Mlandege Solved Exams Drs 7 Mar 2024

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 17

PRESIDENT’S OFFICE.

REGIONAL ADMINISTRATION AND


LOCAL GOVERNMENT
IRINGA MUNICIPAL
ENGLISH TEST FOR MLANDEGE WARD MARCH, 2024
STANDARD SEVEN

SECTION A (20 MARKS)


1. Listen carefully to the passage read to you by your invigilator then answer question 1-5 by choosing
the correct letter
i. Why are police officers important? A) they make peaceful country B) they are intelligent C)
they are honest D) they are well trained E) they are hard working
ii. Mr. Chacha wanted to be whom? A) a teacher B) a doctor C) a policeman D) a pilot E) a
tailor iii. Where did Mr. Chacha work at first? A) in Moshi B) in Iringa C) in Mbeya D) in
Tanga E) in
Kilimanjaro
iv. He always says’’ If we want a peaceful country, we need good police officers’’ This statement
is A) Direct speech B) indirect speech C) Reported speech D) verb E) Noun
v. The good police officer must be A) friendly and lazy B) noisy and cruel C) troublesome and
lazy D) honest and hardworking E) naught and honest
2. Choose the correct answer and then write its letter on the answer sheet provided
i. Before his death, Aminatha not only a farmer but also a musician. (a) is (b) was (c) has (d) have
(e) were
ii. Keysher has been sleeping a long time. (a) from (b) until (c) since (d) for (e) at
iii. The Deluxe bus is expected to take off 5am this morning. (a) to (b) on (c) at (d) in (e) about
iv. Last week Happy was very sick. But her illness, she went to school. (a) although (b) in spite (c)
if (d) despite (e) with
v. We took our bags to the class that morning but in the evening, we could not remember we had
put them. (a) which (b) whose (c) whom (d) where (e) what
3. Fill in the blanks in each of the given sentences using word provided in the box below
Both …….and, either……or, neither…….nor, no sooner……..than, not
only……but also, too…….to

i. I told them that I don’t know him because he is my friend my classmate.


ii. Valentine is 3 years old. She is young join primary education.
iii. Mr Lion Mr. Lepard are the teachers of Mtakoma primary school
iv. My father predicted Yanga Azam will win the trophy this season
v. had started their match it started to shine

4. Match the group of words in column A with their appropriate general category in column B
Column A Column B
i. Plumber, teacher, jockey, doctor [ ] A. Medicines
ii. Paper, pencils, pens, rulers, exercise books [ ] B. Minerals
iii. Carrots, peas, potatoes, cabbages [ ] C. Foods
iv. Gold, diamond, ruby, Tanzanite [ ] D. Occupations
v. Cups, saucers, bowls, plates [ ] E. Vegetables
F. Stationery
G. Crockery
H. Stationary
SECTION B (20 Marks)
5. Fill in the blanks by supplying the correct verb
i. Yesterday we (go) to the market at 5pm
ii. The child has been (cry) since morning
iii. Sometimes, my mom (fly) from Mbeya to Mwanza
iv. Next week, my uncle (visit) us before his departure to London on 16th June.
v. I have never (see) a snake in my lifetime.

6. Read the following passage carefully and then answer the questions that follow by shading the letter of
the correct answer in your answer sheet provided.
A long time ago, there was a monkey and his wife who had a garden full of different crops such as beans, peas
and cabbages. They also had plenty of yams. Mr. and Mrs. Monkey worked very hard day and night. During the
dry season, they watered their garden by using water from the nearby well.
Near their garden lived a Tortoise who was slow and lazy. Mr. Tortoise never did any work. He used to sing his
favorite songs all day while Monkey and his wife worked in their garden.

There was a lot of food in the monkey’s house. The house was so small it could hardly keep all the food from
the garden. This was different from Mr. Tortoise’s house since there was no food at all. When Tortoise wanted
some food, he got it by telling stories and singing songs. He used to tell children from different homes to take
food along when going to his house for the stories and songs.

These children’s parents discovered that Mr. Tortoise was using their children for his survival. So they stopped
their children from going there, hence Tortoise suffered from hunger. One day, the tortoise sent his son to the
Monkey’s house to borrow some food and promised to pay him the next day. The Monkey gave the Tortoise
some food. Though until today that debt has never been paid back.

Questions
i. Who worked hard in his garden?
ii. Who lived near the monkey’s garden?
iii. How did the tortoise get food?
iv. Whose house was full of food?
v. Why did the tortoise suffer from hunger?

SECTION C: COMPOSITION (10 Marks)

7. You have been given a composition of five sentence which are not in the correct order. Arrange them
by giving the letter A,B,C,D, and E.
i. He saw different wild animals, hills and valleys along the road
ii. On the bus, he sat near the window to see things outside
iii. On the travelling day, he woke up very early in the morning to catch the bus.
iv. Last month, Mwanyiro went to visit his uncle
v. He arrived at his uncle’s home safely.
Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.

Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.

Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.

Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.

Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.

Mr. Chacha is in the police force. He collects evidence and looks it carefully. He always says, ‘’If we want a
peaceful country we need good police officers’’ A police officer who is honest and hard working will do
well. He/she must be intelligent and well trained. Mr. Chacha used to tell us more about his work. He
sounded very exciting. ‘’ I wanted to be a police officer when I was a little boy. I have been a police officer
for thirty years now. My first post as a police was in Moshi working as a traffic officer. After ten years I
was transferred to Iringa region. I real love my job.
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
JARIBIO LA KUJIPIMA KATA YA MLANDEGE MACHI, 2024
SOMO: HISABATI DARASA: VII

SEHEMU A : MATENDO YA KIHISABATI (ALAMA 10)


