Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

1. Ukienda sokoni lete mkate .

_ ukisoma kwa bidii utafaulu


Kufaulu ‫ينجح‬
2. Usipochukuwa dawa utapata maumivu .
_ maumivu ‫الم‬
_ usipokula chakula utapata njaa , taabu .
_ usipofuata sheria , utapata shida .
_ kufuatia .
……………………………………….
Mchezo wa visawe :
1. Kutaka : kuhitaji
2. Kuenda : kuelekea
3. Kusema : kuongea, kunena
4. Kutazama : kuona , kuangalia
5. Kuelewa : kufahamu
6. Kupora: kuchukuwa kwa nguvu , kunyanģanya
‫يستولي علي‬
7. Kushindwa : kukosa , kufeli .
8. Kushinda: kufaulu, kufuzu .
9. Kutembelea: kuzuru
10. Kushinda:
11. Kushangaa: kustaajabu .
12. Kukata: kukereza ‫يقطع‬
13. Kueleza: kufasiri , kufunza
14. Kugonga mlango: kubisha mlango
15. Kusalimia: kupiga saluti , kushika mkono
16. Kuenea: ‫ ينتشر‬، kutabakaa ‫ينتشر‬
17. Kuacha kazi : kujiuzulu ‫يستقيل‬
18. Kupanda : kulima
19. Kuchelea : kuhofia , kuogopa
20. Kusubiri : kungoja , kuvumilia ‫يصبر‬
Uvumilivu ‫صبر‬
…………………………………….
1. Taja jambo au zaidi ulijivunia sana kwa kulifanya.
_ kujivunia ‫يفتخر‬
2. Ni nini mpango wako wa miaka 5 ijayo ?
_ kuoa
3. Muziki , filamu, vitabu ukiwa na nafasi ya
kuchagua moja kati yao utachagua nini na
kwanini?
 Saikolojia ‫علم النفس‬
4. Kwanini ulichagua kujifunza kiswahili?
_ kuwasiliana na watanzania
.
5. Vyakula vya kimisri au vyakula vya kitanzania ni
vitamu zaidi ?
_ ulinganisho ‫مقارنه‬
_
6. Ukiwa na nafasi ya kumoa mtanzania utakubali au
utakataa na kwanini?
_ mawazo ya kimagharibi

………………………………….
Methali ya leo :

You might also like