Kozi Ya Kiswahili 2-1

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 33

1

KOZI YA KISWAHILI

YALIYOMO

YALIYOMO.........................................................................................................1
KOZI YA KISWAHILI.........................................................................................2
0. UTANGULIZI...................................................................................................2
Mambo ya msingi..................................................................................................3
.Sehemu za mwili wa mwanadamu.......................................................................3
Sehemu za ndani mwilini......................................................................................4
Aina za nywele zinazoota kwenye mwili :............................................................5
Sehemu za siri jinsia ♂& ♀...................................................................................5
Mwanamke............................................................................................................6
Mapungufu ya sehemu za siri ( Mwanaume)........................................................7
Aina za vya kula....................................................................................................8
NYUMBA NA VIFAA.......................................................................................12
Misamiati mingine ya kiufundi...........................................................................15
11. SARUFI YA KISWAHILI............................................................................17
a. Alfabeti ya kiswahili sanifu.............................................................................17
VIPINDI VYA SIKU..........................................................................................18
SIKU SABA ZA WIKI MIEZI KUMI NA MIWILI YA MWAKA. 19
Hesabati...............................................................................................................20
Ishara zinazotumiwa............................................................................................20
Katika hesbati......................................................................................................20
Salamuza kiswahili..............................................................................................22
a. Vipindi vya siku..............................................................................................23
b. Heshima na hadhi tulivyo kwa wazazi,wazee wakongwe,yaani watu wenye
umri mukubwa wa miaka....................................................................................23
Unyambuaji wa vitenzi: vitenzi vya silabi moja.................................................25
1. Kitenzi « kuwa » : wakati uliopo au wa sasa..................................................25
METHALI ZA KISWAHILI...............................................................................29
2

NAHAU ZA KISWAHILI AU MISEMO....................................................32

KOZI YA KISWAHILI

0. UTANGULIZI

Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na watu wengi kote ulimwenguni hasa hasa


barani Afrika ambapo lugha hiyo ilichimbuka. Chimbuko sasa la kiswahili ni
huko visiwani PEMBA na UNGUJA vilivyo ZANZIBAR nchini
TANZANIYA , ukanda wa maziwa makuu.

 Hiki kiswahili ambacho tunajifunza leo chuoni, hapo zamani kiliwahi


kukashifiwa na kudharauliwa Eti kiswahili ni lugha ya wahuni, wezi,
wavutabangi, walevi, wazurunji, makahaba, ………..nakadharika.
Waliokikashifu enzi hizo, hawakujua kwamba kiswahili ni lugha yenye sifa
nzuri nyingi mno :
 Lugha tamu tena asilia kwa watu weusi wa Afrika.
 Lugha ya mawasiliano kidiplosia baina ya mataifa ya jumuiya Afrika
mashariki.
 Lugha ya wasomi, ya kibiashara, ya watalii,….
 Lugha inayotumiwa sana katika sekta ya elimu tangu chekechea, shule ya
msingi, shule ya upili hadi vyuo vikuu.
 Lugha inayotumiwa sana katika sekta ya utangazaji kupitia gazeti, jarida,
makala, redio, runinga, simu, na TEHAMA (Teknolojia ya Habari na
mawasiliano) hasa hasa kwa kutumia chombo muhimu ambacho ni
TARAKIRISHI.
 Kiswahili leo ni lugha ya kimataifa na kuwa ilipuuzwa nchini Burundi, ni
pale tu wahenga walisema : « Mdharau kwao ni mtumwa. »
Wazungu kutoka uhaya( Wingeleza, Wajerumani, ….) ndiyo watu wa kwanza
waliopata uhondo wa kiswahili walipofika barani Afrika (Pwani ya bahari ya
hindi : Zanzibar, Dar, Mombasa, Tanga,………)Walikifanyia uchunguzi
3

wakakuta ni lugha inayotimiza kanuni za kisarufi, kisintaksia…. Basi lugha hiyo


wakaipeleka kwao na moja kwa moja wakaiingiza katika mfumo wa elimu
vyuoni mwao. Ndiyo maana leo utashuhudia redio maarufu kwa kupepelusha
matangazo kwa kiswahili sanifu ni redio zao na chano za runinga zao pia : RFI ,
BBC, VOA, Redio ujerumani kwa hiyo sisi wasomi wa Afrika tuamke na
tusimamie lugha yetu kiswahili hao wakoloni wasiendelee kukifanya kiswahili ni
lugha yao kumbe ni yetu asilia tuliorithi kwa mababu zetu.
Wakoloni hao hao walitunyanganya rasili mali zetu kama madini, mifugo,
watumwa, …. Imetosha. Hatukubali watunyanganye lugha na utamaduni wetu.
Lazima tuvirejeshe na hatua ya kwanza ni kukipenda, tukizungumze na tuone
raha ya kuwafundisha wenzetu wafrika waepukane na zile fikra potovu za
zamani zisemazo kwamba kiswahili hakifai. Ni chombo cha mawasiliano kama
lugha zingine.Japokuwa wahenga walisema ‘Kiswahili ni nyama ya tembo’’
tutajitahidi tuyaone mambo ya msingi hatua kwa hatua hadi tuwerze
kujitetea ,hilo ndilo lengo letu.Tujifunze Kiswahili huku tukiwa tunaelewa
kwamba ni lugha tajiri kwa mambo mengi;
Tajiri kwa wingi wa misamiati na istilahi(misamiati ya kiufundi,
Tajiri kwa wingi wa sarufi(unyambuaji wa vitenzi katika mida na nyakati
tofauti),Tajiri kwa wingi wa hadithi na methali,kwa wingi wa vitendawili na
vichekesho,wingi wa heshima na maadili mema,wingi wa fasihi simulizi na
fasihi andishi,wingi wa mafumbo, wingi wa nyimbo na shairi, bila kusahau
wingi wa tamaduni,mila na desturi.

