Professional Documents
Culture Documents
Neno Kwa Kiswahili
Neno Kwa Kiswahili
Mwalimu Mstafuu
Ku-twaa (kt) Chukua kitu mahali na حصل/قضي وطرا من انثي/أزال بكارة فتاة/اخذ
kuenda kwingine قبل/استقبل/اقصي/خلع مالبسه/سلب/نقل/علي
Kipazasauti (ji) Chombo ambacho تسجيل/مذياع/راديو
huifanya sauti isikike
mbali
Kosa (ji) Jambo, tenda ama wazu اثم/ذنب/غلط/فشل/خطأ
ambalo kinyume na
kanuni; hatia
Ku-ruhusu (kt) Nafasi itolewayo أذن ب/سمح/صرح/رخص
kukubali jambo
litekelezwe
Ku-guruma (kt) رعد/زأر/أز/أن/قصف/قعقع/زمجر
kiatu (ji) Kitu kilichotengenezwa نعل/حذاء
kwa blastiki au ngozi
ambacho huvaliwa
miguuni.
Mguu (ji) رجل/ساق/قدم
Ku-miliki (kt) -ele- kitendo cha mtu /تحكم/رأس البلد/استولي/امتلك/تملك/حكم/ملك
cha kuwa na mali, jambo
au vitu vingine..
Ku-ambia (kt) Fahamisha au eleza mtu أخبر/أنبأ
habari fulani
Dude (ji) 1. Nyangarika, dubwana غير/شئ/غول/وحش خرافي
2. Neon hili hutumiwa لفظ يستخدم عند عدم اراده/مارد/عمالق/معروف
kuitia mtu ama kitu ذكر اسم شخص او عدم معرفه اسمه
ulichokidharau ama
usichotaka kukitaja
jina kwa kuudhika
nacho: niondoshee
madude haya
machoni pangu.
Ku-tisha (kt) أرعب/توعد/أرهب/أفزع/خوف/هدد
Mshamba (ji) نجعاوي/شخص يعيش في الحقل أو النجع
Ku-penga (kt) Hutumiwa katika نف/تمخض/تمخط/استنثر
msemo, penga kamasi yn
rusha au Sukuma kamasi
hadharani bila kitambaa
ni hali ya kujidunisha na
ukosefu wa adabu
Kamasi (ji) Majimaji yamtokayo mtu نوع من الفواكه/ذكام/رشح باالنف ناتج عن البرد
puani wakati akishilewa
na baridi au ugonjwa kv.
Mafua anapoingiwa na
vumbi ama anapolia.
Ku-hesabu (kt) 1. Weka maanani; fikiria ذكر/جمع/خمن/قدر/احصي/عد/حسب
2. Zoezi la kujumlisha
vitu
3. Taja tarakimu moja
moja
Kidole (ji) Chanda; sehemu moja اصبع/صباع
ya tano inayopatikana
mkononi inayotumiwa
kushikia
Ku-ruka (kt) rudi طار/نط/وثب/قفز
Jiji (ji) Mji ulio mkubwa sana قرية كبيرة
Ku-ishi (kt) 1. Kaa pahali Fulani افتقر/استمر علي حاله/دام حيا/عاش
:mtu hukoo pahali
lakini huishi maisha.
2. Kuwa na uhai:kuishi
kwako kunatakana
na huruma yake
mwenyezi mungu
3. Endesha maisha
kwa mwenendo
mzuri ama mbaya
Ku-tembelea تفسح مع/تنزه مع
(kt)
Pingwa (ji) ماهر/متعلم/متخصصفي/خبير
كفء/متمكم/في
Ku-changisha 1-Toa pesa kwa ajili ya جمع تبرعات او مساهمات االخرين
(kt) kusaidia katika
shughulika Fulani
2-sababisha katika ubora
au uzorotaji wa kitu fulani
Mkora (ji) Mhui لص/حرامي حقائب/مزعج/سئ الخلق
/سارق هاوي/خناب/تافه
Mheshimiwa Jina linalotumiwa kwa مبجل/محترم
(ji) mtu mwenye mamalaka
haya ya kisiasa
Halafu (ki) Kisha, baadaye بعد ذلك/ثم/بعدئذ
Zima (kt) -ele- fanya kitu أخمد أرهق روحا قضي على الجوع أو/أطفا
kisiendelee kuungua, العطش
kuwaka ama kutoa sauti
Anang'atuka يوبخ
Kizuzi ji (ki-vi) سد/حائل/مانع/عائق
Kati ji (i) 1 -lio miongonimwa الوسط/ المركز
2.nafasi ya ndani iliyo
sawa baini ya pande
mbili
Pumzike (kt) Pata wasaa wa استرد نفسه/أخذ أجازة/استراح
kuburudisha mwili baada
ya kufanya shughulia
Fulani.
