Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

OA

SIS O GE
F KNOWLED

JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY


SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
WITH IT
4TH YEAR 1ST SEMESTER 2016/2017 ACADEMIC YEAR
MAIN CAMPUS – FULL TIME

COURSE CODE: AKI 401

COURSE TITLE: KISWAHILI MORPHOLOGY

EXAM VENUE: STREAM: (BED-ARTS)

DATE: EXAM SESSION: DECEMBER 2016

TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the
examination room.
1. a) Dhana mofolojia imepambanuliwa na wanaisimu wengi. Kwa kutoa mifano, eleza dhana hii
kwa kurejelea angalau wataalamu watano. (Alama 10)
b) Eleza mofolojia ya maneno ukizingatia:
i) Maneno yanayoambishwa (Alama 10)
ii) Maneno yasiyoambishwa (Alama 10)

2. Huku ukitoa mifano, eleza dhana ya kiambishi kimofolojia. (Alama 20)

3. Tofautisha kati ya aina tano za mofu zifuatazo:


a) Mofu huru (Alama 4)
b) Mofu funge (Alama 4)
c) Mofu tata (Alama 4)
d) Mofu kapa (Alama 4)
e) Mofu changamano (Alama 4)

4. Eleza kwa tafsili mofolojia ya nomino za Kiswahili. (Alama 20)

5. Dhana ya mofimu imetumika sana katika isimu. Kwa kutoa mifano, ifafanue dhana hii.
(Alama 20)

You might also like