Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

inaendelea kutoka nyuma

Hivi
vile mimi nilivyozishika amri za baba yangu (Amri karibuni mtu mmoja aliingia kanuni thabiti iliyokusudiwa kuleta amani na furaha
Kumi) na kukaa katika pendo lake.” kwa wanadamu? Ndiyo. Hebu tuone Biblia inasemaje
Je, unakusudia kupita katika nyayo za Yesu na kwenye Kituo cha Polisi akiwa juu ya kanuni hii inayoitwa Amri Kumi za Mungu.
kuzishika Amri zake ili ukae katika pendo lake?
Yesu anasema pia, “Mkinipenda, mtazishika na hasira na jasho likimtoka. Alitaka polisi 1. Je Mungu mwenyewe aliziandika Amri Kumi?
amri zangu.” Yn 14:15. “Akampa hizo mbao mbili za ushuhuda, mbao mbili
Je, unampenda Yesu kiasi cha kuzitii amri zake
wachukue hatua za haraka kuwakamata za mawe, zilizoandikwa kwa chanda (kidole) cha
kwa furaha? watu waliovunja na kuiba nyumbani kwake. Mungu.” Kut. 31:18. “Na zile mbao zilikuwa kazi


ya Mungu, nayo maandiko yalikuwa maandiko ya
Uamuzi Wangu: Aliulizwa kama anaweza kuwatambua baadhi Mungu, yaliyochorwa katika zile mbao.” Kut. 32:16.
Mungu Mkuu aliziandika Amri Kumi kwa
ya watu waliomwibia. Aliposema anaweza, kidole chake kwenye mbao za mawe.

Yachunguzeni yule ofisa wa polisi alimpeleka chumba cha


taarifa mbalimbali na kumwonyesha picha
2. Mungu anasema dhambi ni nini?
“Dhambi ni uvunjaji wa Sheria ya Mungu.” 1 Yoh.

Maandiko!
3:4, HN.
zilizokuwa kwenye kitabu ili aweze kuona Na kwa sababu Sheria ya Mungu ni kamilifu


