Kujiamini, Kujiamini, Huo Ni Mtaji: "Everything Is Possible If You Play Your Part. Never Give Up"

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 9

"Everything is possible if you play your part.

Never give up"


Home PERSONAL DEVELOPMENT

KUJIAMINI, KUJIAMINI, HUO NI MTAJI


10:44 0 Edius Katamugora

Mojawapo ya kitu kinachowafanya watu wengi kufanikiwa ni


kujiamini. Jiulize ni mambo gani umefanya na kufanikiwa bila
kujiamini? Bila shaka hakuna.

Unahitaji kujiamini ili uwe mwanaharakati bora, unahitaji


kujiamini kabla ya kuanzisha biashara yako. Unahitaji kujiamini
ili ufanye chochote kifanikiwe.

Fikiria mtu kama Baraka Obama ambaye alikuwa rais wa


kwanza Mmarekani mweusi. Huyu alikuwa akishindanishwa na
kina Hillary Clinton ambaye alikuwa tayari First Lady wa
Marekani. Hakukuwa na histori yoyote ya mtu mweusi kuwania
urais wa Marekani. Obama alijiamini ipasavyo na kushinda.

Kuna mtu aliwahi kusema, "Kujiamini, kujiamini, huo ni mtaji."


Na mwingine akaongeza akisema "Kujiamini na utaalamu, ni
jeshi lishiloshindwa."
Unahitaji kujiamini ili ufanikiwe.

Hauwezi kuwa kiongozi bora kama haujiamini. Hauwezi


kusimamisha biashara kubwa kama haujiamini, hauwezi kuwa
mbunifu bila kujiamini.

Nikitafakari Thomas Edson aliyetengeneza taa ya umeme(balbu)


kwa kushindwa zaidi ya mara 1000 ninaona kujiamini ndani
yake maana bila hivyo angeshinshindwa kuendelea na kukata
tamaa.
Mwaka 1860 kulikuwa na vita nchini Marekani, vita hiyo
ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyohusisha watu wa
kusini na kaskazini.

Jeshi la kusini lilikuwa na wanajeshi mashuhuri kwelikweli


liliongozwa na Robert E. Lee ambaye hakuonekana kama

Jenerali alionekana kama mtu wa kawaida. Hapa ndipo


tunapoweza kusema "Bora kundi la kondoo elfu moja
kuongozwa na simba mmoja kuliko simba elfu moja kuongozwa
na kondoo mmoja."

Jeshi la kaskazini liliongozwa na Ulysses Grant, jeshi hilo


lilikuwa na wanajeshi wachache. Grant alionekana kama
generali haswa.
Unajua nini kilitokea, jeshi la Grant lenye wanajeshi wachache
lilishinda. Grant alijiamini ndiyo maana alishinda vita ile.

C ya kwanza ni courage= ujasiri.

Ujasiri ni mojawapo ya mahitaji yanayomfanya mtu


ajiamini.Fikiria uanatamani kuongea mbele za watu. Lazima
uwe jasiri kufanya mambo hayo.
Au wewe ni mnene sana unatamani kuanza kufanya mazoezi.
Unahitaji ujasiri wa kuogopwa kuchekwa na watu na kuanza
kwenda jimu na kadhalika.

C ya pili ni "Commitment"

Kuwa Commited kwa kiswahili naweza kusema ni


"Kudhamiria." Ili ufanye kitu chochote lazima uwe na nia,
lazima udhamiria.

Nia yako ndiyo itakufanya ufanye mambo makubwa ambayo


wengine wanaweza kuona kama hayawezekani. Kwamfano
wanariadha hudhamiria kabla ya kuanza kukimbia kuwa
watashinda, kule kudhamiria kunakufanya ujiamini na kukimbia
kwenye spidi zaidi ya mwanga wa radi kama anavyopenda
kusema Usain Bolt
C ya tatu ni "capabilities." Uwezo.
Ili ufanye kitu fulani uwe na uwezo wa kukifanya.
Mfano kama unahitaji kuwa mwandishi lazima uwe na uwezo
wa kuandika, utatafuta mtu aliyefanikiwa kwenye uandishi.
Bila kudhamiria hauwezi kuwa mtu wa kujiamini.

C ya nne ndiyo sasa "Confidence" hufuata.


Unahitaji hivyo vitu vitatu vya mwanzo yaani, courage,
commitment na capabilities ili kujiamini.

COME & SEE

Edius Katamugora
#KijanaWaMaarifa
0764145476
ekatamugora@gmail.com

Unaweza kupata vitabu vyangu kupitia namba 0764145476


 Tweet
 Share
 Share
 Share
 Share
Edius Katamugora
Hii ni blogu rasmi ya Edius Katamugora, hapa utajifunza maendeleo binafsi, utapata makala mbalimbali
zinazohusu biashara, elimu, hamasa na maisha kwa ujumla. Karibu sana katika blogu hii.





Related Posts:

 Mcheza Kwao HutuzwaKati ya vitu ambavyo utakuta


natumia nguvu nyingi kuvitafutia maarifa…

 FROM ZERO TO HERO (BASED ON TRUE


STORY)Ilikua mida ya saa nne asubuhi mwalimu wa somo la kilatini (Latin lan…

 IPO WAPI TALANTA YAKO?IPO WAPI TALANTA


YAKO? _____________________________________…
 VIJANA TUNAKWENDA WAPI?Mojawapo ya kitu
ninachojivunia ni kupata Fursa ya kujuana na watu wa…
0 Comments:

Post a Comment

POPULAR POSTS


Hizi Ndizo Kozi Zenye Ajira


Jinsi Ya Kuondoa Hofu Ya Kuongea Mbele Za Watu


VITABU VITANO VYA KUSOMA KWA KILA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA


NI RAHISI! JIPATIE VITABU VYA UJASIRIAMALI (PDF) NDANI YA DAKIKA 5 (GET
ENTREPRENEURSHIP BOOKS IN FIVE MINUTES)


NAMNA YA KUPATA WAZO LA BIASHARA

Matatizo Si Tatizo: Matatizo Ni Daraja Na Padre Dkt Faustin Kamugisha


JINSI YA KUUZA NA KUTENGENEZA BRAND YAKO KWA KUTUMIA MITANDAO YA
KIJAMII


ALICHOANDIKA Padre Dkt Faustin Kamugisha Mtunzi wa Kitabu Matatizo si Tatizo Kuhusu
Kitabu cha YUSUFU NINA NDOTO


Namna Ya Kutambua Kipaji Chako.


KOZI ZA AFYA NA VYUO VYAKE TANZANIA

FIND US ON FACEBOOK

RSS Feed Widget


ABOUT ME

You might also like