Mkataba Wa Kupanga Fremu Namba

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK…………………………….

MANISPAA YA

Mkataba huu umefanyika leo tarehe……mwezi wa……..........mwaka…………….

Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la


Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE NYUMBA kwa
upande mmoja,
NA
……………………………………………………………….. WA Sanduku la Posta……………………
Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MPANGAJI kwa upande mwingine. Ambapo
imekubaliwa na kushuhudiwa ifuatavyo:-
KWA MAKUBALIANO YAFUATAYO:
1. Kwamba Mwenye nyumba atapangisha na Mpangaji atapanga Fremu ya biashara katika Nyumba
Na……………..iliyoko……………….Mtaa wa……………………..Kata ya……………….
…….Wilaya……………………….……Mkoa……………………….
2. Muda wa Mkataba utakuwa ni miaka mitatu(3) ambapo pande zote mbili zikikubaliana Mkataba
unaweza kufanywa mwingine baada ya huu kumalizika. Mkataba huu utaanza kutumika tarehe
punde baada ya kusainiwa.
3. Kodi ya pango ni Tshs 50,000/- Kwa mwezi na imekubalika kwamba kodi italipwa kwa miezi
mitatu mitatu.
4. Mpangaji haruhusiwi kufanya mabadiliko yoyote katika Fremu, yawe ni matengenezo,
marekebisho au nyongeza ya ujenzi pasipo kwanza kupata kibali cha Mwenye nyumba. Endapo
utaonekana ulazima wa kufanya matengenezo au marekebisho au nyongeza yoyote basi
MPANGAJI ataruhusiwa na Mwenye nyumba kufanya hivyo na gharama zote zitakuwa ni juu ya
Mpangaji.
5. Mpangaji atatakiwa wakati wote kuwa na mahusiano mazuri na Wapangaji wengine, majirani
wanao zunguka nyumba anamopanga na watu wengine wanaofika mahali hapo au kutumia njia
inayopita katika nyumba anayopanga na bila kufanya vitendo vya bugudha kwa wengine.
6. Mwenye nyumba atakuwa na haki ya kufuta mkataba huu endapo Mpangaji atafanya matumizi
mabaya na ya kinyume cha Sheria za Nchi, fremu ya biashara anayopanga.

UMESAINIWA NA:-
Ndugu………………….………………
Saini……………………………………..
MWENYE NYUMBA
UMESAINIWA NA:
Ndugu..……….……………………………
Saini……………………………..…………..
MPANGAJI
UMESHUHUDIWA MBELE YA:-
Ndugu……………………………
Saini………………………………..
SHAHIDI

You might also like