(Zab. 19:7), inagusa kila aina ya dhambi.
kama anaweza kuwatambua katika zile
3. Kwa nini Mungu alitupatia Amri Kumi?
picha. Walipokuwa wanaendelea, yule askari A. Alitupatia Amri Kumi ili zituongoze kwenye
maisha ya furaha na uzima tele.
alisita kwenye ukurasa mmoja na kuiangalia
“Aendaye kwa unyofu ataokolewa; bali mkaidi wa
Tafadhali wasiliana na Kanisa la Waadventista Wasabato njia zake ataanguka mara.” Mit. 29:18. “Mwanangu,
lililo karibu nawe, au tuandikie kwa anwani hii: picha moja, kisha akamwangalia yule mtu.
usiisahau sheria yangu, bali moyo wako uzishike
Akamwambia, “Wewe pia unatafutwa na polisi. amri zangu. Maana zitakuongezea wingi wa siku, na
miaka ya uzima na amani.” Mit. 3:1,2.
Kibidula Bible Studies Picha yako hii hapa, uko chini ya ulinzi.”
B. Kutuonyesha tofauti kati ya wema na ubaya.
P.O. Box 17 Uhalifu umekithiri kila mahali, makazini, “Kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.”
Mafinga/Iringa viwandani, mijini na vijijini. Uasi, mapinduzi, wizi, Rum. 3:20. “Singalitambua dhambi ila kwa
ujambazi, ugaidi, utekaji nyara, ubakaji, rushwa, na sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati
Tanzania kadhalika, vimeenea kila mahali. isingalisema, Usitamani.” Rum. 7:7.
Dunia yetu imekumbwa na balaa gani? Maadili kwa
watoto yameporomoka. Ni nani wa kuwaongoza iwapo C. Kutuepusha na hatari na maafa.
hata baba na mama si waaminifu. Waalimu na viongozi Sheria ya Mungu ni kama kioo (Yak. 1:23-25).
mbalimbali ni wadanganyifu. Hakuna anayeaminika. Inatuonyesha makosa katika maisha yetu kama vile
Watu wamefika mahali pa kusema kioo kinavyoonyesha uchafu usoni.
kuwa kanuni ya Mungu “BWANA akatuamuru kuzifanya
ya wema na uovu imepitwa amri hizi zote, tumche
na wakati. Hata BWANA, Mungu wetu,
baadhi ya makanisa tuone mema sikuzote ili
yanafundisha kuwa atuhifadhi hai.” Kumb.
Amri za Mungu 6:24. “Unisaidie nami
zimefutwa. Maneno nitakuwa salama, nami
haya ni kawaida nitaziangalia amri zako
kuyasikia yakisemwa daima. Umewakataa wote
na watu wanaojiita wazikosao amri zako, kwa
Watumishi wa Yesu. maana hila zao ni uongo.”
SOMO LA 6 Matokeo yake,
watu wanajifanyia
Zab. 119:117,118. Sheria
ya Mungu ni kama wigo
wanavyopenda,
Printed by: Amri Za Mungu na jamii inavuna
ilichopanda.
unaotukinga na uharibifu.
Inatukinga na uchafu,
uongo, mauaji, ibada ya
Light Bearers Ministry Je, Mungu anayo sanamu, wizi, pamoja na
USA
uovu mwingine unaoharibu maisha, amani na Yesu alisema dhahiri kabisa kuwa hakuja chini ya neema? Hasha!” Rum. 6:14,15. “Basi, chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
furaha. Sheria nzuri zote hulinda, na sheria ya kufanya kazi hiyo ya kutangua Amri Kumi. je! twaibatilisha Sheria kwa imani hiyo? Hasha! Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi,
Mungu hulinda pia. Kinyume chake twaithibitisha Sheria.” Rum. 3:31. BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye
7. Je, watu wanaoendelea kuvunja Amri za Mungu Hapana. Maandiko yanafundisha kinyume wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao,
4. Kwa nini Sheria ya Mungu ni ya muhimu sana kwetu? makusudi wataokolewa? kabisa. Neema ni kama msamaha wa Rais kwa hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
“Semeni ninyi, na kutenda kama watu “Mshahara wa dhambi ni mauti.” Rum. 6:23. mfungwa. Neema humsamehe, lakini haimpi ruhusa nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na
waatakaohukumiwa kwa Sheria ya Uhuru.” Yak. 2:12. “Tazama, siku ya BWANA inakuja, siku kali, ya kuvunja hata kipengere kimoja cha Sheria. Ni kuzishika amri zangu.” Kut. 20:4-6.
Kwa sababu Amri Kumi ndicho kipimo hasira na ghadhabu kuu, ili iifanye nchi kuwa motisha ya kumfanya mtu atii.
atakachotumia Mungu kuwapima watu katika ukiwa, na kuwaharibu watu wake, wenye dhambi, 3) “Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako,
hukumu. Hili na suala la kufa na kupona. wasikae ndani yake.” Isa. 13:9. “Mtu awaye yote 11. Je, Amri Kumi za Mungu zimesisitizwa katika Agano Jipya? maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia
atakayeishika Sheria yote, ila akajikwaa katika neno Ndiyo, tena kwa wazi kabisa. Chunguza aya hizi kwa mtu alitajaye jina lake bure.” Kut. 20:7.
5. Je, Sheria ya Mungu inaweza kubadilishwa au kufutwa? moja, amekosa juu ya yote.” Yak. 2:10. makini.
“Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, Watapotea, kwa sababu Biblia inasema, “Na 4) “Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita
kuliko itanguke nukta moja ya torati (sheria).” Lk. katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa Amri kumi za Mungu katika agano jipya fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini
16:17. “Mimi sitalihalifu agano langu, sitalibadili neno tunazishika amri zake. Yeye asemaye, Nimemjua, 1) “Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu
lililotoka midomoni mwangu.” Zab. 89:34. “Matendo wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli peke yake.” Mt. 4:10. wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo haimo ndani yake.” 1 Yoh. 2:3,4. wala mwana wako, wala binti yako, wala