Mambo ya msingi

.Sehemu za mwili wa mwanadamu

Kichwa Kiwiliwili Mikono


Nywele Mabega Mkono
Utosi Kwapa Kiwiko
4

Macho Kifua Ngumi


Masikio Matiti Kiganja
Mashavu Maziwa Vidole vya mikono
Shingo Tumbo Kidole gumba
Koromeo Kitafu Kidole cha shahada
Kinywa Mgongo Kidole cha kati
Mudomo Uti wa mgongo Kidole cha pete
Ulimi Mbavu Kidole cha mwisho
Koo Mkundu Vidole vya ziada
Kaakaa Maungio Kucha
Fizi Kiuno
Meno Zegembe
Pua Msamba
Tundu za pua Makalio
Kisogo Msamba
Kidevu
Ndevu
Mboni
Kope
Nyusi
Paji la uso
Uso
Sura

Sehemu za ndani mwilini

- Ubongo Mapafu Mishipa


- Moyo Mifupa Mishipa ya fahamu
- Roho Maini Fuko la uzazi ♀
- Nafsi Minofu Yai la uzazi ♀
5

- Damu Misuri Tezi dume ♂


- Maini Mishipa Shahawa au manii ♂
- Kibofu Mishipa ya fahamu Mifumo ya mwili :
- Mifumo ya mwili ; Mfumo wa
chakula,mfumo wa
pumzi,mfumo wa
damu na mkojo.

Aina za nywele zinazoota kwenye mwili :

Nywele → kichwani

Kope → Macho

Nyusi → Macho

Ndevu→ Kidevu, shavu, midomo ya kinywa

Manyoa → kwapani, kifuani, shingoni na mwili mzima.

Mavuzi : Sehemu za siri.

Sehemu za siri jinsia ♂& ♀

Mwanaume : - Ume, tupe ya mbele ya mwanaume,

-Dhakari, Firaka, Mboo, Jengelele


Mwanamke : -Uke, Tupu ya mbele
Tupu Ya chini ya mwanamke
-Kuma- Uchi
Sehemu zingine za siri : Mwanaume

- Mapumbu, Makende

- Shahanwa, Manii, Mbegu za uzazi


6

- Kumwaga shahawa

- Kupizi ( Katika tendo la ndoa)

Tendo la ngono-zinaa-washerati

Uzinifu-kuzini

- Kujamiana-kuingiliana kimwili

- Tezi dume

- Ume uliotahiriwa : Kutahiri, Kujitahirisha

- Kuondoa govi

- Jando

- Hali ya tohara…

- Ume msafi pia mwenye afya

Ume ambao umejilinda kuambukizwa ukimwi na magonjwa mengine ya


zinaa kwa asilimia sitini(Kwa mujibu wa watalaamu wa afya na uzazi wa
majira).

-
Mwanamke

- Lango la uke

- Midomo ya uke

- Kisimi, Kinembe

- Kizinda : Nahau : « kula kizinda »


7

→Hatusemi kupasua kizinda kwasababu hakipasuliwi kwa shoka wala


kwa kisu ila kwa dhakari ya mwanaume.Wengine wanasema KUBIKIRI
au KUONDOA UBIKIRA. Vibaya ni kutumia kitenzi kutoboa

Mapungufu ya sehemu za siri ( Mwanaume)

UHANITHI : Ni mapungufu ya nguvu za kiume ambayo yanajitokeza kwa namna tatu tofauti :

1.Mwanaume mapangufu ya sehemu zake za siri ni uhanithi hasa hasa.


Mwanaume hanithi hadindi, hasimiki, ume wahe huwezi kusimama kwa hiyo
hawezi kufanya tendo la ndoa, wala hana hata hisia za kimapenzi.

2.Huyu mwanaume anadinda ,ume wake unasimika na anweza kufanya tendo la


ndoa ila kwa dakika moja au mbili kisha ume wake ukalala bila matumaini ya
kuamka na kuchapa kazi kwa maranyingine tena. Mwanaume huiyu hawezi
kumridhisha mke wake wala kumfikisha kileleni.Katika hizo dakika mbili za
kazi inawezekana mwanamke akachukua mimba japokuwa hakuridhika na
tendo. Watalaamu wanasema kwamba labda hiyo inatokana na pupa.Inasikitisha
sana kwa mwanamke kuolewa na kumaliza miaka mitano na watoto katika ndoa
bila bado kuonja raha ya kutoshelezwa kimapenzi,bila kufikishwa kileleni.Hivyo
vinapelekea hata heshima ya ndoa kuvunjika.Hadi mama kuwatangazia
majirani ,ndugu ,jamaa na marafiki eti mme wangu hanithi. Ni kweli majirani
hawataelewa wakiona watoto wawili au zaidi ila ukweli wa mambo ni huo huo.