Shinda (kt) 1. Bakia katika hali moja أمتاز/تفوق/أخضع/غلب/قهر/فاز/بقى/أستقر/دام
mchana kutwa. /
2. Bakia mahali Fulani
mchana mzima
Zumbua (kt) Pata njia za kujipatia قادرا على
صار ا/إبتدأ/بدأ/دشن
mahitaji ya kila siku بقى/أعاش/تأهل/الكسب
pata
Kumbua (kt) يالحظ
Uongo ji (u-) Tendo ama hali ya احتيال/غش/خداع/ادعاء/إفتراء/تدليس/كذب/زيف
kudanganya ; kinyume
cha ukweli; uchuku.pia
uwango; urongo
Ombaomba ji Mtu mwenye tabia ya متسول/شحات
(a-wa) kutisiha usaidizi kutoka
kwa wengine kila mara
Ombeji (i-zi) منتهى/ نهاية/حافة المركب
Puzi (kv) ساذج/غبي/أحمق/أبله/أخرق
Pue (kt) مسح وجهه براحة يده
Ib-a (kt) Chukua kitu cha mtu خطف/نشل/سرق
kwa siri na bila ruhusa
ama haki
Pora( kt) Chukua kitu cha /اختلس/ إغتصب/سلب/نهب
wenyewe kwa nguvu
Wauaji القتلة
Kosea (kt) -ele- kutofanya فشل في أداء العمل/ ارتكب خطأ بحق اخر
inavyostahili
Chao ji (ki-vi) 1. Gogo linalofumiwa عمود من الغابة أو الخشب الخفيفه يستخدم
kushusha chombo للمراكب
majini; mwao.
2. Sehemu
inayozunguka mti
ambayo huwekwa
mbolea na maji
Chaojiny (zi) حفرة حول النبات يوضع بها السماد والماء
Zumbukujima احمق/ جاهل/غبي
(a-wa)
Kuweka 1. Bakiza إختار/حط/منع/نصب/وضع/أدخل/فعل/انزل
2. Tua kitu mahali
Ali_maka Toa sauti ya kuonyesha استعجب/صاح عجبنا/اندهشت/استغرب
kustaajabu
Kwao Kinachoonesha sehemu مكانهم االصل/مسقط راسهم
katika nafasi ya tatu kwa
wingi
Ingawa Ijiap, japokuwa, hata علي الرغم من/مع أن/حتي أن/مع كون
kama
Mwafaka Makubaliano ya مؤامره/تآمر/صفقه/اتفاق/موافقه/معاهده/ميثاق
fanywayo biana ya watu
Ali_dakia 1-fanya jambo haraka تخطي/قفز/اسرع
bila uangalifu au تدخل فيما/داسعلي/بسرعة/الشئ
tahadhari نافس/ناقش/متع/عارض/قاطع/اليعنيه
2-pita juu ya kitu kwa نفي/أنكر/لمس/مس/علي
uangalifu ili kisikuumize
3-abiri chombo ambacho
kinaenda kwa kukirukia
bila ruhusu ya mwenye
chombo hicho
Ku-pita (kt) 1-elekea mahali na طا/تفوق/استمر/مرق/اجتاز/انقضي/فات/مر
kuzidi kwenda mbali /ر
napo نمي/زاد
2-zidi kiasi
kinachohitajika
3-kuwa muda mfupi
4- si kisasa
tabasamu (Kt) Sie –onesha hali ya بش/ابتسم/تبسم
kutaka kucheka bila ya
kutoa sauti
Ku-pa (kt) Pita, kabidhi mtu kitu اهدي/وزع/وهب/منح/اعطي
Ku-leta (Kt) Fikisha kitu pahali alipo اوصل/جلب/احضر
anayesema ama
anayekihitaji
ku_foka (kt) 1-toka maji kwa اخرج الماء/فار(الماء)\بقلل
nguvu; bubujika تكلم/علي الماء/المدفع/بقوه
2-toa povu k.v. maziwa بخيره أو بحده
yanapochemka
3-sema maneno
mfululizo nah arak na
kwa kukasirika; toa
maneno kwa ukali
4-ondoa povu kwa
maziwa
yanapochemka na
