Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 5

General knowledge to crypto currency exchange, crypto wallets and

DEX AND
CEX
EDITED BY,

GASHWOOD
EXCHANGES
CRYPTO WALLETS AND SPOT TRADIND

SOLVER
Nini maana ya Dex na Cex kwenye Crypto Currency?
Dex na Cex ni majukwaa ya mabadilishano (exchange)

Types of Exchange

1. Dex
Husimama badala ya decentralized exchange.

Jukwaa huru. Hii ni jukwaa au sehemu ambayo watu hupata nafasi au huweza wa kununua
na kuuza coins pasipo zuio au kikwazo

Decentralized exchange izi hazina mmiliki zipo huru na yeyote anaweza kua na access

Sifa za Decentralized Exchange

 Transparent
 Accessibility
 Allow users to trade crypto

Mifano ya Dex

 Uniswap
 Pancakes swap
 Sushi swap
 Curve finance
 Aavegotchi
 1inch
 Balancer
 Compound
 Yearn finance

Common

 Sushi swap
 Uniswap

Best and Easy to use

 Pancakes swap

2. Cex (Jukwaa milikiwa)


Husimama badala ya centralized exchange. Haya ni majukwaa yanayo milikiwa

Mf;

Binance
Mexc
Gate Io
Coinbase n.k

WHAT IS CRYPTO WALLET?

Wallet: Mifuko au mifumo huru iliopo ndani ya Blockchain technology inayotumika katika
kuifadhi assert (crypto).

Common wallet:

 Meta musk
 Trust wallet

Tofauti ya Exchange na Wallet

o Exchange huuza na kununua


o Wallet huuuza hutumika katikakuifadhi na kuuza mda mwingine
o Exchange huweza kumulikiwa
o Wallet haiwezi kumilikiwa isipokua mtu anaweza kumiliki wallet yake mwenyewe
o Exchange huweza athiri upandaji wa sarafu pale inapo filisika

Aina za Wallets:
1. Hot wallet: Hii ni grobal au non centralized (Decentralized)
2. Cold Wallet: Personal wallet

Cold wallet mtu huweza kuunda kwa kutumia algorithm maalumu na software za siri za
kiblockchain zitakazo tumika kuhifadhi coins zako binafsi.

SPOT TRADING
Nini maana ya spot trading? (Holding like Investment)
Spot trading ni uwekezaji ambao mtu anaweza nunua na kuuza Assets aidha kwa mda mrefu
au mfupi, kwa kutumia bei ya mda huo au current price (spot price).

Spot trading inaweza kuwa ya mda mrefu au mfupi.

Muda mfupi inahitaji uchambuzi kujua SARAFU yako itapanda Kwa mdagan.

Muda mrefu haina haja ya kuhitaji uchambuzi wa muda mfupi isipo kua hapa una hold.

Faida za Spot Trading


1. Less risk
2. More options
3. Do not require advance knowledge

Negativity za spot trading


 Huwezi fanya popote isipokua kwenye Exchange

Footprint:
Trust wallet unaweza hold token au coins za Bep 20 tu. Coin au tokens zingine za Ethereum tuna
hold kwenye Exchange.

Investment psychology; kiwango anachoweka mwekezaji katika mradi sahihi huakisi


rejesho atakalolipata katika huo mradi

It means ukiweka kidogo utapata kidogo and vice versa. Aliye weka $100 na aliyeweka $50
kwenye project moja na ikifanya vizuri hawawezi fanana kifaida

Ukiwa na uwezo wa kuweka pesa weka pesa, this’ the business like other business

………….THE END……………………….
BONK PEPE BABYDOGE

MUBI KREST

LADYS HERO LUNC

HIPP MEME

GROK

2024_______________________2025

You might also like