3.Mwanaume huyu anadinda na kufanya tendo la ndoa vizuri sana na


kumtosheleza mke wake kimapenzi lakini shahawa zake zikawa hazina nguvu
ya kumbebesha mimba mke wake. Wanandoa hao watabaki bila watoto na
majirani watafikiri eti labda mwanamke ndiye tasa kumbe laa .

MAPUNGUFU YA SEHEMU ZA SIRI KWA MWANAMKE :

Kwa mwanamke,mapungufu ya sehemu za siri ni UTASA .


8

Utasa ni tatizo la mwanamke kutochukua mimba,hata akiichukua inaporomoka


kabla ya kutimiza miezi tisa ya kuzaliwa. Watalaamu wanasema kwamba
inatokana na kiwango cha sumu inayopatikana katika uke na sumu hiyo hiyo
ikaangamiza kila shahawa zinapoingia mule. Mapungufu mengine kwa
mwanamke ni HOFU au OGA wa kufanya tendo la ndoa kisa eti ana uke mdogo
mwembamba usioweza kustahimili ume mkubwa wa mwanaume.Hizo hofu
hazina msingi wowoteule kwani kila ndege anatua kwa mti wake

Aina za vya kula

Punje Mboga za majani Matunda


Maharagwe Mchicha Parachichi
Mahindi Lengalenga Nanasi
Mtama Sobe Embe : dodo
Ulezi Kisaamvu Maziwa
Ngano Kabechi Chungua
Mchere Kachumbali Chenza
(Mpunga, wali, pilau) Pinali Limau Miwa
(Same, Biriani=Mapichi Karoti Ndimu
Kunde Nyanya Stafeli
Karanga Nyanya mshumaa Tikitimaji
Soya Matembele Ndizi mbivu
Manjegele Vitanguu Ndizi sukari
Korosho Mbonga za maboga Doriani
Msusa Zabibu
Nazi
Tende
Tunda damu
Pera- Bungo
9

 Vyakula au punje zinazosagwa kwenye mashine ya kusaga nafaka na zikatoa


unga zinaitwa nafaka.
 Neno Nafaka linatumiwa katika nahau ya kumtakia mwenzako heri ya
mwaka mpya.

Mwenzangu, ninakutakia mwaka mpya wa2021 uwe kwako mwaka wa :

- Heri na baraka

- Maziwa na Asali

- Fanaka na Nafaka

- Afya bora maishani

 Asante sana

Na kwako pia

Kwetu sisi sote.

 Unga nao, unachangia baadaye kwa kutengeneza vyakula vingine na


vinywaji.

Vyakula Vinywaji
Ugali-Maandazi-Keki-Kaukau- Uji-Baadhi ya bia
mukate-Vitumbua-Chapati-Sambusa Togwa

Mifugo : Kufuga-Ufugaji-Mfugaji Wanyamapori( Msitu, Nyika)

- Ng’ombe ( dume, dike, Fahari) Simba Ndege

Ndama Tembo Tai


Ndovu Mwewe
- Mbuzi
Nyati Tausi
10

- Kondoo Nyani Lipyoto


Tumbiri Kware
- Nguruwe
Sokwe Kunguru
- Kuku Twiga Kivunjanjugu
Fisi Panzi
- Jogoo( Kuwika)
Chui Nzige
- Kuku mtotoaji Kiboko Chura
(kutaga mayai) Mamba Kipepeo
( Kwatamia mayai) Nyoka Konokono
( Kutotoa mayai) Chatu Kobe
( Kupata Vikaranga) Sato Mjusi
Mbweha Jongoo
- Bata
Mbawala Tandetande
- Bata mzinga Swala Mwewe

- Paka Pundamilia Nyemela


Ngiri Buibui
- Mbwa (Kubweka )
Kifaru Nzi
- Panya Kupe Sisimizi
Chawa Siafu
- Sungura
Kunguni Ndumilakuwili
- Farasi Samaki Kiroboto
Nyangumi
- Ngamia
Dagaa
- Punda

- Njiwa

- Kasuku

- Nyuki
VINYWAJI
11
12

MAGONJWA-MARADHI MAGONJWA YA ZINAA

Kuumwa – Kuugua Ukiwi → Uharibifu wa kinga la mwili

Kuuma – Kuumia Kisonono

Kuumiza – Kuungua Kaswende

Kidonda MAGONJWA SUGU YASIOTIKIKA

Majeraha Saratani

Kikohozi Ukimwi

Mafua ( Makamasi ) Ugonjwa wa kisukari

Leso ya kutoa makamasi MAGONJWA YA AKILI

Leso ya kutoa makamasi Ujinga

Homa ya kuku Upumbavu

Ya nguruwe Kichaa

Ya manjano Chizi

Ya ut iwa mgongo Uendawazimu

Ya uviko 19 Uwelu

Maleria AINA ZA UREMAVU

Kuweseka kama dalili ya maleria Kiwete ( Mkongojo)