kutaka kumwagika
soni (ji) (i-zi) aibu تواضع/اضطراب/عار/عيب
Mke (ji) (a-wa) Jina analoitwa انثي/امرأة/صاحبه/زوجه
mwanamke aliyeolewa
hambe (ji) (a- Mtu mpumbavu; bwege احمق/ جاهل/شخص غبي
wa)
Ku-ambatana Andamana: fuatana تالزم/ تالصق مع
(kt)
Ku-salimu (kt) -ele- ia. القى تحيه السالم/سلم/حيا
أنقذ/ناول/استسلم/
Amri (ji) (i-zi) 1-Uwezo wa mwenye قدرة/قوة/سلطة/قيادة/توجيه/طلب/أمر
mamlaka
2-jambo la
kushurutisha
Heri (ji) (i-zi) 1-Fanikiwa katika أمن/نجاح/راحة/هناء/سعادة/خير
jambo;
baraka,ustawi,neema
2-hali ya amani
Shari (ji) (i-zi) Jambo ambalo شدة/مصيبة/بلوي/كارثة/حظ سيء/شر
husababisha hasara
Nafasi (ji) (i-zi) Panapoweza kutumika فسحة من/فرصة
Kufanyia jambo فترة توقف عن/استراحة/راحة/فراغ/الوقت
العمل
Ku-chanua (kt) Tokeza au fumuka kwa اوراق/خلع/مشط الشعر/تفتح/أزهر/أورق
maua الشجر
Radhi (ji) (i-zi) 1-msamaha قبول/تأسف/اعتذار/غفران/رضى
2-baraka
Mjakazi (ji) (a- Mwanamke ambaye خادمة/جارية/ملك اليمين/أمة
wa) kufanya kazi ya
nyumbani kwa malipo
Gumegume (ji) Aina ya bunduki ya لفظ احتقار أو ازدراء للرجل و المرأة
(li-ya) kizamani ambayo
risasi zake hutoa spaki
Gumegume Mtu asiyekuwa na شخص تافه
(ji) (a-wa) thamani,mtu cvyo, mtu
uchwara,mtu duni
Ku-sihi (kt) Himiza mtu kufikiana تضرع إلى/توسل/التمس
na uonavyo صح/جاز/استعطف/ابتهل/هللا
قوي/جسمانيا
Sera (ji) (i) Aina ya vitu kama سيرة/ شمع اقراص عسل النحل
gundi vitokavyo
kwenye masega
Ku-chukulia 1-kuwa na Imani juu صدق في/أتٌمن في القول/اتزن في القول
(kt) ya jambo قوله
2-vumilia jambo au
mtu msumbufu
Hiari (ji) (i-zi) Moyo wa fanya jambo قصد/نية/قبول/رضاء/خيرة/اختيار/خيار
bila kushurutishwa
Mukhtari (ji) مصطفى من هللا سبحانه وتعالى/مختار
(a-wa)
Konde (ji) (li- Sehemu ya shamba كلمة/حقل مزروع/وكرة/لكمة/قبضة اليد
ya) iliyolimwa;mgunda يراد بها طلب شخص للعمل بالحقل دون
قطعة أرض/حديقة/نواية بلحة/تصريح
زراعية
Upanzi (ji) (u-) Jinsi au kazi ya صعود/تسلق/بذر/غرس/تحميل
kupanda mbegu
Mpini (ji) (u-i) kipande kirefu k.v. cha يد/ممسك/يد آنية/مقبض السيف او الخنجر
mte au chuma المحراث
kinachochomekwa
ndani ya jembe,
pakuo,shoka
n.k. na kushikwa kwa
wakati
wa kufanya kazi
Kiserema (ji) kisehemu kilichobaki جزء متبقي من الفأس ال يصلح ألعمال
(ki-vi) jembe linapozeeka الزراعة
Konzi (ji) (li- 1. vidole ملء كف/حفان/ملء القبضة/لكمة/قبضة يد
ya) vilivyofumbatwa اليد
2. kadiri ama kiasi
kiwezacho kushikwa
kwa kufumbata vidole;
3-ukufi
Ku-elekea (kt) 1-kuweko kwa ishara مال/استدار/توجه إلى/اتجه إلى/قابل/أقبل
ama dalili ya kutokea ارشد/إلى
kwa jambo