1. Katika kipengele cha i-x, unatakiwa kulisoma swali na kujibu kadri ulivyoulizwa
i. Bainisha thamani ya nafasi ya tarakimu 9 katika namba 694321
ii. Andika thamani ya tarakimu iliyopigiwa mstari katika namba 5432963
7 1 3 7 6
iii. Ipi kati ya sehemu , 2 , , na 12 ni sehemu guni?
15 2 8 5 7
iv. Ikiwa umeambiwa uzipange XV, XC, XLVII, CI, IV na XLIV kuanzia kubwa kwenda ndogo zaidi,
upi
utakuwa ni mpangilio wako sahihi?
v. Wanafunzi saba walipewa vitabu na mwalimu wao wavipange kwa mpangilio ufuatao;-
3,11,19,27, , , 51. Je, nini jumla ya vitabu alivyopewa mwanafunzi wa tano na wa sita?
vi. Tafuta hisa ya 109.2 na 6
3 1
vii. Tafuta zao la 8 na4
3
viii. Ikiwa umepewa namba 2.25, 25%, na -15 uzipange kwa kuanzia namba ndogo hadi kubwa zaidi.
Upi 4
utakuwa mpangilio wako sahihi?
ix. Andika namba kubwa kuliko zote itokanayo na tarakimu zifuatazo;- 9,6,7,3,0,1
x. Tunatambua ya kuwa mwakani utatakiwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza. Uandike
mwaka huo kwa namba za kirumi
SEHEMU B: MAFUMBO (alama 30)
2. Kokotoa kwa umakini swali la i-vi kisha andika jibu lako katika karatasi ya kujibia(Alama 1kwa kila
swali)
i. Mwaisa ana maembe 3603 na Mary ana maembe 1623. Nini tofauti ya idadi ya maembe hayo?
ii. Bashe ana miche 789851. je, aongezewe miche mingapi zaidi ili aweze kuwa na jumla ya miche
800000?
iii. Nini jumla ya thamani ya tarakimu 6 na 4 katika namba 5761349?
iv. Mkulima alivuna magunia 56 ya mpunga. Ikiwa aliuza magunia yote kwa shilingi 1400000;- je, kila
gunia aliuza kwa shilingi ngapi?
3
v. Bwana Matikiti alikuwa na kamba yenye urefu wa meta 25 na alitakiwa apunguze meta 75 kutoka
kwenye kamba hiyo. Je, alibakiwa na kamba yenye urefu gani?
vi. Kuna wiki na siku ngapi katika siku 90?
3. Kokotoa kipengele cha i-iii kwa umakini (Alama 2 kwa kila swali)
i. Wanafunzi watano walitakiwa kuorodhesha namba shufwa zilizopo kati ya 104 na 114. Unadhani ni
namba zipi ziliorodheshwa kwa usahihi?
ii. Zuwena aliambiwa atafute zao litokanalo na namba tasa zilizopo kati ya 11 na 19, je, lipi lilikuwa jibu
lake?
iii. Zubeda alipewa kazi ya kuorodhesha vigawe vya 7 vilivyopo kati ya 15 na 35, je, ipi ilikuwa ni orodha
sahihi?
4. Kokotoa kipengele i-iii kwa usahihi (Alama 2 kwa kila swali)
3
i. Nunez alikuwa na shilingi 11,000 alizopewa na bibi yake. Ikiwa ya fedha hiyo aliipoteza,
alibakiwa 5
na kiasi gani?
ii. Gawanya shilingi 27,000 kwa Oruma na Manara kwa uwiano wa 7 : 3. Je, Oruma atamzidi Manara
kwa kiasi cha shilingi ngapi?
iii. Lucy alitumia shilingi 5,600 kutuma maneno 60 kwa simu ya maandishi. Ikiwa maneno 30 ya
mwanzo yalilipiwa shilingi 40 kwa kila neno. Ipi ilikuwa ni gharama ya maneno 30 yaliyobaki?
5. Kokotoa kipengele i-iii kwa usahihi (Alama 2 kwa kila swali)
i. Kata ya Mlandege ina jumla ya walimu 50. Iwapo walimu 12 wapo likizo. Nini asilimia ya walimu
waliopo kazini?
ii. Semen alinunua simu kwa shilingi 250,000 na akaiuza kwa shilingi 190,000. Je, alipata hasara ya
asilimia ngapi?
1
iii. Ikiwa umepewa 4 %4 uibadili na kuwa sehemu, lipi litakuwa jibu lako?

6. Kokotoa kipengele i-iii kwa usahihi (Alama 2 kwa kila swali)


i. Urefu wa meza ya mwalimu ni sm. 186.134 na urefu wa meza ya mwanafunzi ni sm. 96.9675.
Andika tofauti ya urefu wa meza hizo katika kiwango kimoja cha desimali.
ii. Ikiwa mvua ilianza kunyesha saa 2:45 asubuhi na kukoma kunyesha saa 5:00 asubuhi. Je, mvua hiyo
ilinyesha kwa muda gani?
iii. Mazombe aliwasili katika uwanja wa ndege mnamo saa 6:25 usiku. Andika muda aliowasili bwana
Mazombe katika mtindo wa saa 24
SEHEMU C: STADI ZA TAKWIMU NA MAUMBO (Alama 10)
7. Chunguza mchoro ufuatao unaoonesha kiwango cha mauzo ya mazao katika soko la Mlandege kwa
mwaka 2023 kisha jibu kipengele cha i -ii(Alama 2 kwa kila swali)
i. Ikiwa kg.300000 za ngano ziliuzwa kwa mwaka 2023, je, ni
kilogramu ngapi za viazi ziliuzwa kwa mwaka huo?
Mpunga Kunde
ii. Je, mauzo ya ngano yalikuwa ni asilimia ngapi ya mauzo ya mazao
450 1050 yote?

Ngano Viazi

8. Jibu kipengele cha i-iii kwa kukokotoa swali kama lilivyoulizwa

i. Ikiwa umepewa umbo lifuatalo ambapo mzingo wake ni sm. 26, tafuta eneo lake.

Sm (3a -5)
Sm. (2a + 3)
ii. Lifuatalo ni kasha la kuhifadhia chaki Tafuta ujazo wake

22
iii. Tafuta eneo la mcheduara ufuatao ikiwa kimo chake ni m..21 (Tumia π = 7
)

