Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUDA MREFU

NA MUDA MFUPI WA KOZI ZA ZENYE AJIRA 2023


Mkuu wa Chuo anawatangazia wananchi wote hususani vijana na jamii nzima
kwa ujumla,kuwa muhula mpya wa masomo katika kozi za UFUNDI NA
TEHAMA umeanza rasmi katika vituo vyake vya MOSHI MJINI NA HIMO .
Kozi zitakazo tolewa kwa mwaka 2023:
1. Computer (ICT, Maintenance, Web, Graphic)
2. Computer science and Information Tech
3. Ufundi wa vifaa vya Ki-electronic) KOZI MAALUMU NA ZA MUDA MFUPI
4. Uhasibu Kutumia computer (Quickbooks,Tally..) 1. AWERE COURSE –KOZI YA
AWALI YA COMPUTER
5. Uhazili na computer (secretarial & Computer study) 2. KOZI YA KIINGEREZA NA
6. Uwalimu wa awali na Medium school (ECD) KISWAHILI KWA WAGENI
3. QUICKBOOKS NA TALLY
7. Tourism na tour guide(Utalii na uongozaji watalii) 4. TUTION; QT NA RESITTERS
8. Database ,web designing & Programming 5. SPECIAL F4 NA F6 PROGRAM.
9. Computer awere courses & Special Program 6. KOZI YA BIASHARA NA
MTANDAO.
10.Ufundi cherehani na ubunifu wa mitindo

KOZI HIZI PIA ZINATOLEWA WAKATI WA JIONI KWA WALE WALIO MAKAZINI NA
ADA YAKE KWA JIONI INAPUNGUZO LA 20%.
SIFA ZA KUJIUNGA:
1. Kuanzia elimu ya MSINGI, SEKONDARI NA WALIO MALIZA VYUO.
2. Malipo yanafanyika kwa awamu na kidogo-kidogo kupitia benki.
CHUKU FORM MTANDAONI AU KWA WHATSAP No. 0655 241914/0717157640.
MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY TUPO MOSHI MJINI TUNATAZAMANA NA
UHURU PARK (MITA 500 TOKA STENDI KUU YA MABASI MOSHI)
KWA MAWASILIANO PIGA: 0678 093637 / 0756020696/0655 241914
MKUU WA CHUO: 0754 469894 / 0717157640

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YETU www.mit.tareo-tz.org

You might also like