Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

Mame Bakari

Neno / kitenzi Neno Kwa kiswahili Neno kwa kiarabu


Bakari ( ji) (a/wa) aina ya mnyama howa ambaye ‫ثور‬/‫بقرة‬
maziwa yake hunywewa na
nyama yake huliwa; ng'ombe.
Mzawa ( ji) (a/wa) 1) aali; watoto: hao wazawa ‫حفيد مواطن‬/‫مواطن محل‬
wa nduguye huyo rfiki yangu. ‫أصل بالمنطقة‬
2) mwenyeji wa pahali fulani
kwa asili: Hata ingawa yeye si
mzawa wa sehemu hiyo
amewasaidia sana wenyeji wa
hapo.
-angavu (kv) 1) -enye kuelimika; -enye akili ‫عاقل‬/‫مني‬/‫صاف‬/‫أبيض‬/‫المع‬/‫واضح‬
nzuri: Mwanafunzi mwangavu
hasinzii darasani. 2) -enye
kupitisha mwangaza; -eupe.
Ku-bubujika (ku) 1) sema maneno mengi ‫سال‬/‫انهمر‬/‫تدفق‬/‫انفجر‬/‫بقلل‬/‫بقبق‬
ambayo hayana maana: Huyo ‫بغذارة‬
hana la maana la kukuambia
bali kububujika tu. 2) toka kwa
maji ama machozi kwa nguvu;
foka: mafuta yalikuwa
yakibubujika kutoka garini gari
liliposhika moto.
Chemchemi (ji) (i/zi) mahali ambapo maji hutokea ‫نبع‬/‫نبع ملء‬/‫ينبوع ماء‬
au kububujika kutoka aridhini
na huwa chanzo cha kisima
ama mto: Serekali yetu hulinda
chemchemi zote za humu
nchini.
Chozi (ji) (li/ya) Tone la maji litokalo machoni ‫ نقطة ماء مالحة‬/‫دمعة من العي‬
mwa mtu kwa ajili ya furaha au ‫تسقط من العي عند البكاء‬
huzuni.
Ku-mwaga Tawanya kitu mahali fulani ‫صب‬/‫ سكب‬/‫أراق‬/‫أسال‬
kama vile: maji, unga: Mtoto ‫ني‬/‫ضيع‬/‫بدد‬/‫أفرغ‬/‫الماء‬
alishtuka na kumwaga maji
kitini.
Ku-toka Ondoka mahali na kuenda ‫نتأ‬/‫رحل‬/‫انرصف‬/‫جاء من‬/‫خرج من‬/
ّ
kwingine. ‫اختف‬/‫بان‬/‫تخلص من‬/‫ظهر‬/‫انبثق‬
Ku-anguka 1) Dondoka kutoka juu hadi ‫خس ف‬/‫فشل‬/‫وقع‬/‫سقط‬
chini kwa kishindo. 2) Haribika ‫حدث‬/‫التجارة‬
kwa biashara; filisika: alihama
mji biashara yake ilipoanguka.
3) Kosa kupita mtihani; bunda
mtihani: Matokeo ya mtihani
hayakumfurahisha kwani
alianguka masomo yote.
Paja (ji) (li/ya) Kiungo cha mwili ambacho (‫ فخذ )ورك‬/ ‫ِحجر‬
hupatikana kati ya goti na
nyonga katika mguu.
Ku-gusa Shika kidogo. ‫المس‬/‫مس‬/‫لمس‬
Mchomo (ji) (u/i) 1) Kitendo cha kuunguza kitu ‫تحرك الشء‬/‫ لسع بالنار‬/‫ألم بالجسم‬
kwa kutumia moto: Mchomo ‫نخس‬/ ‫ طعن‬/‫ بسعة ف اتجاه معي‬/
wa taka haufai kufanyiwa hapa. ‫طه‬/‫طبخ‬/‫حرق‬/‫وخز‬/‫حك‬/‫هرش‬
2) Maumivu makali anayohisi
mtu: Ninahisi mchomo wa
kichwa.
3) Mwendo wa kasi wa ghafla
wa mpira, kiumbe au kitu au
binadamu: Mchomo wa mpira
ulimchanganya kipa.
Mshale (ji) (u/i) Aina ya silaha yenye chembe ‫ رمح)آلة حربية‬/ ‫سهم‬
kilichovikwa kwenye kipande ‫)قديمة‬
cha mti inayorushwa kwa
upinde: Bwana huyu anamiliki
mishale hii kunyume na sheria.