yake yote ni amini, yamethibitika milele na milele, 2) “Watoto wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.” mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala
yamefanywa katika kweli na adili.” Zab. 111:7,8. 8. Je, mtu anaweza kuokolewa kwa kushika amri? 1 Yoh. 5:21. “Basi, kwa kuwa sisi tu wazao wa mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye
Biblia iko wazi kabisa. Kama Sheria ya Mungu “Hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita
ingeweza kubadilishwa, Mungu angebadilisha mbele zake kwa matendo ya Sheria.” Rum. 3:20. ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari,
mara baada ya Adamu na Hawa kutenda dhambi, “Mmeokolewa kwa Neema, kwa njia ya Imani; vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba;
badala ya kumtuma Mwanawe kuja kufa badala ya ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa wanadamu.” Mdo. 17:29. kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato
mwenye dhambi ili kulipa fidia ya Sheria iliyokuwa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote akaitakasa.” Kut. 20:8-11.
imevunjwa. Hili lisingewezekana kwa sababu Amri asije akajisifu.” Efe. 2:8,9. 3) “Jina la Mungu lisitukanwe wala mafundisho yake.”
za Mungu si kama sheria zilizotungwa Bungeni. Jibu liko wazi. Hakuna anayeweza kuokolewa 1 Tim. 6:1, KJV. 5) “Waheshimu baba yako na mama yako; siku
Ni kanuni za tabia takatifu ya Mungu, ambazo kwa kushika Sheria. Wokovu huja kwa njia ya neema zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na
zitadumu na kuwa sahihi kadiri Mungu aishivyo. peke yake, kama zawadi ya bure toka kwa Yesu, nasi 4) “Kwa maana ameinena siku ya saba mahali BWANA, Mungu wako.” Kut. 20:12.
huipokea zawadi hiyo kwa njia ya imani. Siyo kwa fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba,
matendo. Kazi ya Sheria ni kutuonyesha kasoro akaziacha kazi zake zote.” “Basi, imesalia raha ya 6) “Usiue.” Kut. 20:13.
Tabia Mungu ni Sheria ni tulizo nazo katika maisha. Baada ya kujua uovu wetu, Sabato [“utunzaji wa Sabato”, pambizo] kwa watu
tunamwendea Yesu ili atutakase na kutusamehe. wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika 7) “Usizini.” Kut. 20:14.
Wema Lk.18:19 1Tim.1:8
raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake,
Utakatifu Isa.5:16 Rum.7:12 9. Ni kitu gani kinachomwezesha Mkristo aliyeongoka kweli kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.” 8) “Usiibe.” Kut. 20:15.
Ukamilifu Mt.5:48 Zab.19:7 kushika Amri za Mungu? Ebr. 4:4,9,10.
Usafi 1Yoh.3:2,3 Zab.19:8 “Nitawapa sheria zangu katika nia zao, na katika 9) “Usimshuhudie jirani yako uongo.” Kut. 20:16.
-a Haki Kumb.32:4 Rum.7:12 mioyo yao nitaziandika.” Ebr. 8:10. “Nayaweza 5) “Waheshimu baba yako na mama yako.” Mt. 19:19.
mambo yote katika yeye (Kristo) anitiaye nguvu.” 10) “Usitamani nyumba ya jirani yako, usitamani
Ukweli Yn 3:33 Zab.19:9 Flp. 4:13. “Mungu, kwa kumtuma Mwanawe 6) “Usiue.” Rum. 13:9. mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala
Kiroho 1Kor.10:4 Rum.7:14 mwenyewe… ili maagizo ya torati yatimizwe ndani mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda
Haki Yer.23:6 Zab.119:172 yetu sisi.” Rum. 8:3,4. “Nami nitatia Roho yangu 7) “Usizini.” Mt. 19:18. wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.”
Uaminifu 1Kor.1:9 Zab.119:86 ndani yenu, na kuwaendesha katika Sheria zangu.” Kut. 20:17.
Eze. 36:27. 8) “Usiibe.” Rum. 13:9.
Upendo 1Yoh.4:8 Rum.13:10 Baada ya kutubu, Kristo haishii kusamehe tu, 12. Shetani ana hisia gani kwa watu wanaoendesha maisha
Kutobadilika Yak.1:17 Mt.5:18 bali huwarejeshea sura ya Mungu wenye dhambi 9) “Usimshuhudie jirani yako uongo.” Rum. 13:9,KJV. yao kwa kufuata Amri Kumi za Mungu?
Umilele Mwa.21:33 Zab.111:7,8 waliotubu. Huwafanya waende sawasawa na Sheria (Imerukwa katika Biblia ya Kiswahili, Union “Joka amkasirikia yule mwanamke, akaenda zake
yake kwa njia ya uwezo wa kukaa ndani yao. Version). “Usishuhudie uongo.” Mt. 19:18. afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao
Amri za Mungu.” Ufu. 12:17. “Hapa ndipo penye
6. Je, Yesu aliifuta Sheria ya Mungu alipokuwa hapa duniani? 10. Je! siyo kwamba Mkristo mwenye imani na aliye chini ya 10) “Usitamani.” Rum. 7:7. subira ya watakatifu, hao wazishikao Amri za
“Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati (sheria) neema halazimiki kushika Sheria? Mungu, na Imani ya Yesu.”
au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. “Maana dhambi ni uvunjaji wa Sheria ya Mungu” Amri kumi za Mungu katika agano la kale Ibilisi anawachukia watu wanaoshika Sheria ya
Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na (1 Yoh. 3:4, HN/AJKK). “Kwa maana dhambi 1) “Usiwe na miungu mingine ila Mimi.” Kut. 20:3. Mungu ambazo ni kipimo cha maisha ya unyoofu.
nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya Je, unaamini kwamba ni lazima Mkristo ashike Amri
torati (sheria) haitaondoka, hata yote yatimie.” Mt. Sheria, bali chini ya neema. Ni nini basi? Tufanye 2) “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa 10 za Mungu?
5:17,18. dhambi kwa sababu hatuwi chini ya Sheria bali kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho Katika Yohana 15:10 Yesu anasema, “kama
inaendelea mbele

You might also like