Kuhara Utapiamlo Kiziwi Kujikongoja

Kuharisha damu Buvu }Uhanithi

Surua - Kipindupindu Kipofu }Utasa


13

Unyafuzi Kengeza

Ukoma Kidurango

Kupooza mwili Kikwikwi

Kudhofika Kifafa Mbiriko

Maumivu Kichefuchefu Zeruzeru

Machapui Kitefutefu Albino

Kichomi Kutapika

Upele Matapishi

Chunusi Taifodi

Majipu Kusokotwa tumbo

Mnoga Kukifiwana

Uvimbe Kila chakula

Uvimbizi Kichungu

VYUMBA NA VIFAA

VYUMBA VYA NYUMBANI VIFAA VYA NYUMBANI


Nyumba Kabati
Jumba Kitanda
Jumba la kifahari Meza
Ikulu ya Rais Friji
Ikulu ya rais Jokofu
14

Ikulu ya mfalme Pazia


Gholofa Shuka
Zizi la ng’ombe Uto
Kiota cha ndege Mketa
Paa la nyumba Sofa
Kuta za nyumba Msala
Nguzo za nyumba Ndoo
Mwamba-Miamba Bakuli
Musingi wa nyumba Beseni
Dari la nyumba Sufuria
Milango Pipa
Madirisha Tenki la maji
Vizingiti Jerikani
Fensi la nymba Kapu-vikapu
Geti au lango kuu Vitnga
Chumba( vyumba) Birika
Sebule Vifaa vya jikoni
Baraza Vijiko
Bafu Vimamio
Jiko Bakuli
Choo Vyangu vya kupikia
Nyumba ya bati Chupa la chai
Nyumba ya kuzi Kajungio
Nyumba ya nyasi Pepeteo
Kuezeka nyumba Jiko la mkaa
Nyumba ya matafari Jiko la kuni,Jiko la gesi
Jiko la mvuke
Mshumaa, kiberiti…
15

Misamiati ya kiufundi.

Sherehe Msiba Kesi

-Siku kuu ya raha na -Siku ya huzuni na -Migogoro na mizozo


furaha katika familia. majuto na kusaga iliyofikishwa
meno. mahakamani ili
-
Tabasamu,kicheko ,mbwemb
itatuliwe kwa mujibu
-Kifo na mauti,maiti.
we na bashasha kwenye nyuso Mtu amekufa,ameaga dunia au
wa sheria.
za wageni rasmi amefariki.
waalikwa,wageni wa heshima -Mahakamani , mahakama ya
-sanda na jeneza pamoja na
na Itifaki kuzingatiwa. rufaa ,korti ya kimataifa.
machela.
-Watu wanavaa vizuri,nguo -Hakimu na jaji pamoja na wazee
-Kaburi huchimbwa na
safi wakapendeza. wa busara.
mwanandani.Marehemu
-Karamu na tafrija imeandliwa -Sheria ifuate mkondo wake.
anaacha mjane na yatima.
maana chakula kitamu na -Kitabu cha sheria.
-Maiti inahifadhiwa kattika
vinywaji chungu nzima -Kushitaki,mshitakiwa.
chumba baridi cha hospitali
vimetayarishwa kwa ajili ya - Kwendesha kesi,kufungua
(chumba cha maiti au
siku kuu. mashitaka,Mwendesha
mochuari).
-Burudani :kuimba na kucheza. mashitaka..
-KIlio kinawekwa nyumbani
-Msafara na foleni ya magari -Mashahidi,wakili na vithibitisho.
kwa marehemu.
yanayopiga honi na kuwasha -Kukata rufaa,kuitika kizimbani.
Majirani,ndugu jamaa na
washa mataa. -Kula kiapo au kuapa kwamba
marafiki wanakuja
-Picha safi zinachukuliwa na utasema ukweli mtupu.
kuomboleza.
filamu ikanaswa. -Kitabu cha
-Kusalia maiti,kumwaaga
-Kwa mfano wa sherehe : siku sharia ,ibala,sura ,aya,msitari,….
buriani.
ya kufunga ndoa au pingu za -Kuadhibiwa,adhabu kali,sheria
Wafiwa tunawapa salamu za
maisha(harusi) au kutoa ina meno makali kama msumeno.
rambirambi na kuwapa mkono
mahali (kuposa). - Kuchapwa viboko, kucharazwa
wa makiwa.
-Kuzaliwa kwa mtoto katika bakora, kifungo jela
-kutandua msiba na kumaliza
familia. gereza,korokoroni,na kutozwa
matanga.
-Ubatizo wa faini.
Kumwombea dua marehemu
watoto,kutahiriwa kwa mtoto -Hatia kama wizi, wizi wa
eti : <<E h Mwenyezi Mungu
wa kiume na kuvunja ungo ngawira/mauwaji,ubakaji,ukatili,…
tunaomba uipokee nafsi ya
kwa msichana. -Uvutaji bangi ,utumiaji wa dawa
marehemu na uilaze mahali
-Kwenda kwenye wanja wa za kulevya,kula riba na dhulma.
pema peponi Inshallah.>>
ndege kumpokea shangazi au -Karadinga, mnyororo,kuachiliwa
-Mjane anakaa eda.
mama akitoka Ulaya. huru,kutoza ushuru,…
-Yatima wanarihai mali ya baba
-Kuhitimu masomo ya chuo yao wakisimamiwa na wazze
kikuu na kukabidhiwa shahada wa busara kwa kutekeleza
ya awali( ya umahiri au ya wosia.
uzamivu). -Kurithi na kuusia.
-Kupandishwa cheo
kikazi( kuinuliwa au
kupandishwa hadhi).
16