M. 75
m. 75
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
JARIBIO LA KUJIPIMA KATA YA MLANDEGE MACHI, 2024
SOMO: SAYANSI NA TEKNLOJIA DARASA: VII
SEHEMU A: ALAMA 20
1. Chagua herufi ya jibu sahihi (alama 10)
i. Mfumo wa utoaji takamwili katika mwili wa binadamu umeundwa na ogani kuu nne. Ogani ipi inahusika
na kuondoa sumu pamoja na kusaga vyakula vyenye mafuta na protini? A. meno B. figo C. ini D. mapafu
E. ngozi ( )
ii. Viumbe hai wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni mimea na wanyama. Je, ni sifa
zipi zinahusu makundi yote hayo mawili kwa pamoja? A. ukuaji, respiresheni na fotosinthesisi B. mjongeo,
uzaaji na transpiresheni C. respiresheni, uzaaji na ukuaji D. respiresheni, transpiresheni na ukuaji E.
respiresheni na fotosinthesisi ( )
iii. Ni mmea upi kati ya hii ifuatayo unaweza kubadili naitrojeni na kuwa naitreti? A. mhindi B. maharage C.
mpunga D. kahawa E. pamba ( )
iv. Baada ya kupata ajali ya pikipiki mwili wa Rahma umeshindwa kuwa katika hali ya msawazo ambapo
humpelekea kuyumbayumba kama mlevi pindi atembeapo barabarani. Je, ni sehemu gani ya sikio lake
imeathirika? A. koklea B. vifereji nusuduara C. neva za akustika D. ngoma ya sikio E. miatus ( )
v. Sifa mojawapo ya mimea ni kutawanya mbegu zake baada ya kukomaa. Je, ni kwanini mimea hufanya
hivyo? A. ili mbegu zichukuliwe na wanyama B. ili mbegu ziongeze virutubisho C. ili mimea iendelee
kustawi vizuri D. ili kupunguza uzazi E. ili mbegu ziote haraka ( )
vi. Zuhura ana tatizo la kutokwa na vidonda mdomoni mara kwa mara. Je, unafikiri Zuhura ana ukosefu wa
vitamini ipi? A. C B. K C. B1 D. B12 E. D ( )
vii. Walimu wa shule ya msingi Maendeleo wanahitaji mashine ya kielektroniki yenye uwezo wa kupokea,
kuchakata, kuhifadhi na kutoa taarifa za maendeleo ya wanafunzi. Je, utawashauri wanunue nini? A.
program jedwali B. runinga C. tarakilishi D. printa E. kisimbuzi ( )
viii. Ni sifa ipi ya wanyama katika kundi la amfibia inawatofautisha na ndege? A. kutaga mayai B. kuishi
majini C. kuishi nchi kavu D. kuwa na damu moto E. kuwa na mifupa mifupi ( )
ix. Wanafunzi wa darasa la nne walijifunza vifaa mbalimbali vya teknolojia ya habari na mawasiliano. Je, ni
kifaa kipi hupokea mawimbi ya sumakuumeme ya runinga kutoka kwenye satelaiti? A. runinga B.
kisimbuzi C. dishi D. plagi E. waya
x. Kuna aina kuu tano za alama za usalama ambazo hutofautishwa kwa mfumo wa rangi, maelekezo na sifa.
Je, alama za onyo au tahadhari huwakilishwa kwa rangi ipi? A. bluu B. njano C. nyekundu D. kijani E.
kijivu ( )
2. Oanisha sehemu A na sehemu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi (Alama 05)
Sehemu A Sehemu B
i. Mfumo wa utoaji takamwili A. Mfumo wa uzazi wa mwanamke
ii. Kasoro katika mmeng’enyo wa chakula B. Mishipa ya damu, tezijasho na tezi
mafuta
iii. Mrija wa manii, urethira na tezi za kopa C. Ubongo, ugweuti na neva
iv. Sehemu ya ndani ya ngozi D. Kuhara na kutapika
v. Mfumo wa fahamu E. Ini, mapafu, figo na ngozi
F. Mfumo wa uzazi wa mwanaume
G. Kiungulia na vidonda vya tumbo
3. Katika kipengele cha i-v jibu maswali kwa kujaza jibu sahihi kwa kuchagua kwenye kisanduku cha maneno
uliyopewa. (Alama 05)
Tarakilishi, kisukari, Mifupa, Moyo, Programu Andishi, Baruapepe, Programu Jedwali
i. Hakikisha umeweka kichwa cha ujumbe, funga akaunti yako baada ya kuitumia na kamwe usiruhusu
kisakuzi kukumbuka nywila yako. Je, hayo ni mambo ya kuzingatia wakati wa kutumia nini?
ii. Hitilafu katika tezi ya kongosho husababisha ugonjwa gani?
iii. Wanafunzi wa darasa la saba waliulizwa swali kuhusiana na uchambuzi na uwasilishaji wa data zilizo
katika namba. Je, swali hilo lilijikita katika kufafanua dhana gani?
iv. Asia alipopimwa na daktari iligundulika kuwa na tatizo katika uzalishaji wa chembehai za damu
mwilini. Je, ni nini huhusika na utengenezaji wa chembehai za damu mwilini?
v. Start All programs Microsoft Office word 2016 =
SEHEMU B : MAJIBU MAFUPI (ALAMA 20)
Jibu maswali kwa kifupi
4. i).Ni rangi ipi hutokea kama zao la mpambano wa gesi ya kabonidioksidi na maji ya chokaa?
ii). Baada ya panga kusahaulika nje asubuhi tulipoamka tuliona panga likiwa na kutu. Je, kutu ni matokeo
ya mchanganyiko wa nini?
iii). H + O2 Y. Je, herufi Y katika mlinganyo huu inawakilisha nini?
5. i). Kipindupindu ni miongoni mwa magonjwa yanayoenea kwa haraka sana. Je, viini vya ugonjwa wa
kipindupindu huingia mwilini kwa kupitia njia ipi?
ii). Kila jaribio la kisayansi lina hatua muhimu za kufuatwa. Itaje hatua ya mwisho ya jaribio la kisayansi.
iii). Utabiri kuhusu chanzo cha tatizo linalotarajiwa kufanyiwa uchunguzi hujulikanaje?
6. i). Hewa, chuma na maji ni vitu vinavyoweza kupitisha joto tofauti na plastiki. Je, ni kwanini plastiki
haipitishi joto?
ii). Katika kujifunza aina mbalimbali za vioo tuligundua ya kuwa viio vinavyotumika kwenye vyombo vya
usafiri kama vile magari huonesha eneo kubwa na taswira zake ni wima. Je, hizo ni sifa ya aina gani ya
kioo?
iii). Tulipowasili kwenye maabara ya uchunguzi wa vimelea vya magonjwa mbalimbali tulikuta kifaa
ambacho hutumika kuchunguza vimelea hivyo ambavyo kwa macho ya kawaida haviwezi kuonekana.
Je, kifaa hicho kinaitwaje?
iv). Tunashauriwa kutunza vyema sumaku ili ziweze kubaki na ubora wake wa awali. Taja vitendo viwili
vinavyosababisha kusumakua sumaku a) b)
SEHEMU C: PICHA, MICHORO NA DHANA MBALIMBALI ZA KISAYANSI (Alama 10)
7. Chunguza mchoro ufuatao kisha jibu kipengele cha i-iii

