Mtego Unaotumiwa Na "Dan Thread by Nyandaamosi Dec 18, 21 From Rattibha

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 24

AmosiNyanda

@NyandaAmosi

22 Tweets • 2021-12-18 •  See on


rattibha.com 

Mtego Unaotumiwa na “Dan bilzerian” Kunasa


WAREMBO!...(Ambao Unaweza Kuutumia Pia)
.
Dan bilzerian ni miongoni mwa majina maarufu sana
Duniani...
.
Na umaarufu wake Umetokana na Uwezo wake wa
Kunasa wanawake wazuri Duniani
.
Na anajulikana Kama....
...”Playboy wa Dunia”
.
Kabla hujaendelea Mbele zaidi rudi hapo Juu kisha
Bofya—“Retweet” button
.
Tayari?...
.
Okay
.
Endelea Hapa....
.
Watu Wengi huwa wana kiu ya kujua mbinu
anayoitumia kuwanasa warembo
.
Na ndipo alipoamua Kuweka kila kitu
Kwenye kitabu chake Kinachoitwa—“The Setup”
.
Sitamuelezea sana kuhusu Historia yake Ila Leo
nitashare zaidi Mbinu anazotumia Pamoja na
Psychology ya wanawake anayoitumia Kunasa
warembo
.
Dan Anasema kinachomfanya awe Sumaku ya
warembo Sio...
.
Pesa wala
Umaarufu Bali Psychology iliyopo nyuma ya
wanawake wote Duniani ambayo wanaume wengi
hawaijui

Na Hii Ndio Psychology iliyopo nyuma ya wanawake


Wote
.
“Miaka ya 70’s wanasayansi wa China na Japan
walifanya utafiti kwa Samaki wa Kike aina ya
—“Goldfish”
.

Wakagundua kwamba—“Goldfish wa kike anapotafuta


Mwanaume wa Kujaamiana nae kwasababu Goldfish
wa Kiume wote wanafanana, basi huwa anamfuata
Yule Goldfish wa Kiume Mwenye Wanawake wengi au
aliyezungukwa na wanawake wengi”
.
Na kwa Binadamu ni Hivyo hivyo
Wanawake wengi wanavutiwa zaidi na mwanaume
aliyezungukwa na wanawake wengi
.
Sababu ni Ndogo tu...
.
Inaitwa—“Curiosity”
.
Wanataka Kujua kwanini
.
Kumbuka pia wanawake husema—Wanaume wote ni
Baba mmoja
.
Goldfish wote wanafanana—Hence Proved
.
Psychologically Binadamu Anahitaji zaidi vitu vya aina
tatu...
.
. Kitu ambacho Hawezi Kukipata
.
. Kitu ambacho wengine wanakihitaji
.
Na....
.
. Na kitu ambacho wachache tu wana Access
nacho
.
Dan bilzerian mwanzoni hakuwa sumaku ya
Warembo kabisa ila hiki ndicho alichokifanya...
.
“Alianza kwa kuwalipa Na kuwaalika warembo wazuri
kwenye Parties zake”
.
Halafu anapiga nao picha kisha anapost kwenye
social media’s zake
.
Wengine wakiona Hivyo wanaingiwa na Wivu Pamoja
na Curiosity
.
Dm yake ikajaa requests za warembo kibao
wanaomba wakutanae nae
.
Kwanini?...
.
Kwasababu ya kitu kinachoitwa—FOMO (Hofu ya
Kukosa)
.
Na Wao wanataka Kuwa miongoni
.
Kwahiyo moja ya kosa Kubwa utakalofanya kama
unamtaka mwanamke ni....
Ni Kumwambia—“Upo Single”
.
Hakuna mtu anayetaka Kuwa wa kwanza wala
wamwisho
.
Na Ndio maana ni ngumu sana kupata Mwanamke
ukiwa Single
.
Ukipata manzi tu hawa Hapa
.
Au kabla hujaoa hakuna anayekutaka Ukioa Tu pisi
zote kali zinakukubali
.
Unadhani ni
Kwanini?...
.
Kwasababu ya kitu Kinachoitwa—“The power of
Competition, Jealousy and Scarcity” (Uzi wa Siku
nyingine)
.
Mtego wa Pili ni Huu Hapa...
.
“Uhitaji na Mwanamke ni Sawa na Kitunguu Swaumu
kwa Vimpire”
.
Yaani kadri Unavyomhitaji zaidi
Mwanamke ndivyo anavyokosa interest nawewe na
Kukupush away
.
Siri ni Hii Hapa...
.
“The Secret to having a power with Women is NOT
Needing Them”
.
Yaani siri ya Kuwa na Nguvu na mvuto kwa
mwanamke ni Kumuonesha Kwamba Humwitaji”
.
Na utafanikiwa zaidi
Kwenye hili kwa kufanya yafuatayo...
.
Kuwa na Options nyingi
.
Na Siri yenye Nguvu Zaidi ni Hii Hapa
.
“Kuwa Mtu Mwenye Furaha Ukiwa Mwenyewe au
peke yako”
.
Kwanini?...
.
Kwasababu wanawake wanapenda Kuwa karibu na
wanaume Wenye Confidence na
Furaha bila uwepo wao au Kumtegemea yeyote
.
Maana yake ni kwamba humtegemei yeye ili Kuwa na
furaha