Misamiati mingine ya kiufundi

Safari Benki Tehama


Kufunga safari -Taasi ya kifedha ya -Teknolojia ya habari na
Kusafiri-Msafiri kutoa mikopo kwa mawasiliano (ICT)
Mpita njia-Bodaboda wateja wake -Tarakilishi
Kuabiri gari, ndege, meli -Kuwekeza fedha na -Kuvinjali kwenye
Abiria, Dreva, Giya kuziweka mtandao
Mizigo, Injine, Mafuta -Faida na hasara -Barua pepe
Kituo cha basi, stendi -Marupurupu na kiinua -Neno la siri
Nauli-Tiketi-Chenji mgongo. -Anuani ya tovuti
Safari ya baharini -Mishahara -Kibodi cha tarakirishi
Safari ya angani -Fidia, Maripo Kubofia
Safari ya barabarani -Kununua na kuuza -Vitufe vya tarakilishi
Nchi kavu, Barabara ya bidhaa -Skrini ya tarakilishi
udungo, ya changarau, -Biashara na rasilimali, -Kutuma ujumbe
ya rami, ya Reli, ya biashara ya magendo -Kuagiza faili
angani, ya chochoroni, -Vitega uchumi -Kupokea ujumbe
njia za panya. -Uchumi wataifa -Kudanilodi
Forodha, Pasipoti -Waya za umeme
Kugongesha pasipoti -Madini, sarafu ya -Jinga za umeme
Kodi chanjo dhidi ya thamani kama dola la -Umeme wa aina ya
homa ya manjamo marekani, poundi ya chanya +
Kupaa angani wingeleza, -Umeme wa aina
Kutua kwenye wanja wa -Dirham ya warabuni ya hasi 
ndege -Pesa taslimu -Ukarabati wa tarakilishi
Cheki powenti -Hundi za safari na mitandao.
17

Ukaguzi wa abiria na -Mamlaka ya mapoto (Maintenance


mizigo na vitambulisho Ya taifa (OBR) informatique).
feki au vya bandia -Kipato, mshiko
Kuchimba dawa -Mradi wa maendeleo
Huduma kwa abiria -Mstakabiri
-Changamoto na
mafanikio
-Kutozwa faini
-Bima, usajili
-Viwanda na kampuni

11. SARUFI YA KISWAHILI

a. Alfabeti ya kiswahili sanifu

Katika kiswahili kuna sauti thelathini zinazotokana na vokali au irabu tano « a i


u o e » pamoja na konsonanti ishirini na tano : b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m,
n, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, ny, ng’, z : Herufi mpya ni hizo zilizopigwa msitari
chini na zinatamkwa kwa namna tofauti

b : baba, bati Ch : chakula, chai


d : dada, debe dh: dharura, dhambi
f : fahari, faida g: gari, gere
h : himaya, haki J: Jiko, jela
k : kalamu, keki l: lxawama, lana
m : meli, mate n : neno, nahau
p : pera r : risiti, ridhaa
s : sato, sahani sh : shamani, shari
t : tehama, tano th : thamani, theluthi
v : viti, vazi w : wali, wajihi
y : yatima, yaani ng’ : ng’ombe, ng’aa
18

z : zaidi, zidisha, zawadi, ziada, zika.


Kwa matamshi, kila vokali inatamkwa kivyake kama silabi kkamili. Na
isipotamkwa inasababisha maana kuharibihi au sentensi nzima kuathirika.
Mfano : bdii, ndoo, aklieuahiritha mkutano,jukwaa,kuandaa mkutano.

VIPINDI VYA SIKU

Alfajiri : 4h→ 6h
Asubuhi : 7h→ 9h
Mchana : 10h→ 16h
Adhuhuri : 10→ 12h30
Arasiri : 13h→ 16h
Jioni : 17h→ 19h
Usiku : 20h→ 23h
Usiku wa manane : 24h→ 3h
19

SIKU SABA ZA WIKI MIEZI KUMI NA MIWILI YA MWAKA

Jumamosi Januari Julai

Jumapili Februari Agosti

Jumatatu Machi Septemba

Jumaine Aprili Oktoba

Jumatano Mei Novemba

Alihamisi Juni Disemba

Ijumaa

Siku saba za wiki


Meizi 12 ya mwaka ilipewa majina
Zilipewa majina ya ya kiswahili kulingana na kalenda ya
kingeleza.
Kiswahili kulingana

Na kalenda ya kislamu

Misimu ya mwaka

Msimu wa masika : Wakati wa mvua nyingi ambazo zinanyesha tangu mwezi

septemba hadi mwezi mei.

Msimu wa kipwa ama kiangazi : Wakati wa jua kali linalowaka tangu mwezi

wa mei hadi septemba.


20

Hesabati

1. Moja 11. Kumi na moja 30. Thelathini


12. Kumi na mbili 31. Thelathini na moja
2. Mbili 13. Kumi na tatu 40. Arobaini
3. Tatu 14. Kumi na nne 41. Arobaine na moja
4. Nne 15. Kumi na tano 50. Hamsini
5. Tano 16. Kumi na sita 51. Hamsini moja
6. Sita 17. Kumi na saba 60. Sitini
7. Saba 18. Kumi na nane 70. Sabini
8. Nane 19. Kumi na tisa 80. Themanini
9. Tisa 20. Ishirini 90. Tisini
10. Kumi 100. Mia moja.