i. Katika mchoro huo hapo juu unaonesha kitendo gani kinachofanywa na mmea?
ii. Je, kitendo hicho kinachooneshwa na mmea huo kisayansi huitwaje?
iii. Unafikiri mmea huo umehifadhiwa sehemu yenye sifa ipi hadi uoneshe hali hiyo?
8. Chunguza kwa makini alama za wanafunzi wa darasa la saba
A B C D E F
1 Jina la Mwanafunzi Hisabati Sayansi Maarifa Jumla Wastani
2 Dibe 45 35 40
3 Anganile 12 5 23
4 Tufyage 45 45 45
i. Taja jina la programu unayohitaji kuitumia ili kukamilisha matokeo hayo?
ii. Andika jina la seli lilipoandikwa jina la Anganile_
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
JARIBIO LA KUJIPIMA KATA YA MLANDEGE MACHI, 2024
SOMO: MAARIFA YA JAMII NA STADI ZA KAZI DARASA: VII
SEHEMU A (ALAMA 20)
1. Chagua jibu sahihi na kisha uandike herufi ya jibu sahihi hilo katika nafasi uliyopewa
i. Mpenja ni mjasiliamali ambaye ameajiri watu nane katika shughuli zake. Je, yupo katika kundi gani
la ujasiriamali? A. mdogomdogo B. kati C. mkubwa D. wastani E. mdogo [ ]
ii. Wanafunzi wa darasa la sita walijifunza kuhusu mistari ya kufikirika inayochorwa katika ramani. Je,
ni mistari ipi huchorwa kutoka upande wa magharibi kuelekea mashariki? A. mstarihi B. kontua
C. longitudo D. Ikweta E. latitudo [ ]
iii. Ni kwa jinsi gani Misri na Zanzibar zilipata uhuru wake? A. vita vya msituni B. katiba C. mapinduzi
C. mapinduzi na vita D. Mapinduzi na vita E. katiba na vita [ ]
iv. Kwanini ni muhimu kuwa na wimbo wa shule? `A. hukuza vipaji B. huenzi utamaduni wa taifa C.
huleta uzalendo katika shule D. ni utambulisho wa shule E. utambulisho wa wazazi na walezi [ ]
v. Katika kujifunza stadi za ramani, wanafunzi wengi walishindwa namna ya kuanza kusoma mistari ya
gridi. Je, ni kwa namna gani mistari ya gridi huanza kusomwa? A. mistari ya ulalo halafu latitudo B.
mistari ya ulalo halafu wima C. mistari ya latitudo halafu longitudo D. mistari ya ulalo tu E. mistari
ya wima halafu ulalo [ ]
vi. Ni kiongozi yupi kati ya hawa wafuatao aliongoza serikali dhalimu ya makaburu nchini Afrika
Kusini mwaka 1989 – 1994? A. Nelson Mandela B. Keneth Kaunda C. Idd Amin D. De Clerk E.
Desmond Tutu [ ]
vii. Bunge lina viongozi mbalimbali. Yupi kati ya wafuatao ni kiongozi wa sekretarieti ya bunge?
A. Waziri Mkuu B. Spika C. Katibu Kiongozi D. Kiongozi wa upinzani E. Katibu wa bunge [ ]
viii. Wanafunzi walitakiwa kumtaja kiongozi ambaye huhakikisha kuwa shughuli za kila siku shuleni
zinatekelezwa, lipi lilikuwa ni jibu sahihi? A. mwalimu wa zamu B. mwenyekiti wa kamati ya shule
C. mwalimu mkuu D. kaka na dada mkuu E. mwalimu wa darasa [ ]
ix. Lipi kati ya matukio yafuatayo lilitokea Ulaya kati ya karne ya 18 na 19? A. kuzuka kwa ugonjwa
wa ebola B. uvamizi katika nchi za kiafrika C. kukua kwa mapinduzi ya viwanda D. kuzuka kwa vita
kuu ya dunia E. Hitler kuitawala dunia [ ]
x. Wafuatao ni wadudu waharibifu wanaopatikana nyumbani isipokuwa;- A. kunguni, panya na
viroboto B. viroboto, nzi na mbu C. mbu, mende na kunguni D. mende, nzi na chawa E. chawa,
viroboto na kunguni [ ]
xi. Ni katika tabianchi ipi kati ya zifuatazo ambapo hali ya joto hujitokeza katika miezi ya Juni,
Septemba, Novemba na Aprili? A. tropiki B. jangwa C. Ikweta D. pwani E. nusu jangwa [ ]
xii. Katika mfumo wa jua, ni gimba lipi ambalo robotatu ya eneo lake limefunikwa na maji? A. Kausi B.
Bahari C. Mirihi D. Zohari E. Dunia [ ]
xiii. Majanga ya moto huweza kusababishwa na moto wa asili au shughuli za binadamu. Je, kipi ni
chanzo kikubwa cha moto kwenye maeneo yenye misitu minene? A. urinaji wa asali B. uwindaji C.
umeme wa radi D. milipuko ya radi E. uvutaji wa sigara [ ]
xiv. Ni tukio lipi kati ya haya yafuatayo ni matokeo ya nguvu ya mvutano kati ya dunia na mwezi?
A. kupatwa kwa mwezi B. kupatwa kwa dunia C. kupwa na kujaa kwa maji D. mwezi kukaa henamu
E. dunia kujizungusha katika mhimili wake [ ]
xv. Kitendo cha kutekeleza wazo jipya kwa lengo la kutengeneza au kuboresha bidhaa au huduma
huitwaje? A. ujasiriamali B. akili C. ubunifu D. usanii E. utundu [ ]
2. Katika swali hili umepewa sehemu A na Sehemu B. Oanisha sehemu hizo ili kupata maelezo yenye
mantiki.
Sehemu A Sehemu B
i. Tsunami [ ] a. Nguvu za asili na shughuli za
ii. Umeme wa radi na joto kali [ ] binadamu b. Moto wa asili
iii. Tetemeko la ardhi na mlipuko wa c. Lava
volkano [ ] d. Mawimbi makubwa ya bahari yanayosababishwa
iv. Athari za janga la moto [ ] na tetemeko la ardhi la chini ya bahari
v. Magma [ ] e. Aina za majanga
f. Hewaukaa kuongezeka
g. Miamba iliyoyeyuka kwa joto kali chini ya ardhi

SEHEMU B: (ALAMA 20)


3. Mwishoni mwa mwaka 2023 wilaya ya Hanang iliyopo mkoani Manyara ilikumbwa na moja ya majanga
ya asili ambalo lilipelekea kutokea kwa madhara mbalimbali.
i. Je, ni janga gani liliikumba wilaya ya Hanang?
ii. Taja madhara mawili yaliyosababishwa na janga hilo na
iii. Bainisha njia mbili ambazo jamii inaweza kuzitumia kama tahadhari ili kuzuia kutokea kwa
janga kama hilo na
4. Maendeleo ya binadamu yamepitia katika vipindi mbalimbali ambavyo ni zama za mawe, zama za
chuma na zama za teknolojia ya kisasa ya kidigitali.
i. Je, ni kitu gani huitambulisha zama husika?
ii. Zama za mawe zimegawanyika katika zama za kale, za kati na za mwisho. Taja shughuli kuu
mbili za kiuchumi ambazo binadamu alianza kuzifanya katika zama za
mawe za mwisho. na
iii. Katika zama za kati za mawe binadamu aliweza kusafiri na kuishi maeneo mbalimbali yenye
baridi kali duniani; je, ni nini kilimwezesha kuweza kuishi maeneo hayo?
5. Tabianchi ni wastani wa hali ya hewa ya eneo fulani iliyorekodiwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30.
i. Kuna mambo makuu matatu yanayoathiri tabianchi,taja mambo mawili na
ii. Ukataji wa miti na matumizi ya fueli za kisukuku huweza kusababisha ongezeko la kitu gani
duniani?
6. Kuanzia karne ya 20 Tanganyika iliwekwa chini ya utawala wa Kiingereza;-
i. Taja tukio kubwa la kihistoria ambalo lilitokea duniani na athari zake zikapelekea Tanganyika
kuwa chini ya utawala wa Kiingereza
ii. Bainisha aina ya utawala waliotumia Waingereza katika kuitawala Tanganyika
SEHEMU C : ALAMA 10
7. Chunguza jedwali ulilopewa likiwa linaonesha matukio ya kihistoria Tanzania kisha jibu
maswali kipengele cha a-e
Mwaka Matukio ya Kihistoria
1961 Tanganyika ilipata uhuru
1967 Azimio la Arusha
1978-1979 Vita vya Kagera
1999 Kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania
2021 Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania
2024 Kifo cha Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania

