani sana kabla ya Mungu hakijaumbwa kitu
Baba yake Yesu, huyu Baba ambaye vitu vyote chochote Mungu alikuwa na Bwana Yesu, ‘‘..., kama
vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; Yeye ni stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku;
chanzo cha kila kitu, yupo milele na milele hana Nikifurahi daima mbele zake;’’ Mithali 8:30.
mwanzo hana mwisho, halafu yupo Bwana mmoja Yesu ndiye aliyekuwa stadi katika uumbaji wa
ambaye ni Yesu, kupitia kwa Yesu, ‘‘..vitu vyote Mungu, vitu vilianza kuwapo kupitia kwa Yesu,
vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.’’ Yesu ndiye ‘‘Vyote vilifanyika kwa huyo(yaani Yesu); wala
aliyekuwa pamoja na Mungu katika Uumbaji, pasipo yeye(Yesu) hakikufanyika cho chote
‘‘Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano kilichofanyika.’’ Yohana 1:3. ‘‘Alikuwako
wetu,....’’ Mwanzo 1:26. Yesu anasema, ‘‘BWANA ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata
alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.’’
Kabla ya matendo yake ya kale.’’ Mithali 8:22. Yohana 1:10. ‘‘mwisho wa siku hizi amesema na
Mungu alikuwa na Mwanawe, ‘‘Ni nani aliyepanda sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa
mbinguni na kushuka chini? Ni nani yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.’’
aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani Waebrania 1:2.
aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake? Ni nani Mtume Paulo anaposema, ‘‘yuko na Bwana mmoja
aliyefanya imara ncha zote za nchi? Jina lake ni Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote
nani? Na ni nani jina la mwanawe, kama vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.’’ ni kweli
wajua?’’ Mithali 30:4. ‘‘Hapo mwanzo kabisa maana Yesu ndiye alikuwa stadi wa kazi
kulikuwako Neno, NAYE NENO ALIKUWA kama alivyosema mwenyewe na katika Ufunuo
PAMOJA NA MUNGU, naye Neno alikuwa imeandikwa, ‘‘Na kwa malaika wa kanisa lililoko
Mungu.’’ Yohana 1:1kjv. Huyu Neno ni Yesu na Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye
ndiye Mwana wa Mungu, kila kitu kina mwanzo na Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli,
mwanzo wa vitu ni Yesu, Yesu ndiye muumbaji wa mwanzo wa kuumba kwa Mungu.’’ Ufunuo wa
vyote, kuna muda dunia haikuwapo, na kuna muda Yohana 3:14. ‘‘Kwa kuwa katika yeye vitu vyote
ikawapo, vivyo kuna wakati Yesu aliye Neno viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya
hakuwako kama ilivyoandikwa, ‘Hapomwanzo nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa
kulikuwako Neno’ upo wakati hakuwapo. ‘‘Bali ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au
wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake,
miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako na kwa ajili Yake.Naye amekuwako kabla ya
wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika
katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa yeye.’’ Wakolosai1:16-17. Hakuna ambacho
tangu zamani za kale, tangu milele.’’ Mika 5:2. kimekuwapo Yesu hakuhusika, vitua vyote
Huyu anaesemwa hapa ni Yesu, Yesu ndiye vimeumbwa na Yesu, vitu vyote Somo la Tatu [3]
aliyezaliwa Bathlehemu mji wa Daudi, ‘‘Yesu vimeshikamanishwa na Yesu, hii huonyesha Yesu si
alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi kitu bali ni chanzo hivyo vitu. Kuna mkuu kando ya
zamani za mfalme Herode,...,’’ Mathayo 2:1. Yesu Yesu, ambaye alikuwa akiumba kupitia kwa Yesu,
ndiye mtawala anaesemwa hapo, ‘‘Nitakipindua, Bwana hakusita kusema, ‘‘.....,..Baba ni mkuu
nitakipindua, nitakipindua; hiki nacho kuliko mimi.’’ Yohana 14:28 MUNGU MMOJA, ni Baba na Mwana na Roho
hakitakuwa tena, hata atakapokuja yeye Mtakatifu?
ambaye ni haki yake; nami nitampa.’’ Ezekieli Mmoja atasema mbona umejikita katika Baba na
21:27. Mwana tu na hujamgusia sana Roho Mtakatifu au
Nabii Mika anasema, Huyu Yesu anamatokeo, na unamkataa Roho? Nimefanya hivi kwa sababu moja
matokeo yake ni ya zamani sana kale na kale, ikiwa kuu, Bwana anatueleza kuwa, ‘‘Na uzima wa
na maana gani? Kuna kisabibishi kilichomfanya milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa
atokee, kabla ya hapo hakuwako kabisa. Alitokea pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.’’
wapi? Kwakuzaliwa na Mungu, ‘‘Wakati Yohana 17:3. Uzima ni kumjua Mungu na kumjua

You might also like