Saa 1 - 2 Chai Nyumbani Saa 2 - 4 Maandalizi Ya Kupokea Mwili Nyumbani Saa 5 – 6.00 Chakula Nyumbani Saa 6.30 – 7.00 Msafara Wa Kuelekea Kanisani – Mt. Hananasifu, Kinondoni Anna Saa 7.00 – 08.00 Misa Taka�fu Ya Mazishi Kanisani Saa 08.00 – 08.10 Wasifu Wa Marehemu (Hugo Mhina) Kanisani Saa 08.10 – 08.20 Salaam Za Rambi Rambi Kanisani Saa 08.20 – 08.30 Neno La Shukrani kutoka kwa Kanisani mwakilishi wa familia (Sita Peter Mlwano) Saa 08.30 – 09.30 Kutoa Heshima Kanisani Saa 04.00 Safari Ya Kuelekea Mofu kwa Mazishi