Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 5

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA


HALMASHAURI YA WILAYA YA MEATU
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA PILI DARASA LA TATU (DRS III) - NOVEMBA, 2023
SOMO: HISABATI MUDA: 1:30

JINA LA MTAHINIWA_____________________SHULE______________TAREHE_______

S/N SWALI SEHEMU YA KAZI JIBU


1. (i) Andika namba hii kwa numerali “Mia tisa
na mbili”
(ii) Andika namba ifuatayo kwa maneno 8888

(iii) Jaza namba inayokosekana


2, 4, 6 _____, 10.

(iv) Panga namba zifuatazo kwa mpangilio


unaoanza na ndogo hadi kubwa.
22, 42, 13,27,6,33,30
(v) Andika namba ambayo, 0 iwe nafasi ya
mamoja, 2 iwe nafasi ya mamia, 6 iwe
nafasi ya makumi na 5 iwe nafasi ya maelfu
2. (i) Lori lilibeba mbao 2724 siku ya kwanza na
mbao 2428 siku ya pili. Lori lilibeba jumla
ya mbao ngapi?
(ii) Duka la Maria lina simu za Mkononi na
mezani 2972. Ikiwa simu za mkononi ni
1235, Simu za mezani ni ngapi?
(iii) Mwalimu Mosha hununua mayai 10 kwa
siku atanunua Mayai mangapi kwa siku
tatu?

(iv) 9111 + 99 =

(v) 2083
- 1976
_______
_______

3. (i) Ni sehemu gani ya umbo imetiwa kivuli?


(ii) Andika sehemu ifuatayo kwa tarakimu
Theluthi mbili

(iii) Mbuzi wawili ni sehemu gani ya mbuzi


saba?

(iv) Andika jina la umbo hili

(v) Umbo la mraba lina pembe ngapi?

4. (i) Siku saba ni sawa na wiki ______________

(ii) Kati ya vipimo vifuatavyo kipi ni kipimo rasmi


cha uzito? (ndoo, mzani, rula) ______________

(iii) Mwaka mmoja una miezi _____________

(iv) Sh. 3600


+ Sh. 6178
_______________
________________

(vi) Mwanahamisi alikuwa na shilingi 8300.


Alinunua nguo kwa shillingi 3400. Je,
alibakiwa na shilingi ngapi?

5. Soma na tafsiri takwimu kwa picha kisha jibu


maswali yafuatayo;

2011

2012
2013

(i) Je, Mwaka 2012 ilipandwa miti mingapi?

(ii) Mwaka upi ilipandwa miti mingi zaidi?

(iii) Miti iliyopandwa mwaka 2013 ilizidi kwa


kiasi gani miti iliyopandwa mwaka 2012?

(iv) Mwaka upi ilipandwa miti michache zaidi?

(v) Kwa miaka yote mitatu ilipandwa jumla ya


miti mingapi?
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MEATU - SIMIYU
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA WA PILI- DARASA LA TATU (DRS III) - NOVEMBA,
2023
MWONGOZO WA USAHIHISHAJI
SOMO: HISABATI DARASA: III

1. (i) 902
(ii) Elfu nane mia nane themanini na nane
(iii) 8
(iv) 6,13,22,27,30,33,42
(v) 5260

2. (i) Mbao 5152


(ii) Simu za mezani 1737
(iii) Mayai 30
(iv) 9210
(v) 107

3. (i) ¼ (robo)
2
(ii) 3
2
(iii) 7

(iv) Mstatili
(v) Pembenne (4)

4. (i) Moja
(ii) Mzani
(iii) Kumi na mbili (12)
(iv) Sh. 9778
(v) Sh. 4900

5. (i) Miti nane (8)


(ii) Mwaka 2011
(iii) Miti mitatu (3)
(iv) Mwaka 2012
(v) Miti 33

You might also like