Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

TAARIFA YA KAMATI YA NIDHAMU YA KUFUNGA MWAKA 2023

LEO

TAR 18/01/2024

Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda mwaka


mzima.

UTANGULIZI

Kamati hii ya nidhamu iliteuliwa Tar 07/02/2023 na M/kiti wa kikundi Ndugu


Juma Mashimba ikiwa na wajumbe wafuatao:-
1. MARIANA MISARABA (M/KITI)
2. LILIAN NDALAHWA (KATIBU)
3. MASHINDIKE KASHUMBI (MJUMBE}
4. SOSPETER MISANGO (MJUMBE)
5. SIKUJUA RAMADHAN (MJUMBE)
Ndugu m/kiti kamati hii kwenye kikundi tunasimamia mambo yafuatayo:-
1. Kusajiri wanakikundi wapya
2. Kusimamia nidhamu kwenye kikundi
3. Kusimamia faini mbalimbali.
USAJIRI.
Ndugu Mwenyekiti kamati hii kwa mwaka huu tumesajiri mwanachama mpya
mmoja tu ambae ni:-
1. Edward Elisha
MAKUSANYO YA FAINI
a) Uchelewaji Tarehe 13/01/2023 Siku ya mkutano mkuu Faini Tsh 2,000
b) Uchelewaji Tarehe 07/02/2023 Tsh 2,000 Ambae ni
1. William Shimo

c) Uchelewaji Tarehe 07/04/2023 Tsh 4,000 Ambaoni


1. Semeni Peleka
2. Fotunatha Francis
c) Uchelewaji Tarehe 07/06/2023 Tsh 10,000
1. Anna John
2. Juma Ismail
3. Mawazo Mwadui
4. Stela Elisha (hajatoa)
5. Subyele Misana (hajatoa)
d) Tarehe 07/08/2023 hapakuwa na wachelewaji
e) Tarehe 20/09/2023 Dharula 8,000/=
1. Getruda Mganga
2. Jastine Christian
3. Stela Elisha
4. Subyeki Misana
f) Tarehe 07/10/2023 4,000
1. Mtebe John (Hajatoa)
2. Anna John (Hajatoa)
g) Tarehe 07/12/2023 Hapakuwa na wachelewaji
UTORO
Waliokuwa watoro ni wafuatao 5,000/= Tarehe 07/02/2023:-
1. Grace Yohana (hajatoa)
2. Sebestian Mtebe
3. Zahiri Andrew (hajatoa)
4. Mwita Kicheta
5. Jackson John (hajatoa)
6. Pendo Rwitaleubi (hajatoa)
7. Mwanvita Rashid

Utoro Tarehe 07/04/2023 5,000/=

1. Mwanvita Rashid
2. Stela Elisha
3. Juma Ismail (hajatoa)
4. Grace Yohana (hajatoa)
5. Raurent Zacharia (hajatoa)
6. Anna John (hajatoa)
7. Zairi Andrew (hajatoa)

JUMLA YA MAKUSANYO NI TSH 51,000/=

CHANGAMOTO

Ndugu M/kiti katika kamati hii tuna changamoto zifuatazo:-

1. Hatuna sitakabadhi
2. Baadhi ya wanachama kutokuheshimu vikao

Tutashukuru kama changamoto hizi zitatatuliwa

MWISHO

Kamati tunashukuru kwa wanakikundi wote pamoja na kamati tendaji kwa


ushirikiano mlioonyesha kwenye kamati ya nidhamu kwa mwaka huu 2023.

Taarifa hii imeandaliwa na kamati ya nidhamu na Kusomwa kwenu na


katibu wa kamati ya nidhamu.

Lilian Ndalahwa

Kwa unyenyekevu mkubwa Naomba kuwasilisha leo Tarehe 18/01/2024

Imesainiwa na …………………………………………………………

You might also like