Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 4

CHECK NA: 112067546,

DEVOTHA M.AGUSTINO,
S.L.P 284,
BUKOBA
02/10/2020.

MKURUGENZI MTENDAJI (M),


HALMASHAURI YA MANISPAA YA DODOMA
S.L.P 41,
DODOMA

k.k. MKURUGENZI MTENDAJI (M),


HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA
S.L.P 284,
BUKOBA

k.k. MGANGA MKUU (M),


S.L.P 284,
BUKOBA

YAH: OMBI LA NAFASI KUHAMIA HALMASHAURI YA MANISPAA YA DODOMA


Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu,

Mimi ni Muhudumu wa Afya-Muuguzi ngazi ya cheti katika Kituo cha Afya cha Zamzam
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ambaye nina Check No.112067546.

Naomba nafasi ya kuhamia katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ili niwe karibu na mume
wangu ambaye ni Mchungaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.

Pamoja na barua hii naambatanisha kivuli cha hati ya ndoa.

Ni matumaini kuwa ombi langu litafikiriwa ili niweze kutekeleza majukumu ya ujenzi wa taifa.

Wako katika ujenzi wa taifa,

…………………………….

DEVOTHA M.AGUSTINO

Muhudumu wa Afya-Muuguzi

HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA


PF.3077,
AGNES L. WILLIAM,
S.L.P 15,
UKEREWE,
08/05/2017.

Mkurugenzi Mtendaji (W),


Halmashauri ya UBUNGO
S.L.P ,
DAR ES SALAAM.
K.K. Afisa elimu (W),
S.L.P
DAR ES SALAAM.
k.k. Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Ukerewe.
S.L.P. 41,
UKEREWE.
k.k. Afisa Elimu (W),
S.L.P 41,
UKEREWE.
K.K. M/ MKUU,
S/MSINGI MWITONGO,
UKEREWE.

YAH: OMBI LA NAFASI KUHAMIA HALMASHAURI YA WILAYA YA UBUNGO.


Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.

Mimi ni Mwalimu wa shahada ambaye ninafundisha shule ya msingi Mwitongo iliyopo kata ya
Bukongo katika Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza ambaye nina Check
No.10352478 na TSD No.W.2253.

Naomba nafasi ya kuhamia katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo ili niwe karibu na wazazi
wangu ambao ni wagonjwa sana na pia ni wazee wanaohitaji msaada wangu wa karibu
kuwahudumia.

Ni matumaini kuwa ombi langu litakubaliwa ili niweze kutekeleza majukumu ya ujenzi wa taifa.

Wako katika ujenzi wa taifa.

AGNES L. WILLIAM
WINFRIDA KASUBI MATHEW
S/M MWITONGO
S.L.P 74,
UKEREWE,
30/09/2017.

Mkurugenzi Mtendaji Mji,


S.L.P ,256
NZEGA-TABORA,
K.K. Afisa elimu Mji
S.L.P256
NZEGA-TABORA
k.k. Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Ukerewe.
S.L.P. 41,
UKEREWE.
k.k. Afisa Elimu (W),
S.L.P 41,
UKEREWE.
K.K. M/ MKUU,
S/MSINGI MWITONGO,
UKEREWE.

YAH: OMBI LA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI NA MWL MASIGANI T ISACK


WA S/MSINGI NHOBOLA NZEGA-TABORA.
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.

Mimi ni Mwalimu wa cheti daraja IIIA ambaye ninafundisha shule ya msingi Mwitongo iliyopo
kata ya Bukongo katika Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza ambaye nina Check
No.111267893 na TSD No M- 129064.

Naomba nafasi ya kuhamia katika Halmashauri ya mji Nzega Tabora ili niweze kuwa karibu na
wazazi wangu kwa kubadilishana na mwalimu tajwa hapo juu mwenye check No 12134524 na TSD
No.T-7484.

Ni matumaini kuwa ombi langu litakubaliwa ili niweze kutekeleza majukumu ya ujenzi wa taifa.

Wako katika ujenzi wa taifa.

WINFRIDA K MATHEW.
GAUDENSIA KARABI BENARD,
S/M MWITONGO
S.L.P 74,
UKEREWE,
03/10/2017
Mkurugenzi Mtendaji ( W),
S.L.P 41
UKEREWE/NANSIO.

k.k.
Afisa Elimu (W),
S.L.P 41,
UKEREWE.
K.K.
M/ MKUU,
S/MSINGI MWITONGO,
UKEREWE.

YAH: OMBI LA KUWEKWA KWENYE MPANGO WA KWENDA MASONI KWA


MWAKA WA MASOMO 2018-2019.
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.

Tafadhali ninaomba kuwekwa kwenye mpango wa kwenda masoni kwa mwaka wa masomo tajwa
hapo juu

Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa.

Asante.

GAUDENSIA KARABI BENARD.

You might also like