Ishara zinazotumiwa

Katika hesbati

+: Kuongezea, kujumlisha
- : Kutoa, kuondoa
˸ Kugawa
˂ : Chini ya
˃ : Zaidi ya
= : Sawa na
≤ : Chini ao sawa na
≥ : Zaidi au sawa na
Kitenzi « kuwa » kikifuatwa na jina au kivumishi cha sifa tunasema « ni »
katika wakati uliopo na kwa viwakilishi nafsi vyote ; na si kwa kukanusha.
 Lakini kitenzi kuwa kikifwatwa na kielezi cha mahali, mabadiliko
yanakuwa haya :
21

Mimi niko nyumbani Mmi siko………


Wewe huko………
Wewe uko shuleni
Yeye yuko kanisani Yeye hayuko……..
Sisi tuko wanjani Sisi hatiko…………
Nyinyi mko maktabani Nyinyi hamko….
Wao wako Gitega Wao hawako………..

Mtindo wa kukubali Mtindo wa kukanusha

 Kama mahali penyewe panapatikana ndani y akitu kingine, mabadiliko


yanaendelea hivi : Mimi nimo→ mimi simo
Wewe umo→ wewe humo
Yeye yumo→ yeye hayumo
Sisi tumo→ sisi hatumo
Nyinyi mmo→ nyinyi hammo
Wao wamo→ wao hawamo
Mfano : Pesa zimo mfukoni
Wanafunzi wamo darasani
Jambazi yumo gelezani
Mmo migodini kuchimba dhahabu
 Wakatili uliopita
Mimi nilikuwa mbunge
Wewe ulikuwa mjini ngozi
Yeye alikuwa mwembamba
Sisi tulikuwa wachezaji
Nyinyi mlikuwa marubani
Wao walikuwa warembo
22

200 : mia mbili

300 :mia tatu

1000 :Elfu moja

1011 : Elfu moja na kumi na moja

1058 : Elfu moja na hamisinanane

1008 : Elfu moja na nane

1801 : Elfu moja mia nane na moja

1987 : Elfu moja mia tisa nathemanini na saba

1978 : Elfu mojamiatisa sabini nanane

2000 : Elfu mbili

10000 : Kumielfu

10101 :Kumi elfu mia mojanamoja

11011 : Kumi na moja elfu nakumi namoja

10111 : Kumi elfu,mia mojanakumi namoja

20000 : Elfu ishirini

100000 : Raki moja

1000000 : Milionimoja

Salamuza kiswahili

Katika kiswahili, salamu ndizo zinatanguliamazungumzo yayote yole na


zikitangulia ni dalili ya heshima na mwafaka kati ya pande mbili zinazohusika
katika mazungumzo.
23

Salamu za kiswahili zinatofautiana kutokana nasababu nyingi :

a. Vipindi vya siku

Alfajiri :4h→6h

Asubuhi : 7h→9h

Mchana : 10h→16h

Adhuhuri : 10h→12h30

Arasiri : 13h→16h

Jioni : 17h→19h

Usiku : 20h→23h

Usiku wamanane: 24h→3h

Tunavyomsalimu mtu asubuhi, ni tofauti na tufanyavyo jioni.

Asubuhi tunamwuliza hali alioamka nayo : Habari za asubuhi→Habali safi

Umeamkaje ? Nimeamka salama

Mmeamkaje ? Tumeamka salama

b. Heshima na hadhi tulivyo kwa wazazi,wazee wakongwe,yaani watu


wenye umri mukubwa wa miaka

Mfano : Shikamoo mama ! Marahaba mwanangu


Shikamoo mojomba! Marahaba wanangu
“Shikamoo” ni salamuya heshima pia yam da wowote ule kwa waheshimiwa. Ila
tu inaweza kufuatwa na salamu zingin kulingana na kipindi cha siku: Shikamoo
baba, habali za kuamka?
Marahaba mwanangu, habari ni nzuri tu, njema, safi,
alihandulillah,tunamushukuru Mungu .
24

Maana, tunavyomsalimu mzazi, mzee mkongwe,… ni tofauti natufanyavyo kwa


kumsalimia kijana mwenzetu wa rike yangu, rafikizangu,binamuzangu
tunaotaniana :
Mambo vip washikaji ? →Mambo poa,fresh, siyombaya
Habari ya saa hizi? Hali gani? →Hali njeùa, siyo mbaya
Jioni tunasema: Habari za kushinda?
Umeshindaje,mmeshindaje ?
Habari za jioni ?
Habari nzuri, njema, afi,siyo mbaya,….
Lakini kama habari ni mbaya, nivizuri kusma kwa sababu gani siyo
nzuri :Habari siyo nzuri kwa sababu nyumbani wanaumwa
Mke wangumgonjwa tabani
Watoto wananjaa
Tulipatwa na msiba katikafamilia yetu
 Shehe inaweza kumaanisha cheo katika dini ya Islamu au heshima anayapewa
mwanaume yeyote yule.
 Mwanajeshi (askari jeshi au askari polisi usiyemjuwa cheo) ni vizuri kwa
kumwita Afande.
 Waheshimiwa wote hao, wanasalimiwa kwa
 Shikamoo mheshimiwa Rais wa jamuhuri  Marahaba mwananchi
Shikamoo mheshimiwa waziri wa mambo yandani  Marahaba mwananchi
Shikamoo mheshimiwa padre wa parukia  Marahaba mkristu
Shikamoo mheshimiwa Afande  Marahaba mwananchi

Baada ya kujibiwa, tunaweza kuongeza salamu zingine kulingana na kipindi cha


wakati: Habari za asubuhi Nzuri

Umeamkaje? Nimeamka salama

Mmeamkaje? Tumeamka salama


25

Habariza siku nyingi njema

Nyumbani wazima?Hawajambo za kazi, za shughuli,ziara?...