2- enda upande fulani:
3- tazama upande
fulani
Itifaki (ji) (i-zi) برتوكول/عهد/قبول/تراض/توافق/اتفاق
Mbolea ji (i- سماد/ سوبر نشاد لتخصيب االرض/سماد
/zi-) خصوبه/بلدي
Mazao ji (ya-) Mavuno ya shambani ارباح فوائد/ انتاج زراعي/محاصيل
yanayotokana na
kilimo: mazao ya
mwaka huu
yamepungua sana
(kar)
Ku-kata (kt) 1-tenganisha kwa قرر/ قطع/جرح
Kutumia kitu chenye
makali k.v kisu au
wembe
Uani (ji) (u-zi) Nyuma ya nyumba مرحاض/دورة مياة
ambako hujengwa
msala: nenda kule
uani uniletee kigoda
changu
Kiungo ji (ki- Chochote ambacho خرف/ اداه وصل/ جارحة/ عضو/مفصل
/vi-) hutia chakula harufu توابل/ مشهيات طعام/عطف
ama ladha nzuri k.v.
achari, chumvi,
karafuu, nk.
Kochi ji (li-/ya- Namna ya kiti hasa منجد ذو زراعين/ مقعد طويل/األريكة
) cha sponji ama springi
ambacho kina sehemu
ya kuwekea mikono
nay a kuegemea;sofa
Kweche ji- Aina ya ndege طائر الشرشور اسود ذو منقار رمادي
ma- (a-/wa-) mwekundu عريض
aliyechanganyika na
weusi tumbani
kichwani au
magongoni; pasha pia
kwacha
Ku-kwamua Epuha kitu au jambo / سحب وعده/ تحرر من/حرر محبوسا
(kt) kutoka hali اخرج من مأزق/ اطلق سراح/ فقد/فصل
Ufukara ji- (u-) / شحاته/ تسول/ امالق/ عوز/ فقر/فاقة
جدب/ مسكنة/حاجة/ افتقار
Maadili ji- (ya- 1-maelekezo تعاليم/ تصرف حسن/ استقامة/سلوك طيب
) yanayofaa ambayo حق/ عدل/طيبه
hutolewa kupitia
wasilisho fulani:
hadithi hii ya lanina ina
maadili gani ya
kutufaa 2-tambia
ongofu maadili haya
yote mliyoyapitia
yaliwafaa
Ku-tetereka / التوى قليال/ تأرجح/تمايل يمينا او يسارا
(kt) عجز لحد ما
Ku-tunza (kt) Angalia mtu ama kitu / تنبة/اهتم ب/ حرس/اعتنى ب/ رعى
kisipate mafhara ama (رشى )اعطى رشوة
kuharibika; lind,
chunga: usipotunza
kidogo akupacho
mola, hawezi kukupa
kikubwa
Darubini ji- (i- Namna ya chombo / تيلسكوب/ مرصد/ مقرب/ مجهر/منظار
/zi-) ambacho huvifanya ميكروسكوب
vitu vilivyo mbali
vionekana kuwa karibu
Ku-jenga (kt) 1-simamisha kitu k.v. / دعم/ قوى/ اوقف/ اسس/ شيد/بنى
nyumba kwa kutumia اقام دعائم منزل/ساعد
fito, Kamba, udongo,
misumari, saruji
2-imarisha
3-wezesha mtu kupata
kitu k.v. madaraka
makubwa zaidi
Kindakindaki Juu hewani; juu sana; / مرتفع/ عال/ نقي/ خالص/ صاف/اصلى
(kv) kando; juujuu بدون تمكن/بدون إتقان
Ku-tupa (kt) Rusha au peleka kitu اهمل/القى/ دفع برفق/ قذف/رمى
kisichohitajika k.v.
takataka mahali fulani
Ulevi ji- (u-) 1- hali ya kupotewa / فقدان الوعي بسبب الخمر/ ثمالة/سكر
na fahamu kwa خمر/ مخدر/مسكر
sababu ya kutumia
pombe ama kileo
chochote kile.
2- kitu kiwezacho
kulewesha; kileo.