Kadri Unavyomuonesha mwanamke unamuhitaji


ndivyo unavyomkosa na Kadri unavyomind your Own
business ndivyo anavyooza mtoto wa watu
.
Hii ni Sawa na kwenye

Mauzo Kadri unavyomlazimisha mteja Kununua


bidhaa/Huduma yako ndivyo anavyokimbia
.
Ukweli ni huu Hapa chini...
.
“Yule mwenye Kiburi cha kutojali kuhusu
kinachozungumzwa ndiye mwenye Nguvu”
.
Hii Ndio maana yake...
.
“Kadri unavyomuonesha kwamba
Unamuhitaji ndivyo anavyokuwa na Nguvu Mbele
yako “
.
Siri ya tatu ni Hii Hapa...
.
“Kama unataka Kupata Pisi Nyingi zaidi kali basi
Mpende na Kumpendezesha Yule uliyenaye Sasahivi”
.
Kadri yule uliyenaye anavyong’aa zaidi ndivyo
wengine wanavyokutaka zaidi

Hii ni kwasababu ya Curiosity na Jealous iliyopo ndani


ya kila mwanamke—It’s human nature
.
Na hakuna watu wanaotumia Nguvu kidogo kupata
wanawake kama waliooa au wale Wenye wachumba
wanaopendeza na Wenye furaha
.
Psychology ya wanawake ni Hii Hapa
1). Kadri Unavyokuwa na wanawake wengi ndivyo
wengine wanavyokutaka zaidi (Curiosity, Jealous na
Competition)
.
Hapa sio lazima uwe nao kwenye Mahusiano ni Kile
kitendo Tu cha Kuwa karibu nao ni Sumaku tosha!
.
2). Njia ya Uhakika ya kumpata mwanamke yeyote

Ni Kutomhitaji baada ya kuonesha Interest kwa mara


ya kwanza
.
Kwanini?...
.
Kwasababu anataka kujiqualify na kuwin back your
Attention
.
Kwahiyo Kunakuwa na Shift of Power

Najua utakuwa unajiuliza kwanini Kuonekana au


Kuwa na wanawake wengi ni Sumaku
Kwa wanawake wengine?...
.
Hii ni—“The LAW of Demand and Supply”
.
Supply ya wanawake ikiwa Kubwa Mbele yako
demand yako inakuwa Kubwa and vice versa is true—
Kwahiyo wanaanza kushindana kupata attention yako
and then Booom!

3). Kadri unamuonesha mwanamke unayemtaka


kwamba una furaha hata Bila ya Uwepo wake ndivyo
anavyotaka kukijua zaidi kile kinachokupa kiburi then
booom
.
Oooh No!
.
Twitter wanasema maneno yamekuwa mengi zaidi
(na madini bado yapo kibao)
.
By the way Nimeandika Summary ya Siri 15 za
Kumpata mwanamke yeyote unayemtaka ndani ya
Muda mfupi na Zipo Kwenye FREE PDF

Naitoa FREE Hapa ila nitaweka Link endapo tukifika


“Followers 10K”
.
Kwahiyo Kama unataka FREE PDF Follow
@NyandaAmosi
.
Page 3 tu!

These pages were created and arranged by Rattibha


services (https://www.rattibha.com)
The contents of these pages, including all images,
videos, attachments and external links published
(collectively referred to as "this publication"),
were created at the request of a user (s) from X.
Rattibha provides an automated service, without human
intervention, to copy the contents of tweets from X
and publish them in an article style, and create PDF
pages that can be printed and shared, at the request
of X user (s). Please note that the views and all
contents in this publication are those of the author
and do not necessarily represent the views of
Rattibha. Rattibha assumes no responsibility for any
damage or breaches of any law resulting from the
contents of this publication.

You might also like