Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

RIPOTI YA SHEREHE YA BAADA YA BONANZA 2021/22

Sherehe ya Baada ya Bonanza (AFTER BONANZA BASH 2022) iliyofanyika siku ya


jumamosi ya tarehe 22/01/2022 katika ukumbi wa “wimol masai club” maeneo ya
Kurasini, Mchanganuo wa matumizi kama ufuatavyo hapo chini.
Makubaliano ya wizara ya Ustawi, wizara ya michezo na Masai club ni kuwa watadhamini
Bonanza kwa kutoa mziki, maji ,pamoja na dj na mixer yake.

NAMNA MAPATO YALIVYOPATIKANA NA KUTUMIKA KATIKA SERIKALI YA


WANAFUNZI NA WIMOL MASAI CLUB.
MAPATO/PESA GHARAMA KIASI KILICHOBAKI
ILIYOPATIKANA ILIYOTOKEA BAADA YA SHEREHE
Tiketi (500*5000) 2,500,000/=
TIKETS ZILIZO UZIKA 1,465,000/=
(293*5000)
USAFIRI (150,000/=)
MAJI (65*2,700) (175,500/=)
MZIKI (500,000/=)
MIXER & DJ (200,000/=)
WASANI (WHOZU & (2,000,000/=)
CHID BENZ)
Dj (500,000/=)
TIKETI & POSTERS (130,000/=)
JUMLA YA GHARAMA (3,455,000/=)
(1,990,000/=)

HITIMISHO
WIZARA INAPENDA KUTOA SHUKRANI NA AHSANTE KWA WABUNGE,
BARAZA ZIMA LA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI PAMOJA NA
EXECUTIVE KWA USHIRIKIANO WALIOUTOA KATIKA KUFANIKISHA
SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA 2021.
IMEANDALIWA NA WIZARA YA USTAWI WA JAMII
WAZIRI SILAS JOSEPH SUNGURA 0718893117
N/WAZIRI JAPHET O SHAYO 0654130939
N/WAZIRI ASIMWE SANYU 0748307696

You might also like