Unyambuaji wa vitenzi: vitenzi vya silabi moja

Hadi leo, vitenzi vya silabi moja ni kumi :

Kula- kunya- kucha- kuchwa- kuchwa

Kupa- kuwa-kuja- kufa- kunywa

Kucha : Hali ya jua kuchomoza mapema alfajiri hivyo tukatoka kunako giza
totoro la usiku wa manane na kuringia kunako mwangaza wa mchanaau asubuhi
Mfano : leo kumekucha mapema
Sielewi, inatimiasaakumi na moja nanusu za alfajiri na hakujacha ?

1. Kitenzi « kuwa » : wakati uliopo au wa sasa

Mimi ni mwalimu

Wewe ni mfupi

Yeye ni dreva

Sisi ni

 Wakatili uliopita
Katika wakati uliopita kitenzi « kuwa »
Mimi nilikuwa mbunge
kinaweza kufuatwa na lolote kivumilishi
Wewe ulikuwa mjini ngozi
cha sifa, nomino, jina, kielezi, cha mahili,
Yeye alikuwamwembamba
…bila kubadilika.
Sisi tulikuwa wachezaji
Nyinyi mlikuwa marubani
Wao walikuwa warembo

Mtindo wa kukubali
26

Mimi sikuwa
Wewe hukuwa umoja
Yeye hakuwa
Sisi hatukuwa
Nyinyi hamkuwa Wingi
Wao hawakuwa
Mtindo wa kukanush

 Wakati ujao

Mim initakuwa Mimi sitakuwa


Wewe utakuwa Wewe hutakuwa
Yeye atakuwa Yeye hatukuwa
Sisi tutakuwa Sisi hatutakuwa
Nyinyi mtakuwa Nyinyi hamtakuwa
Wao watakuwa Wao hawatakuwa

Kuwapo: wakati uliopita wakati uliopita, kukanusha

Mimi nilikuwepo Mimi sikuwepo


Wewe ulikuwepo Wewe hukuwepo
Yeye alikuwepo Yeye hakuwepo
Sisi tulipuwepo Sisi hatukuwepo
Nyinyi mlikuwepo Nyinyi hamkuwepo
Wao walikuwepo Wao hawakuwepo
Mtindo wa kukubali Mtindo wa kukanusha

Kuwapo: wakatiujao
27

Miminitakuwepo Mimi sitakuwepo


Wewe utakuwepo Wewe hutakuwepo
Yeye atakuwepo Yeye hatakuwepo
Sisi tutakuwepo Sisi hatutakuwepo
Nyinyi mtakuwepo Nyinyi hamtakuwepo
Wao watakuwepo Wao hawatakuwepo
Kuwa (po): katikahali timilifu

Mimi nimekuwa(epo) Mimi sijakuwa (epo)


Wewe umekuwa (epo) Wewe hujawa (epo)
Yeye amekuwa(epo) Yeye hajawa (epo)
Sisi tumekuwa (epo) Sisi hatujawa (epo)
Nyinyi mmekuwa (epo) Nyinyi hamjawa (epo)
Wao wamekuwa (epo) Wao hawajawa (epo)
Viwakilishi nafsi
Mimi (mie): kiwakilishi nafsi cha kwanza katika umoja
Wewe (weye): kiwakilishi nafsi cha pili katika umoja
Yeye (yeye): kiwakilishi nafsi cha tatu katika umoja
Sisi (sye): kiwakilishi nafsi cha kwanza katika wingi
Nyinyi (nyie, ninyi): kiwakilishi nafsi cha pili katika wingi
Wao (wao): kiwakilishi nafsi cha tatu katika wingi
Kunavitenzi vya silabi moja ambavyo haviwezi kunyambuliwa kwa kutumaia
vikwakilishi nafsi vyote.
Mfano: kucha Leo kumekucha hakujacha
kuchwa Maji ya ziwa Tanganyika yamepewa hizi siku
Kupwa Jua kila siku jioni linachwea mangharibi.
28

Viulizi
Ni maneno yanayotumiwa kwa kuuliza swali.

Viulizi Maana Mfano ndani sentensi


Nani/ Akina nani Mtu mmoja, Watu Wewe jina ako nani?Jinalangu Juma.
wengi Nyinyi ni akina nani? Sisi ni akina nina
na Ninette.
Nini Kitu fulani Je, hawa watoto wanakula nini? 
Hawa watoto wanakula wali.
Kwa nini/ Kwa Sababu Kwa nini umeniita? Nimekuita kwa
sababu gani sababu nakupenda
Kwa sababu gani anabebelea
silahaKwa sababu anataka kujihami
akivamiwa na majambazi
Wapi Mahali, Maeneo Mwalimu na wanafunzi wanaenda
wapi? Wanaenda shuleni.
Je, Aje,Namma Jinsi, Namna Je, mmeamkaje? Tumeamka salama.
gani Hivi viatu vyenye meno ni viatu vya
namna gani? Ni viatu vya kuchezea
soka.
Lini Wakati Tutafanya mtihani lini?
Tutafanya mwezi ujao.