Uchungu (ji) (u) 1) Hali anayohisi mtu kinywani ‫ غضب‬/‫ حدة‬/‫ ألم حاد‬/‫مرارة‬/
baada ya kula ama kuonja kitu ‫ ضغينة‬/‫ حقد‬/‫ تهور‬/‫احتداد‬
mbacho si kitamu kama vile:
Kwinini.
2) Hisi anazopata mtu ana
popatwa a jambo la kuumiza
kama vile: Kujikata.
Hatimaye (kl) Baada ya shughuli fulani au ‫ ف الختام‬/‫ و أخيا‬/‫و ف النهاية‬
jambo.
Ku-katika Fika mwisho wa tendo au ‫ يتمزق‬/‫يتقطع‬
jambo fulani.
Ku-fadhaisha Sababisha mtu kuwa na ‫ شكك ف‬/‫ خوف‬/‫أفزع‬
wasiwasi: kifo cha mkewe
kilimfadhaisha sana.
Ku-kumbusha Fahamisha; elewesha jambo ‫ أخي شخصا لعمل شء‬/‫ ذكر‬/‫تذكر‬
lililofanyika awali ambalo ‫قد نساه‬
limesahahauliwa.
Ku-chukia Kutokuwa na mapenzi; sinya, ‫ نفر من‬/‫حقد عل‬/‫ بغض‬/‫ مقت‬/‫كره‬
kasirika, nuna: nitakosaji
kuchukia mtu mwongo msaliti?
َ
Kidonda (ji) (kilvi) Mchubuko kwenye mwili ‫ دمل‬/‫ ُجرح‬/‫ قرح‬/‫قرحة‬
ambao pengine umetunga
usaha.
Ku-tonesha Gusa sehemu ya mwili iliyo na ‫ ضب عل الجرح‬/‫قطر دما من جرح‬/
kidonda na kusababisha ‫لمس جسم به قرحة فسبب اآلالم‬
maumivu.
Ku-pwita Toa pumzi kwa nguvu; hema: ‫ خفق‬/‫ نبض‬/‫اختلج‬/‫ خفق‬/‫وجب‬
Mbona unapwita hivyo ilhali (‫)القلب‬
umekimbia kidogo tu?
Mbingu (ji) (i\ zi) Anga la juu; samai; falaki: ‫ فلك‬/‫ فضاء‬/‫السماء‬
Mbingu hii imejaa mawingu
meusi.
Ku-apiza Ombea mtu nuksi ama ‫ سب‬/‫ شتم‬/‫لعن‬
mabaya; laani: Kwa mzazi
kumwapiza mwanawe haliwi
jambo la hivi hivi tu.
Aa! (Ki) Ki tamko ambalo huonesha ‫ لفقدان‬،‫ للحزن‬،‫كلمة تعجب )للفرح‬
kushangaa, kukataa, kusikitika ‫ للرفض‬،‫)األمل‬
n.k: Aa! Bwana yule hajui
kuandika barua rasmi?
Mnyonge (ji) (a/wa) -- ‫ ضعيف‬/‫ سقيم‬/‫ عليل‬/‫مريض‬/
‫ منحط‬/‫ سافل‬/‫وضيع‬
َ ُ
Fimbo (ji) (i/zi) 1) Kipande cha mti ‫ عصا خفيفة تحمل ف‬/‫ منسأة‬/‫عصا‬
kitumiwacho kupigia mnyama ‫ عصا للمش‬/‫اليد‬
au mtu; bakora; gongo;
henzarani. 2) Mkongojo;
kipande cha mti kilichoundwa
vizuri ili mtu atembee nacho
au kitumiwe kupigia.
Taratibu (ji) (i/zi) 1) Mpango wa kufanya jambo ‫ تنسيق‬/‫ كيفية‬/‫ نظام‬/‫ نسق‬/‫ترتيب‬/
au kitu: tunachukulia kuwa ‫ جدول‬/‫ تنميق‬/‫ أسلوب‬/‫طريقة‬/
unayo taratibu kabambe ya ‫ بطء‬/‫ رقة‬/‫هدوء‬
kutekelezea hayo
unayoyasema. 2) bila haraka:
biblia husomwa kwa taratibu
ama hutaelewa mengi.
Ku-nyanyua Inua. ‫ جذب ألعل‬/‫رفع‬
Ku-peleka ‫ نقل‬/‫ وصل‬/‫ أخذ‬/‫ أرسل‬/‫بعث‬
Kitumbo (ji) (ki/vi) ‫ سمنة أو بدانة مفرطة‬/‫معدة صغية‬
‫عل البطن‬
Ku-fura 1) Patwa na hasira; kuja juu ‫ فار‬/‫ ثار‬/‫ غضب‬/‫ انتفخ‬/‫تورم‬/
vimba, kasirika: Nilipoambiwa ‫ عل‬/‫ ازداد‬/‫ ارتفع‬/‫انفعل‬
upuuzi hii nilijipata nimefura
hata bila ya kutambua
ninafanya hivyo.
Ku-leta Fikisha kitu pahali alipo ‫ أوصل إل‬/‫ جلب ب‬/‫أحرص ل‬
anayesema ama anayekihitaji.
Maumivu (ji) (ya) chungu anaohisi mtu kwa ‫ آالم‬/‫ معاناة‬/‫ تعذيب‬/‫عذاب‬
kuungowa au kujeruhiwa: Nina
maumivu mengi ya tumbo.

Ku-zuka ‫ ظهر‬/‫ بزغ‬/‫برز فجأة‬


‫عل حي غفلة‬

Ku-tokezea ‫ سما إل‬/‫ نشأ من‬/‫نرز ف‬


Laiti (ku) ‫ لو أنما‬/‫ لو‬/‫ لعل‬/ ‫ليت‬
Ku-potea ‫ أفسد‬/‫ أخطأ‬/‫ تاه‬/‫ ضل‬/‫ ضاع‬/‫فقد‬/
‫إنعدم وجوده‬

You might also like