African Divine Church Yellow Ministry

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

AFRICAN DIVINE YELLOW MINISTRY

15/02/2024

Pokea salamu kutoka Kolosai region tungependa


kuwajulisha ya kwamba tumechukuwa hatuwa ya
kuwafunga washiriki wetu wawili kwa makossa yao
waliofanya wakiwa kwa gwaride mnamo tarehe 4/2/2023
kitabu mathayo 18:18 wote wawili wakiwa kwa gwaride
ikielekea Rehema region
Makosa
1. Kupigana kwa gwarida
2. Matusi
3. Wakiwa na mavazi

Celina Luyo
Caroline Ateru

Kwa hivyo tumewafunga miezi mitatu.


Mbarikiwe mnapo soma.
Ni sisi wenu
Region Francis Simiyu
Organizer Ben Oruko

Karani Irine Oyiera


Kolosai region
- Mkutano wa kutengeneza mambo ya makossa kwa
wenye walikosana.
- Kufunguwa mukutano na
Ben Oruko saa mbili usiku

Wenye makosa :
1. Celina Luyo
2. Caroline Ateru
Walioudhuria mkutano
1. Chair Ben Oruko
2. Pastor William Oguyo
3. Secretary Erick Otundo
4. Secretary Region Irine Oyiera
5. Mama Ass Mary Goret
- Celina Luyo yeye alisema makossa yake ni hasira kwa
ajili ya matusi kutoka kwa Caro kama mjinga Mama
mzee hana akili. Lakini kwa yote ameomba
msamaha.
- Caroline pia amehukumika kwa makossa yake
akaomba msamaha.
- Kufunga mkutano ni saa tatu na ishirini na moja
(9:21) Maombi na secretary Irine Oyiera.

You might also like