a. Taja angalau vifaa viwili vinavyoweza kutumika katika kukusanya taarifa za kihistoria
na
b. Wanahistoria hutumia vyanzo mbalimbali katika ukusanyaji na utunzaji wa kumbukumbu, taja
angalau vyanzo viwili. na
c. Ikiwa umetembelea kijiji cha Makumbusho Dar es Salaam ili kujifunza zaidi kuhusiana na tukio la
kihistoria lililotokea mwaka 1961, bainisha njia mbili utakazotumia katika kukusanya taarifa hizo.
,
d. Ni sehemu gani ya makumbusho ambako zinapatikana kumbukumbu za hayati Julius K. Nyerere tu?
e. Bainisha mataifa ambayo yalihusika katika tukio la kihistoria la mwaka 1978 – 1979.
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
JARIBIO LA KUJIPIMA KATA YA MLANDEGE MACHI, 2024
SOMO: URAIA NA MAADILI DARASA: VII
SEHEMU A (ALAMA 20)
1. Katika kipengele cha i-x chagua herufi ya jibu sahihi
i. Ofisa mtendaji wa kata ndiye mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri katika ngazi ya kata. Je,
hupatikanaje? A. kwa kuteuliwa na mkurugenzi B. kwa kuteuliwa na diwani C. kwa Kuchaguliwa na
wenyeviti wa mitaa D. kwa kuchaguliwa miongoni mwa watendaji wa mitaa E.kuajiriwa na serikali [ ]
ii. Jambo lipi sio huduma inayoweza kutolewa kwa watu wenye mahitaji maalum? A. uadilifu B. msaada
wa kisheria C. makazi D. msaada wa kiafya E. ushauri [ ]
iii. Migogoro na mapigano katika jamii ni athari zinazosababishwa na nini? A. kukosekana kwa wasomi B.
mahusiano mabaya C. kuwepo kwa matajiri D. ukame E. mafuriko [ ]
iv. Seleman ni mwanafunzi wa darasa la V katika shule ya msingi Mawazo, amebaini kuwepo kwa vitendo
visivyofaa shuleni kwao. Utamshauri atumie njia ipi ili kufikisha taarifa au maoni kwa uongozi wa
shule? A. mkutano wa wazazi B. sanduku la posta C. sanduku la maoni D. ubao wa matangazo E. aende
kituo cha polisi [ ]
v. Mtaa wa Kihodombi una barabara, zahanati pamoja na shule. Je, kwa jina moja tunaitaje? A.
miundombinu ya serikali B. mali za Rais C. miundombinu ya jamii D. rasilimali E. majengo ya umma
vi. Mwongozo unaohusu mbinu za kupanga mipango ya maendeleo ya shule hutumiwa na nani? A. serikali
ya mtaa B. uongozi wa shule C. wazazi na walezi D. mwalimu mkuu E. kamati ya shule [ ]
vii. Mkurugenzi wa halmashauri ana majukumu yafuatayo isipokuwa;- A. kusimamia shughuli zote za
maendeleo katika halmashauri B. kusimamia shughuli za uchaguzi mkuu katika eneo lake C. kuwa
katibu wa vikao vya baraza la madiwani D. kuwasimamia wakuu wa idara katika halmashauri E.
kuwawakilisha wananchi katika vikao vya halmashauri [ ]
viii.Ni kwa namna gani mwanafunzi anaweza kupata ufafanuzi wa jambo linalomtatiza wakati wa vipindi darasani?
A. kusoma kwa bidii B. kusikiliza upya C. kuandika nukuu za somo D. kuuliza maswali E. kuwasilisha maoni [ ]
ix. Wavuti ambapo watu huujumuishwa pamoja na kutumiana ujumbe au kuwa na nijadala kupitia simu za mkononi
au kompyuta huitwaje? A. TEHAMA B. mawasiliano C. mitandao ya kijamii D. uwajibikaji E. teknolojia [ ]
x. Shule inamahitaji mbalimbali, lipi kati ya haya yafuatayo si miongoni mwa mahitaji ya shule? A. chakula B. fedha
C. ardhi D. watoto wa matajiri E. maji [ ]
2. Oanisha kipengele kutoka sehemu A na kipengele kutoka sehemu B ili kupata maana sahihi, kisha
andika herufi ya jibu sahihi.
Sehemu A Sehemu B
i. Rasilimali [ ] a) Tija na ufanisi
ii. Hutumia muda wake kuelimisha jamii juu ya b) Sheria za kulinda rasilimali c)
maendeleo [ ] Ufisadi
iii. Kutumia mali za umma kwa maslahi binafsi [ ] d) Mzalendo
iv. Husaidia kupambana na matumizia mabaya ya e) Mtu anayetumia vibaya elimu yake
rasilimali za nchi [ ] f) Milima, mabonde, madini na mbuga za
v. Ni jukumu la wananchi wote [ ] Wanyama
g) Kufanya kazi kwa bidii h)
Afya ya mwili na akili i)
Usalama wa taifa
3. Tumia maneno uliyopewa katika kisanduku cha maneno kujibu kipengele cha i-v
Kiranja mkuu, uwajibikaji, 114, udadisi, mwanasheria mkuu, uvumilivu, 113,ustahimilivu, ubishi

i. Kim ana tabia ya kuhoji kila kitu wakati wa kujifunza darasani au nje ya darasa
ii. Kiongozi anayepatikana kwa njia ya kidemokrasia
iii. Namba inayotumika kutoa taarifa kwa jeshi la Zimamoto pindi janga la moto linapotokea
iv. Hayati Lowasa alijiuzulu nafasi ya Waziri mkuu kutokana na kashfa ya kampuni ya Richmond
v. Manka ni kijana anayeweza kuhimili mambo mazito bila ya kulalamika. Kwa maneno mengine
tungeweza kusema Manka ana tabia ipi?
SEHEMU B (ALAMA 20)
4. Umepewa vipengele vya mpangokazi wa kujitolea, tumia herufi A-E kuzipanga sentensi hizo kwa
kuzingatia mpangilio wa vipengele hivyo.
A. Malengo B. Muda C. Mahitaji D. Utekelezaji E. Tathmini

