Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

K A T A L O G I YA A I N A

MBALIMBALI
Z A M B E G U K WA

TANZANIA
UTUNZAJI WA MAHINDI
PAN 67 Inakomaa muda wa kati
Mbegu hii ni habari njema kwa wakulima wadogo wadogo.
Inapendekezwa kwa maeneo ya ukanda wa kati.

• Ni mbegu chotara ya ukanda wa kati inayotoa mavuno mengi


• Inavumilia sana ukame, udongo wenye tindikali na wenye
rutuba kidogo
• Inavumilia sana ugonjwa wa milia
• Inavumilia sana magonjwa ya majani ikiwemo GLS”
• Punje hazikubonyea hivyo inakoboleka vizuri
• Ina ladha nzuri (Kwa kuchoma au unga)
• Ina uwezo wa kutoa kiasi cha magunia 30 kwa ekari moja
• Inakomaa siku 115 - 125

PAN 691 Ukanda wa juu


Ni mbegu chotara ya ukanda wa juu iliyosubiriwa kwa muda mrefu,
yenye ubora wa kiwango cha juu.

• Ina sifa ya kubaki na rangi ya kijani kwa muda mrefu


• Inavumilia sana magonjwa ya majani ikiwemo (GLS) na ugonjwa
wa kutu
• Inazaa hindi moja kubwa lenye punje zenye ukubwa wa wastani
zilizobonyea kidogo
• Ina uotaji mzuri
• Ni mbegu chotara pekee ya ukanda wa juu inayokomaa haraka
• Inakomaa siku 150 - 160

MWONGOZO WA KUFAA WAKULIMA WETU


Kabla ya kupanda hakikisha kwamba shamaba limetayarishwa vizuri na
haina mabonge au mashina ya mabua, kwani hali hii yaweza kuathiri uotaji
wa mbegu. Unashauriwa kupanda mapema wakati wa mvua za kwanza za
msimu na kupanda zaidi ya aina moja ya mahindi chotara yanayokomaa
kwa wakati tofauti. Idadi ya chini ya mimea (35,000 - 40,000 kwa hektari)
inaweza kukupatia mavuno mazuri ikiwa utapanda mahindi yanayotoa
mahindi mawilimawili kwenye eneo lenye hali nzuri ya hewa.

Utumiaji wa mbolea wakati wa kupanda au mara tu baada ya kupanda,


na baadae kuweka mbolea ya kukuzia wakati mimea ikiwa usawa
wa magoti,na baadae wiki moja kable ya mahindi kutoa mbelewele
ikiambatana na palizi nzuri pamoja na kuzuia magonjwa au wadudu wakati
wote wa msimu itakupa uhakika wa kupata mavuno mazuri.
NAFASI ZA KUPANDA SHAMBANI
Idadi ya mimea hutofautiana kutoka shamba moja hadi jingine au ardhi kwa ardhi, kwa hiyo idadi ya
mimea itategemea hali ya hewa kwenye eneo lako pamoja na ukanda ulioko. Pendekezo la mimea
30,000 hadi 55,000 kwa hekari ni mwongozo ufaao.

Mimea kwa Nafasi ya mimea


hektari katika mstari
30,000 37 cm
35,000 32 cm
40,000 27 cm
45,000 25 cm
55,000 20 cm

Idadi kubwa ya mbegu za mahindi za Pannar hutoa mahindi mawili-mawili, hivyo usipande idadi kubwa
ya mimiea. Idadi ya chini (mimea 35,000 kwa hektari itakupatia mavuno mengi katika hali nzuri ya hewa,
kwa vile asili kubwa ya mimea itakupa mahindi mawili-mawili.

