Maoni Ya Mapendekezo Ya Tukio

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

MAONI YA MAPENDEKEZO YA TUKIO

Utangulizi:

Tunapendekeza kwa uongozi wa kwaya kuandaa tukio la kipekee na la kuelimisha


litalaloitwa "ElevateXperience Night" kwa lengo la kuinua maisha kupitia imani,
maarifa, na ubunifu. Tukio hili linatarajiwa kutoa jukwaa la kipekee kwa washiriki
wetu kujadili na kuchambua masuala muhimu katika maisha yetu ya kila siku.

Tarehe pendekezwa ya Tukio:Tarehe: 5/19 January 2024

Tukio hili litakuwa na mambo makubwa matatu:

1. Panel discussion
2. Uimbaji
3. Bible trivia

1. PANEL DISCUSSION

Mada za Kujadiliwa:

1. Mahusiano na Ndoa: Jopo la wataalamu litajadili changamoto na mafanikio


katika mahusiano na ndoa, likilenga kutoa mwanga wa kufanikiwa katika
uhusiano wa kudumu.
2. Uchumi na Uwekezaji: Wataalamu wa uchumi watachangia ufahamu wao
kuhusu uchumi na fursa za uwekezaji zinazoweza kuinua maisha yetu kiuchumi.
3. Madhara ya Utandawazi kwa Kanisa: Jopo litakaloundwa na wataalamu wa
kidini litajadili jinsi utandawazi unavyoathiri kanisa na jukumu lake katika jamii.

MODERATOR: YOCTAN ROBERT

SPEAKERS:

1) Dr. Chris Mauki \ Rose Shaboka


2) Pastor Tony \ Emilian Busara
3) Mzee Budigila \ [Jaza Jina]
4) Joel Kazoba

2. UIMBAJI

Tunatarajia kuwa na kipindi cha uimbaji

Vikundi vya Uimbaji: Praise Team(2) na Choir(2).

Muda wa Kila Kikundi: Dakika 20 tu.


3. BIBLE TRIVIA

MICHEZO YA BIBLIA

Mchezo wa Biblia (Bible trivia): Kila jumuiya ya wanafunzi itaandaa kikundi cha
watu wanne kwa ajili ya shindano la Bible Trivia, kikundi kitakacho shinda kitapewa
zawadi ya T-shirt.

MUUNDO WA TUKIO

Muda: 02:30usiku - 11:00 alfajiri (masaa 9). ITAANDALIWA RATIBA

WASHIRIKI NA USHIRIKIANO

Idadi ya Watu: Inakadiriwa kuwa zaidi ya washiriki 200 ambapo itajumuisha


Jumuiya tano za wanafunzi zinazotuzunguka pamoja na washiriki wa kanisa.

Usafiri na Vituo:Tutatoa usafiri kwa jumuiya za wanafunzi tu na vituo vitakuwa 4:

A. Chuo cha Ardhi


B. UDSM Chaplaincy
C. Mabibo
D. Chuo cha Maji

Vifaa na Gharama

1. Maji: 100,000
2. Breakfast:…………
3. Usafiri: 250,000
4. Sadaka kwa Speakers: 200,000
5. Zawadi (Tshirt):…………..
6. Misc Expenses: 200,000

Kwa makadirio ya chini angalau tupate 1,000,000/- pesa itakyoweza kurun tukio zima.

MC: …………………….

RANGI ZA TSHIRT

Tukio hili litakuwa na tshirt na tutachagua rangi tatu kupamba tukio hili.

Hitimisho

Tunakutumia mapendekezo haya kwa imani kubwa kwamba "ElevateXperience


Night" itakuwa tukio la kipekee na lenye mafanikio, likichangia kuinua maisha ya
washiriki wetu kupitia imani, maarifa, na ubunifu. Tunasubiri kwa hamu kujibu na
msaada wenu ili kufanikisha tukio hili. Asanteni kwa kutupa fursa hii.

You might also like