i. Miche ya matunda na kivuli, samadi na majembe


ii. Je, miche na maua yaliyopandwa imetunzwa vyema?
iii. Kuboresha mazingira ya shule yetu.
iv. Wanafunzi kuandaa maeneo kwa ajili ya kupanda miti, kulima eneo hilo, kukusanya samadi,
kupanda na kuimwagilia kila siku
v. Kufikia mwezi Aprili shule yetu iwe na miti ya matunda na kivuli yakutosha
5. Katika kipengele cha i-v andika jibu lako kwa maelezo mafupi

i. Mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa yamekuwa na changamoto mbalimbali. Zitaje tunu mbili za
taifa ambazo zinaweza kutumiwa katika mapambano hayo. na
ii. Ni muhimu kila shule kufanya vikao vya baraza la wanafunzi ili kuruhusu kila mwanafunzi kutoa
maoni yake. Je,nani huwa mwenyekiti wa baraza la wanafunzi?
iii. Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa darasa la VII ambaye umepata elimu ya Uraia na Maadili; ni nini
utapaswa kufanya katika matukio haya?

a. Unapowakosea wengine bila kujua


b. Unapokosewa na wengine kwa bahati mbaya

iv. Utamsaidiaje mwanafunzi mwenzako mwenye tabia ya kugombana na rafiki zake?


v. Tarehe 19.03.2021 Tanzania ilishuhudia kuandikwa historia mpya ya kuapishwa kwa Dr. Samia
Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambiea;-

a. Nini kilitokea na kupelekea Dr. Samia Suluhu Hassan kuapishwa na kuwa Rais?
b. Ikiwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani hufanyika kila baada ya miaka mitano, je,
ni lini Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi huo kama Rais aliyopo madarakani aliapishwa mwaka
2021?

SEHEMU C (ALAMA 10)


6. Chunguza kwa makini picha ulizopewa kisha tumia picha hizo kujibu kipengele cha i-v

i. Picha hii inawakilisha baadhi ya vitu ambavyo hulitambulisha taifa letu


kwa mataifa mengine. Je, kwa jina moja huitwaje?
ii. Ni alama ipi kati ya hizo hutumika kama mhuri wa nyaraka za serikali?
iii. Mwenge wa uhuru hukimbizwa nchi nzima kila mwaka kwa lengo la
kukagua miradi yote inayotekelezwa na serikali. Je, kilele cha mbio za mwenge
huo huwa ni tarehe ngapi?
iv. Ikiwa umeona shuleni kwenu bendera ya taifa inapepea nusu mlingoti;
a). Je, inakua inaashiria nini?
b). Ni nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la bendera kupepea nusu mlingoti?
v. Je, picha ya twiga huashiria uwepo wa nini nchini kwetu?
Maisha ni vita daima. Wewe ni bunduki. Akili, juhudi na maarifa ndizo risasi ambazo kila binadamu
ametunukiwa na Mungu. Kila mmoja alipewa silaha hizo kwa kuwa aliyetuumba alitaka tukapambane vilivyo.
Inaaminika hakuna cha bure katika dunia hii. Unataka mali? Unataka gari? Unataka nyumba nzuri? Basi
pambana vilivyo. Mwanafunzi upo shuleni ili kunoa silaha zako vyema. Tumieni vyema muda wenu shuleni
kwa kusoma ili msijejuta mtapokuja kutana na maisha. Hakuna chuo au shule utakayoenda kusomea maana ya
maisha. Ila maisha utakutana nayo kadri unavyoishi. Ukizubaa maisha yatakufundisha maana ya maisha.
Ukikubali kufundishwa maana ya Maisha na Maisha basi jua ya kuwa umekwisha. Huna jeuri tena!

Maisha ni vita daima. Wewe ni bunduki. Akili, juhudi na maarifa ndizo risasi ambazo kila binadamu
ametunukiwa na Mungu. Kila mmoja alipewa silaha hizo kwa kuwa aliyetuumba alitaka tukapambane vilivyo.
Inaaminika hakuna cha bure katika dunia hii. Unataka mali? Unataka gari? Unataka nyumba nzuri? Basi
pambana vilivyo. Mwanafunzi upo shuleni ili kunoa silaha zako vyema. Tumieni vyema muda wenu shuleni
kwa kusoma ili msijejuta mtapokuja kutana na maisha. Hakuna chuo au shule utakayoenda kusomea maana ya
maisha. Ila maisha utakutana nayo kadri unavyoishi. Ukizubaa maisha yatakufundisha maana ya maisha.
Ukikubali kufundishwa maana ya Maisha na Maisha basi jua ya kuwa umekwisha. Huna jeuri tena!

Maisha ni vita daima. Wewe ni bunduki. Akili, juhudi na maarifa ndizo risasi ambazo kila binadamu
ametunukiwa na Mungu. Kila mmoja alipewa silaha hizo kwa kuwa aliyetuumba alitaka tukapambane vilivyo.
Inaaminika hakuna cha bure katika dunia hii. Unataka mali? Unataka gari? Unataka nyumba nzuri? Basi
pambana vilivyo. Mwanafunzi upo shuleni ili kunoa silaha zako vyema. Tumieni vyema muda wenu shuleni
kwa kusoma ili msijejuta mtapokuja kutana na maisha. Hakuna chuo au shule utakayoenda kusomea maana ya
maisha. Ila maisha utakutana nayo kadri unavyoishi. Ukizubaa maisha yatakufundisha maana ya Maisha.
Ukikubali kufundishwa maana ya Maisha na Maisha basi jua ya kuwa umekwisha. Huna jeuri tena!

Maisha ni vita daima. Wewe ni bunduki. Akili, juhudi na maarifa ndizo risasi ambazo kila binadamu
ametunukiwa na Mungu. Kila mmoja alipewa silaha hizo kwa kuwa aliyetuumba alitaka tukapambane vilivyo.
Inaaminika hakuna cha bure katika dunia hii. Unataka mali? Unataka gari? Unataka nyumba nzuri? Basi
pambana vilivyo. Mwanafunzi upo shuleni ili kunoa silaha zako vyema. Tumieni vyema muda wenu shuleni
kwa kusoma ili msijejuta mtapokuja kutana na maisha. Hakuna chuo au shule utakayoenda kusomea maana ya
maisha. Ila maisha utakutana nayo kadri unavyoishi. Ukizubaa maisha yatakufundisha maana ya Maisha.
Ukikubali kufundishwa maana ya Maisha na Maisha basi jua ya kuwa umekwisha. Huna jeuri tena!

