Hisabati Iv Majengo

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA

KATA YA KITANGARI
MTIHANI WA ROBO TATU MUHULA FEBRU 2024 SOMO: HISABATI DRS IV

SEHEMU A
1. i. Andika kwa maneno 908
ii. Andika 39 kwa namba za kirumi.
iii. Je, tarakimu ipi katika namba 78421 ipo kwenye makumi elfu?
iv. Andika namba ifuatayo kwa kifupi 8000 + 400 + 60 + 3 =
v. Kitabu kina kurasa mia nane thelathini na tisa. Andika kurasa za kitabu hiki kwa
numerali.

SEHEMU B
2. i. Andika namba inayofuata katika mpangilio wa namba zifuatazo 4, 6, 8, 10, _____
ii. Panga namba zifuatazo kwa mpangilio unaoanza na namba ndogo hadi namba kubwa
zaidi 9, 3, 11, 5, 7, 1, 13
iii. Andika namba inayokoseka na katika mpangilio wa namba za kirumi X, XV, XX, ___,
XXX
iv. Jaza namba iliyokosekana katika mpangilio wa namba 461, 361, 261, ______, 61
v. Mfanya biashara alinunua machungwa 64, mapapai 42, maembe 100 na ndizi 98.
Panga majina ya matunda hayo kwa kufuata idadi yake kuanzia mengi hadi machache zaidi.

SEHEMU C
3. Jumlisha 11564 + 9206 =

ii. 15 900

iii. Kitabu kina kurasa 91, ikiwa kila ukurasa una picha 13, tafuta jumla ya picha zilizomo
ndani ya kitabu hicho.
iv. Zidisha 72 x 58 =
v. Idadi ya pundamilia katika hifadhi moja ya Tanzania ilikuwa 3211. Iwapo
wataongezeka pundamilia 195 mwaka uliofuata, tafuta jumla ya pundamilia katika hifadhi hiyo.

SEHEMU D.
4. i. Asia alifuga samaki 25409 mwaka jana, aliuza samaki 21867. Samaki wangapi
hawakuuzwa?
ii. Ni sehemu gani ya umbo lifuatalo limewekewa kivuli?

iii. Wiki 2 ina siku ngapi? __________________


iv. Mwaka 1 una miezi mingapi? _____________
v. Saa 1 ina dakika ngapi? __________________

SEHEMU E.
5. i. Jumlisha sh. 2750 + sh. 1650 =
ii. Nuru alinunua mbuzi kwa shilingi 55,000/=na kamuuza kwa shilingi 65,000/=.
Je, alipata faida ya kiasi gani cha fedha?
iii. Toa sh. 2780 katika sh. 1890
iv. Noti ya shilingi elfu kumi ina numeral ngapi? _________
v. Bei ya pipi 11 ni shilingi 440. Tafuta bei ya pipi moja.

You might also like