Dauson Mgamba

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

S/ FULL NAME POSITION

NO
01 Athuman jackson Chairperson and signatory
02 Agness jackson messenger
03 Beatrice saimon messenger
04 Wegesa lameck Secretary and signatory
05 Debora saimon messenger
06 Tagari saimon Treasurer and signatory
07 Dauson mang’aba messenger
08 Suzy nyabange messenger
09 Mama grace signatory
10 Anastazia athuman messenger
11 Saimonn kibure messenger
12 Godfrey lameck messenger
13 Nyabange lameck messenger
14 Agness lameck messenger
MHUTASARI WA KIKAO CHA KUANZISHA KIKUNDI KICHOFANYIKA
TAREHE: 03 Sept 2023
A. MAHUDHIRIO

B. AGENDA
1.ufunguzi/kufungua kikao
2.kujadili namna ya kuanzisha kikundi cha kusaidiana kijamii.
3.kupendekeza majina ya viongozi wa kikundi pamoja na masagnator
4.kujadili maeneo ya kazi,malengo ya kikundi,shughuli zake na jina la kikundi
5.mengineyo
6.kufunga/kuhitimisha kikao.

01. KUFUNGUA KIKAO.


Mnamo saa kumi na dakika thelathini na tano jioni tulianza kikao chetu chini ya
mwenyekiti aliyependekezwa athuman Jackson hakukuwa na mhutasari uliosomwa
kwasababu kilikuwa kikao cha kwanza,wajumbe walipendekeza agenda ambazo
zilianza kujdiliwa kama ifuatavyo.
02. KUJADILI NAMNA YA KUANZISHA KIKUNDI CHA KUSAIDIANA
KIJAMII.

Kutokana changamoto mbalimbali za kijamii na kiuchumi ndani ya jamii yetu


wajumbe wote waliamua kuanzisha kikundi kitakachosaidia kupunguza
changamoto hizo, wajumbe waliazimia kuanzisha kikundi kitakachojikita Zaidi
kutukwamua kijamii kwa kutusaidia matatizo mbalimbali ya kijamii.

03. KUPENDEKEZA MAJINA YA VIONGOZI WA KIKUNDI PAMOJA NA


MASIGNATOR

Wajumbe waliwapendekeza wafuatao kuwa viongozi pamojana masignator /waweka


saini
ATHUMAN JACKSON alipendekezwa kuwa chairperson and signatory
WEGESA LAMECK alipendekezwa kuwa secretary and signatory
TAGARI SAIMON alipendekezwa kuwa treasurer and signatory
MAMA GRACE alipendekezwa kuwa signatory
Wajumbe wote kwa pamoja walikubaliana na mapendekezo hayo ya uongozi ambao
utaongoza
Kikundi chetu.

04.KUJADILI ENEO LA KAZI, MALENGO YA KIKUNDI,SHIGHULI ZAKE NA


JINA LA KIKUNDI.
Wajumbe walikubaliana kuwa eneo la kazi /vikao vya kikundi vitafanyika kwa
kutembeleana na kuhakikisha tunadumisha umoja miongoni mwa jamii yetu
kikundi chetu kinayo malengo mengi na makubwa yaliyoazimiwa na wajumbe kama
ifuatavyo,
-kuwa na mchango ambao utatusaidia wakati wa shida na raha ambapo wajumbe
walikubaliana kuwa kila watakapokutana watakuwa wakitoa TSH 10, OOO na kiasi cha
pesa kitawekwa kwenye account ya NMB bank ambayo wajumbe walipendekeza kwaajili
ya kuwe pesa
-mwanachama ama mwanakikundi ataguswa na mojamoja akiwa anaumwa ,anauguliwa
na mama,baba,mme,mke pamoja na mtoto
-pia hutamhusu aliyefiwa na baba,mama,mke,mme ama watoto
-wanakikundi wanakusudia kudumisha umoja na kutimiza mipango na mikakati
madhubuti waliyojiwekea ili kuhakikisha wanasaidiana kijamii
-pia wanakikundi wamekusudia kuweka kanuni dhibiti ambazo zitalinda kikundi kama
vile kanuni za kudhuti uchelewaji na utoro ama kutokuhudhuria kwenye kikao bila
taarifa.

05. MENGINEYO.
-ziundwe kanuni ambazo zitawaongoza wanakikundi wote
-kuwepo na kiasi ama kiwango kwaajili ya msaada kwa mwanakikundi wetu wakati
apatapo tatizo.
-mchango huu ni kwaajili ya kusaidiana katika matatizo tuliyokuabaliana wanakikundi
06. KUFUNGA / KUHITIMISHA KIKAO
Tulihitimisha kikao mnamo saa kumi n mbili na nusu jioni kwa mwenyekiti ATHUMAN
JACKSON kuwashukuru wajumbe wote walio udhuria kikao hicho pamoja na michango
yao ya mawazo ambayo yanaleta ufani
si na utendaji wa kazi katika kikundi chetu.

ORGERNIZER
DAUSON MANG’ABA

You might also like