Maisha ni vita daima. Wewe ni bunduki. Akili, juhudi na maarifa ndizo risasi ambazo kila binadamu
ametunukiwa na Mungu. Kila mmoja alipewa silaha hizo kwa kuwa aliyetuumba alitaka tukapambane vilivyo.
Inaaminika hakuna cha bure katika dunia hii. Unataka mali? Unataka gari? Unataka nyumba nzuri? Basi
pambana vilivyo. Mwanafunzi upo shuleni ili kunoa silaha zako vyema. Tumieni vyema muda wenu shuleni
kwa kusoma ili msijejuta mtapokuja kutana na maisha. Hakuna chuo au shule utakayoenda kusomea maana ya
maisha. Ila maisha utakutana nayo kadri unavyoishi. Ukizubaa maisha yatakufundisha maana ya Maisha.
Ukikubali kufundishwa maana ya Maisha na Maisha basi jua ya kuwa umekwisha. Huna jeuri tena!
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
JARIBIO LA KUJIPIMA KATA YA MLANDEGE MACHI, 2024
SOMO: KISWAHILI DARASA: VII
SEHEMU A (ALAMA 20)
1. Sikiliza kwa makini habari utakayosomewa na msimamizi wako kisha jibu kipengele cha i-v kwa
kuchagua herufi ya jibu sahihi
i. Kwa mujibu wa habari uliyosikiliza nini maana ya maisha? A. Maisha ni silaha B. Maisha ni vita
C. Maisha ni uhai D. Maisha ni kuishi E. Maisha ni kusoma [ ]
ii. Kwanini mwanafunzi upo shuleni? A. ili kupambana B. ili kunoa silaha C. ili ukue vyema D. ili
uweze kujua maana ya maisha E. ili kucheza na wenzako [ ]
iii. Ni wapi mtu huweza kujifunza maana ya maisha? A. shuleni B. chuoni C. hakuna sehemu yoyote
D. chuoni na shuleni E. kanisani [ ]
iv. Ikiwa mtu anatamani kuwa na nyumba,gari au mali yampasa kufanya nini? A. kuishi B. kwenda
shule C. kuhamia mjini D. kuanzisha biashara E. kupambana [ ]
v. Kwanini mnasisitizwa kutumia vyema muda wenu muwapo shuleni? A. ili kufaulu vyema B. ili
kuepuka maisha C. ili kuyashinda maisha D. ili kutojuta baadaye E. ili kukua vyema
2. Chagua jibu sahihi na kisha uandike herufi ya jibu sahihi hilo katika sehemu ya kujibia.
i. Walifanya kazi ile bega kwa bega hadi ilipokamilika. Nahau “bega kwa bega” inafafanuliwa na
kifungu kipi cha maneno? A. kujituma sana B. walishirikiana kwa pamoja C. walitumia nguvu
nyingi D. walifanya kwa uzalendo E. walitumia maarifa sana [ ]
ii. Nahau ipi yenye maana ya “kuzama au kuogelea majini?” A. piga maji B. zama maji C. piga mbizi
D. piga kumbo E. piga zengwe [ ]
iii. “Utakapowasili hapa utahutubia wananchi”. Mzungumzaji ametumia nafsi gani kati ya hizi? A.
nafsi ya pili umoja B. nafsi ya kwanza wingi C. nafsi ya kwanza umoja D. nafsi ya tatu umoja E.
nafsi ya tatu wingi [ ]
iv. “Yanga wamefuzu katika hatua ya mtoano”. Kauli hiyo inawakilisha nafsi ipi kati ya hizi zifuatazo?
A. nafsi ya kwanza wingi B. nafsi ya pili wingi C. nafsi ya kwanza umoja D. nafsi ya tatu umoja E.
nafsi ya tatu wingi [ ]
v. “Aminata amefaulu mtihani”, mwalimu alisema. Hiyo ni aina gani ya kauli kati ya hizi zifuatazo?
A. mazoezi B. halisi C. tata D. taarifa E. tendwa [ ]
vi. “Juma anasoma ingawa Neema anacheza”. Neno “ingawa” ni aina gani ya neno? A. kitenzi B.
kihisishi C. kiiunganishi D. kielezi E. kiwakilishi [ ]
vii. Rehema mama yake Mary. Neno linalokamilisha sentensi hii ni lipi? A. siyo B. sio C. sie
D. siye E. si [ ]
viii. Hapa alipozikwa hayati Ali Hassan Mwinyi. A. ndiko B. ndimo C. nipo D. ndipo E. ndicho [ ]
ix. “Sitakubali kuondoka”. Neno “sitakubali” liko katika hali gani? A. ukanushi B. mazoea C. timilifu
D. endelevu E. halisi [ ]
x. “Damu ni nzito kuliko maji”. Methali hii inahusiana na ipi kati ya hizi zifuatazo? A. mchumia
juani hulia kivulini B. penye nia pana njia C. mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe D. mbio za
sakafuni huishia ukingoni E. baada ya dhiki faraja [ ]
3. Katika sehemu hii oanisha methali zinazofanana kutoka sehemu A na B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi
Sehemu Sehemu B
i. Usipoziba ufa, utajenga ukuta [ ] A. Mdharau mwiba, mguu huota tende
ii. Mchumia juani, hulia kivulini [ ] B. Mchagua jembe, si mkulima
iii. Mvumilivu hula mbivu C. Samaki mkunje, angali mbichi
[ ] iv. Mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo D. Polepole ndio, mwendo
[ ] v. Mchagua nazi huambulia koroma E. Jembe halimtupi, mkulima
[ ] F. Kidole kimoja hakivunji, chawa
G. Umoja ni nguvu, utengano ni dhaifu
SEHEMU B (ALAMA 20)
4. Katika sehemu hii kamilisha sentensi kadri ulivyoulizwa kwenye kipengele husika
i. Meza, kabati, kiti na kitanda kwa neno moja huitwaje?
ii. Abdalah alitapanya mali za urithi. Kinyume cha neno tapanya ni nini?
iii. “Kazi ya Halima ni ya kijungujiko”. Kazi ya kijungujiko ni kazi ya aina ipi?
iv. Kitoto hiki kinacheza kitoto. Neno lililopigiwa mstari limetumika kama aina ipi ya maneno?
v. Nashon hufanya kazi ya kuhifadhi na kuazimisha vitabu kwa wasomaji katika maktaba ya mkoa.
Je,
Nashon ni nani?

5. Soma shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata


Kaitwa mahakamani, popo kujibu shitaka,
Hakimu naye makini, hadhira shauku tua,
Atakiwa abaini, kwa ulimi kutamka,
Ajitetee bayana, ni mnyama au ndege
Hakimu nashukuru, shitaka kunisomea,
Hakimu nashukuru, shitaka kunisomea,
Sina jadi na kunguru, ila na pundamilia,
Mimi ni mnyama huru, amini ninakwambia,
Tukidaiwa ushuru, kwa Wanyama nalipia.