Ku-tutumka انتفخ/تورم
(kt)
Kifua ji- (ki-/vi- 1-maradhi ya kifua طبق/قلب شجاع/ القفص الصدري/صدر
) 2-hali ya kuwa na مرض صدري/صغير
nguvu; ushupavu
3-eneo la mwili la
mbele lipatikanalo kati
ya shingo na tumbo
ambamo mna mapafu
na moyo; kidari; sadiri.
Ku-nawiri (kt) Stawi kiafya. / أشرق/ أصبح منيرا/نور
(لمع)وجه االنسان
Ku-limbuka Pata kitu mara kwa ya فعل شيئا ألول مرة/ذاق أولى البشائر
(kt) kwanza انتهى من انتظار شيء/
Ku-tazama 1- elekezea kitu / بحلق/شاهد/ تفحص/نظر إلى
(kt) macho ili kukiona; راقب/ الحظ/اختبر/ ضربالودع
angalia.
2- tunza mtu kwa
kumpa mahitaji
yake; kimu
3- kuwa macho;
tahadhari
Ku-fukuza (kt) 1. jaribu kukamata / حاول اللحاق ب/منع/ دفع للخارج/طرد
anayekimbia; fuata تعقب/طارد
mbio nyuma
2-sharti
3-zuia ama winga k.v.
ndege shambani
mimea
Ku-simama 1- inuka uwe wima ارتفع/انتصب/توقف/نهض/هب/وقف
(kt) kwa
miguu afanyavyo mtu.
2- kitu kuwa
wima kwa kuonekana
sehemu kutoka
kunyoka pasipo
chini hadi juu.
3-kujikunja.
4- koma kutenda
jambo.
Sare (ji) (i-zi) 1-Nguo zenye muundo زى موحد/وقت موحد
na rangi sawa
zitumiwazo kirasmi na
kundi aina moja la
watu.
2-hutumika katika
msemo
Samawati (ji) Buluu ambayo لبنى/ازرق بلون السماء/السموات
(i-) hufanana na ile ya
mbingu wakati
ambapo mawingu
hayako; buluu hafifu;
feruzi
Dodo ji(li-/ya- 1-titi la msichana; كسر/نهد/نوع من المانجو
) rumani صخررملى/أحجار
2-namna moja ya
embe kubwa
Mwanamasu كاذب/زائف//العب مالكمة/مالكم
mbwi (ji) (a-
wa)
Kiuno (ji) (ki- 1-sehemu ya mwili أساس حجرى/جارحة/خصر/وسط
/vi-) iliyopo kati ya mgongo رقصة/تحتجدران المنزل
na makalio
2-msingi wa mawe
ambao huzungushiwa
nyumba chini ya kuta
Ku-chukua 1-pendeza k.v. شال على
(kt) inavyomkaa mtu أ/تطلب/تحماللشدائد/أخذ/حمل/الكتف
mwilini قاد/أزال/بعد
2-twaa kitu mkononi
3-tumia mwia kufanya
jamba
4-pokea
5-linda au angalia mtu
asiyejiweza
6-fanya mali ya mtu
mwengine kuwa yako
7-vumilia shida au hali
Fulani
8-beba mzigo begani,
kichwani ama kwa
hamali
9-faa au saidia mtu
mnyonge
Umbo (ji) (u- Sura ya kity; mkao; حالة/خلق/نسق/شكل
ya) jisimu; umbilo jinsi kitu الحالة األصلية/الفطرة/حالةالخلق/طبيعية
kilivyokaa au kufanana أصل الخلقة/التي خلقعليها الشئ
Ku-oa (kt) Chukua Kihalali نكح/تزوج
mwanamke kuishi;
funga ndoa
Ku-stahili (kt) Kuwa na haki ya حق له/استحق/استأهل
kupata kitu fulani
Ku-ita (kt) 1-Ambia mtu aje pale دعى/نادى
ulipo wewe kwa kutaja
jina lake,kumfanya
ishara ama kwa
namna nyingine
yoyote
2-alika mtu kwako
Ku-elewa (kt) Jua; fahamu; ngamua استوعب/أدرك/علم/فهم
وعى/
Ku-toroka (kt) ondoka mahali bila فر/هرب
ruhusa; kimbia.
