Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 11

PEPMIS KWA WALIMU WASIO

WALIMU WAKUU
WAJIBU WA MWALIMU KWENYE PEPMIS
• Kubadili mwaka wa mpango
• Kuset supervisor
• Kutengeneza Task
• Kutengeneza Sub Task
• Kutuma task kwa mkuu
KUBADILI MWAKA WA MPANGO
Mwalimu akifungua moduli ya
PEPMIS upande wa kushoto ataona
moduli ndogo za PEPMIS.
Moja ya moduli ni Dashboard
ambayo inawezesha mtumishi
kuona taarifa zake pamoja na
kumchagua msimamizi wake wa
kazi pia kubadili mwaka wa mpango
kazi ili aweze kuandaa mpango kazi
wa mwaka.
Kila unaingia kwenye mfumo ni
muhimu kubadili mwaka wa
mpango ili uweze kutengeneza
mpango au kuona mpango wako
ulioutengeneza wa mwaka 2024.
KUBADILI MWAKA WA MPANGO
Bofya change planning year

Chagua mwaka 2024

save
KUSET SUPERVISOR
Bofya change supervisor

Andika jina la supervisor


KUSET SUPERVISOR

Chagua jina la supervisor


wako na save
KUTENGENEZA TASK

Kutengeneza task mtumiaji


lazima awe kwenye moduli
ndogo ya Annual
Institutional Performance
planning.
hatua
Bofya Annual Institutional
Performance planning
Chagua Task and Sub Task
Juu upande wa kulia
utaona neno create Task
Bofya create task
kutengeneza task
KUTENGENEZA TASK…..

Ukibofya create Task uwanda wa


kuandika task yako utatokea
Sehemu ya description ndipo
utakapo andika task yako
Bofya save kuifadhi task yako
KUTENGENEZA TASK…..

Ukifanikiwa kusave utapata


ujumbe task successfully saved

Ukifanikiwa kusave utapata ujumbe task successfully saved na task yako itaonekana hivi
KUTENGENEZA SUB TASK…..

Bofya action (viduara vitatu


mbele ya task yako)
Bofya create sub Task

Andika sub task yako kwenye


sehemu ya description na bofya
save kuhifadhi
KUTENGENEZA SUB TASK…..

Ukifanikiwa utapokea ujumbe huu

UKIMALIZA KUTENGENEZA TASK NA SUB TASK ZOTE BONYEZA SUBMIT


KUTUMA KWA MKUU WAKO ILI AWEZE KUPITIA, KUSET VIASHIRIA VYA
UPIMAJI PAMOJA NA UZITO

You might also like