Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

HATI YA MKATABA WA UPANGAJI/UPANGISHAJI

Mimi ndugu Wilfred D. Mwasumbi wa S.L.P 3642 Dar es Salaam nimeingia mkataba na
Bw/Bi________________________________ wa S.L.P ____________ kwa kumpangisha
nyumba iliyopo eneo la UPENDO kata ya VIJIBWENI kwa ajili ya upangaji wa nyumba. Kuanzia
tarehe ___________ mwezi ________ mwaka __________ kodi kwa mwezi mmoja ni
Tshs__________________ inatakiwa kulipwa kodi ya miezi sita (6) ambayo ni
Tshs_______________ itakayoishia tarehe ____________ mwezi __________ mwaka ________

MASHARTI YA MKATABA HUU

1. Mpangaji anatakiwa kulipafedha ya miezi sita (6) na kuendelea.


2. Fedha haitarudishwa kama mpangaji atakiuka masharti.
3. Mpangaji na mpangishaji wanaombwa kusoma mkataba huu na kuzingatia masharti ya
mkataba.
4. Mpangaji anatakiwa kulipa fedha nyingine pindi tu mkataba utakapomalizika.
5. Mpangaji anatakiwa kutoa taarifa miezi miwili (2) kabla ya mkataba wake kuisha kama
atahama ama kuendelea na mkataba.
6. Mpangaji au mpangishaji hataruhusiwa kumkabidhi chumba mtu mwingine bila watu
wawili na shahidi wa pande zote mbili.
7. Mpangaji au mpangishaji akienda kinyume na mkataba huu hatua za kisheria
zitachukuliwa.

Jina la mpangishaji _______________________________________

Sahihi ______________________ Tarehe_____________________

Jina la mpangaji _________________________________________

Sahihi ______________________ Tarehe_____________________

Shahidi wa mpangaji ______________________________________

Sahihi ______________________ Tarehe______________________

ACCOUNT No. 24510000911 – NMB

WILFRED DAIMON MWASUMBI

You might also like