Mungu (ji) (a) Kiumbe هللا
Mwenye
kuumba ulimwengu na
vyote vilivyomo;
Bwana; Mola:Mungu
ndiye ajuaye aushi ya
kila mwanadamu.
Bweni -(li/-ya) Jumba wanamolala عنبر النوم/سكن الطالب
wanafunzi shuleni ama
chuoni
Ku-lipa (kt) fanya jambo ama toa عوض/كافئ/ سلم النقود/دفع الحساب
kitu baada ya kupewa
ama kufanyiwa jambo
nawe
Karo(-i/-zi) Ada ya shule جمرك/رسوم/مصاريف دراسية جراية
itolewayo na
wanafunzi
Ku-fana (kt) Jambo au kitu شابه/ اتقن العمل/نجح في
kutendeka kwa njia
nzuri ya kuridhisha
moyo; faulu
Senene (-i) Ugonjwa ambao حالة المريش لفترة طويلة
humshika mtu kwa
muda mrefu
Ku-staafu (kt) Kuacha kazi hasa احيل للمعاش/تقاعد
baada ya kufikisha
umri unaopendekezwa
kisheria
Simile (kj) tamko la kutaka افسح الطري ق
kupishwa njia
aghalabu kwa mtu
anayebeba mizigo
mizito.
Ku-ingia (kt) 1- kujipata katika hali بدأ في/مر في/سقط في/ ولج/دخل
Fulani.
2- anza kushughulika
na jambo
2- jipeleka ndani ya
mahali au kitu
3- anguka ndani ya
kitu
5-jiunga katika
umoja fulani
Kisukari (-ki) Ugonjwa ambao مرض السكر
husababishwa na
kuzidi ama kupungua
kwa kiwango cha
sukari mwilini
Ku-achama Fungua sana kinywa تثاءب/فتح فمه
(kt) jinsi afanyavyo mtu
apigaye miayo
Ku-umbua (kt) 1. kosoa mtu au kitu; قلل من شأن/أبخث قدر/طمس/فضح/شوه
shusha heshima;
aibisha; beza; dharau
2. haribu kilichoumbwa
Bilashi (kl) Bila faida au sababu بالمجان/بال جدوى/عبثا
yoyote; bure ghali
Ku-kupuka Potea; kimbia طرد/هرب/تخلص من/اندفع
(kt)
Ukingo (-u/-zi) Panapoishia kitu حد/حاجز/طرف/حافة
Dhamira (-i/- 1-jambo akusudialo ضمير/ اساس/لب الموضوع
zi) mtu kufanya; nia,
azma
2-chanzo cha habari
inayoandikwa ama
kusimuliwa
Ku-tosa (kt) tumbukiza kitu katika طمي/غمر/أغرق
kitu kingine
cha majimaji; zamisha.
Sulubu (-i/-zi) Hali ihitajiyo nguvu طاقة/نشاط/مثابرة/قوة/صالبة
nyingi katika kulitenda
jambo fulani
Ku-zuia (kt) 1-shikilia عط/عاق/ نهى عن/عرقل/منع
kitu ili kisianguke
2-fanya
kitu kisiendelee ama
kisimame;komesha;
Stahamala (ji) Uvumilivu;tendo قدر على التحمل/استحمال
(i-) la kuhimili na kuishi na
matatizo
Ku- على التشبث
ng'ang'ania
(kt)
Ku-ambulia Pata kitu ulichotarajia نال/ حصل على
(kt) au usichotarajia baada
ya kufanya jambo
fulani
Bingwa (ji) (a- Mtu hodari au stadi ماهر/ متعلم/متخصص/خبير
wa) wa jambo fulani متمكم/كف/على
Msingi (ji) (u- 1- chanzo; asili: /خندق/ مرحله التعليم االساسي/اساس
i) 2-mahali مفتاح/قناه مياه بجوار منزل/اخدود
palipochimbwa na مدرسه ابتدائيه/موسيقي في سلم موسيقي
kujengwa imara kwa
azma ya kusimamishia
jengo
Uzuzu (ji) (u-) 1- kutokuwa na ujuzi عدم ادراك/ عدم خبره/غشم/غباء/بله
wa jambo au kazi
Fulani
2-ujinga
Somo )ji) (a- 1-rafiki صديق ودود/حميم/رفيق/زوجة مخلصة
wa) 2-mtu wa jina moja na
mwenzake
Tembo (ji) (i- kinywaji ama kileo معدة/خمر
/zi-) kinachopatikana kwa
kugema ua la mnazi
kabla halijachanua
ama kwa mchikichi
Ufuska (ji) (u-) Usherati; usinzi; ufasia قلة حياء/فجر/فسق/فساد/انحالل
Nasaha (ji) (i- mawaidha طلب العفو/توسل/نصح
/zi-)
Haramu (kv) -enye kwenda باطل/غير شرعي/حرام
kinyume cha kanuni,
amri na sheria zake
Mwenyezi Mungu; -
isiyo halali
kijiko ji (ki-/vi-) namna ya chombo بلدوزر لتحميل األترب/مالعق
kidogo cha mti,
chuma, shaba au
sandarusi cha
kukorogea, kuchotea
au kulia chakula.
