Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

Insha ya 6

Wakati mimi ninasikia vibaya, sitaki kuenda hospitalini kwa sababu bei ni ghali sana na
ninahitaji kusubiri sana kabla ya kuona doktari. Ninapendelea hapo nyumbani kupumzika na
kula dawa peke yangu. Mara nyungi baada ya siku chache niansikia zuri tena na ninaweza
kuendeleza kuishi maisha yangu. Kwa hali yoyote, kwa bahati nzuri ninaweza kuenda hospitalini
kama ninahitaji. Ninaishi karibu na hospitali zuri na ninaweza kuona madaktari mazuri. Katika
mahali mengine hakuna hospitali au hospitali vizuri. Kama wakati mtu ni mgonjwa hawezi
kuenda kuona doktari. Kwa hiyo, kuna wakati mgonjwa anakufa kwa ugonjwa. Ni huzini sana
kusikia mtu alikufa na kama alienda hospitalini asife. Hasa katika kijiji hali sio zuri sana. Kama
mtu anahitaji kuenda hospitali, anahitaji kuenda mjini au kuenda umbali mrefu. Wakati ninakaa
Uganda, ninaweza kuona hali hii. Katika Kampala ina hospitali. Mara moja niliumiza mguu
yangu. Nilienda hospitalini na nilimwona doktari. Doktari alinipa dawa kwa mguu na alinisema
ni muhimu kupumzika kidogo na kurudi kama haiponi. Lakini, nilipoenda kijijini, sikuona
hospitali. Kama niliumiza mguu hapo sikuweza kuenda hospitali na kuona doktari. Mguu yangu
ingeweza kuchoma sindano. Katika kijiji, nilimwona watoto wengine. Baadhi ya watoto
walikuwa wagonjwa. Walitaka kuenda kuona doktari lakini hawakuwa na pesa sana. Kwa hiyo,
hakuweza kuenda mjini kuona doktari. Wanasali tu. Wanapoenda hapo, ninaenda kuwa na
dawa. Ninataka kuwapa dawa kwa sababu ni gumu sana kununua dawa katika kijiji. Katika kijiji,
ni muhimu sana kujiangalia kuzuia kuwa mgonjwa. Kwa mfano kwa kipindupindu watu
wanaosha mikono kabla ya kula, wanaosha chakula kwa maji safi na wanachemsha maji kwa
dakika moja kabla ya kunywa. Watu hawatapika au hawataharisha karibu na mto au maziwa
pia. Kwa maleria, ni muhimu ulale na chandarua kwa sababu maleria inaenea kwa mbu. Kama
ujiangalie hautakuwa mjongwa.

You might also like