Viulizi vingine vihusuvyo chaguo

Yupi Wepi Watu na wannyama Baadhi ya hawa mbuzi, yupi atachinji


Wanafunzi waliofaulu ni wepi?
Lipi Yepi Li-ya Lipi jina lizuliJina la Yesu Macho yepi
yasioona?
Kipi Vipi Ki- vi Kiatu cha bei chini ni kipi?
29

Vichwa maji ni vipi ?


Upi Ipi U- vi Mguu ulioumia ni upi, Miguuhiyo ni lipi
Ipi Zipi I - zi Nguo chafu ni ipi? Safi nazo ni zipi ?
Upi Zipi U - ZI Ufagio wako ni zipi ?
Kuta zenye nyufa ni zipi tukazikarabati ?

Msitari wa wakati

MileniaKarne Mwaka
iliopita uliopita
iliopita Kesho kutwaWiki ijayoMwezi ujayo
Mwak ujayo
Mwezi Wiki iliopita Motndogoo Milenia ijayo
Karne ijayo
Juzi juzi
Juzi Jana LEO kesho

METHALI ZA KISWAHILI

Wahenga walisema :

1. « Asiyefunzwa na wazazi hufundishwa na dunia. »

2. « Asiekubali kushindwa si mshindani. »

3. « Akili ni mali. »

4. « Akiba haiozi. »

5. « Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. »

6. « Undugu si kufanana ila kufaana. »

7. « Mwenda pole ndiyo hajikwai .»

8. « Pole pole ndio mwendo. »

9. « Haba na haba hujaza kibaba. »


30

10. « Mvumilivu hula mbivu. »

11. « Mpenda tuwili kamoja kalimponyoka. »

12. « Utaanguka shidani ukidharau wosia. »

13. « Ukiwiga tembo kunyamba utapasuka msamba. »

14. « Mchumia juani hulia kivulini. »

15. « Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. »

16. « Mcheza kwao hutuzwa. »

17. « Mdharau kwao ni mtumwa. »

18. « Mdharao kazi hufa masikini. »

19. « Bora kinga kuliko tiba. »

20. « Heri moja shika pata kuliko tano nenda rudi. »

21. « Usikate mbeleko kaabla mwana hajazaliwa. »

22. « adui akuchimbia shimo la upotevu Mungu kakuonesha njia ya wokovu. »

23. « Mkono mtupu hulambwi. »

24. « mtoto mtukutu hali ugali mtupu. »

25. « pilpil usoila yakwashiani. »

26. « Hata mwana wa yungi hulewa sembuse wa mwanadamu. »

27. « Ndugu na ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua


kapu ukavune. »

28. « Machozi ya mnyonge hulipwa na Mwenyezi Mungu . »

29. « Damu ni nzito kuliko maji. »


31

30. « Fahari wawili hawakai zizi moja. »

31. « Chema chajiuza kibaya chajitembeza. »

32. « Fumbo mfumbie minga mimi mwerevu. »

33. « Cha kunuka hakina ubani. »

34. « Nyege ni kunyegezana. »

35. « Mtaka cha uvunguni sharti ainame. »

36. « Kelele za chura hazimkatazi tembo kunywa maji. »

37. « Kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi wongo. »

38. «Usipoziba ufa hujenga ukuta »


39. « Chovya chovya humaliza buyu la asali »
40. « Mkunje samaki angali mbichi »
41. « Mtoto alelewavyo ndivyo akuwavya »
42. « Fimbo ya mbali nyoka hawezi uawa »
43. « Baada ya dhiki faraja »
44. « Hayawi hayawi huwa »
45. « Hasla hasara »
46. « Bandu bandu humaliza gogo »

47. « Waswahili wa pemba hufahamiana kwa viremba. »

48. « Acha wala wali wale wali wao. »

49. « Majuto ni mjukuu. »

50. « mgaanga hajigangi. »

51. « Shukurani ya punda ni teke. »


32

NAHAU ZA KISWAHILI AU MISEMO

1. Kupiga deki

2. Kupiga mbizi.

3. Kupiga mnada

4. Kupiga chafya

5. Kupiga mluzi

6. Kupiga jeki

7. Kupiga chabo

8. Kupiga kengele, hodi ;honi ; kelele ;ngumi ;teke ;…

9.Kuchungulia kaburi

10. Kuponea chupu chupu

11.Kuangalia kijicho

.12. Kuambulia patupu

13. Kukalia kitako

14. Kuezeka bati

15. Kula chumvi nyingi.

16.Kuvaa miwani

17. Kusuta kidole

18. Kulala chari

19. KUlala kifudifudi

20. Kulamba gharasa


33

21. Kulala tongo macho.

22.Kukosa hata repe la usingizi.

23.Kuambulia patupu.

24.Juhudi zangu zote zimegonga mwamba ao zimefua dafu

You might also like