Makubadhi (ji) aina ya viatu vya مقبض/حذاء جلد/نوع من األحذية
(ya-) ngozi vyenye kamba
mbili na huwa na
nakshi
Mwiba (ji) (u-i) 1- kitu chenye ncha اي شئ ذو سن/منخس/حسكه/شوكه
inayochoma kama ابره/مدبب
sindano au msumari
2-sehemu ya mmea
yenye ncha kali
iwezayo kuchoma
3- mfupa
mwembamba wa
samaki ulio na ncha
kali upande mmoja
Sarafu (ji) (i- vipande aghalabu vya سعر الصرف/مقايضة/صرافة/فكة/عملة
/zi-) umbo duara vyenye
thamani
kuu vinavyotumiwa
kama pesa
Noti (ji) (i-/zi) Pesa zilizoundwa kwa نوتة الموسيقى/نوتة البنك/عملة ورقية
karatasi maalumu
Rundo (ji) (li- mkusanyiko wa vitu تجمع أشياء معاا/كومة
/ya-) vingi pamoja k.v.
takataka ama karatasi
Fumukana (kt) Achana baada ya شتت/تفرق/توزع/اضطراب
kukusanyika
Nadhiri (ji) (i- nia anayotia mtu ميثاق/عهد/نذر
/zi-) kumwahidi Mwenyezi
Mungu kuwa atafanya
jambo fulani iwapo
mambo yake
yatafanikiwa
Ndoa (ji) (i-/zi- Uamuzi wa watu قران/زواج
) kukubali kirasmi kuishi
pamoja kama mke na
mume
Tajiri (ji) ma- 1- aliye na mali بائع جملة/رأسمالي/تاجر/غني/ثري
(a-/wa-) mengi; mtu mkwasi;
lodi kizito
2- mtu ambaye huajiri
watu; bosi
Ulevi (ji) (u-) 1- hali ya kupotewa فقدان الوعي بسبب الخمر/ثمالة/س ْكر
ُ
na fahamu kwa
sababu ya kutumia
pombe ama kileo
chochote kile.
2-kitu kiwezacho
kulewesha; kileo.
Mchanga (ji) Chembe ndogo sana تراب/رمل
(u-) za udongo mkavu
Ku-shauri (kt) eleza mtu maneno استشار/شاور/نصح
mazuri ili ayazingatie;
elekeza, pendekeza
Ku-ona (kt) 1-tumia
jicho kubainisha kitu ش/راقب/الحظ/وجد/احس/شعر/نظر/راي
2- hisi kitu mwilini wala ف
sijui
kilichoyasababisha
Ku-lewa (kt) haribika fahamu al تارجح/تمايل/ترنح/خارت قواه/ثمل/سكر
nguvu kwa kunywa
ama kuvuta chochote
cha kubadilisha akili
kv. pombe, dawa,
hewa yenye sumu, n.k;
Ku-dunga (kt) Choma kwa kitu فقا/خرم االذن لوضع الحليه/ثقب/وخز
kilicho na ncha; tunga; اتبع عن قرب/العين
toga: Farajala
amefungwa hawa
kumdunga mkuki
mwenzake.
Ku-laumu (kt) Fahamisha mtu اتهم/عزر/عاتب/وبخ/الم
kwamba ndiye
aliyesababisha kukosa
kufaulu ama
kuharibika kwa jambo
fulani; shutumu
Ku-epukana تجنب كل منهما االخر/تحاشي
(kt)
Ku-jua (kt) Fahamu;elewa الم ب/فهم/عرف/ميز/ادرك