MBEGU ZA
Aina za mbegu za mbogamboga za kawaida:
MBOGAMBOGA
Maboga (Flat white Boer, STAR 7001, Waltham)
Starke Ayres Letusi (Commander, Great Lakes)
Mbegu zilizotafitiwa Biringanya (Black Beauty)
na kuaminika Beet (Detroit Dark Red)
Vitunguu (Pyramid, Red Creole, Texas Early Grano)
Kitengo cha kampuni
Karoti (Chantenay, Ideal Red, Kuroda, Nantes Ideal)
ya Pannar cha mbegu ndogondogo
Coriander (Coriander)
“Starke Ayres” Kimeanzishwa zaidi ya
Chainizi
miaka 100 iliyopita na kina heshimika (China Granat, Tronchuda Tronchuda)
kabeji
kweli kweli katika wadau wa mbegu dunia
Koliflawa (Snowcap, Wallaby)
nzima. Starke Ayres inajishughulisha na
Njegere (Greenfeast)
kuzalisha na kutathmini aina mbalimbali
mpya za mbegu za mbogamboga, maua na Spinachi (Fordhook Giant)
manyasi/malisho ya mifugo. Maharage (Contender, Provider, STAR 2000, STAR 2052)
Matikiti maji (Crimson Sweet, Sugar Baby)
Miundo mbinu ya Starke Ayres inawezesha Sweet melon (Honey Dew)
kuuza bidhaa zao vizuri katika masoko Sukuma (English Giant)
makuu yaliyopo Afrika kusini. Vilevile Matango (Ashley)
mbegu zinauzwa katika masoko
Pilipili (California Wonder, Piripiri)
ya kimataifa. Aina zinazofanya vizuri
Bamia (Clemson Spineless)
zinachunguzwa kwa kina na kufanyiwa
tathmini na zile zinazoonekana kuwa ni Kabichi (Cape Spitz, Copenhagen, Drumhead)
nzuri zaidi ndizo zinazopitishwa /ruhusiwa Parsley (Moss Curled, Plain)
kusambazwa. Nyanya
(Floradade, Heinz, Moneymaker, Rodade,
Roma VF, Cal J)

Mbegu za Mbogamboga chotara :


Kabichi (STAR 3317)
Nyanya (STAR 9062, STAR 9003)
UTUNZAJI WA MAHINDI
PAN 4M-19 Inakomaa mapema sana

“MKOMBOZI”
Chaguo sahihi. Mbegu hii ya chotara inafaa sana kwenye maeneo
mbali mbali ya ukanda wa chini na kati wenye mvua kidogo na
inavumilia sana ukame. Mbegu hii ndiyo mkombozi wa uhakika na
itakufanya uepukane na njaa haswa katika kipind hiki ambacho hali
ya hewa haitabiriki.Mkulima mwenye busara huchagua
PAN 4M-19 (MKOMBOZI).

• Punje zake ni ngumu na zinakoboleka vizuri. Haishambuliwi na


wadudu kwa urahisi
• Inafaa kwenye maeneo mengi yenye hali mbaya ya hewa hasa
ukame
• Inavumilia sana magonjwa ya majani
• Ni matamu sana kwa kuchoma
• Inakomaa mapema sana: Siku 90 - 100

PAN 6549 Inakomaa mapema

Aina hii inapendekezwa kwa sehemu za ukanda wa kati zenye


uhaba wa mvua au maeneo ya ukanda wa chini na sehemu ambako
mbegu chotara inayokomaa haraka itahitajika.

• Ina punje nzuri sana na inavumilia udongo wenye tindikali


• Ina mavuno mazuri yasiyoyumba kwenye hali ya hewa nzuri au
mbaya
• Ina uwezo wa kubeba mahindi mawili mawili
• Ina uotaji mzuri na inakoboleka vizuri
• Inavumilia sana magonjwa ya kuozesha suke
• Ina uwezo wa kutoa kiasi cha magunia 30 kwa ekari moja
• Inakomaa siku 100 - 115

PAN 63 Inakomaa muda wa kati


Mbegu mpya aina ya chotara inayokomaa muda wa kati na
yenye punje ngumu zinazokoboleka vizuri. Mbegu hii ina uwezo
wa kubeba mahindi mawili mawili, mabua yake hayaanguki kwa
urahisi na inavumulia sana magonjwa ya majani. PAN 63 inatoa
mavuno mengi hata kwenye mazingira magumu.

• Inazaa sana na mabua yake hayaanguki kwa urahisi


• Punje ngumu, zinakoboleka vizuri hazishambuliwi na wadudu kwa
urahisi
• Ina uwezo wa kubeba mahindi mawili mawili
• Mahindi yake yamefunga vizuri hivyo hayashambuliwi na wadudu
kwa urahisi
• Mahindi yakishakauka yanageukia chini hivyo hata mvua ikiwa
nyingi punje haziozi
• Inavumilia sana magojwa ya majani ikiwemo ugonjwa wa milia na
“GLS”
• Inatoa wastani wa magunia 35 kwa ekari moja
• Inakomaa siku 115 – 125
UTUNZAJI WA MAHINDI UTAFITI WA DUNIA
WA UWEZO
PAN 67 Inakomaa muda wa kati
WA MAENEO
Mbegu hii ni habari njema kwa wakulima wadogo wadogo.
Pannar Seed Tanzania
Inapendekezwa kwa maeneo ya ukanda wa kati.
Ltd, ni Kampuni ya mbegu
iliyosajiliwa hapa Tanzania na pia ni
• Ni mbegu chotara ya ukanda wa kati inayotoa mavuno
mwanachama wa mengi
• Inavumilia sana ukame, udongo wenye tindikali na wenye
chama cha wafanya biashara
rutuba kidogo
• Inavumilia sana ugonjwa wa miliaya mbegu (Tanzania Seed Trade
• Inavumilia sana magonjwa ya majani Association)
ikiwemo TASTA.
GLS”
• Punje hazikubonyea hivyo inakoboleka vizuri
Tangu
• mwaka
Ina ladhawa 1994
nzuri tulivyoanza
(Kwa kuchomakujihusisha
au unga) na shughuli za mbegu