Ni kweli popo napaa, na mabawa nimepata,


Lakini mimi nazaa, hilo halina utata,
Nazaa na kunyonyesha, sina undugu na bata
Wale wanaopotosha , niwaonyeshe matiti.

Maswali
i. Ni sababu ipi inayomfanya popo akatae ya kuwa yeye si ndege?
ii. Mstari wa mwisho katika kila ubeti wa shairi huitwaje?
iii. Katika ubeti wa pili popo anasema, “sina jadi na kunguru”, usemi “sina jadi” una maana gani?
_ iv. Kutokana na shairi hili, unadhani ni tuhuma gani zilikua zinamkabili popo?
v. “Hakimu makini, hadhira shauku tua”. Unaelewa nini kuhusiana na neno hadhira? _
SEHEMU C : UTUNGAJI (ALAMA 10)
Ichunguze barua rasmi ifuatayo kisha jibu maswali yanayofuata;-
Shule ya Msingi Ugele,
S.L.P. 165,
RINGO
Tafadhali husika na barua hii.
Mimi ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule yako. Ninaomba ruhusa ya kushiriki mashindano ya kanda
ambayo yatafanyikia katika uwanja wa Samora siku ya Alhamis. Mashindano hayo yataanza mnamo saa 2:00
asubuhi na kuhitimishwa saa 8:30 mchana.
Ahsante

6. Baada ya kukamilisha kuiandika barua hiyo Lashack aliambiwa na mwalimu wake kuwa barua yake ina
mapungufu mengi na kuifanya ikose sifa za kuitwa barua rasmi. Taja vipengele vitano vinavyokosekana
katika barua hii.
i.
ii.
iii.
iv.
v.
MARKING GUIDES
S/N HISABATI ENGLISH KISWAHILI
1. i. Makumi Elfu i. A i. B
ii. 30,000 ii. C ii. B
7
iii. iii. A iii. C
5
iv. A iv. E
iv. IV,XV,XLIV,XLVII,
v. D v. D
XC,CI
v. 78
vi. 655.2
3
vii. 32
- 3
viii. 15, 25%, 4 𝑛�� 2.25
ix. 976310
x. MMXXIV
2. i. 5226 i. B i. B
ii. Miche 10149 ii. D ii. C
iii. 60 040 iii. C iii. A
iv. Sh. 25 000 iv. D iv. E
2 v. D v. B
v. 17
5 vi. C
vi. Wiki 12 Siku 6 vii. E
viii. D
ix. A
x. C
3. i. 106, 108,110 na 112 i. neither ……nor i. A
ii. 221 ii. too ------to ii. E
iii. 21, 28 na 35 iii. Both…….and iii. D
iv. either…..or iv. C
v. No sooner…..than v. B
4. i. Sh. 3500 i. D i. Samani
ii. Sh. 10 800 ii. F ii. Kusanya
iii. Sh. 4 400 iii. E iii. Kutosheleza kipato cha
iv. B mlo tu
v. G iv. Kielezi v.
Mkutubi
5. i. 76 % i. Went ii. i. Kuzaa na kunyonyesha
ii. 24% Crying iii. ii. Kituo
17 Flies iii. Hana nasaba/undugu
iii. iv. Will visit iv. Popo ni ndege
400
v. Seen v. watazamaji
6. i. 89.2 i. Mr. monkey i. Tarehe
ii. Saa 2:15 ii. Mr. tortoise ii. Anuani ya mwandikiwa
iii. Saa 0024 iii. Telling stories and singing iii. Kichwa cha barua/habari
songs iv. Saini ya mwandishi
iv. Monkey’s house v. Jina la mwandishi
v. Because he never did any
work
7. i. Kg. 400 000 i. D
ii. 25% ii. C
iii. B
iv. A
v. E
8. i. Sm2 . 36
ii. Sm3.900
iii. Sm2 . 5 296.5

S/N URAIA MAARIFA SAYANSI


1. i. E i. E i. C
ii. A ii. E ii. C
iii. B iii. C iii. B
iv. C iv. D iv. B
v. C v. E v. C
vi. E vi. D vi. D
vii. E vii. E vii. C
viii. D viii. C viii. B
ix. C ix. C ix. C
x. D x. A x. B
xi. A
xii. E
xiii. C
xiv. C
xv. C
2. i. F i. D i. E
ii. D ii. B ii. G
iii. C iii. E iii. F
iv. B iv. F iv. B
v. I v. G v. C
3. i. Udadisi i. Mafuriko i. Baruapepe
ii. Kiranja mkuu ii. Vifo na kuharibika kwa ii. Kisukari
iii. 114 miundombinu/makazi iii. Programu jedwali
iv. Uwajibikaji iii. A. kupanda miti/kutoishi iv. Mifupa
v. Ustahimilivu maeneo ya v. Programu jedwali
miteremko/mabondeni
4. i. C i. Malighafi inayotumika i. Rangi ya maziwa
ii. E kwa wingi ili ii. Hewa(oksijeni) na
iii. A kutengeneza zana unyevu
iv. D ii. Ufugaji na kilimo iii. Maji
v. B iii. Uwepo wa moto
5. i. Uzalendo/utu/uadilif i. Latitudo/mwinuko/uoto i. Mdomo
u/uwazi/uwajibikaji wa asili/upepo/umbali ii. Kuandika ripoti/taarifa
ii. Kiranja mkuu kutoka usawa wa iii. Dhanio
iii. A). Kuomba bahari
radhi/msamaha ii. Joto
B). Kusamehe
iv. Kumkanya kwa
kushirikiana na
marafiki wengine.
v. A). Kifo cha Rais Dr.
John P. Magufuli
B). 2025
6. i. Alama za Taifa i. Vita ya Kwanza ya i. Haina elektroniki hasi
ii. Nembo ya Taifa Dunia ii. Kioo mbinuko
iii. 14/10 ii. Utawala wa kutumia iii. Hadubini
iv. A). kifo cha kiongozi viongozi wa iv. Kuchoma moto na
wa kitaifa au Uwepo jadi(machifu)/mshindo kugongagonga
wa janga nyuma
lililosababisha maafa
makubwa kwa taifa
B). Rais
v. Mbuga za wanyama
7. a. kamera/daftari/kinasa i. Mmea kukua kufuata
sauti mwanga
b. Akiolojia/lugha/masimuliz ii. Fototropizimu
i yam iii. Giza
domo/machapisho/makum
busho ya Taifa
c. Mahojiano/dodoso/kusom
a maandiko mbalimbali
d. Butiama – Mara
e. Tanzania na Uganda

8. i. Programu Jedwali
j. A3

You might also like