Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

No.

SWALI KAZI ALAMA


1. Andika nambari 76943 kwa maneno.

2. 59626 + 14777=

3. Asha alipokea shilingi 87609 na alitumia shilingi


45678.je,alibakiwa na shilingi ngapi?

4. Jumlisha 3 + 4 =
9 9

5. Jaza nafasi tupu


1–5=
7

6. Andika kweli au si kweli katika sentensi


zifuatazo kuhusu jometri.
a) Mwale una ncha mbili zenye mwisho.
b) Nukta ndiyo umbo rahisi kwenye
jometri.
c) Kipande cha mstari kina ncha moja tu.
d) Mstari hauna tofauti na mwale.
e) Vipima pembe vipo vya aina mbili.
7. Geuza kilomita zifuatazo kuwa mita
a) Km 6
b) Km 2

8. Jumlisha
M Sm Mm
3 56 8
+8 75 9

9. Toa
Km m sm
5 8 10
- 1 18 26

10. Geuza kg 9 g70 kuwa g


11. Geuza g 27000 kuwa kg

12. Yusufu aliuza embe kg 7 jumatatu, kg 8


jumanne, kg 5 jumatano.yusufu aliuza uzito gani
wa embe kwa ujumla?

13.
Katika mchoro ufuatao,andika ukubwa wa
pembe;
a) AOD
b) AOC
c) DOC
d) DOB
e) Andika jina la kifaa kilichotumika
kupima kupima hizo pembe

14. Andika majina yote ya mistari katika umbo


lifuatalo:
C D
A B

E F

G H

15. Mwanariadha mashuhuri alizunguka uwanja wa


mpira mara 10.endapo mzunguko mmoja ni
sawa na mita 400.je,alizunguka umbali gani
katika kilomita?
16. Kijiji cha machui kina ng`ombe 2390 na kijiji cha
dunga kina ng`ombe 5980. Vijiji vyote viwili vina
ng`ombe wangapi jumla?

17. Jumla ya wanafunzi waliofanya mtihani wa


kuhitimu elimu ya msingi ni 70112. Ikiwa 13681
kati yao hawakufaulu mtihani. Tafuta idadi ya
wanafunzi waliofaulu.

18. Hawa alipima uzito wake na kupata kg 60. Je,


hizo ni sawa na gram ngapi?
19. Issa anamzidi hamidu kwa urefu was m 13 mm
2. Ikiwa issa ana urefu wa mita 1 sm 90 mm 9.
Tafuta urefu wa hamidu.

20. Andika sehemu ya maumbo yafuatayo


yaliyowekwa kivuli

You might also like