hapa Ina uwezo
Tanzania wa kutoa kiasi
tumefanikiwa cha magunia
kusajili 30 kwazaekari
mbegu kadhaa mojana alizeti
mahindi

ambazo Inakomaa sikuwa
zina ubora 115 - 125
hali ya juu na zenye kufaa mazingira ya Tanzania.
Pannar Seed Tanzania Ltd ni kampuni tanzu ya kampuni ya kimataifa
PAN 691
ijulikanayo kama Pannar Seed (Pty) Ltd yenye makao Ukanda wa juu
makuu huko
Greytown Africa ya Kusini. Pannar Seed (Pty) Ltd ilisajiliwa kwa mara ya
kwanza huko
Ni mbegu Afrikaya
chotara yaukanda
kusini mnamo mwaka wa 1958.
wa juu iliyosubiriwa kwa muda mrefu,
yenye ubora wa kiwango cha juu.
Kampuni ya Pannar imefanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na Taasisi
mbalimbali
• zaya
Ina sifa Serikali,
kubakihususan
na rangizile ambazo
ya kijani kwazipo chini
muda ya Wizara ya Kilimo
mrefu
katika
• kuhakikisha
Inavumilia kuwa
sana inazalisha
magonjwa yambegu
majani zenye
ikiwemoubora wana
(GLS) juuugonjwa
zenye
kufaa wa
soko la Tanzania na Jumuia ya Afrika mashariki kwa ujumla. Baadhi
kutu
• Taasisi
ya Inazaa hindi
hizo moja kubwa
ni TOSCI, lenye punje
TPRI pamoja zenye
na vituo vyaukubwa wamazao
utafiti wa wastani
vya
Selian,zilizobonyea kidogo
Uyole na Ilonga.
• Ina uotaji mzuri
• Ni mbegu chotara pekee ya ukanda wa juu inayokomaa haraka
• Inakomaa siku 150 - 160

MWONGOZO WA KUFAA WAKULIMA WETU


Kabla ya kupanda hakikisha kwamba shamaba limetayarishwa vizuri na
haina mabonge au mashina ya mabua, kwani hali hii yaweza kuathiri uotaji
wa mbegu. Unashauriwa kupanda mapema wakati wa mvua za kwanza za
msimu na kupanda zaidi ya aina moja ya mahindi chotara yanayokomaa
kwa wakati tofauti. Idadi ya chini ya mimea (35,000 - 40,000 kwa hektari)
Ili kukuwezesha
inaweza kufanya
kukupatia mavunouamuzi sahihi
mazuri ikiwakuhusu mbegu
utapanda inayofaa
mahindi mazingira
yanayotoa
yako, kampuni ya Pannar inaambatanisha picha kwenye
mahindi mawilimawili kwenye eneo lenye hali nzuri ya hewa. maelezo ya kila
aina ya mbegu. Picha hizo zinaonyesha zile sifa muhimu za kila aina ya
mbegu. Pia
Utumiaji wa tumeambatanisha
mbolea wakati wa ramani
kupanda yaau
Tanzania
mara tuinayoonyesha mikoa na
baada ya kupanda,
aina
na ya mbegu
baadae inayopendekezwa
kuweka kwenye
mbolea ya kukuzia mikoa
wakati hiyo.ikiwa usawa
mimea
wa magoti,na baadae wiki moja kable ya mahindi kutoa mbelewele
Panda mbegu
ikiambatana nabora
palizizanzuri
Pannar msimu
pamoja na huu na magonjwa
kuzuia ujionee mwenyewe
au wadudukuwa
wakati
kwa kutumia
wote mbegu
wa msimu itakupabora, una uhakika
uhakika wamavuno
wa kupata kuvuna, mazuri.
hata katika mazingira
magumu.
MAPENDEKEZO YA MAENEO

Inhlanyelo
PAN 4M-19, PAN 63, PAN 67, PAN 6549

PAN 4M-19, PAN 63, PAN 67, PAN 6549

PAN 67

PAN 67, PAN 691

PAN 691

Pannar Seed (Tanzania) Limited


PO Box 10677, Arusha, Tanzania
Tel: +255 (0)27 250 4669 l Fax: +255 (0)27 254 4669
E-mail: info@pannar.co.tz

www.pannar.com

You might also like