Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

RAIS JOHN F.

KENNEDY

Ushahidi mpya umeonesha kuwa ripoti ya Kamisheni ya Warren imedhihirisha hali halisi ya mauaji ya
Rais John Titzgerald Kennedy. Akiwa kwenye gari la wazi huko Dealy Plaza, Ijumaa ya Novemba 22,1963,
saa 6:30 mchana, Rais John F. Kennedy alipigwa risasi. Kulikuwa na sherehe siku hiyo Rais Kennedy
alipopita kati ya umati wa watu huko Downtown, Dallas, muda mfupi baada ya milio ya Risasi, Rais John
Fitzegerald Kennedy alilala mauti katika Hospitali ya Parkland Memorial.Uchunguzi wa Kamisheni ya
Warren unadhihirisha kuwa kijana mwenye bunduki peke yake bila kuwa na kundi – bwana Lee Harvery
Oswald alimpiga risasi Rais akiwa juu ya jingo la Dallas Book Depository.Siku mbili tu baada ya rais
kuuawa, Jack Ruby alimuua Lee Harvey Oswald. Kwa nini lakini? Siyo kumzuia asitaje ni nani alimtuma?
John F. Kennedy aliuawa kwa sababu ya vita ya Vietnam na pia sababu ya Benki Kuu ya Marekani
iliyomilikiwa na Majasusi. Rais J.F. Kennedy aliwatuma wawakilishi wawili Mc Namara na Taylor
kuwaambia Wamarekani walio vitani Vietnam warudi nyuma na kujitoa kwenye vita kusini mwa
Vietnam. Kennedy alihitaji kuchaguliwa kuwa Rais kwa kipindi cha pili hivyo aliamua kuitoa Marekani
vitani Vietnam.Fletcher Prouty anatueleza kuwa: “Novemba 22, 1963 Serikali ya Marekani ilichukuliwa
na kundi lililoitaka kuendelea vita huko Mashariki ya mbali na kuimarisha majeshi kwa miaka mingi
baadaye” Ibid Uk. 264. Rais Kennedy alipofanya juhudi kuitoa Marekani vitani Vietnam, hili kundi la
mataifa yenye nguvu lilikuwa linapanga kumuua na kudhani Marekani itadumu vitani Vietnam.Kundi hili
ni akina nani? Nani aliwataka Wamarekani vitani Vietnam na kwa nini? Tukipatajibu tutawajua hawa
wauaji.Auro Manhattan mwandishi Mwingereza aliyefanyia kazi BBC kwa miaka mingi ameandika vitabu
15 juu ya Kanisa Katoliki na mambo ya dunia. Katika kitabu chake cha “Vietnam Why didwe Go?”
anaandika;“Waandishi wengi wameandika vyanzo na sababu za vita ya Vietnam lakini hakuna aliyesema
juu ya mchango wa dini juu ya vita hii yaani Kanisa Katoliki na Vatican – Kanisa Katoliki ni mwanzilishi
mkuu wa vita, mchochezi aliyeshinikiza kwa siri kuendelea kwa vita hii ya Vietnam. Tangu awali kabisa
kanisa kupitia Vatican lilichonganisha na kuleta chuki kati ya Mashariki ya mbali na Marekani”.Gharama
iliyolipwa ilikuwa kubwa: maelfu ya mabilioni ya dola kufanikisha vita, kuharibu makazi na kuua idadi
kubwa ya watu, machafuko ya kisiasa na hali mbaya kijeshi sababu ya vita, ukatili kwa nchi tulivu, vifo
vya vyama maelfu kwa maelfu wa kimarekani na kiasia kuumizwa kuuawa kinyama kwa mamia ya
maelfu ya wasio na hatia waume wanawake na watoto – ndizo gharama za vita. Kuchanganya dini na
siasa ndio matokeo ya vita hii kali iliyoleta maumivu makali na maangamizi nchini Vietnam” Avro
Manhattan, Vietnam: Why did we Go? Chick Publications.1984 uk. 13.“Avro Manhattan, ameonesha
wazi sababu halisi za vijana wetu kuumia kwa shida na kufa vitani Vietnam. Chanzo cha vifo hivyo
kimebainiwa kuwa uchu wa Vatican kuibadili Asia kuwa ya Kiroma, Maajenti wa Vatican waliipanga na
kuitekeleza vita hii ya Vietnam. Wanajeshi wa Marekani waliitumikia Vatican kwa shida msituni
wakipambana na Wavietnam (Vietcong) kwa maumivu, vifo na uangamivu. Yote haya ni sababu ya –
Majezuit” Ibid Uk. 3.Linapotajwa kanisa Katoliki hawatajwi waumini watiifu wasiojua cho chote juu ya
maangamizi bali viongozi wa Vatican na Majasusi. Ho Chi Minh kabla ya vita ya pili ya dunia aliifanya
Vietnam kuwa ya kikomunisti, akapewa msaada na Marekani akajiimarisha Kaskazini mwa Vietnam mjini
Tonkiri na baadaye Hanoi. Papa Yohana Paulo wa 23 alipochaguliwa 1958, Ho Chi Minh alijikabidhi chini
ya Upapa.Ngo Dinh Diem Rais wa kusini mwa Vietnam alijikita katika majukumu ya kidini akaacha ya
Kiserikali hivyo Viongozi wa Buddha wakajinyonga kuona hawana nafasi zaidi ya kusubiri kuuawa.
Hatimaye Marekani ikaingilia kivita Kusini mwa Vietnam.Kadinali Francis Spellman, askofu Mkuu wa New
York ni mtu aliyehusika sana kuipeleka Marekani vitani. Vatican ilipiganisha vita hii kwani walimdhibiti na
kumtuma vitani Rais Ngo Dinh Diem wa kusini huku kwa siri wakimshawishi Ho chi Minh Rais wa
Vietnam Kaskazini apambane na Ngo – na wao walichekelea umwagaji damu.Rais John Fitsgerald
Kennedy, wa Marekani alitaka kuzuia umwagaji damu huo kwa kusaini kitabu – National Security
Memorandum 278. Bila hili, C.I.A. (Shirika la Upelelezi la Marekani – Central Intelligence Agency)
ingeendeleza mapambano Vietnam. Marekani ilikwepa kuipiga Cuba lakini haikuweza kuikwepa vita ya
Vietnam ambayo ilipelekea rais John F. Kennedy kuuawa. Robert Morrow, First Hand knowledge,
Shapolsky Publishers uk. 249.Rais Kennedy alipouawa, Memorandum 278 haikuthaminiwa na Marekani
ikazidisha kuwepo vitani Vietnam. Robert Morrow anasema kupitia vita ya Vietnam, Vatican ilijipatia
mabilioni ya pesa kupitia madawa ya kulevya. Biashara hii ilidumu kwa karne nne na Majasusi, kuliko
kuiacha walikuwa tayari hata kuna mamilioni ya watu waliopinga.Kennedy alikuwa miongoni mwa
Marais wengi wa falme, wa Czair (Wakuu wa Urusi) na Viongozi wakuu wa jumuia kubwa waliokataa
kuwatii Majasusi na aliuawa kwa upinzani huo. Kuna ukweli usiopingika Rais Kennedy. Vatican iliunda
mpango mzima na watu wa karibu na Rais wakautekeleza, kisha wengine kuficha mpango usijulikane ni
nani hasa chanzo cha mauaji.

You might also like